IMEFAHAMIKA: KUREJESHA RELI TAZARA NI BILIONI 1 TSH, MALIMA AFIKA ENEO LA TUKIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @eliewardeneliewarden4069
    @eliewardeneliewarden4069 6 місяців тому +5

    Weka mawe hapo na kifusi haitakiwi B moja wala nini acheni wizi😂😂

  • @edwardmwambene3748
    @edwardmwambene3748 6 місяців тому

    Kkkkkkkk mwendo alishaumaliza magufuli niwakati wenu vuneni izokodi😢😢

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 5 місяців тому

    Suku zote izo 😂😂😂😂

  • @Manase_js
    @Manase_js 5 місяців тому

    😮daaah eti 1b daaah 😅😅😅 r.i.p magu

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 5 місяців тому

    Shilika la tazara limesha kufa ndio mana halifuatiliwi wanaona halina faida

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 5 місяців тому

    Vifusi tuu jmn billion moja apo!!!

  • @gladnesssalum440
    @gladnesssalum440 6 місяців тому

    Yani na uinjinia wangu wote hapo siwez Jenga na b 1 maisha Yako yote ivi ili jasho la watanzania Lina wapelekesha sana eehh

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 6 місяців тому

    Uwizi jamani b 2

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 6 місяців тому

    Ety serekali itoe 2 b yan hilo eneo n la 2 b kumbe huwa mna2piga xana 2b hapo duhh!! Maamamaaaa 😭😭😭

  • @johnjilala415
    @johnjilala415 6 місяців тому +1

    Tanzania yangu 😭😭

  • @ombenikweka7222
    @ombenikweka7222 5 місяців тому

    Mwaga mawe bilion moja ya nini hapo ikienda kihalali ni milioni 500

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 6 місяців тому

    Apo inatakiwa boxcalavat maji yapite iyo billion yann?? na mawe maji yashaweka njia kwaiyo yaendelee kupita kama mto

  • @ramadhanijuma4130
    @ramadhanijuma4130 6 місяців тому

    Yeah 500m ni kwaajili ya vikao na posho

  • @GomwoMisago
    @GomwoMisago 6 місяців тому

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa una uhakika ulivyosema kuwa Mkuu wa wilaya pamoja na kamati ya ulinzi wapande kule juu kusudi waone je ni kweli kuna wananchi wamefanya hivyo ?? hata wewe mheshimiwa inatakiwa uwemo kwenye huo msafara maana wewe ndo mhusika Mkuu, Mkuu wa wilaya ni mtu mdogo sana hiyo hotuba isiwe kama comedy ya akina joti kufurahisha wabongo

  • @Mydigitaltz..
    @Mydigitaltz.. 6 місяців тому +1

    Kumamake wa kwanza kuviw n mmi

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 6 місяців тому

    Waache kutupiga,,Hakuna kazi ya Bilioni 2 hapo.

  • @buberwajohn1312
    @buberwajohn1312 6 місяців тому

    Sioni bilioni inatumikaje hapo aiseee

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 6 місяців тому

    Mbona hela nyingi sana 2b

  • @Omarydauda
    @Omarydauda 6 місяців тому

    Aibu eti 2B kweli

  • @pauljoseph5152
    @pauljoseph5152 6 місяців тому

    😂😂😂😂 jamaa anakwambia kias cha two bi uku jicho likiwa na wasi wasi

  • @RajabuSultani-jv4wg
    @RajabuSultani-jv4wg 6 місяців тому

    Mda wa wapiga dili umefika B 2

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 6 місяців тому

    Usimamizi ni waserikali lawama ni kuwapa wananchi

  • @emilianachaula1739
    @emilianachaula1739 6 місяців тому

    Huo ni upigaji, kunawatu wanakosa dawa mahospital, hapo hakuna billion

  • @ChrisantoMwanyika
    @ChrisantoMwanyika 6 місяців тому +2

    Ingekua china au Japan ndani ya masaa 24 mpaka 72 ingekua tayari sasa sisi mpaka watu wajadiliane 🤔🤔🤔

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 місяців тому

    Billion 2 hazitoshi hapo

  • @afmnaftali7617
    @afmnaftali7617 6 місяців тому

    Taalifa imechelewa sama

  • @winjakalebela57
    @winjakalebela57 6 місяців тому +1

    Sehemu ya kuwekaa nguzo tuu zile za overpass hazigarim hata 300m mtu anaomba 2b kweli pata sehemu yakula na ww uongezee mboga yako. Mmmh polen wana mlimba

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 6 місяців тому

      Uweke na mboga yako uongo 🤣🤣🤣🤣👍👍👍

  • @JayJay-v2q
    @JayJay-v2q 6 місяців тому

    Apo kubomoka mnafanya fursa au sio

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 6 місяців тому

    Pilioni moja??? Kwani kokotozahapahapa matipa serekari inamatipa serekari inavituvyote watuwanataka kupigatu

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 6 місяців тому +3

    Hayo mapete kama Mkurugenzi wa Jiji la Arusha😂... hivi hawa wateule wana nini? Karibia wote wana mapete kama Amitah Bachan

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +3

      😂😂😂😂😂😂😂 za kutufanya mandondocha😅😅😅😅😅😅😅

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 6 місяців тому

      @@MiriamAbdallah 🤣🤣🤣dahh umenichekeshaaa

    • @georgeluoga9969
      @georgeluoga9969 6 місяців тому +1

      Vitendea kazi hivyo 😂😂😂😂😂

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 6 місяців тому

      ​@MiriamAbdallah weeee 😂😂😂😂😂😂😂

  • @nassorally9008
    @nassorally9008 6 місяців тому

    Apo watataja mabilion ujinga mtupu wakati rufiji na baazi ya mikoa Kuna mafuriko wanaitaji msaada

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 6 місяців тому

    Et 2 be 😂😂😂😂😂😂

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 6 місяців тому

    NDO BILION

  • @ChristopherChimala
    @ChristopherChimala 6 місяців тому

    Uongo uongo tu, acheni wachina wenyewe walojenga wakarabati, nyie mpaka muunde kamati ?

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 6 місяців тому

    2B😂😂

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 6 місяців тому

    Huko Juu huko Hukooo juu Wapande huko juu😂😂

  • @GeophreyMsomba
    @GeophreyMsomba 6 місяців тому

    Umri wako nahiradaraja tunapigwa saundi hamna kitu hapo hapo kuna koff olomeder drc

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 6 місяців тому

    Bilion😂😂😂😂

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 6 місяців тому +1

    Wapande wenyewe

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 6 місяців тому

    Bilioni 1??😢

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 6 місяців тому

    muitane mule. zote izo

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba 6 місяців тому +1

    Hivi ni B au ni M😂😂😂😂

  • @ngekewatv
    @ngekewatv 6 місяців тому

    Duu