Vichekesho hivyo, lkn hapo mjifunze pia askari wajifunze kutunza siri za watoa taarifaaa kwao, kupewaa taarifa ni jambo lingine, kufanya upelelezi ni kingine lkn kwenda na informer kwenye tukio hivyo duuh, ni sawa na kusema fulani ametuambia wewe ni jambazi unategemea ataponaaaaaaaa
Joti ni real comedian ila hao partners wako miyeyusho, sipati picha ilo tukio angekuepo mpoki na masanja apo, we miss u guyz pamoja!! joti ur talented bro
😂😂😂 km wamkubali Joti twende kazi gonga likes kwa wingi 🤙🏾
sarah omari jotti shida sana
Sana mkwe anayo kazi kwakweli
Mungu akupe maisha marefu joti !!
sarah omari
RIP majuto. Wewe joti ndo comedian wangu uliebakia kunvunja mbavu 😂😂😂😂 watu wana balaa 😂😂😂😂
Shaela Abdul kwan kaz za majuto zimekufa
Shaela Abdul zari
😂😂🤣🤣😂😂
Kama unaamini akuna comedian kama joti tz gonga like hapa
Juma Xavel mi naona ataka kua hpo ndani ya gari ni sopa bila shaka
Naamini Joti ni supastaa kwa Tanzania zaidi ya Diamond(mtegemea kiki)
Jonijoni
Akijitahidi kuzingatia maadili pia ya Mtanzania atakuwa Bora sana
Juma Xavel oyoooooo
hahahah Joti nakuelewaa nan mwingine anamuelewaa ka mm? gongs like pia twende sawaa
hahah joti kboko ,,gonga like kumkubali mzee wa casava a.k.a big sound
kama unasoma koment huku unaangali like twende
Hahahahaha
Haa
🤣🤣🤣😃
Hahahahaha
🤣🤣🤣🤣 jmn
Hahahahah anakula mkopo wa sukari gonga like tuende sawa
😁😁😁jotiii
Hahahahaa atakuwa kamkunja
Dah noma sana
Hahahah😀😀
We ndo comedy uliye baki kama unampenda joti like apa
Team Joti wote machizi 😂😂 😂😂 😂 kazi nzuri😍
Team Jotiiiii gonga lyk ya nguvuuuu hapaaaa
Toto mambo
Mambo ya uswahilini wakisikia mnacheka kimahaba haooo dirishaniii...jirani mzuri sana kwa kupitapita madirishani
haya nataka nione like za Joti hapa
Gari inaxhezaaaaaa mmmmmh
From Kenya namkubali joti
Comedian wapo wengi nchini lakini joti sikupingi namba 1 for tz
Joti utaniumiza mbavu una cheza na serikali wewe😁😁😁😁😁😁
Young killer Msodoki
bro mambo vip kaka
Hiii
Ebhana huyu jamaa bx tena😅😅😅
Huyu atakuwa kamukunja 😁😁😁😁
You the best ever comedian in east Africa, Mkopo wasukari lol
Joti ni staa kibongobongo zaidi ya Nasibu (mtegemea kiki), Inahitajika awe International Comedy
Dar Hustler kila mtu mnamfananisha na mondi emu muachani basi mtoto wa watu atafute mkate wake wa kila siku
HOLLY TV mi ninachopenda msanii wetu wa komedi aweze kuvuka mipaka. #NiHayoTu
Mbona kila kitu mond mond bila kumtaja mond kwenye midomo yenu hamsikii raha duuu kumbuka jot ni comedian na mond ni mwanamuziki
Angalia
Ayyahh Ayyah.... Watu wanakula mkopo wa sukari.
HahHahahahaaa....
😂😂😂😂😂😂😂😂
yaan joti hatari, kiburudisho cha wenye stress....
Jamani nipeni like hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu
427th viewer!!!
How can I ever be number 1?
Love love 💕 joti
joti eti atakuwa amemkuja uyooo 😃😃😃😃😃😃😄😂😂😂
From Kenya namkubali joti 😂😁😁😁
Ayaa Ayaaa mrith wa majuto bahna
Wa 47 ku views gonga like hapa 🔥 😂 😂 kama unamkubali Joti
Anakula mkopo wa sukari,,,aya....ayaa....ayaaaa
Daah joti kibokooo
Nakupendaga bure joti 😍😍😍😍😍😍😁😁😁😁😁😀😀😀😀 hanakula mkopo wa sukari hhhhhh 😀😁😁😁😁
Vichekesho hivyo, lkn hapo mjifunze pia askari wajifunze kutunza siri za watoa taarifaaa kwao, kupewaa taarifa ni jambo lingine, kufanya upelelezi ni kingine lkn kwenda na informer kwenye tukio hivyo duuh, ni sawa na kusema fulani ametuambia wewe ni jambazi unategemea ataponaaaaaaaa
Joti you are correct. ..hata kwetu mombasa wapo. ...🙂☺🙂☺🙂
Dooohhh... kaka, jibu la kutafuta funguo halikua kichwani, uko juu
Safi sana mzee
Akitoka marehem king majuto unafata wewe jot kwa comedy 🎭🎭
Kingwendu katupwa?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀... Eti Gavument
Jamani koko Beach kuna mambo😂😂😂😂😂😂😜😜😜😜😜😜😜
We joti ujawahi kuniacha salama na mbavu zngu 😂😂😂😂😂
Joti ni real comedian ila hao partners wako miyeyusho, sipati picha ilo tukio angekuepo mpoki na masanja apo, we miss u guyz pamoja!! joti ur talented bro
😂😂😂 joti umenshnda tabia😂😂😂 aiyaaa aiyaaa aiyaaa🏃🏃
ua-cam.com/video/Wby9ncZ7oX8/v-deo.html gusa link kuona diamond kavunjiwa gari subscribe channel yake mpya
😂😂😂😂😂
Joti pumbavu kabisa..great comedian
Itakua kamkunja😂🤣😂🤣😂
MoNaMo The Boss kaka ako shenzi kabisa
Like 1M kwa joti
Kiufupi sijaipenda japo nimetizama hadi mwisho....
Jotti wew unanimaliza kabx
Joti huwaa unanifurahishaaa sanaa
Hahaa JOTI wewe mnoma kaka eti gari linafanya nini 😂😂😂👏💪💪
Nakukubali kinoma joti
Nime ku miss kutoka drc congo
Kuigiza na joti kunahitaji mitihani kipande alitaka kucheka eti Huyu itakuwa kamkunjaaa
Noel TZ
😒Jamaican. Love your show but can't understand Could u do it in English please my love one's
Asee joti Ni mwiishooo
Hahaaa et aya ayaaa ayaaa
😃😃😃😃😃😃 uache umbea joti 😃😃😃😃
Daaaaah jotiii kak like zote kwak tz
Joty bhana kwa kiwango kile mkopo wa sukari anakula
Joti ni nouma sana hakuna wakumuweza huyu raia
Nampenda kipande ajab ya rahmaaaan.. mungu amuweke amfungulie rizq zake . Allahumma Aaaamyna
ww hujambo
rahika juma me mzima alhamdulillaaahy
nampenda anko zumu jamani Mimi one like yeye
Uyu mshikaji uwa nahs kuna vitu anatumiaga make sio kwa vituko hiviii
Gari inachexaa hahaha joti ulaaniwe kwa kuharibu mapafu yangu nimecheka duuuub
Sanaaaa tuuuu
Ahahahaha eti ayaa ayaaaa ahahahahhahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti mukorofi sana
et aah aah aha aya aya 😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅
aya aya aya kkkkk joti bwn
Hahahahahahaaaaaaaaa joti sijui unawazaga nini
Mamboo ndooo hayaaa saa😀😀😀😀😀
😀😀😀😀Atakua kamkunjaaa
Jot we love u from dubai
Aya Aya Aya😂😂😂😂😂joti mungu anakuona
Joti akili hana wallai😂😂😂😂
First viewer, First like, First comment so like here
Jacky Gangster every day your first comment why??
Am gonna win one day😎😎
Elia Ambrose ,subscribe
😂😂😂😂et gaverment
😂 joti Khaa.. ET kamkunja
ety gar inchezaaa hhhhhh gongaaa like ya nguvu
hahahaah co kwa midadi iyo,like kwa wazee wa ubuyu
Joti fala sanaa sio kwa hyo miuno
Et ayaa ayaa ayaaaa
Joti hatr xna aiseee😂😂😂👏👏👏👏
😄😂😂😂
Joti 'Shart Baya
hhahhahahhahaha amekula mkopo wa sukar jot mungu anakuona
Mnazoomm..ayaa..ayaaa...akili za
Hilo shati la joti uwiiii hahahaha
Original komedi... I want it back
Eti huyo itakua kamkunja😃😃😃😃
😃😃😃😃😃 mkop wa sukaliii
Jonti,weee nomaaa sanaaa
umbea bhana 😁😁😁
Uko vizuri kaka pambana
King majuto katuachia Joti 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimewah leo wa nane ximchezo
Hahaaaaaaaaa wa 13 ku coment watu wangu wa mbezi luis likes zenu bc
Mkopo wa sukari😁😁😁😁😁
Hadi naunguz mboga mnafrahish kwa Kwel
joti kwake unanikosha na unaifanya nchi yetu ionekane juu
haya sasa joti yamekukuta ukome 😂😂😂
Wote tumeona gari inacheza 😂😂😂😂😂😂
Duh! amemkunja!!! JoTi uko juu
Alf atakuwa amemkunja😀😁😁😁
Ww ni mjuzi tena ujuzi wako zaidi ya nyokoo