Snichii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2018
  • Bora ukutane na snake kuliko kukutana na SNICHII.

КОМЕНТАРІ • 597

  • @paulsylvester7877
    @paulsylvester7877 5 років тому +101

    Licha ya kufurah tuu nmejifunza kitu kwa jamii,kazini kama kuna kitu umejifunza kama mm gonga likes hapa

  • @bashirujafali9139
    @bashirujafali9139 5 років тому +227

    Moja kati ya macomedean bora kuwah kutokea tz like nyigi jaman

  • @miriamsadick4248
    @miriamsadick4248 5 років тому +72

    Hii kitu ilishawahi nitokea kilichosaidia nilirecord kila kitu wakajikuta wanaandikishwa barua wao mm nkapandishiwa mshahara cpend watu wanafki mm

  • @chaiyarangiadvocate6625
    @chaiyarangiadvocate6625 5 років тому +125

    KAMA MTAANI KWENU KUNA MASNICHI KAMA HAWA GONGA LIKE 😂😂

  • @innocentgadiel7412
    @innocentgadiel7412 5 років тому +66

    anaesoma coment kabla yakumalza kuangalia like hapa

  • @salimjuma9815
    @salimjuma9815 5 років тому +72

    yaaani joti unatupunguza huzuni za kumkumbuka king majuto kiukweli km upo mamoja nami gonga like moja tu inatosha

  • @Happydaysworld
    @Happydaysworld 5 років тому +137

    Jamani musiseme JOTI PEKE YAKE YAANI KIUFUPI HII TEAM MZIMA WAMETULIA ATA HAO WENZIA JOTI NI WASAANI WAZURI

  • @TMaxmwanajeshi
    @TMaxmwanajeshi 5 років тому

    Bola ....kukutana na snake kuliko kukutana na snichi km uk pamj nimi gonga like

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 5 років тому +85

    🤣🤣🤣🤣imenikumbusha Shule “mmegoma? ndioooo, ,,we umegoma Hapana mwalimu...😂😂

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 5 років тому +9

    Dah!! Haya yalinikuta nikiwa form 4 Kwa Art n design classes. Mwalimu hatusomeshi😬😤 weeeeh!! waliniruka nikapewa punishment ya kuosha choo!! Lunch yangu ikawa malipo ya muosha Choo. Ajabu nilikua no 1 Kwa KCSE. Uzuri mkubwa Wa Shule alitambua Ni kweli,😂😂

  • @Mweya-87
    @Mweya-87 Рік тому +1

    Thousands lessons.

  • @charlesjonas4412
    @charlesjonas4412 5 років тому +53

    Ukiacha comedy hili ni zaidi ya funzo.

  • @ligmmohd8112
    @ligmmohd8112 5 років тому +122

    Dah hii tabia ipo sana, kunawatu wanajifanya walalamikaji wakubwa sana, mukienda mbele ya boss, wao wanarud nyuma na kuonekana wew ndo mchochezi, ndio maana mmi hujitahid sana kukwepa watu wanafki kama hawa, 😅😅😅😅

  • @tzviral7342
    @tzviral7342 5 років тому +27

    Hii Ni Sawa Na Ile Ya Kati Ya Mange Na WaTZ. Amakweli Mipango Sio Matumizi! 😂😂😂

  • @sundaylutavi7625
    @sundaylutavi7625 5 років тому +17

    Duh hi kibongo bongo ipo xna yaan,, True story Joti 😕😢

  • @fatmahadii8697
    @fatmahadii8697 5 років тому +15

    Daaaah maskini weeeeee 😂😂😂😂😂 wamemponzaaa ila ipo kweli hii tabia

  • @jeremyself5883
    @jeremyself5883 5 років тому +9

    🤣🤣 Sku moja tulgom kufanya graduation tukasem tusitoe hela ya graduuu 😂😂😂 zkaletwa fimbo kam zote ambae hataki gradu akae upande huu wengine watoke njee wakatok wote tukabaki wa3 darasa zima 😝😝😝😝

  • @jumamsafiry436
    @jumamsafiry436 4 роки тому +3

    Jaman JOTI unajua sio siri mimi napenda hizo mbwembwe zako tu NISHAI.. Like nyingiii

  • @andyfowler3462
    @andyfowler3462 5 років тому +38

    Kwel kbsa joti mfazili mbuzi binaadam atakupa maudhi hahahaha 😂😂😂😂 leo joti amentia huzuni maskiniii😢😢😢

  • @ummyally2989
    @ummyally2989 5 років тому +4

    Hahahha uwiii nmecha mbk nimetowa machozi jmni wallah joti umeniweza