Hii darsa nzuri xn inapasw yaani mabinti wa zama hiz tusikilize naswaha hiz maan ni mtihani xana mabinti wanapend Hela kuliko ndoa ya kijana masikin subhaanallah 😭..mola atunusuru waja wak na atujaalie tuwe wenye kuamrishan mema na tuache maovu yote 🤲
Title ya video hiyi yawezekana imekosewa. Nasema hivi kwasababu zifuatazo alipo fariki mtume s a.w Bilal bin rabah alishindwa kubakia madina sababu yakumkumbuka nabii muhamaad nahivi akenda sham Syria hata ilipo pita muda Bilal radiallahu anhu alioteshwa huku akimuona mtume s a w katika ndoto akimuliza Bilal imekuja unanitenga muda mrefu sijakusikia hapo mtume s a w Alisha fariki kitambo nahata Bilal alivorudi nakuadhini katika mji wamadinat watu walishtuka nakufikiria mtume s a w amefufuka Sasa iweje Bilal tena hapa amefariki kabla ya mtume??? Sian uhakika Ila nafikiria julaybib nimwingine na Bilal nimwengine
Shukran Sana mawaidh mazuri yenye ujumbe mzito 😭...darsa zuri Masha Allah tabarakallah mola akuhifadhi shekh wetu OTHMAN
Aamiin
Maa shaa Allah.Jaza kAllahu khayri
Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri ❤
maashAllah maashAllah shukuran
Mashallah Nampenda JULAIBIB Chuko pamoya shekh shukran
Mashaallah jazakallah
MashaAllah Jazakah Allah kheir
Masha Allah kwa darsa mzuri na tena tamusana
Maa Shaa Allah tumeskia shekhe wetu Allah akujaalie mwisho mwema
Maasha Allah Allah akuhufadhi sheikh wetu napenda Sana kukufuatilia
MAASHAALLAH ALLAH ATUHIFADHI
🎉 jazakallahu khairah
Masha allah hapaa ust alikuwaa badoo mdogoo
Mungu akuweke na akupe mwisho mwema maalim Uthman
مشأ الله تبارك الله
Hii darsa nzuri xn inapasw yaani mabinti wa zama hiz tusikilize naswaha hiz maan ni mtihani xana mabinti wanapend Hela kuliko ndoa ya kijana masikin subhaanallah 😭..mola atunusuru waja wak na atujaalie tuwe wenye kuamrishan mema na tuache maovu yote 🤲
Shekhe akiwa kijana kabisa,Masha Allah
Mashaallah maalim wangu
Shukran mawaidha yenye mafunzo
Mashalla
MASHA ALLAH 💚💚💚
Mashallah mashallah
Jazakumullah khyran shukran jazilan mawaidha nzuri na ya mafunzo
Darsa njema.
Ghafara Allah Yaa akhiy
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Waalaykum salaam warahma tullah wabarakatuh
Ukumbusho mwema
❤❤
Title ya video hiyi yawezekana imekosewa.
Nasema hivi kwasababu zifuatazo alipo fariki mtume s a.w Bilal bin rabah alishindwa kubakia madina sababu yakumkumbuka nabii muhamaad nahivi akenda sham Syria hata ilipo pita muda Bilal radiallahu anhu alioteshwa huku akimuona mtume s a w katika ndoto akimuliza Bilal imekuja unanitenga muda mrefu sijakusikia hapo mtume s a w Alisha fariki kitambo nahata Bilal alivorudi nakuadhini katika mji wamadinat watu walishtuka nakufikiria mtume s a w amefufuka
Sasa iweje Bilal tena hapa amefariki kabla ya mtume???
Sian uhakika Ila nafikiria julaybib nimwingine na Bilal nimwengine
Ndio julaybibi ni mwengine na Bilal mwengine
Uko sahihi, ila ndio maana wazungu wanakwambia dont judge a book on its cover, ndani wanamzungumzia Julaibib, habari inasema Bilal bin Rwabah