JEE MAMA AKIKUKATAZA KUMUOA MWANAMKE YALAZIMU KUMSIKILIZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @nasrimbaraka341
    @nasrimbaraka341 9 місяців тому +1

    Alhamdulillah maana jambo hilo ndo limenikuta sasa nahitaji dua zenu mashekh

  • @afric01
    @afric01 3 роки тому +1

    Aslm alkm wtw.... Ukioa aliye jitolea, atakudharau na amdharau na yule mkeo wa kwanza, huko siko kuoa. Oeni kwa makini, kwa mpango nzuri, bila kutu aibisha. Shukran sanaaa Sheikh kwa darsa.

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 5 років тому +5

    Naomba kuonana na huyu sheikh sjui ntampataje kuna mambo muhim ntaka niongee nae plz kwa wale wanaojua anapopatikana wanieleze apa mungu atawabarik

    • @habyalmary8132
      @habyalmary8132 5 років тому

      @Nafisa Muhamad.
      Ukitaka kumuona ustadh Izudin Alwy Ahmed nenda Mombasa Msikiti wa Shibu ulioko mwembekuku. Ilikua hapo msikitini time atakayo patikana. Good luck

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 4 роки тому +3

    Wanaume hua mwadanganyana sana ati uoe mwanamke akuangalie ww. Hicho hua n chambo 2 oa uangalie kazi kama hutoki kiara kabla siku zako

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому

    Swadakta shekhe kisa nimekipenda cha juha Allah akuhifadhi

  • @ghalimahassan7869
    @ghalimahassan7869 6 років тому

    Mashaallah Jazakallah khayraa

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому

    Sheikh Izudin kunywa soda kwa bill yangu 🙏😂😂😂

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 6 років тому

    Masha Allah upo vzr sana sheikh

  • @snaidahjimwani7257
    @snaidahjimwani7257 Рік тому

    Itabidi nihame uku Sasa 2023🎉

  • @مشعلالجهني-ع6د
    @مشعلالجهني-ع6د 5 років тому +6

    Asalam alkum shekh na yule aliweza kumuamrisha mwana we kwa vitisho vyakumuambia achana naee mke yule mimi simtaki na kama usikii utakosa radhi yangu ni mzazi haina gani na atapataadhaba gani

  • @zuanshimchina2278
    @zuanshimchina2278 Рік тому

    Je yafaa sheikh kuoa mke bila ya kumpa taarifa wazazi

  • @realman3397
    @realman3397 6 років тому +3

    Hahahaha ustadh hio yko Kali mke kuwa tayari kuoa ksha akusimamie ww n.a. mkeo hahahha eti ukiacha hio nafasi sifai

  • @amourseif5016
    @amourseif5016 2 роки тому

    Mashalllah

  • @mamrashid7257
    @mamrashid7257 5 років тому

    Dua gani nimfanyie au nifanye.nn.nisaidie (nafatilia sana mawaidha yak

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 роки тому

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @sayfllahsayf7513
    @sayfllahsayf7513 4 роки тому

    Hhhhhh.
    M nimependa kisa cha juha

  • @hasunaally9581
    @hasunaally9581 5 років тому

    Salaam Aleykum shekhe tunapenda vipindi vyako vinaelimisha ila tunaomba unapoulizwa swali na sisi tusikie maswali unapoulizwa shekhe jazakallaahu kheir

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 5 років тому

      Huyu uwa hajibu maswali hata siku moja sijui ni kwa nini

  • @wyckliffeamaasa5739
    @wyckliffeamaasa5739 6 років тому +3

    ukweli mtupu Sheikh

  • @hissanntemba9198
    @hissanntemba9198 6 років тому

    Mungu akubariki kW darasa hii

  • @NURUNGOMA
    @NURUNGOMA Місяць тому

    Daah tusaidie ni nipo wakati mgumu

  • @abdulmajidomar9174
    @abdulmajidomar9174 6 років тому

    Jazakallahulkheir

  • @abdulrahmanrahzan3565
    @abdulrahmanrahzan3565 6 років тому +1

    walay kweli yako ustadh

  • @rifatisingano9893
    @rifatisingano9893 6 років тому

    Sheh je nimuoa apendwa nawazaz kisha nikaoa ule nimpendae

  • @sikandarsuleiman3345
    @sikandarsuleiman3345 6 років тому

    Masha Allah

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 6 років тому +2

    Walah nafaidika

  • @simaiommy7005
    @simaiommy7005 4 роки тому +1

    Jamani huyu shekhe anaitwaje?

  • @kassimally1803
    @kassimally1803 5 років тому

    Sheikh naelewa sana mafundisho yako

  • @gloryfatu6751
    @gloryfatu6751 7 років тому +3

    Asalam aleikum sheikh, naomba kujua kama si lazma kumtaarifu mzazi, je walii ni nan /au atakua nani?

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 років тому

      glory fatu Tuma SMS uungwe group la sheikh Izuddin Uliza ujibiwe ya whatsap +254 701 662152

    • @meymahally8674
      @meymahally8674 4 роки тому

      @@muhammadkhatwab na mm nahitaji Hilo grup la uliza ujibiwe

    • @coyancodavao6891
      @coyancodavao6891 4 роки тому

      Mume hana walii ana mashahidi tuu

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 6 років тому

    Shukrani sana

  • @sayyidtawaqal1754
    @sayyidtawaqal1754 5 років тому

    Shekh mm nimetaka kuowa sehem ila mama na mjomba wamenikatalia ila hakuna sababu yeyote yakidini je unanisaidiaje

  • @shadyamasoud2480
    @shadyamasoud2480 5 років тому

    Mashallah

  • @zuweynabakary1622
    @zuweynabakary1622 5 років тому

    Je yafaa kujipamba nakujitia manukatokisha ukatoka na mume pamoja

  • @mamrashid7257
    @mamrashid7257 5 років тому +1

    A alykum shekhe mie naomba namba yako nnashida kubwa nataka kukuelezea kuhusu huyu mtt wangu nakata tamaa dijui nifanye nn

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 5 років тому

    Lkn sheikh , ukitaka kuoa mke wa pili, si ni lazima uombe ruhusa kwa wakwanza jmn...

  • @abudially2978
    @abudially2978 2 роки тому

    Mmi nataka number yako usithedh nataka kuliza swali

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 5 років тому +2

    Kabsa hata mm pia yalinikuta hayo hayo sasa nina miaka 6 katka ndoa yangu na wala sina raha kabsa yan kweli moyo wangu haujaridhika na huyo mume hadi sasa, na hua nikipata mitihani katka ndoa yangu nawalaumu wazazi wangu nkisema yote ni wao lau wangekataa mm kuolewa na huyo mume yasingenikuta matatizo hayo, nimejaribu kuishi nae kwa kuvumilia lkni kila nkijaribu moyo wangu wazidi kuumia na iv pia nimejaliwa kuzaa nae watto wawili, ndoa yetu haina amani Kila nnapomwambia mume aniache hataki,ikawa naomba mungu anieke mbali nae ili nieze kumsahau nimtoe moyoni mwangu na sasa niko saudia nafanya kaz sina mawasiliano yoyote nae tunaelekea miaka miwili sasa, nasubiria nkirudi nikadai talaka yangu kwa kadhi maana ni miaka hii toka nianze kumdai talaka na hataki kuitoa.

    • @daprince7545
      @daprince7545 5 років тому

      Pole sana dadangu uko saudia upande gani pia mimi niko ughaibuni

    • @daprince7545
      @daprince7545 5 років тому

      Pole sana uko saudia upande gani pia mimi niko ughaibuni

    • @kassikzubery9474
      @kassikzubery9474 5 років тому

      Njoo kwangu utatulia sana
      Shida nyie wanawake mnapenda kuolewa mke mmoja kumbe
      Mnasahau ndoa in utulivu sio idadi
      Ila utakua mke wa nne
      Wa kwanza katulia sana huu mwaka wa kumi
      Wa pili katulia mwaka sita
      Wa tatu katulia mwaka wa NNE
      Na alikua mke wa MTU wakaachana nimemuoa
      Nitumie picha yako

    • @ssmmasoud8556
      @ssmmasoud8556 5 років тому

      Waruhusiwa kujitoa katika ndoa ikiwa mume hataki kukupa talaka.
      Kuna taratibu zake ukiziweza basi unatoka

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 5 років тому

      @@kassikzubery9474 ,wewe mkali na nusu 🤣🤣🤣

  • @faridahsaid8936
    @faridahsaid8936 2 роки тому

    Je pale mama anaposema amekutolea radhi sababu hutaki kuoa mtu uloekewa na uende ukaoe yule unaempenda?

    • @faridahsaid8936
      @faridahsaid8936 2 роки тому

      Kuna hukmu gani kwa mama mwenye ametumia kua atamtolea radhi mtoto wake akioa mtu ambae hakumchagulia yeye?

  • @safinairakoze3740
    @safinairakoze3740 3 роки тому

    😄😄😄😄😄

  • @abdullahadullaj3848
    @abdullahadullaj3848 6 років тому +1

    Shekh jee ni wanawake gani hawatolewi mshauri????

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 років тому

      Abdullah A Dullaj Tuma SMS uungwe group la sheikh Izuddin Uliza ujibiwe ya whatsap +254 701 662152

    • @abeidchanga465
      @abeidchanga465 6 років тому

      Naomba uniumge kwenye group 0655112212

    • @alexmamti5022
      @alexmamti5022 6 років тому

      Unganisha no 0752146467

    • @hasanalihasani3236
      @hasanalihasani3236 5 років тому

      Nami naomba kuumgwa group 0683828488

  • @hassanallyally3592
    @hassanallyally3592 6 років тому

    Kunaa mashekhe wanasemaa mzazi wako akikataa usioe mwanamke unaemtaka basi inabidi uwatii wazazi Sasa naonaa mnatuchanganya ipi kauli yenye nguvu shekhe

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 3 роки тому

      Amesema madhebu hapo utalifikhiana wengeni wasema kubali wengeni wamekataza

  • @haniasalim8921
    @haniasalim8921 6 років тому

    Swadakta

  • @yasminabdi3251
    @yasminabdi3251 5 років тому

    Mwanamke akikuoa ww na mke wako atakunyanyasa

  • @salmaiddi1934
    @salmaiddi1934 6 років тому

    nakuomba uniunge na group la watsap no 0684273767

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 5 років тому

    OK kwasasa yupo tanga

  • @yasminabdi3251
    @yasminabdi3251 5 років тому

    Wanaume wanaotegemea mali ya mwanamke ni majangaa

  • @nfatmanabila7829
    @nfatmanabila7829 6 років тому

    pamoja

  • @asiaimamu3435
    @asiaimamu3435 6 років тому +1

    Mashaallah Jazakallahu kheri

  • @dadijamoahmed5287
    @dadijamoahmed5287 3 роки тому

    Mashaallah