Bony Mwaitege - Hallelujah (Official Music Video) SMS TO SKIZA 9840972 TO 811
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2024
- Hallelujah watu wa Mungu, Kwama ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2021 nimeleta kwenu wimbo huu wa kumsifu Bwana wa majeshi,ninaimani wimbo huu utafanyika baraka kwako na kwa wengi utakao wafikia.nakutakia baraka zote kwa kuendelea kuwa pamoja nami.
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Finally it's out Kenya love weka hapa like to show him some support,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah hallelujah Glory be to Jesus 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi jameni utukufu kwa bwana
Ubarikiwe Sana mentor wangu nakukubali
Utukufu ni wake bwana kweli kweli 💪💪💪🙏🙏
Hallelujah 💞 God bless you sir Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 is with you.
Nice work my Role model Bonny Mwaitege!🇰🇪🇹🇿🔥😁
Wow,, this song is on another level.. glory be to Jesusu Hallelujah,, all the way from Kenya🔥🇰🇪
Hallejuh all the way ...much love from Kenya bonny never disappoint gonga like za wakenya tukisonga🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗💖🤗🤗🤗🤗🤗
Be blessed man of God
@@sarahlongoli3439 tashi
🇰🇪
@@kaserekavasombolwa6364ñq0
Praise the Lord amen I'm blessed
Wow congratulations man of God we love this from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah utukufu kwa yesu my fellow gospel artists shalom
Glory be to Jesus hallelujah 🙌🙌🙌 God bless you mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
Kwanini watu wako mtumishi hawafai vizuri nguo za heshima lakini wewe umevaa vizuri
Amina 💯💕💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mbingu zinene mema kwako mtumishi wa MUNGU
Groly to God...
Glory be to Jesus.
Watching from Kenya (Mombasa)
Nyimbo Nzur Sana Baba Nabalikiwa Sana
Rwanda Kigali tunakupenda sana mutumishi wamungu🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼⛪
Bony God bless you.wonderful song powerful words.i can't get enough of this
Congratulations GOD BLESS YOU Bonny Mwaitege
wow what a blessed gospel much 🙏 🙌 👏 love from kenya 🇰🇪 👏
Thanks for watching
Glory be to Jesus. 🙌🙌
🇰🇪🇰🇪
q
Amen Amen Amen Amen 🙏🏼 🙌
Hallelujah glory be to Jesus 🙏🏼
A wonderful song
Nmekuona mum, barikiwa 😘
A wonderful song
🎉🎉
Amen ubarikiwe mutumishi wa mungu napenda wimbo zako zote 🙏🙏🙏😍😍😍😍😍😍
Glory be to God.very nice song.kubarikiwa nayo
Bony mwaitege ni yuke aliye imba Injili inaubiriwa unaikataha. Izi zingine ni nyimbo azileti tafakari ila misisimuko tu
Unaakili mbovu sometimes' kumbe☝️
Shetani toka apa bonny all the best kaa chini tafakari hii wimbo guok
Glory be to God,
Good job Mr.Bonny Mwaitege Keep it up🇺🇸
Hongera nimebarikiwa Sana 🙏💪💪 Mungu akutie nguvu zaidi ktk kazi zako. Angalia Mungu anasema Nini na sio mwanadamu anasema nin juu ya kazi zako za utumishi. UBARIKIWE SANAAA
Glory be to God .am blessed .God bless you
Evengelist Kennedy Rasugu from Kenya,kazi nzuri bro mungu akubariki, naomba one day tumeet tupige collapo
Utukufu Apewe Jehovah
Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤ Tunatenda sana iyi wimbo Mungu akubariki sana kaka yangu this is Jacqueline from Canada 🇨🇦 🙏 ❤ 💖
Utukuvu awe very nice welcome back God's servant
Finally is out amen 🙏
Amen Glory be to Him our Creator ,this song is a blessing to me from 🇰🇪🇰🇪,
Wuuu glory to Jesus what a song ,Bonny never disappoints God bless you
Glory Glory, Halleluyah God bless you man of God to bring such blessed song🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amainzing song.God bless my brother kutoka utukufu hadi utukufu.hallelujah
🙏🙏🙏🙏 what amazing song kidogo nipitwe nayo keep going mtumishi wa mungu much love from 254 be black
Amen Amen
Glory be to God forever be bless from 🇰🇪
This man is of next level .... powerful 💪💪
Glory be to God alleluya my everything🙏🙏🙏
Thanks from bonimwaitege umenibariki sana. Mungu akupatie maisha marefu mungu akutie nguvu. Akulinde namadui.happiness from Kenya.
Hallelujah Am glad you are backy Daddy. Expecting more from you 🙏🏿🙏🏿🔥Ufalme wa Mungu lazima ujengwe
Glory to you Jesus Christ.... hallelujah my Redeemer 🙏🙏
As I'm in Namibia just want to give salute to all gospel artists really from the bottom of heart the trophies are yours. Really you sing I'm telling you aayee none in Africa sings like kenyan. Blessed all of you ee
He Is Tanzanian
Mwaitege is from Tanzania
Such amazing song from 🇰🇪 ni hallelujah to Jesus
Amen
I am blessed to have met this man of God in my country Kenya. Always a blessing sir. More grace more anointing. Amen
We missed you mtumishi
Utukufu ni kwa Bwana YESU🙏🙏🙏. Hallelujah. Blessings Man of GOD 🙏
Amen amen
Another sound from the throne
Hit praise song in our churches 😍☺️🙌
Nyimbo nzuri Sana asante saana Kwa nyimbo nzuri nilifungulia mwaka mpya 2022🙏🙏🙏😍😍💪
......Oh mighty God we praise you..... I am so blessed!!Be blessed man of the living God!! Greetings from Rwanda
Oh yes! Glory be to JESUS the Lion of Judah 🎷🎷🎷💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Sooo wonderful ,praise be to God my redeemer ,my healer ,my creator sooo blessing
Hii nyimbo du inanipeleka kwa yehova moja kwa moja
Glory be to jesus 🙏 🙏🙏 tamu sana.....watching from 🇰🇪
Wonderful indeed glory to God may the lord reachly bless your ministry
Nakupenda sana mtumishi mwenzangu
Tko pamoja mchungaji wangu wa SAFINA ASSEMBLY OF GOD nyimbo zako nazipenda zote hallelujah
Hallelujah, Glory be to you Jesus Christ my redeemer ♥️♥️.
Glory be to our Maker, the creator of Heaven and Earth
God bless you brother Born Mwaitege glory to Jesus hallelujah
Hallelujah glory to Jesus, good song mtumishi mungu azidi kukupatia nguvu🙏🙏🙏
Asante sana Kaká mpiga kasi 👍👍👍🇲🇿💪💪💪🙏 Aleluia aleluia aleluia aleluia aleluia
Hallelujah,,utukufu siku zote tumpe bwana,maana yeye hagawani utukufu Na yeyote,barikiwa mtumishi,kazi Safi,
Sifa kwake Rabana baba yetu kwa yote alotenda anayotenda na ATAKAYOTENDA AMINA🙏🙏🙏🙏.
Hakika Mungu anajivunia mtumishi....barikiwa sana kazi yako n jema Sana hata Moyo ukiinama unainuka...Mungu akutunze🔥🔥
Wow wonderful one inanikuza sana I play it whole day
Ubarikiwe sana mwimbaji wa mungu
One of the best gospel artist in Tanzania, glory be God..
Hallelujah amen glory be to God be blessed powerful God bless you good work🙏🙏🙏🧎♂️welcome kenya 🇰🇪
Mungu awabariki muendelee na kazi ya nyimbo zakuinjilisha grol to God 🙏
Wow nimebarikiwa sana bro be blessed more Mungu apewe sifa siku zote uongezewe miaka uzidi kutubariki Amen
Barikiwa sana broo mm nasikiliza nikiwa Saudi Arabia napata Furaha tw
Hallelujah shalom shalom ni yeye tu be blessed born welcome Kenya huu wimbo me hucheza mpaka nasahau shida zangu
Groly to God fro from Kenya
Amina Mzee..Mungu Akubariki..Baraka kutoka 🇲🇿 Mozambique
Kweli kabissa hamunaga Kama mungu,na apewe sifa,haleluyaaaaa.bony arsante Amen mpendwa
Hallelujah hallelujah to the most high God bless your people almighty 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 we celebrate you from 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏
Barikiwa mtumishi wa mungu babaangu wa kiroho mungu azidi kukuunua zaidi na zaidi.namafunuo yaongezeke.
Hallelujah, glory and praise to Jesus.
Wonderful song!
A nice song.glory to Jesus
Hii wimbo iko kiwango kingine
🇰🇪
Ubarikiwe mtumishi wa mungu yuo look nice bieatful God bless you
Hallulajah to Jesus forever 🙏 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa mungu,may God continue to lift you hayer❤
Always producing nice songs🙏🙏
May God uplift you higher and higher
Watching in qatar 👌
Mungu akubariki saana Bonny Kwa Huu wimbo mziri saana ,napenda Hinsi uliuimba Kwa ujasiri
Amen
This is more fire haaaaaa love you bonny for free
Amen Amen utukufuniwako bwana wamajechi🙏🙏🙏🙏
Everyone Watch Out! Now Our Redemption Hour Has Drawn Nearer Than We First Believe. Jesus Christ is Coming Soon! Amen! Blessed Moment.
Ameeen powerful glory to our Lord Jesus Christ
Haleluyah 💃💃💃💃💃💃💃💃💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Nyimbo zako zinanisongeza karibu na mungu ubarikiwe Sana mchungaji.
Nakupenda mkuu
Mimi mkristo,,,,
Nataman nisome biblia chuo.
Lakini sina uwezo kabisa
Oooh yes ,,,Glory be to JESUS my DEFENDER ,,am watching yu in 973 be blessed my brother 🙏 🙌 ❤
Hongera Sana Rafiki Pastor Wangu Kiongozi wetu Pamoja
Mungu akupanue zaidi na zaidi katika peo zako zote kwa kazi yake. Utukufu ni wake milele na milele Amina.
Hallelujah hallelujah 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah 🙏 God bless you always 👏 your songs always spread Gospel more to manys Christian believers worldwide 🙏👏