Shekh ndoa haina standard formula Hakuna mwanamke wa hivyo hajui una kazi unayo yy anataka pesa Watu mpaka wake zao ni maboss wanalipwa kuliko waume zao lkn wanataka pesa Shekh
Mbona sheikh atingisha miguu uku ka keti hivyo nili wahi kusikia na ninavo jua pia ki dini si haram lakini ndivo alivo shetan aki keti anakua anatingisha miguua nadhani sheikh wetu kapitiwa, mola azidi kumuongoza mana yeye ndo kio chetu pia
Mashallah.ustadh Walid darsa zako zinatuelimisha sana.Allah akujaze kila la kheri inshallah.Ameen
Sheikh wangu upo sahihi jazakhallah khairan
Muombe Allah tu akujaalie mke Mcha Mungu
Mashaalah😂
Jazakallah khayran
Sheikh Walid manenoyo n’yakweli kama tusemavyo sisi watu watanga
Watanasa au washanasa😂😂
❤❤
Katika swala la sadaka na kuwajali viongozi wetu hasa walim wa madrasa waislam tumefeli
😂😂hapo kwenye tuonane
Mimi.mpemba.shekh.walid.nataka.hiyo.nafasi.niko
Oman.natafuta
Maisha
Nimesikiza mawaidha ust ukweli kabisa ndoa zikifata haya watu wAtaishi vizr .nenda na daraja lako .
Nooooms sheikh
Hakuna atakaye kutaka labda huyo unayemtaka awe na uwezo kazi au amesha kaa sana mpaka amekata tamaa
Mm nna swali kwa mtu aliye kua mzinifu alafu akawa anataka kuacha ama ameacha je kuna mfumo maalum kidini anafaa kufanya ile awe msafi bila
Ni kutubia toba ya kweli
Mimi.nataka.ni.mpemba.nataka.hiyo.nafasi.nijifunze.dini
Hapo nmepta elim kubwa tuoe tunaofanana nao 😮
Shekh ndoa haina standard formula Hakuna mwanamke wa hivyo hajui una kazi unayo yy anataka pesa
Watu mpaka wake zao ni maboss wanalipwa kuliko waume zao lkn wanataka pesa Shekh
Mwanamke kaumbiwa kupokea sio kutoa, mwanaume atakula kwa jasho, mwanamke atazaa kwa uchungu.
Mbona sheikh atingisha miguu uku ka keti hivyo nili wahi kusikia na ninavo jua pia ki dini si haram lakini ndivo alivo shetan aki keti anakua anatingisha miguua nadhani sheikh wetu kapitiwa, mola azidi kumuongoza mana yeye ndo kio chetu pia
Huo ugonjwa km unavyoona kunyonya vidole kula kucha na hiyo ndy hivyo hivyo kila mtu kapewa kitu chake cha mazoea
Hayo maelezo uliskia ktk qur aan au hadiyth au ulimskia sheikh akisema?
Usione anafanya nn ona anasema nn
Asalam alykm warahmatulah wabarakatu shehe,wanaume wengine hata umbebe habebeki anapaswa mbereko