RAIS RUTO amchana PUTIN ‘Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ni kinyume cha sheria’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 989

  • @jumamjomba9167
    @jumamjomba9167 4 місяці тому +105

    Sisi kama wakenya hapa hatuna rais wallah,,, who the hell is this guy

    • @totonata5384
      @totonata5384 4 місяці тому +3

      Si bure Kenyata …..poleni

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 4 місяці тому +3

      Boda Boda

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 4 місяці тому +2

      Mmeyakanyaga Sasa rais Gani huyu

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 4 місяці тому +5

      Funny thing mlimchagua wenyewe 😂😂 siasa uongo bro always na uyo yiuko kimaslahi na tamaa

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 4 місяці тому +2

      Tangu alipochaguliwa nchi imepata maendeleo gani

  • @Issamuemede
    @Issamuemede 4 місяці тому +47

    Huyo jamaa ni njingaa sana lazima hapewe kichapo na hutts ndo mahana hata Julius Malema alimchana na kumwambiya yeye ni ki Baraka wawazungu

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 4 місяці тому +32

    Kibaraka yupo kazini, anafanya kazi yake aliopewa ya ukibaraka.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 4 місяці тому +37

    Nilichogundua uyu katumwa na haya ni miongoni waliyoongea na raisi robot wa marekani hapo hakuna tena kiongozi uyu ni mtumwa

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 4 місяці тому +1

      Kweli wewe umeona this man is a mind slave 😂

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 4 місяці тому

      Tamaa tu ndo alokua nayo akizani miaka mengine atapewa urais

  • @yussufyussuf7686
    @yussufyussuf7686 4 місяці тому +40

    Putin #Russia Welcom Tanzania 🤝

    • @BhuzoheraBhuzohera-w5i
      @BhuzoheraBhuzohera-w5i 4 місяці тому

      Huyu dicteta aje afanye nn

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 4 місяці тому +3

      Kaulize Afrika Magharib kama dikteta au sio dikteta

    • @petromgaya1746
      @petromgaya1746 4 місяці тому +5

      ​@@BhuzoheraBhuzohera-w5ishoga lazima useme Putin ni dicteta coz hasaport kuuza kutobo😂

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 4 місяці тому +6

      @@BhuzoheraBhuzohera-w5inani kakwambia ni dictator anapigania uhuru wa kila nnchi kua na haki ya kufanya maamuzi yake unamuita dictator u r stupid we need a multipolar world not marekani aamue hatima ya dunia akiona ushoga sawa wote tuukubali upumbavu tafuta knowledge

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 4 місяці тому +2

      Kule Afrika Magharibi walikua nao miaka mingi sana lakini sasa wamegundua makosa yao na wanawatimua

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 4 місяці тому +69

    Ruto choko na wanaoshabikia nchi za marekani na Israel ni mashoga tu

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 4 місяці тому

      Wewe ndio shoga 😮

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 4 місяці тому +4

      ​@@zebedayokatamaduni9676 Ushawahi kufirwa Wewe mbwa tulia acha uchoko nenda kaishi malekani baas

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 4 місяці тому

      @@sbboymkaliofficial9108 wewe ndio shoga, unapenda ushoga wewe, pole sana kuwa shoga

    • @ngoyaboy1590
      @ngoyaboy1590 4 місяці тому +1

      Wanaume tupo Russia

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 4 місяці тому +30

    Huyu nae anavojipendekeza kwa wamarekani kuiendekeza njaa tu

    • @nelson-cd7fr
      @nelson-cd7fr 4 місяці тому

      Hata nashindwa na yy kuzungukazunguka kwenye nchi za wazungu doing nothing he's a fool

  • @mashaulirichard
    @mashaulirichard 4 місяці тому +41

    Poleni sana kenya apo kuna kopo la oil

  • @MsodokiTheson
    @MsodokiTheson 4 місяці тому +52

    Sasa hivi utasikia sherehe za LGBTQ zina adhimishwa Kenya.

    • @alibinali_
      @alibinali_ 4 місяці тому

      Kwenye ndoto yako 😂😂😂

    • @NanaMaembe
      @NanaMaembe 4 місяці тому +6

      TATIZO LENU WAKENYA MNAJIFANYA NI WAJUAJI SANA NA HAMTAKI KUAMBIWA.

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 4 місяці тому +2

      Ndivyo

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 місяці тому +1

      Kabisaa huu mwaka hauishi

    • @mnyamabon
      @mnyamabon 4 місяці тому

      Hii ndio shida ya sisi Waafrika. Wanaume wakipeana matako inakuhusu vipi?Shughulika na maisha yako kutengeneza the world to be a better place, mambo ya mashoga achia mashoga bana

  • @amanbeyanga8055
    @amanbeyanga8055 4 місяці тому +20

    Ruto ww unafikili kuwa wewe na nchi yako ni NATO? acha kuwa mfuasi wa hao magaidi na wakoloni hatuna mahusiana ya hivo waafrica na hao wezi wa Dunia hii

  • @manarakassimmanara3132
    @manarakassimmanara3132 4 місяці тому +36

    KATIKA HISTORY YA KENYA, YA KENYA SIJAWAI. KUONA KIONZI MJINGA KAMA HUYU, SWALI JE WENYEWE MAUMAU WAKIFUFUKA NA KUONA. KENYA IMEUZWA WATASEMAJE?

    • @GonaNzaro
      @GonaNzaro 4 місяці тому +1

      Hata mm bana tamaaa mbaya

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 4 місяці тому

      Kujahajakubwa africa zitawale tawala zaasili au twendekifalme kama haowenzetu njia yademoklasia siinzulikwetu fuingoziwengi africa njaaipo kwenyeubonko

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 4 місяці тому +108

    Mbona huko Israel wanaua waparestina hujaona wewe ruto

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 4 місяці тому +6

      Ndo hapo sasa

    • @blessingsmary
      @blessingsmary 4 місяці тому +5

      Ruto ni puppet ya wakoloni africa tuko na shida congo,chad,sudan,Eritrea nkt vita tunataka amani

    • @tommorara8031
      @tommorara8031 4 місяці тому +3

      @@blessingsmary Puppet aje... ana akili nyingi.. Russia inakosea kuisambulia Ukraine.

    • @ELEVATOR_TO_JANNAH
      @ELEVATOR_TO_JANNAH 4 місяці тому +2

      ​@@tommorara8031Mbna russia haikuishambulia ukraine 2020...kuna sababu kwann russia imeishambulia nenda kachunguxe usiongee kama umezaliwa leo

    • @nelson-cd7fr
      @nelson-cd7fr 4 місяці тому +5

      Amalize njaa kwenje nchi yake kabla aingilie mambo ya superpowers

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 4 місяці тому +17

    Maadui wa afrika ni viongozi wao wenyewe, sasa mzee ruto ishu ya urusi na ukreini inakuhusu nini au ndo kukoroga bahari kwa kijiko, fanya mambo ya umuhimu kaa nchi yako, bora uwe adui wa marekani kuliko kuwa rafiki,

  • @hansthaniar4747
    @hansthaniar4747 4 місяці тому +15

    Huyu ruto jinga kabisa

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 4 місяці тому +5

    Daah huyu Ruto ni mjinga sana kweli Africa kazi ipo 😢😢

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 4 місяці тому +19

    Njaaa mbaya mpaka kaandikiwa aseme ivyo ili apate pesa aya ndio ujuaji wenu uwo wakenya kiengereza ichoooo 😂😂😂😂😂

  • @edyboychamiliion1360
    @edyboychamiliion1360 4 місяці тому +32

    Ruto unajua ulichopewa😂😂😂

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 місяці тому +5

    As a kenyan i believe no kenyan stands with ruto's statement at all.

  • @Mgema001
    @Mgema001 4 місяці тому +33

    Ruto angefanya kazi yake tu na kupambana na umaskin wa taifa lake hayo mengine waachie mataifa tajiri

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 4 місяці тому +9

    Hapo Ruto umeyatimba baba bora ungenyamaza kimya

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 4 місяці тому +3

    Sijashangaa kwa hili maana kenya wanasapoti mashoga.. Uganda ameekewa vikwazo kwa sababu hakutambua haki za mashoga

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 4 місяці тому +59

    Kenya 🇰🇪 Mumeyakanyaga😂😂😂😂😂 Subirini lijao Linafurahisha

    • @biomedicaleliatosha7485
      @biomedicaleliatosha7485 4 місяці тому +2

      Hahaha

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 4 місяці тому +4

      Hujuwi unalo sema Ruto yupo sawa Kwa mfano wewe unavamiwa kwako na kupigwa kisa jirani Yako anaurafiki na Adui yako

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 4 місяці тому

      @@goodluckmsoka3660 Acha ujinga ruto is a slave man.

    • @juliusjaliwa9887
      @juliusjaliwa9887 4 місяці тому

      Punguza bngi, jirani ambaye anashirikiana na aduwi wote ni aduwi ​@@goodluckmsoka3660

    • @Kujason12
      @Kujason12 4 місяці тому

      Wewe ndo hujui lolote ​@@goodluckmsoka3660

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 місяці тому +6

    SHOGA RUTO Anapambana sana kuolewa na mabwanazake wakoloni

    • @barakamwakapoma2702
      @barakamwakapoma2702 4 місяці тому

      😂na wataolewa kweli marekani hana utani na makalio bwana

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 4 місяці тому +1

    Puten ilove karibu tena Tanzania ulikuwa tanzania jotena ni nyumbani kwenu❤❤❤

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 4 місяці тому +5

    Uyu Ruto atafanya Kenya tuvamiwe hapa na nuclear

  • @Thegossipermediatz
    @Thegossipermediatz 4 місяці тому +4

    Mdaa sio mrefu kenya wataruhusu ushoga😢😢😢😢

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 місяці тому +3

    From TANZANIA Mimi Ruto nilikuwa nampenda sana lakin kwa hatua aloichukuwa kumpinga Putin simpendi tena. Nitabakia kuwapenda ndugu zangu wakenya lakin sio Ruto. Ruto hafai

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 4 місяці тому

      Kwaio wa uklenni ndio wauliwe urusi ana fanya makosa ukleni anafanya makosa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 4 місяці тому

      @@hamidamussa-sy4fm soma historia zelensky watu wa dombasi alivokuwa anawapiga kisa wanaongea luga ya kirusi na wao wana asili hiyo. Alionywa mara kadhaa zelensky awache kuwapiga na kuwauwa akakataa sasa baba yao kawavamia acha wapigwe

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 4 місяці тому +2

    Jirani Pole Sanaaa..Hapa Rais Mmepata 😂😂.. ila sisi wa afrika 🙌🏾 Nani katuloga.

  • @omarzinga7046
    @omarzinga7046 4 місяці тому +8

    Ruto is my president but he plays no fear He defends Ukraine and doesn't support Palestine this ain't fear at all

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 місяці тому

      Ona mjinga mwenzake

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 4 місяці тому +25

    Huyu jirani yetu ni njaa ndiyo inayomsumbua mbona hazungumzii congo,libya,palestina, Syria na nyinginezo??

    • @ivankadaudi8161
      @ivankadaudi8161 4 місяці тому

      Njaa mbaya sana Congo apo wanakufa kama kuku, wameishtaki kampuni ya😂simu kwakutumia madin kinyume na serikali ajasema hao ni jiran zake yuko kuhaha huko sasa ana

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 4 місяці тому +25

    Njaa mbaya

  • @robertokasike4824
    @robertokasike4824 4 місяці тому +1

    Atulie aache kiherehere misaada anayopewa na Marekani isimleweshe

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 4 місяці тому +22

    Hiyo ni sawa na Mbwa koko tena kibogoyo kumbwekea Simba

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 4 місяці тому +4

      😂😂😂 mbwa alafu kibogoyo

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 місяці тому +2

    Chawa kazini... Ila huyo jamaa wakati wa kuomba kula alijifanya mcha Mungu sana ila ona sasa

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 4 місяці тому +13

    Kibaraka mkubwa, kenya imekwisha kwa kuwa na Rais kibaraka

  • @jumaramadhan3881
    @jumaramadhan3881 4 місяці тому +1

    I was proud your steps in the begining be like Ibrahim toure make Africa in Freedom

  • @danielsostenes1640
    @danielsostenes1640 4 місяці тому +18

    Ndo ubaya wa kubaki na lugha ya kingereza sasa mmeanza kutumikia

  • @msafirikalinga6938
    @msafirikalinga6938 4 місяці тому +1

    Kenya mmeyatimba mtakuja kunishukuru

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 4 місяці тому +10

    Bichwa box ndio manyangau yanapenda maviongozi majinga ya Africa kama hili taira la Africaashariki halielewi chochote

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 4 місяці тому +1

    Uyu amna kitu majanga kweliii afrika

  • @alfaniomary2506
    @alfaniomary2506 4 місяці тому +4

    Yan haka kababu ka Kenya kajinga sana

  • @bakarially253
    @bakarially253 4 місяці тому +1

    Sasa mnamchokoza Kenya rest in peace

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 4 місяці тому +13

    Alijisemea dj Smaa, huyu na yule wa Kigali watakuja kuwa vibaraka machawa East Africa

  • @kelvinmureti-fo4uy
    @kelvinmureti-fo4uy 4 місяці тому +1

    Our president to the world 🌍🇰🇪

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 4 місяці тому +6

    Tatizo majiran wanajionaga waingereza sana vita Palestine hamjaona mnaona ukrine tu,Kongo hamuoni.ruto ni kibaraka aisee

    • @rhassanmkomwa
      @rhassanmkomwa 4 місяці тому

      hukokote mbali jirani zake wapo mwaka 30 vitani somali

  • @jamesbosire7193
    @jamesbosire7193 4 місяці тому +1

    Iyo walifanya kukuadikia bt ni sawa utafuna ivi karibuni

  • @CecyCharles
    @CecyCharles 4 місяці тому +12

    Kinaonekana hakijuwi hata historian ya urusi na Africa!!

    • @afandechanel1507
      @afandechanel1507 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @hassanbilali1697
      @hassanbilali1697 4 місяці тому

      Ruto kweli kopo nchi za ulaya magharibi hazijawahi kututakia heri ndiyo hao waligawana nchi zetu kama mashamba ya babu zao.soma historia

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 4 місяці тому +1

    Wewe Jiingize Kwenye Vita Mwenyewe Alafu Utoroke Nchi utuachie Sisi Wakenya Tukiumia

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 місяці тому +9

    Ruto ni mngese sana

  • @BornCoast
    @BornCoast 4 місяці тому +9

    Kanunuliwa jinga

  • @GraceMashinga-be9wb
    @GraceMashinga-be9wb 4 місяці тому +7

    Mzee kasha left 😢😢😢😢😢

  • @musaguga
    @musaguga 4 місяці тому +2

    Duh,hii ni hatari, mama samia kaamua kuwa kobe, mstaarabu wetu hataki Mambo mengi, ila Kenya mnakoelekea mjue ni pabaya

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 4 місяці тому +3

    Huyu mjinga ajui alichojiunganacho NATO atatusababishia shida Nchi za Afika mashariki😢😢😢😢

  • @maxwellsanga3662
    @maxwellsanga3662 4 місяці тому +1

    Sisi tuko na rais kweli

  • @husseinmillinga
    @husseinmillinga 4 місяці тому +19

    Kwani Israel ilipo vamia Palestine ni sawa huyu ni chawa Wa magharibi

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 4 місяці тому +1

      Ni sawa ndio maana Hamas ilivamia Israel kwanza na kuua watu 1200 na kuteka zaidi ya watu 200. Au wewe hujui hilo? Kosa la Israel ni kulipiza kisasi kupitiliza lakini kimsingi walikuwa na haki ya kujilinda wanaposhambuliwa km sheria za kimataifa zinavyosema.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 місяці тому

      ​@@humphreymwihambi4330Israel mashoga tu choko ww

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 місяці тому

      @@omarymwaluko9765ndo imefanya muwaingilie na kuwateka sasa kwa nini mnakubali kuuawa na machoko 😂😂

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 місяці тому

      Ruto shoga

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball 4 місяці тому +1

      @@humphreymwihambi4330 Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako wewe 😋😋

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 4 місяці тому +1

    Njaa ya rais anapigania wananchi wake washibe rais atatukanwa na wale wanaongalia usawa wa rula wanaona mbali wanajua lengo lake ni zuri

  • @edisonbayona-rz9ed
    @edisonbayona-rz9ed 4 місяці тому +9

    Apinduliwe uyo alaka mpumbavu

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 4 місяці тому +5

    Huyu rais kilaza east Africa congo hapo wanakufa wala uongelei hiyo upo na ukaraine Je vipi Palestine ww omba misaada utoke zako hapo

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 4 місяці тому +12

    Kweli anataka kufanya Kenya ionekane adui wa urusi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому +1

      Sasa ulitaka urusi asikemewe kwa uvamizi wake.Afrika tuache ujinga uliotujaa.putini kafanya kosa na anatakiwa akemewe na mataifa yote kama alivvyofanya Ruto.Hongera Ruto mpenda haki na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

    • @Mapamboli-ep5fg
      @Mapamboli-ep5fg 4 місяці тому +3

      @@MathewNathan-yb2bz See this one they know just coming write nonsense

    • @totonata5384
      @totonata5384 4 місяці тому +1

      @mathew We nae. Haki gani unayo ijua??

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому

      @@totonata5384 kwani haki ni nini

    • @johnmwangi9231
      @johnmwangi9231 4 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzlamu watu wamechijwa mara ngapi? mzungu ngani alikea, bandit Wanaua Kila mara, nani alikemea?mafuriko yaliua mzungu mgani alisaidia; america ilivamia libya na Iraq nani alikemea? RUTO nkama KAHABA anayefuata pesa,na hatosheki,

  • @CecyCharles
    @CecyCharles 4 місяці тому +3

    Hiki kijamaa kimezidi uchawa kwa wamagharibi,kitakuja kuwaponza wakenya kwa upumbavu wake,wakenya kuweni Makini Sana na hiki kujamaa ni Cha ovyo-ovyo mno

  • @goodluckc.m8966
    @goodluckc.m8966 4 місяці тому +15

    Awa majirani mbona wanataka kutuletea balaa

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 4 місяці тому +2

    Wanajeshi wa kenya sasa wajiandae na kutolewa muhanga maskini inasikitisha. Na hii sasa teyari inatusogezea uchokozi karibu kwan nchi yetu tz inaamani ya kutosha n wazungu hataki amani. Sasa mm inanipa hofu kuwa jirani na kibaraka wa america kwa kweli. Mungu atulinde.

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh 4 місяці тому +5

    Ndugu zangu wa kenya poleni sana huko afrika magharibi wamarekani na wafaransa wanafukuzwa nyie kwetu huku afrika mashariki mnawakaribisha na kuwakumbatia shauri zenu mtakujajuta muda siyo mrefu

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 4 місяці тому +18

    😮HUYU KENGE WA KENYA kapotea kbbsa, PUTIN/RUSSIA oyeeee

    • @jamesdismas4884
      @jamesdismas4884 4 місяці тому

      Hujui kati ya watu wabaguzi duniani na wenye roho mbaya ni hao,

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому

      Afrika acheni ujinga.Ruto yuko sahihi na ni mpenda haki.ww unavyoona putin katenda haki kuivamia nchi nyingine?Afrika punguzeni ujinga basi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 місяці тому +1

      @@MathewNathan-yb2bzhujui nini chanzo, aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza alichangia kwa kiasi kikubwa Mrusi alianzishe imejulikana juzi juzi, waingereza walivyosikia wakabaki hoi! Kwa hiyo kama hujui hawa wa magharibi ndo walioianzisha hii vita. Hata Tanzania tulivyoingia Uganda tuliambiwa tumevunja sheria za kimataifa kwa kuingia ndani ya Uganda.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 місяці тому +1

      Ruto hawajui wa magharibi ipo siku watampa fundisho ndo atajua ajui

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 місяці тому +3

      ​@@MathewNathan-yb2bzPutin aliamka tu asubuhi akavamia ukraine? Someni fatilieni mtajua ukweli ni upi

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 4 місяці тому +4

    Sisi kama wakenya,, tafadhali hatutambui huyo ruto , please putin just come for ruto personally

  • @thulanimashaba8491
    @thulanimashaba8491 4 місяці тому +2

    Jamaa ni papet wa high level

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 місяці тому +9

    Jamaaa chawa wa marekan

  • @jumannealfani9518
    @jumannealfani9518 4 місяці тому +1

    Tanzania tuwe makini sana tuache jirani atumike mwenyewe

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 4 місяці тому +18

    Mzee huyu sasa anataka kung'olewa kijeshi

    • @sosmakanya4901
      @sosmakanya4901 4 місяці тому

      Jeshi lipi si alilianzia hilo kwanza huenda alinua huyo mkuu wake wa majeshi angepinga, huyo heri mngempa urais Jaluo tu. Kumbe alikuwa anatumiwa muda mrefu na hao jamaa

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 4 місяці тому

      ​@@sosmakanya4901walimuua kiongoz wa jeshi ili kusiwe na mpinzani katika mjinga wao huu coz anajua wange muondoa kwa nguv

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 4 місяці тому +2

    Africa nzima huyu mwehu ndo mwenye kihere here

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 місяці тому +3

    Wakenya hebu mchunguzeni vizuri Ruto. Kweli ni mkenya? Au Raia wa kigeni?

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 4 місяці тому +7

    Nikweli kabisaa ruto akili mingi ukweli mzuri sana wengine wanaaa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 4 місяці тому

      Akili kama pumbu 😂😂😂😊

    • @OscarKasalile-u4k
      @OscarKasalile-u4k 4 місяці тому

      Akili gani aliyonayo Ruto, anajipendekeza tuu hana lolote subiri muone kenya kitakachowapata ndipo mtaamini kuwa putin ni jeshi kubwa.

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 4 місяці тому +5

    Kama li nyani la Africa Ili limekuwa li jitu la ovyo sana li luto

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 4 місяці тому +3

    Njaa haina akili siku zote.. tusimlaumu.. Akitazama wananchi wake wana andamaai kwa kulilia sembe lishuke bei 🤗🤔😂😂😂😂😅😅 wacha ajizime data tu🤣🤣🤣

  • @chimamychimamy-wg2xn
    @chimamychimamy-wg2xn 4 місяці тому +5

    Nawaona nyote hapo hamna akili timamu vp Moja wa wanaopigama hayupo eti mnasaka amani wehu.

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi 4 місяці тому +1

    Tamaa ya kukaa n wamagharibi ndio inamfanya aropoke chochote kile ili wazid kumpenda

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 4 місяці тому +4

    Ruto anafanya kosa kubwa la kimkakati. Russia ashawahi mwambia Kenya anatikisa matikisa mbuyu, anaishia kutikisa mayai

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 4 місяці тому +6

    Yaani huyu mzee kumbe hajitambui kbs unaenda kuingilia hayo magomvi ya nn unaenda kujiingiza kwenye matatizo na nchi yako

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 4 місяці тому +1

      Atajuta mzungu hanaurafiki 😂😂

  • @silvanMwabara
    @silvanMwabara 4 місяці тому +4

    Ruto ni chawa wa ungereza,

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 4 місяці тому +4

    Oooh majirani zetu kenya mna nini ruto huna hekma

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 4 місяці тому +3

    Ningekua na uwezo ningemuomba Putin apereke Meri za kivita Kenya maana Kenya ni kibaraka wa NATO 😢😢

  • @MILIKI_MBONDE_TV
    @MILIKI_MBONDE_TV 4 місяці тому +1

    Ruto ni mfuasi wa Marekani

  • @hafidhmiraji9479
    @hafidhmiraji9479 4 місяці тому +7

    Kenya mmeingia njia mbovu ....huyu ni msaliti kama zelesky juu yenu ..

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 4 місяці тому +4

    Huyu anatapatapa tu kama kuku mgonjwa

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 4 місяці тому +3

    Inafurahisha kwmb niwaKenya wenyew ndo wamemjibu
    Uzur nikwmb Urusi haingilii xaana mamb ya ndni ya nchi wala kulazimisha Upande
    Imagine Russia inaiwezesh Al-Shabab je Kenya itakua salama kweli ?

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 4 місяці тому +2

    Ruto ni mbwa wa kawaida tu

  • @bminawandu
    @bminawandu 4 місяці тому +5

    Posho alio toa marekani inafanya kazi njaa itawaua kenya

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому +1

      Sio njaa ,huyu ni rais mpenda haki .kwani ww unamuunga mkono putin kwa alichokifanya?

    • @abdallahngoe
      @abdallahngoe 4 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzkuua si jambo zuri kwa Mungu putin anakosea lakini anaowaua putin ndo haohao wanaoua waafrika na kutunyonya pia. Mfn mdogo NATO walvomuua gaddafi na wanamapnduzi weng wa africa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 місяці тому

      @@abdallahngoe kwa hiyo unataka useme kule zanzibar kwenye kila uchaguzi wanaouawa kule wanauliwa na hao wazungu?Hata sisi waafrika wenyewe kwa wenyewe tunauana sembuse wazungu.

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 4 місяці тому +1

    Huyu Ruto akili hana anataka kuingiza Kenya kwenye vita Ambayo hawa iwezi dar ubaraka mbaya sana

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 4 місяці тому +4

    Hii ngedele ya kenya imekosa kazi yakufanya bora ingeenda kula mhindi shabani mpuuzi Huyu bure kabisa, inchi imekushinda kazi kuomba omba kama malaya

  • @AffectionateFood-rz5sv
    @AffectionateFood-rz5sv 4 місяці тому +1

    Matokeo ya ziara ya USA

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 4 місяці тому +4

    Huyu jamaa mbona anataka kututia kwa shida sisi wakenya?alianza na sudan akaenda Haiti na sai kwa putin kweli huyu jamaa anatupenda wakenya ?

  • @aminaanab1071
    @aminaanab1071 4 місяці тому

    Anatusisha yanini😢😢😢

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 4 місяці тому +5

    Ruto shoga Kama hao ma beberu wenzake

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 4 місяці тому +2

    Siku sio nyingi utaskia makao makuu ya ushoga Africa yako kenya 😂😂😂

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 4 місяці тому +4

    Huyo jamaabombona amekua kibaraka mkubwa sana wamesha mpa Pesa Anakua kiherehere wa mabeberu

  • @Haji-wo3kv
    @Haji-wo3kv 4 місяці тому

    sawa kaka

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 4 місяці тому +7

    Njaa mbaya kbs WAKENYA wapewepole nninyi WAKENYA mmepewazamanananani? Nanani

    • @EngelbertMakoye
      @EngelbertMakoye 4 місяці тому

      Huyu kweli Kenya amewauza kibaraka wa West huyu. Wanakenya mkataeni mapema vinginevyo ataivuruga umoja wa Africa mashariki na Africa Kwa ujumla.

  • @bladetvke
    @bladetvke 4 місяці тому +1

    Hapa ndio naamini ule msemo wa "who feeds you controls you"

  • @JohnPM-235
    @JohnPM-235 4 місяці тому +4

    Weeeeweee ruto mtoto mdogo wewe unausubutu gani kuongea

  • @ChristianRamadhan-uf3ob
    @ChristianRamadhan-uf3ob 4 місяці тому +8

    wakenya kuweni macho