The powerful song..imenibariki sana.madui hii habari iwafikie walipo,yesu aninipigania bado naendelea..wakati bwanangu alikufa walisema mimi nimeisha sasa but Mungu wa mbinguni anakupigia Watoto wasoma bado tunaendelea kwa yesu..Amen and Amen.
It's a great song for the year 2023,it encourage me to continue depending on God. Mungu sio mwanadamu aseme uongo,Mimi bado Kwa Yesu. Yesu ananishindia yote,Amina.
wanio niwazia mabaya kwa kweli habari za miwujiza ya Yesu iwafikiye kwamba Yesu ametupigania tuko hayi na tumesonga 🌧🌧🙏🙏🙏🙏🙏🙏30.04.2024.mwezi wa May naendeleya kubalikiwa double ×2
Since today i'm down mentally and physically, as I keep on listening to this song my prayer is that Jehovah dissapoint those that are awaiting for my downfall😭😭🙏🙏
I feel I'm blessed with this song,,,natamani nisije nikamkosea Mungu,,,God help me and the one who sung this song to be blessed and continue keeping on pple are being blessed
Bailey mt wa mungu nakupenda sana mungu amefanya njia ya kusikia nyimbo zako ndizo zanisogeza kwa mungu baba vailet naomba no yako ya cm niko pamoja nawe kwa habari ya kulmlingana mungu ninayo ajenda kimya kwenda mbinguni kama wewe mungu akubariki kwa jina la yesu bwana na mokozi wa maisha yetu❤❤
Bien aimée dans le Seigneur Jésus-Christ grâce et paix divine sur vous il ya 2mois de cela que J'écoute ce chant. Depuis le 1er jour elle est restée dans mon moi intérieur. Je l'aime mes petits fils et moi. Svp aidez-nous à comprendre son contenue. Merci Shalom 🙏🇨🇬
Grâce et paix divine sur toi frère Enoch Jonas . Je suis francophone. Pour la compréhension de ce chant qui a captée mon âme dès que je l'ai écouté pour la première fois mes deux petits fils et moi ,j'ai utilisée une application pour traduire les paroles de la chanson en français. Très puissante cette chanson. J'ai jésus qui est mon aide dans le combat et qui combat pour moi dans les difficultés. Ceux qui pensaient que j'allais mourir qu'ils le sachent...alléluia alléluia gloire à notre Seigneur Jésus-Christ. Il est juste fidèle et équitable. Merci Seigneur jésus. Béni ton serviteur 🇨🇬🇨🇦🙏
Iyi nyimbo imenigusa sana, this song reminds me of a narcissist so called uncle who once told me that I will end up bad and who wished me death. Today I live peacefully, i have a better job with decent pay, about to start my apprenticeship training, I'm healthy by God's grace and Have big plans for my future.
Your songs and the dancing system is really making me feeling like to see you by my eyes but God is great. God bless and protect you all. If possible you can sing in English, so that others can listen the meanings
Listening to this very inspirational song...on May 17 ,2023, 2:15am. My sister Faith is admitted in the hospital. Waiting for God's visitation today.❤Am so encouraged.
@@langatronald4130 God did it for her. She is under home care and doing very well. To God be all glory. He is indeed Jehovah Rapha....He has the whole world in His hands.
Its only Gods grace...barikiwa saana brother na neema ikuangazie🙏🙏🙏🙏siku zote wanitia nguvu hata niwe mdhaifu halelluyah mimi kwa yesu naendelea❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
This song is so encouraging it is my living testimony to the people of Kambu in makueni county habari ziwafikie bado Bishop mwaka anaendelea huku joska
Hakika Mungu sio mwanadamu,,,this song really builds me I keep listening on a daily basis 🎉🎉🎉🙏🙏
Walinizika ningali hai kwa maneno yao. Walai habari ziwafikie, Jamani Ni Mungu tu! I'm alive today because of His grace the Almighty God ❤
Hallelujah he never fail
Hallelujah ❤❤
Halleluiya walidhani nitakufa habari ziwafikie,walidhani nitashidwa bado naendelea,Mungu sio mwanadamu wapedwa❤❤❤🙌🙌🙌🙏
❤❤❤
My favourite song..God bless Jonas
Amen
Amen
God bless you 🙏
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wasanii wa tz wanaomba nyimbo za kumsifu Mungu mbarikiwe sana wewe ukiwa mmoja wao natiwa nguvu sana na nyimbo zako. Neema zaidi
Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo,walinizika ningali hai Haleluyaaa🙏🙏🙏mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
😂❤
Umeimba ma, umehubiri jina la Yesu litukuzwe. Nice song Bukusu woyeee
I will keep coming until this song gets to a million views
Daniel KHAEMBA
Jajaja
3.3 milion already kwakuwa yesu yu nasi🙏🙏🙏
The powerful song..imenibariki sana.madui hii habari iwafikie walipo,yesu aninipigania bado naendelea..wakati bwanangu alikufa walisema mimi nimeisha sasa but Mungu wa mbinguni anakupigia Watoto wasoma bado tunaendelea kwa yesu..Amen and Amen.
Mungu yuko.watahaibika.Basabere Amaya nyasae akorende
Same here am going through hard times since my husband died 😢 but mungu bado ananipigania
Furaha ya maadui ilikuwa nishindwe lakini mungu wewe ni nani umeendelelea kunidumisha maadui uwape maisha marefu washuhudie baraka zangu
Mutoto wa Tanzania that's good , with me I don't understand that language but I see the presence of God 🙏🙏🙏🙏🙏
🎉🎉😊
Ameen mungu akubark sana ata ivyo mawazo ya mwanadamu n tofauti na ya mungu ❤❤❤munngu n mwema na atabaki kua mwema cku zote🎉
Nipo na yesu mm sitaogopa mabaya yyt barikiwa sana kaka
Praise God 🙏 nikweli Asante MUNGU kwa kumtoa mwanao Yesu kwa ajili yangu nasikia kushukuru Mungu sana amekuwa mtetezi wangu
Mwaka hadi mwaka naona wema wa yesu, mwaka hadi mwaka naona baraka zake, sijaona kushindwa...God bless you brother.
Amen Amen Amen
Ma fevorete song I will never get tired of this song I am a leaving testimony,🙏🙏🙏🙇🙇🙇💃💃
A
I love this song, it talks about me. Licha ya shida nyingi naendelea. Kwa Yesu sing'oki ng'o
It's a great song for the year 2023,it encourage me to continue depending on God.
Mungu sio mwanadamu aseme uongo,Mimi bado Kwa Yesu.
Yesu ananishindia yote,Amina.
Congratulations sana kazi nzuri sana huu Wimbo ni kama ulinitungia mie ni kama nilikupa ushuhuda ndipo ukanitungia hongera sana
wanio niwazia mabaya kwa kweli habari za miwujiza ya Yesu iwafikiye kwamba Yesu ametupigania tuko hayi na tumesonga 🌧🌧🙏🙏🙏🙏🙏🙏30.04.2024.mwezi wa May naendeleya kubalikiwa double ×2
Since today i'm down mentally and physically, as I keep on listening to this song my prayer is that Jehovah dissapoint those that are awaiting for my downfall😭😭🙏🙏
So shall it be in Jesus Precious Name , Amen !!!
This song decerves million and millions of views.🙏I love it 💯.Be blessed
Habari siwafikie mi nko na yesu sitingisiki kamwe 🙏
I feel I'm blessed with this song,,,natamani nisije nikamkosea Mungu,,,God help me and the one who sung this song to be blessed and continue keeping on pple are being blessed
Sawa kabisa wimbo nimzuri Sana nimebatikiwa na wimbo huu
Naendelea kabisaa wasionitakia mema nataka wajue hivo , I really love the song ❤
Mungu wa huruma akupe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu
I love the that music..I don't stop listening to it I hope I understand what it really saying.may my God bless the man of God that Sig it Amen 🙏
Thank you so much for uproudng I love you songs watching from Ugandan 🌹👍
Yesu ananishidia bado ninaendelea mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
You are beloved brother!!! Step forward, you are together with your God , I wish you more my @Enock Jonas,I love you More
Bailey mt wa mungu nakupenda sana mungu amefanya njia ya kusikia nyimbo zako ndizo zanisogeza kwa mungu baba vailet naomba no yako ya cm niko pamoja nawe kwa habari ya kulmlingana mungu ninayo ajenda kimya kwenda mbinguni kama wewe mungu akubariki kwa jina la yesu bwana na mokozi wa maisha yetu❤❤
A very powerful song...unaufanya moyo wangu unatulia ndani ya yesu....be blessed Mr Enoch
❤❤❤Amen Habari siwafikie Wachawi wooote wanao nilasmishia Kifo Ameen
This is the song that I always play when going through any challenge and I always see God in my problems. It's a prayer not a song.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Whenever i listen to this song i gather more courage to soldier on.
Bado naendelea kwa kina la yesu,,,, walidhani ctainuka tn
Ninaye yesu mimi anazimama nami 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bien aimée dans le Seigneur Jésus-Christ grâce et paix divine sur vous il ya 2mois de cela que J'écoute ce chant. Depuis le 1er jour elle est restée dans mon moi intérieur. Je l'aime mes petits fils et moi.
Svp aidez-nous à comprendre son contenue. Merci
Shalom 🙏🇨🇬
Grâce et paix divine sur toi frère Enoch Jonas .
Je suis francophone. Pour la compréhension de ce chant qui a captée mon âme dès que je l'ai écouté pour la première fois mes deux petits fils et moi ,j'ai utilisée une application pour traduire les paroles de la chanson en français. Très puissante cette chanson. J'ai jésus qui est mon aide dans le combat et qui combat pour moi dans les difficultés. Ceux qui pensaient que j'allais mourir qu'ils le sachent...alléluia alléluia gloire à notre Seigneur Jésus-Christ. Il est juste fidèle et équitable. Merci Seigneur jésus. Béni ton serviteur 🇨🇬🇨🇦🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
amina mtumish wa mungu
Nzokwama nkwibuka nkiri ngaha kurinosi ! Imana yemeye ikakwiyegereza ikomez ikuba hafi Aho uri muvukanyi
Iyi nyimbo imenigusa sana, this song reminds me of a narcissist so called uncle who once told me that I will end up bad and who wished me death. Today I live peacefully, i have a better job with decent pay, about to start my apprenticeship training, I'm healthy by God's grace and Have big plans for my future.
Rehema 0:00 0:00
Walidhani wamenimaliza kiroho- but glory to the Living God.God bless-you - Sana sana-for your testimony.
Hii song inanipea matumaini ya kuishi wakati wa Raha na shida God bless you bro keep it up 🙏🙏
He deserves more than these views. This song is a blessing to many.
Sure, i expected more views than what is there now.
It's a good song hakika inanibariki wakati ninapo shidwa Ina nips nguvu,,,,,,,yesu ni mwema kila wakati
Mungu naimani maaduyi zangu wame anguka,habari ziwafiyeeee.amen.
Mwenyezi Mungu akupe nguvu nakuendelea kutuburudisha song zako madui zangu sikia🎉
Mungo ni wa nguvu katika Maisha yangu,yeye ñdiye ngao yang.
Amen Amen..Such a Powerful Song ❤❤❤❤....Much Love From Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤ And More Blessings 🙌 🙏....
This song is my true testimony before and after the death of my loving husband. Continue resting in peace my King ❤
Sorry...take heart.
Full-time inspiration, believe in the Lord. He has the power
Hakuka Mungu ni Mungu tuu anayezidi kunipigania sifa heshima na utukufu zimurudilie yeye tuu maishani mwangu.
Your songs and the dancing system is really making me feeling like to see you by my eyes but God is great. God bless and protect you all. If possible you can sing in English, so that others can listen the meanings
🎉🎉🎉🎉walisema biashara yangu imeisha,wanipee mda,coming back soon with testimony
Enock may God continue to bless hallelujah nice song amen 💪💪💪
hallelujah yesu wangu torch me nice song amen may God bless you 💪💪💪
Bravo wajina...hii nyimbo inanifariji sana
Powerful one,,,this song teaches me much,,,it encourages me a lot🎉🎉
Listening to this very inspirational song...on May 17 ,2023, 2:15am. My sister Faith is admitted in the hospital. Waiting for God's visitation today.❤Am so encouraged.
Ooh LORD, I am still waiting for Your visitation. I know You will do it at Your own time.
It shall be well brother 😊
@@langatronald4130 God did it for her. She is under home care and doing very well. To God be all glory. He is indeed Jehovah Rapha....He has the whole world in His hands.
@@gideonkioko4072 Amen Glory to God she will be strong again to worship and thank the Lord.
@@langatronald4130 Amen amen.
Reminds me of 2019.God is great tuko 2024
Nikweli kabisa sifa na utukufu zirudie huyu Mungu kwa yote anayonitendea Amen
Maadui Mimi Bado. naendelea Yesu aongoza
Love this song, surely kwa yesu bado naendelea ❤❤
Naendelea bado,,habari ziwafikie💃💃💃💃💃
Habari ziwafikie bd napumua na nazdi kuendelea by radi by force keep it up 👍
Kiukweli mungu angekufanya kuwa yesu maana nyimbo zako zinagusa maisha ya kikao binadam mfno wewe ni nani ee! MUNGU bariki kazi ya mtumishi huyu
Its only Gods grace...barikiwa saana brother na neema ikuangazie🙏🙏🙏🙏siku zote wanitia nguvu hata niwe mdhaifu halelluyah mimi kwa yesu naendelea❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
Bado naendelea in jesus name. Huu wimbo wanibariki tu sana
Ata mimi nayesu naedelea maadui mtanyamaza wimbo nzuri inanipa nguvu kuendelea kumwamini mungu ndiye mueza yote❤ i love the song
N xwa tu n maisha aki woi
amurwe
This song is so encouraging it is my living testimony to the people of Kambu in makueni county habari ziwafikie bado Bishop mwaka anaendelea huku joska
the song reinforces my foundation and dependence on the 4th Man, Bro great work, God bless and empower you to spread His Gospel through your songs
Aliniambia Mimi kwani aliambiwa na nani
MUNGU akulinde na kukusaidia daima, unaimba kwa ujasiri na Imani sana , MUNGU asikuache daima🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika habari ziwafikie ya kwamba YESU amenikumbuka na kuniinuwa kutoka chini na kuniketisha na wakuu, jina la Bwana ribarikiwe
You left me higher dear bruh. May omnipotent Lord be with you in all ❤❤ from Rwanda🎉🎉
Very powerful song, am blessed and still pressing on
Kwa yesu ninasonga mbele🙏🙏, na Bado naendelea 🙏🙏
The God will remain today and forever be blessed.
Amen blessed song am really blessed ❤❤❤❤
❤❤❤❤ huuu wimbo naupenda sana
God forgive my sin and let me start a new life and clean me with😢😢😢😢 blood of God
Amen amen 🙏🙏..habari ziwafikie..barikiwa sana
Very powerful and inspiring song good job bro,,,,Wangu nishawatumia wimbo @habari ziwafikie
Inaringana tu nayenye napitia Sasa Mungu anipiganie woiye wale maadui mbona Mungu akawaumba 😢
Enock
Mungu akona kila sababu usichoke kuomba Na hakiki utabaki kuwa mshindi
I feel blessing when I listen this song nzuri Sana barikiwa mtumish enock
Hakika anaimba vizuri sana na nyimbo zake Zina ujumbe mzuri
I feel blessings huu wimbo unanikumbusha mbali saña 3yrs ago mungu ni mungu na atabaki mungu maishani mwangu
Hiyo. Wimbo. Ni. Chongo sana❤❤❤❤❤😊😊
Jonas Mungu akuinue zaidi akupeleke viwango vya juu zaidi 🙏🙏
Sijawai ona kushidwa wenye wanagojea niende chini Mungu waeke uhai wajionee baraka zako
Ooh God im now self employed with abig business habali ziwafikie wadui zangu
Waliniibia wakadhani nitashindwa...kwa yesu bado naendelea
Am much blessed with this song it puts me deeply in the presence of God
God bless you Enock for the nice and encouraging song ❤❤❤❤
Ubarikiwe muimbaji mungu azid kukupigania
Hakika mungu siye mwanadamu,hatahasemi uongo 'song imenibariki sana katika yote ninayo yapitiya
Mungu si mwanadamu aseme uongo❤
I like the song aki,keep it up bro
Am in love with this song... let's keep the spirit going amen.
The love i have this song is on another level.May God continue giving you more wisdom .
aminaa ubarikiwe Sana bro Mungu akutunze🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 mwangaza wake ukuonekanie🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌠🌠🌠🌠🌠🌠
Hallelujah 🙏🙏🙏 yesu Wangu powerful song amen 💪💪💪 Mungu a
Mungu si mwanadamu kweli mimi nimeona Kwa macho mungu akubariki mtumishi wangu na akuinue saiti
This has empowered me spiritual