Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Jina halisi ni Salim Ahmed Issa, na kwa mujibu wa niloyasoma ni mjukuu wa moja ya watu maarufu mkoani Iringa ambaye alikua anatambulika kama Mtogapaafwe Kiyeyeu. Huyo alikua ni BABU wa Gabo Zigamba kabisaa ambaye binti yake Rafia Issa Kiyeyeu ndo Mama mzazi wa Gabo huyu tunayemfahamu mimi na wewe. Unaambiwa kaburi la Marehemu Mzee Mtogapaafwe lilikua na maajabu sana, ila hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Hapa ilikua juu ya utambulisho wetu kwake na sifa zake actor hodari toka kwetu Tanzania.
Gabo si moja ya marafiki zangu ila baada ya kuonana hapa ndo urafiki wetu ulipoanzia baada ya kujua pia tunafanana kwa mambo mengi kwa kweli. Gabo ni MTENDAJI, kuongea anaongea pale anapokua huru na mazingira ila mara nyingi huwa hasemi sana bali anatenda zaidi. Toka nimemsikia mara ya kwanza mwaka 2016, kijana huyu amekua akishinda tuzo mbali mbali na kutengeneza base yake vizuri kabisa. Na ukimuuliza mtu yoyote anayefuatilia mambo ya filamu kuhusu yeye basi hakika utaskia kipaji chake kikizungumziwa pia. Tuzo mbali mbali Gabo ameziokota sana na mpaka kuna kipindi ilikua inasemekana kwamba yeye ndo ‘mrithi’ wa Marehemu Steven Kanumba kitu ambacho kinaweza ikawa motivation au viatu vikubwa sana kwa miguu yake. Swali ni je, anajua watu wanamuona huko?
Kwenye kikao chetu zaidi mimi nilitaka kumfahamu haswa, kumfahamu yeye binafsi na familia yake, nilitaka kufahamu kinachompa raha na karaha. Nilitaka kujua alianzia wapi, nilitaka kujua starehe yake, mipango yake, mitihani yake. Nilitaka kujua kuhusu jina lake, kuhusu kipaji chake, kuhusu dini na mahusiano. Kuhusu industry na ushindani wa ndani na nje na Sanaa kwa ujumla. Na nashkuru alinipa time yake na yangu matumaini humu utapata chochote kitu cha kukufunza jambo. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Yaani salama huwa napenda sana maswali kwa wageni wako, yaani huwa una maswali fulani hivi amazing l real like it
Kwanza nimependa matching blackblack mmetokelezea ....pili Salama nakupenda mana maswali yako huaga yanachangamoto hufkirii km utaulizwa wajipange..huchoshi love it..
Yaan katik wasanii wa kiume ninao wapenda GABO jmn uko vzr hngera sana dada salama kwa kumleta huyu mtu
Salamaa fanya uje unihoji na mimi mjuba bEshuu mii nna saloon ungujaa
Gabo nampendaga hasa ngozi yake ni Natural macho yake ndiyo ya nanivutiaga zaidi na huo urefu wake sasa 👌
Nami napenda kicheko, busara na hekima anapojibu maswali. Yaani yuajibu kiufundi kabisa. Kudos from 254
Salama Tuletee manGe kimambii yaani najikuta nampend BURE😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Bonge la interview asee, huwezi kuchoa kutazama. Kwa kweli Salim (Gabo) ni mwana Kiswahili, na muitikio wake kwenye maswali yako Salama yanafanya mahojiano yavutie. Hongera Salama kwa mahojiano ya kistaarabu.
mungu akupe afya njem na umri mrefu ln shaa Allah.. najifunza mengi sana tena sana.. 🌹🌹❤️❤️
One of my favorite INTERVIEWER-Salma Jabir, tafsiri sahihi ya Interviewer
Nampenda gapo anamaneno yahekmaa
Duuu Gabo mi nakukubali sana tangu zamani. Kwenye *Bado natafuta* Nakubali sana Sara kwa kumuita Gabo
Napenda maswali yako kwa mgeni wako salama,,,,,ni maswali yeny uhai ivi,,,,,na hasa majibu yaendane na maswali,,,big up kwenu,,,Allah awahifadhi insha Allah
Baadhi ya waandishi wadogo waige mfano wa Salama ktk kuhoji ili wakue kitaaluma,haichoshi kumsilikiliza Salama anapohoji kama inavyochosha baadhi yao,kuanzia jinsi ya kuhoji mpaka lafudhi zao zinachosha kwani hawajui tofauti kati ya L na R....Ahsante Salama........Ombi...tuletee na viongozi wa dini
Gabo baba lao salama vipindi vyako navikubali sana iyani upo ameizing
Gabo ni actor mkubwa asiye na majigambo atafika mbali..anajibu maswali vizur sana🤗
BADO HAUMJUI GABON WEWE
Daaaah my brother gabo anajibu maswal so nice one day Nita fanya kazi I believe and I know
Jaman Gabo amenifanya nicheke mpaka basi love u so much GZ
Mtangazaji bora wa kike wa mda wote.... Kwa muongo wa pili Sasa
I love gabo so much..🍎
Good convo salama na kila mgeni wako unaemualika ... Special applause to you mamaa, and whole crew of yours ... Nawapenda na ninapenda kipindi chako ...ni fireeeee,
Kazi nzuri sana napenda kukufatilia toka zamani dada
Asante sana.kwakuturetey gabo zigambo tureteya na Rammy..mu somaria
Duh gabo hadi nakupenda yan unafurahish kwel
Salama mm huchelewa sana ila sipitwi kabisa gabo namkubali hana sifambaya am Remmy from Mombasa Kenya
Ellen wa Tanzania Salama jabir ❤🥰
Good interviews, good questions, good answers Mimi ninapenda hivyo vyote cause ninajifunza vitu vingi sana
Mambo vp salama napenda sana vipi vyako na uko sawa one love watching you from Qatar Doha
Nakukubali Sana dada anipa unafanya kazi nzuri Sana
Mimi natamani pia nifanye kipindi hichi na wewe ninamengi ya kuismbia na kuifundisha jamii
Sio muigizaji niliyemtazama Nilipokua mdogo kama SINGLE MTAMBALIKE.. JACOB STEPHEN AU NATASHAA MAMVI lakini Nimemjua kama Muigizaji Bora Katika Generation Yake... Namkubali Sana Gabo...!!! He is One Of The Best Actors in Tanzanian film...!!!
Salama nakupenda sana mm ni shabiki wako na Gabo ni msanii wangu
Bro #Gabo huku kuna kitu kinaitwa #panguso, ndio habar ya mjini kwa sasa, ikifuatiwa na shilingi. Natumai ukimya wako sio wa bure, bila shaka kuna bomu unaliandaa, tupo tunalisubiria kwa ham, najua hutatuangusha. Fikisha salam kwa bro Ray, mwambie tumechoshwa na kufoka foka, abuni style mpya ya kuvutia mashabiki. Watu wanapenda kuona mambo halisi yanayojir uswahilini sio maofisini tu kila siku
Love u so much form sauza Africa my salama .😘😘😘😘😘😘😘really I like u
Nzuri saana!!! Ila natamani nipate jina la movie uliyokuwa na JB kwny kampuni ya usafi ...... jina tu jmn!!
Namkubali sana Gabo , Intevie imetulia👏👏👏
Gabo uko vzr 💪💪
Watching it today although watched others before but this is my fav with my fav artist so far I enjoyed
Ur my favourite salama😍
Throug your interview i learn alot and get courage where i have fall.....Big up kwako sis Salama💋💋💋
Misemo ndo mahala pakee big up sana gabo
Hahahahaaa wallahi this dude is so good ma sha allah anakipaji kikubwa sana namkubali kinyamaaaaaa
Tunakupenda sana Gambo likini moves hatuzipati lete move bwana.
Daaaaah Jamaa Namkubali Alafu Anapenda Sana Majani Yaaaan Kitu Cha Jamaica Yaaaan Kwa Bongo Wanaita Kitu Cha Chuga
Mnyamwezi snaa
Kipindo kiko poa sn mung akujalie mafanio mazur pia gabo namkubali sn big shara kwake 👊
Lungembaaa hiyooo!!!!wazee wa matukio machifu hataree sana
Daaaaah Nampenda Sana Gabo Zigamba/ Salim ❤️❤️❤️❤️
It will be best if we get to know your story salama.... so its NA SALAMA
Napenda sana kz za gabo hasa kapuni niliipenda sana naomba utoe move hii ya kapuni tupate yote pale nilipata vipande
Ni kweli upo vzr inshaallah
Uyo ni Kk yetu mzuri Salim na ss salama tupo vizuri mzuri kwa sura na tabia ndio siraha kubwa mungu akusmamie inshaallah
Yani zegamba ni mtu kipaji cha uwongozi tena ni mkweli ana mamno ya zuruma mbska Queen darin anamsfia yani anasema kuwa ana longolongo kwa wema wake na mungu atampa uwezo zaidi inshaallah
Unyamaaa sana
Nakubali sana kazi zako
Gabo namkubali
My favourite actor...Mr Brown
Kpind kzur na nafuatilia kwa kuwa nakufuatilia salama kitambo sana kabla hata ya mkasi
Kwani Da SALAMA BROTHER K usha mwita😀😀😀😀😂😂
Dash my favorite actress Gabo zigamba
Salama leo umepatikana
Maana bro anaongea kama ana rap
Wooooh big up dada salama huyu brooh namkubali sanaa
Well done gabo zingamba
Daaah!!broo kuna kitu kimoja ivi haukipendi sana ktk life lako na ni kweli kinakera sana ZARAU daaah!!! Ni kitu kibaya sana icho nami no 1 icho big up broo
Ongera sana salama
😂😂😂😂😂hapo kwenye dharau aisee ata me simaindi hzi pigo
big up salama and gabo ..much love from Kenya
We katarina karatu njoo ukuu
Aire Kama Hailesalasie 🔥🔥 Gabo Katisha
Nakukubari sana salama katiki vipindi vyako
Nakuelewa Zigamba👑
Salama mwite na wema please
nicee
I like this salama u r the best always
Gabo zagamba bado natafuta filamu yangu bora siku zote
Sister salama naomba umlete na hamisa
Big show big up my sister
Kumbe ni wa 3 ndio maana ana akili mingi like me
Hi salam I love ur show never miss it love from Dubai I can’t wait see wema sepetu or Diamond Platnumz on ur show
Amina karibu Sharjah
mohammed Maulana asntee
Sure diamond platnumz akujeeee
Kiswahili kizuri jamaa anaongea...alafu nidhamu kubwa ya maneno yake mwanzomwisho
Yaani kingereza hakuna kabisa nimependa sana
Huyo ni mtoto wa kitanga.. So, Kiswahili lazima kinyooke...@@yassinkassim5241
NAMKUBALI SANA GABO NI MTU MSTARABU NA HAPENGI UNAFIKI NA HAPENDI KUONEWA NAMKUMBALI SANA
Jamaa akili nyingi Sana 🔥🙌
nakipenda hichi kipindi mm
Lini utamleta 20% hapo jamaa ana mengi ya kuongea pls dada salama
Mnapenda udaku😀😂etu anamengi yakuongea
Kabisa yaaani, tuletee na 20%
Hongereni sanaaaa
Namkubali xna gabo
salama i wish kuona salama na wana siasa yoyote bongo mkali mwenye impact kwa jamii yetu
kanz nzuri kbs
NZANGAMBA
YahStone Town ♥️♥️
Salama looks like Ellen
Yeah had kuongea
No is Ellen looks like salama
Yan body, face, hairstyle sometimez na utomboy pia
Exactly
@@ebrohmedia si ukubali
Duhh
Namkubali San uyo bro
Gabo ni mnyamwez xanaaa 🙌🙌🙌🔥🔥
Yaan hii interview ni Yaajabu Gabo hana kuekti kiingrezaa ata kidog so awo wengne wangkuja tusingeelewana.
Nakkbari sn slm kitambo
Napenda sana akili yako....akili yako ina akili sana
Gabo honra sana
Nampenda saana Gabo toka DRC Congo
From Tabora unyamwezini naichek show APA #madsoft
My favorite actor
I wish. Muigize gabo. Rihama awo watu alowataja gabo I wish move itanoga sana
GABO ni mtu safi sana...
Nilisoma naye pale Ipogolo, Iringa na tukala maharage pamoja.... BigUp sana mzee 👏.... Watching from Vereeniging, South Africa 🇿🇦
Ww kaka gabo nomaaa
Nice show 🔥🔥🔥
Good
MHEHE kumdharau ufanye KAZI🙆🙆🙆kamwene be mwagito