KIJANA WA CHADEMA LUMOLA STEVEN AMPIGA TUNDU LISSU MASWALI MAZITO LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @josephumassawe272
    @josephumassawe272 19 днів тому

    Jiamin kwanz. Kijana yoko vzr

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 23 дні тому +2

    LUMOLA🙌🙌

  • @KapscomAfricaLtd
    @KapscomAfricaLtd 23 дні тому +2

    Lissu kakimbia swali, kaishia kudanganya dangnanya tu, yeye ndio aliyetoa tuhuma za rushwa kwa wanachama na viongozi, sasa anaruka!

  • @Jal210
    @Jal210 23 дні тому +2

    Chadema waizi kuanzia Mbowe na Lissu na Myinka

  • @sports2_
    @sports2_ 24 дні тому +3

    Aisee nimesikiliza maswali mazito ya huyu Lumola kwa hakika Chadema ina hazina kubwa ya vijana wenye uwezo mkubwa.

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 23 дні тому +3

    Lissu siku zote hajawahi kukosa jibu la swali uliloliuliza kwa usahihi ama linalo mlenga yeye kama yeye au Lina mhusu Kama halimuhusu hawezi kukupa jibu lake but atakuelekeza jibu Hilo nan ambaye atatakiwa kuyajibu

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 24 дні тому +3

    Maswali kama hayo unapaswa kuuliza katika vikao vya ndani

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 23 дні тому +1

      @@EliaHiluka Ni kweli kabisa, lakini mtoto humfuata baba, TunduLisu pia alipaswa kutoa TUHUMA za rushwa ndani chama kwenye vikao vya ndani.

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 23 дні тому

      😂 😂 😂 😂

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 22 дні тому +1

      Projo tu mbona ngorongoro wt wamenyimwa kura wao wana ng'ang'ana na Lissu hii c balaa

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 23 дні тому +2

    Nyinyi mnaocoment ni maccm, mnataka kupitia maswali ya Lumula ili kupotosha ukweli.

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 23 дні тому

      @@maligiretongora3333 Msemo wa kiswahili unasema *PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA* Usihofu kwani kama anasema kweli basi itabaki kuwa kweli.

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 22 дні тому +1

      Hizo projo zao ngorongo wamenyimwa kura wao wana ng'ang'ana na Lissu hii c balaa hii,

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 22 дні тому

    Ushahidi ngorongoro wamenyimwa kupiga kura,tulia ww et swali zito we una ga'nag'ana na chadema Tatizo shule au nn ngorongoro kura wananyimwa kupiga kura hilo huoni,

  • @darstvonline
    @darstvonline 24 дні тому +3

    KIJANA GANI WA CCM ANAWEZA KUHOJI KIONGOZI WA JUU KWA UJASIRI BILA KUOGOPA? HAPA KUNA KITU CHADEMA WANATUFUNDISHA. HONGERA LUMOLA KWA MASWALI MAZURI

    • @loserian-mj1gj
      @loserian-mj1gj 23 дні тому

      @@darstvonline wewe unaweza?

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 23 дні тому +1

      Unapotaka CCM iwe kama Chadema hapo ndipo unapokosea, kwa sababu wakiwa sawa hakutakua na Upinzani.

  • @darstvonline
    @darstvonline 24 дні тому +3

    Nimependa sana jinsi swali lilivyoulizwa japo nimeshangaa katiba ya CHADEMA kwanini Makamu Mwenyekiti asimuagize huyo Katibu au nani ni mkubwa kicheo kati ya Katibu Mkuu na Makamu mwenyekiti? naona kama kuna namna Lissu kakwepa swali

  • @fidelludemwa7223
    @fidelludemwa7223 24 дні тому +1

    Kwa hiyo wakulaumuwa ni mnyika?

  • @sports2_
    @sports2_ 24 дні тому +1

    taifa linahitaji vijana jasiri wenye uwezo wa kuhoji

  • @JohnBosco-d3g
    @JohnBosco-d3g 23 дні тому +1

    Yaani hiyo CHADEMA TANGU IANZE KUMSALIT DR SLAA INA LAANA.... hawatakuja Toka shimoni!!!!

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 24 дні тому +2

    CHADEMA NI SACCOOS 😢😢😢

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 23 дні тому +2

    Dogo unatafutwa kutekwa wewe sio bure