SHUJAA Ep. 1 || Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2024
- SHUJAA ni filamu bora ya Kiafrika/Tanzania iliyojaa matumaini, kutia moyo kwa watu wanaopitia maisha magumu, dhiki na taabu mbalimbali za kimaisha.
Kwa kutazama Filamu hii utajifunza mengi na kuanzia hapo amini wewe kuwa ni SHUJAA.
Stering:
Michael Kapaya
Hamis Lugonda
Zindola Mchina
Director:
Samiri Pocy
.........................................................................................................................................................................
Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia Jumapili saa 3:00 Usiku (21:00).
Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL.
...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
Mmhh huyu baba masikini ndonaanza kuangalia lakni inauniumiza daaaah mungu akupe wepesi
Hongera sana washiriki
Najikuta nalia Alhmdulillah kwahivi nilivyo wallah mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo
Aminaa Kila akitenezacho MUNGU na kukiumba Huwa anaxababu zakee.hakuna budi kuxhuukuru Kwa Kila jamboo....
Kaz nzur hamjawahi feliz nawapenda sana
Hongera sana
Ongera sana kaka
Nimependa sana kapaya wangu
Mafunzo ya iyi movie mazuri sana,Mungu azidi kuwatiya nguvu🙏🙏🙏🇸🇦
Masha Allah nasi movie ilke the movie 🎬
Daaaaa Mwenyezi Mungu awa jaliee kwa kazi nzuri
Maria wakati movie inaanza nilikuona mwembamba lakini now na kuona umekuwa bonge mashaallah nakupenda sana tunaompenda Maria Zena na Jeremiah tuwape maua yao❤🎉
Ee mungu msaidie huyo baba
Kazi nzuri sana kk ila inatiya uruma sana uyo baba ambaye hana mino namuoneya imani sana
Kazi kazi muzeeee baba
Kazi nzur mungu azid kuwapigania
Hyu mubaba ananitoa machoz xn😢😢😢
Ongera sana kwa movie yenyu
Filamu nzuri Sana ina mafunzo ❤️
Kapaya umefanya vizuri sana kumchukua huyo jamaa masunga mremavu wa mikono maana itamsaidia sana kwa hilo nakupa pongezi arafu pia naomba iishie njiani kama ilivyo ishia njiani ya mtemi maana hii tamthilia ya shujaa inaonyesha ni nzuri sana kwanza inamaadili mazur inafundisha japo kuwa inahuzunisha hongereni sana kwenu washiriki wote
Umeona eeeeh huwa awamalizii
Shujaa in town🔥🍾
Alafu mbona Ile ya mtemi haikuisha
Asante mungu awabariki na azidi kuwapa uzima ili zuweze kujifunza mengi zaidi
Hongeren sana zinafundsha
Wow I like this
Ntemi imeishia wap? Kaz nzur ila malizien ntemi bhn
Move zenu kali
Kapaya napenda vituko zko sana wewe ila unakuaga serious sana
Mashaallah hongera San movie 🎥 ipo nzuri san na Ina ujumbe mzuri
Jaman kwanini sas hamtoi episode 2
🔥🔥🔥
Wow mupo vizuru sana🥰
Ngoj na mm nifatilie hiii❤
Very nice
Ila huyu baba ambae hana mikono ananiumiza kweli😭😭😭😭😭dunia ina mengi ahsante Mungu kwa nilivyo😭😭😭Moyo wangu unaniuma nikimtazama huyu baba😭😭😭😭
Pore jamani
@@kapaayathegreat ahsante sana
@@kapaayathegreat naomba number zako nina shida nawewe
@@lablondeb5566 +255 655 218 331/
+255 753 318 331
Mungu Akunyimi vyote kiukweli Mungu Ni kila kitu katika maisha yetu tusimsahau kumtumainia na kumtukuza daima
Mashaallah
Mmeshindwa kuendeleza ntemi tena mnaleta nyingine sijui mnafeli wapi
Umeona eeeee. Hapo ndio tunaaanza kuzalau
TENA NTEMI ILIKUWA NZR KWEL JMN
Npo hapa nasubiri
Hamubahatishi
Kazi nzuri mnooo
Yan kla yak saf tu like
Hongerini jamani kwa kazi nzuri👏
Can you post part two right now
Be blessed brother
Tunatarajia uwe unatuwekea part one na two ,mungu akuongezee
Muda siyo mrefu utaiona inayofuata
Nampenda Vero na sijamuona nampenda Zena na sijamuona
Naitaji naface yakuwa muigizaji jaman naface tafhali
vizuri kazi nzuri
Hiyo ni kazi poa
Unachelewesha sehemu ya7, jitahidi maana unatuboa
Bado dakika tatuuuuu
Hii movie inamafunzo aki
🎉
Nc ❤️❤️
Jamani huyo mtoto ame nyoa nywele alkuwa Ana pendeza na nywele zake
Axante xana MUNGU Kwa nilivyo....
💪💪💪♥️♥️♥️♥️♥️
Letn bs ntem huku Zanzibar wameielewa
Unafanya kazi nzuri kapaya
Ahsante 🙏
@@kapaayathegreat nipe number zako brother ninashida nawewe
@@lablondeb5566 nimeshakutumia hapo
Brother god bless you
🙏🙏
Support yako inanisogeza sehemu frani mdogo wangu ubarikiwe sana 🙏
Maliziya kwanza mtemi
Pongezi sana mwenye kiti kila sehemu wewe hucheki haki mzee nimukali kwali natazama nikiwa saudi
Kapaya kazi zako nzr but humalizi
Mbona hamuiendelezi sasa
kumbe huja SUBSCRIBE mbona zipo hapo
Tunaomba series ya Ntemi iwe na mwendelezo 38 kwenda mbele
🙏🙏
😂😂😂😂😂ila hii shujaaaa
😂😂😂,mkorofi wa kijiji leo ni mwenyekiti ,kama unafatilia ntemi na umeona ukorofi wa huyu mwenye kiti gonga like hata 1
😂
Mtoe bwana huyu mwenye hana mikono mm ananiliza kila nikimuona akifanya kaz
Mbona move ya ntemi haienderei jamani
🙏🙏🙏❤❤❤
Duu jamani tunaomba mwendelez
Muendelezo unakuja lini ama ndio mnatuacha solemba kma ile ya Mtemi
Hata ntemi inakuja
Kaka filam zako ni nzur ila huwa humalizi
Jamn mm naomb nije msaidia huyo kaka hata kwa dakika chache tu
Kwako Sinaga neno bana brother
Jamani mbona imeishia nusu jamani
Kwani mtemi ushamaliza
Huyu baba ananitia huruma jaman
SHUJAA (HERO) in Town.
Visit Geita
Visit Lake victoria
Visit Tanzania.
Visit Potentials..! 💝🔥🔥🔥🔥
Kaka kapaya part 2 IKO wapi
Ss
Kanumba junior
Jameni tunasubiri yenyine
Nahii movie ndio itafanya nisaau maswala ya mpira
Mnazingua mnatoa vitu nusunus bna
Mwendelezo wa ntemi bwana
Huyu kaka anatia huruma jamani Ila kapaya kweli wewe no mtu wa wote hujari yule ninani Yuko vipi wote I'll nao mungu akubariki san
Muendelezo unatoka lini
Nan alie imba nyimbo humo ndan
Mapenzi yapo na yataendelea kuwepo....da msikiliza 2 mama anavyotaka....hakuna mama mbaya kla mama huwa anawaombea wanawe mema
sanyingine mnasingua kwakweli mnatuekea tamthilia nzuri mnanza vizuri badae mnalibu amzimalizii mpaka mwisho kama Ile ya MTEMI sijui I'll kufiaga wapi
Nini tatizo mama
Tunaitaji mtuendelezee msituekee nusu nusu
@@asmajuma4960 mwendelezo upo
@@kapaayathegreat apo sawa👍
From 🇴🇲😍😍💐
Bro nipe namba
+255 753 318 331
Ntemi inatoka siku gani
Kila alhamis saa mbili kamili usiku
Mnatoa muvi mzur lkn ammalizii
Sasa hakuna maaan mnajishusha wenyew kwa kushindwa kuleta miendelezo
mwendelezo upi umeukosa
@@kapaayathegreat ntemi
@@baimarrajahbuayan6237 iko kwenye maandalizi
Mbna ntemi mliacha njiani
Nina shida na number yako brother
Nimekutumia hapo
@@kapaayathegreat asante nimeona
🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙏🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗🇰🇪🇰🇪
💗💗💗💪👌
Ntem haijaisha njonin🤦♀️🤦♀️🤦♀️😡😡
Brother congratulations sana boss wangu next time naingia geita
Nasikitika kukosa kushiliki kwenye movie 🎥 hii