❗Unafanya kazi kimazoea.🍵🍻🍹.❗ Recently Videos zako hazina mafundisho wala muelekeo... Matangazo yanaingiza Pesa ndio, ila mashabiki wako kama sie unatuachaa.. Kuna vipaji vipya vinakuja 🙄🙄.. Kubaki juu lazima ubadilike..👍 Kimawazo na kinyakati na kupokea ushauri.. . Lakini bado nakukubali. Bless
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Nawaaambieni JOTI NI SHIDA HAKAMATIKI NI MKONO WA MKONG'OLE ...WEKA LIKE ZA KUTOSHA KWA HUYU BAHARIIIIIAAAAAAAAAAA MPAMBANAJIIIIIIIIIII😂🤣🤣🤣🤣🤣
Like inakusaidiaje wew badala ya kulik video nilike comment una wenge nin dingii wise
A
@@munamamirisho2466 Hao waomba Likes ni wasenge utasema hizo likes zinawasaidia. Kama hilo li Kibasa jitu zima kabisa nalo linafanya mambo ya kitoto!
Nimewahi Aisee, waliochelewa kuangalia sababu zipo; kuujua muda wao na ubusy wa Majukumu
Gonga like kama unaangalia uko kitandani
Hahaaaaaaa wengine tushaamka kuhudumia waarabu
Hakuna Kama Joti....Tunaokubaliana na hili Tujuane kwa Likes hapa...😅😅😅😅🔥🔥🔥
Yesu
Hivi wewe unaeisoma hii comment humpendi Joti kweli? Asa kama unampenda mbona #hu_like? Like twende sawaaaaaa😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Ukipata like unapata hela au
Leonime wahi jamani like zenu hapa. kama nanyi nimiongini mwa wanao mpenda joti
Safi sana Joti unakuza vipaji asaivi huyu dada yupo kwenye movie ya haikufuma sinema zetu
😄😄😄😄😄😄😄 uwiii 7 energy,, wazungu watatumaliza aki
ntafute
Nimetegea tena nikachelewa... Mmmh mashabiki mko imara kweli🔥🔥🔥🔥
Lucas you really got me laughing hard this time Hahahahahaha Paka!!!!!
From Congo 🇨🇩 mnipe like
Zigo hilo oo na 7night.
It's marvellous,
Mwanaume kujifananisha,na,mwanamke ni rana,kubwa,sana,sasa,we joti endelea,tu ila mwisho wake utaujua
Sizani sizani sizani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Habiba😍😍😍😍😍.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yani 2nakufatiliya Huku Kenya na wanangu sana, Bongo nzima nadhani hakuna anaye kutoa
Mchekeshaji wangu mda wote
😂😂😂
Mtombangile kitwango
❗Unafanya kazi kimazoea.🍵🍻🍹.❗ Recently Videos zako hazina mafundisho wala muelekeo... Matangazo yanaingiza Pesa ndio, ila mashabiki wako kama sie unatuachaa.. Kuna vipaji vipya vinakuja 🙄🙄.. Kubaki juu lazima ubadilike..👍 Kimawazo na kinyakati na kupokea ushauri.. . Lakini bado nakukubali. Bless
Ben werner kivip mzee
Kweny msafar wa mamba na kenge wapo wakatisha taama lzm wa wepo ,tunywesh kwanza na ww ujuzi wako
We umefanya ipi ya kuelimisha pumbafu
Humu tumekuja kuchekeshana. Kuelimishana ni darasani
Mimi joti hunifurahisha kuanzia matangazo yake 🤣🤣
53 comments
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aiseeee joti ni nomaaa
The last advertisement about the energy drink is more funny than the original video
Tangazo nalipenda hili 😂😂😂😂😂😂 Kiboga!...
🤣🤣🤣🤣 kama mimi
Joti uko vizuri....!!!.respect
Huna njaaa tu sasa ukiwache kwasabb ya huyo mjamaa watu wengine nao kwa kujipa hahah wapo kama hao wanasusia chakula best move
nice sana
Congratulations Mr Nishai
You made my night sir 🔥🔥🙌🏾
Mm sitaki ata like jamanii 😂😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂ww joti ni noma paka kakupata😂😂😂
Nishai gonga like kwake
Nishai nakukubalisanaaa kakangu Firdaus from 🇬🇧
Tunaipataje hyo 7 night energy drink
nitafute
Number one ☝️
I like the way he acts big love from kenya
Paka hana kibariiiiii
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Embu gonga like apa ka unamkubar joty
Hahhaha paka kafanya kweliii🤣🤣🤣🤣🤣
kwa wale wapenziwa movie zakutafsiriwa kiswahili mbofya link hapa ua-cam.com/video/mm7z0WAevow/v-deo.html
*TANGAZO TUTAWEZANA* 😂😂😂
_chama la wanatupia like kwanza ndio tuwende sawa kwa wale mnaooenda vituko via joti_
, ❤️❤️❤️😋😊😙😇
Napenda madada km ww kumi kwa siku mashavu yatakuwa😯......😂😂😂😂🐱🐱
Kweli aisee ni paka la bar...maana si kwa manjonjo hayo.
Team joti gonga like twende sawaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unataka kuwakomeza paka 😂😂😂
Nauwaa
Joty wanipunga sana uko vizuri sana
Leo watano mm naombeni like zenu
Joti punguza matusi,basi yan tumehami a kwadulvan wew bhan unazngua
Paka mtu kapatana na paka mwezake.🤣🤣
Nakukubali sana
Jamani joti uko peke yako Tanzania ndio unanifurahisha aiseeeew
Joti u are best comedian for me🙏keep going bro
Joti 🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥
Nachekaaaaa kufa😂😂🇹🇿
😂😂😂 Joti huaga fala sana jamaa...
Nice
Umeanza kuharibu sikuiz mbona
Hamna kitu una2letea utumbo2
5:21 hii gari nayo iko rada sana, mtoto anapendeza kweli kweli
Daaah joti unatisha
Daaaah uyu Dada mrembo
Ijumaa iliopita sijaona
Hakiamungu joti kuna mahali mwingine unatia aibu 😀😀😀😀😀
Paka LA bar 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yani hatari 🇨🇩🇨🇩🤣🤣🤣
Kali sana
Mapema aaaaa joti ijumaa iliyopita ilipita free
Wazee wa kila ijumaa tupo hapa
Gonga like
Mume nitamanisha na ugali saizi 🤣🤣
#Aaahahahaaaaaaaaaa!!!
nimewai kidogo like 29 zinatosha
Yan paka amekula had ugal
Dah nmewai Leo
Dhuuuh yan huyu jamaa ni kiboko
Dah nimechelewa na leo bas nipeni japo like 5 tu
Naona Leo watu hawana bundle! Siyo kwa uchache huu dk 40 under 1000
joti ni noma🤣🤣🤣
Joti legend hakuna hata 1 nisiyoona
😂😂😂TUTAWEZANA😂😂😂😂
Perfect pambana ndo mahisha hayo bro
Nice
Nauwa paka jamani
Notification on .....💥💥💥
Good
Mmh paka paman pakaaa 😂😂
Zawadiiiiiiiiiiiiiiiiii
Joti msengeee😂😂😂😂😂😁
Alikuwa anayarudia maziwaa et na hiyo vipi hàhha
Demu anae ziwa natron 😂😂😂
utatuuwa joti bhna eti nauwa
Good comedian 🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Joti ni 🔥
Nice
🤣🤣🤣🤣🤣🤣pakaaa
Hahahahahaa mecheka ksengeeeeeee
PAKA NAUAAAA 😆😆😆😆
Hatari sn
He is the best comedian
nomaaa
Joti kama Joti