Asalamu alykoum shehe mm nna swali langu niliolewa ndoa ya mwanzo nikaishi miak sita alie niowa ni binamu akaniacha na sasa tangu niache ni miak miwil ametokea mume mwengine na yy pia ni binamu na tushapenda tushakubaliana tufunge ndoa ila shida ipo kwa wazee hawatak wananiambia nikaolew mahakaman nanikienda mahakaman wao hawanijuw kweny familia na mm nishachoka kukaa ujane ipi hukum yake apo shehe yafaa niende mahakaman nikafunge ndoa

Sasa mufti mtu akiachwa ni mjanee??
Hata Kama hana watoto muhim awe aliwahi kuelowa