Pesa za masharti,, ufisadi,,viungo vya binadam ,,,walo left group wasagaji ndo zinawafanya watu kua chawa's mamia kwa maelfu ad wamemsahau Mungu kwa project za watasha a.k.a kizaz cha Lucifer kimeivua Dunia nguo mabint wanatembea uchi vijana wanadai haki za ushoga 🙉
kweli sis wabongo tunashida sana sana alafu me na hiz huyu anaejiita Boss dawa yake ni kali sana yaan uwache kazi sako ukamzikilixe mpumbafu anaetumia dawa zake!!!😮
Ukifikiria upotevu wa watoto mara kutolewa viungo hawa vijana wanaibukaga tu hawajulikani walikuwa wanajishughulisha na nini wanamwagamwaga ela embu tuwafwatilie kwa jicho la tatu
Hongera tajiri kwa kutuinsipire sisi vijana siku moja tuwe kama wewe. Hongera chief god love tajiri umri mdogo pesa nyingi.
Pesa ndooh Kila kitu Duniani sai nipe like kama ni uqweli
Kabisa
Tatizo la sisi wabongo tuna tatizo la kudharauliana sisi kwa sisi utashangaa kuna watu wanamchukia huyu jamaa na hawana hata sababu
Me wa kwanza namchukia bila sbabu
😂😂😂😂😂😂😂😂@@OmarKhatib-b4w
😂😂😂😂
Kwahyo unampenda mtu ambaye hujui na hasemi kazi zinazomfanya apate fedha,,,😅😅😅ni mtumizi mabaya ya upendo😂😂
Mbaya zaidi hawana hera
Binadamu bwana😂ati Sasa wanamwita tajiri siku za nyuma alikua tajiri wa vibao Sasa tajiri wa hela ya kweli😂
😂😂😂😂😂😂
Walimuongea sana vbaya sai wamemkubali kijana mdogo mwenye pesa zake
Hila hawa wanyakyusa wanasumbua sana mjini daah😂
Maskin uyooooo ushawaiii ona Mo na ving'ora bakharesa ghalib Gsm rostam .. ilaa angaliaa milad yaoo ndo 🙌🤲🤲
@@FatumaIssa-w1s 😂
😂😂sio wanasumbua mjin pesa nd inasmbua😂
@@FatumaIssa-w1shela kila mtu na masharti yake jinsi ya kutumia
@@VictorBugobola 😂😂pesa anazo ndogo TU. Hila kelele ni nyingi kuliko pesa
Daaaah kweli bongo hamna akili yaan,mi naona hakuna tajiri dunian
Sou Moçambicano, mas repudio essa atitude desse senhor. Ele esquece que um dia vai prestar contas diante de Deus.
Hoje em dia e asim mesmo meu irmao
Nakuunga mkono kbs baadhi yetu huku Tanzania hatujielewi kbs tunapapatika na mtu hata shughuli zake hazijulikani aisee kazi kweli kweli🙄🤔
Vez Vez
Exactement, mais ce gars aime toujours être vu par tout le monde
Mmemuona lkn uyo tajiri au mmeishia kumuona mzeee mwenye mvii tu😅😅😅😅
🤣🤣😁🤣🤣🤣
Nimekubali chifu 😊
Askari mnamuanglia tuu huyo boya
Nasikia sauti ya binti kigoma😂😂🤔
Yan mama angu nimekununulia kitenge nimegunga kokoto ili ww uvae ❤❤ matokeo yake mekitandika chin ili tapel akanyage😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Alikutapeli nini mumuogope mungu
Hila na wivu vitakuua wewe chief ni tajiri na 1 tz kwa vijana wa umri wake miaka 28
Njaa mbaya jaman masikini ya rabii tupe ridhiki waja wako
We Acha 2
@@BonnyMwajombe-iu7hb nitajili kwako xio ote
Kila mtu ana haki yakufanya chochote mradi Sheria isivunjwe..... Huyu chief ana lengi lake so mwachani..... Iko siku mtamuelewa tu....😅
Hata mm nilikuwa nawaambia watu wanaomponda
Mie nashi ya million Moja nalipia ada ya wanafunz
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤walivyo mzarau huu kaka siamini ninacho kiona mimi
Kweli Mungu amesha kubariki sana KK angu .naitaji niwe ata sehemu yako tu sngalau
Jaman kwel wabongo ni mataila sanaaaaa duuuuu😂😂😂😂😂😂
Wababa,wakikimbiza ugali😅😅😅😅
Mbonako utajiri sana ❤❤❤ basi nikusame unisaidie basi na 10k za uku Kenya
Binti kigoma ebu punguza kelele huko👌
Mbwembwe tu izo.kincho mpa kibili mpaka akaonye kuwa yeye ni tajili mkubwa sipesa.bali kibili cha Afiya.ipo siku atakuwa kama wengine
Haya yote yanamwisho ipo siku
Hautakubukwa hata kidogo
Jiokoe nafsi yako kwa kumpa Yesu maisha yako,
Ila Bint Kigoma ana makelele🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wale ambo walikiaga na sema eti ana igiza. Hapa napo vipi
Polisi wetu mnaweza mkawa mna escort wahalifu bila kujua. Tafadhali Sana chunguzeni mienendo ya watu wa namna hiyo.
Wivu utakuua ndugu
Umasikini mubaya sana
Tafuta hela mkuu
Pesa za masharti,, ufisadi,,viungo vya binadam ,,,walo left group wasagaji ndo zinawafanya watu kua chawa's mamia kwa maelfu ad wamemsahau Mungu kwa project za watasha a.k.a kizaz cha Lucifer kimeivua Dunia nguo mabint wanatembea uchi vijana wanadai haki za ushoga 🙉
@@HappyBabyOctopus-es2iymubaya kabisa kwa kweli
Daaa safi bro.
wabongo washamba sio powa kila kitu kwao ajabu
Saw kaka kutesa kwa zam
Kikubwa asimuache mungu aendelee kumuabudu mungu katika njia ya kweli tofauti na hivyo imekula kwake
Mungu yupi
mchizi freemason huyo
Mmekubali simlikuwa mnambeza
Natamani kukusema vibaya ila naona nikikusema vibaya nitakuwa nipepo..safi sana na mdogo mdogo mwisho Rais wa Tz
Huuuuu binti kigoma nae vip ndo asikika mwenyewe jamani njaa itatuua walah
Dah
Bint kigoma usinichekeshe mie eti tajili shuka tuokote😂😂
Ndio maana watoto wanatekwa sana
Mm najiuliza hawa wanaosema hana hela wanatoa wap ujasili ? Au wanaushahidi gani maana mm kama mm hata kukodi baskel siwezi
Hela yuko nazo uwezi kufeki kila cku bila hela
Agawe apo tuone😂😂😂
Kwn bongo drama hz ni za kwnza walishakuja watu wa aina hii wakapotea nyny mnajisahaulisha
Sauti ya binti kigoma et tajiri shuka tuokotee😂😂😂
Amazing
kweli sis wabongo tunashida sana sana alafu me na hiz huyu anaejiita Boss dawa yake ni kali sana yaan uwache kazi sako ukamzikilixe mpumbafu anaetumia dawa zake!!!😮
Amekuwa Mungu mpaka mnamtukuza
Utopolo tu Nabii Mkuu Geodevie zaidi
😂😂😂hata sijuwi nacheka nn
Chief sana😅😅😅😅😅
Nasikia sauti ya Binti kigoma🎉🎉😂😂😂
Hizoni ela jmn sio mungu atakama tu maskini ila tusifikie uko kueka vitenge ajawa munguuu
Hi Ni mbaya maze
Si mlisema ni Mzee WA mbao
😂😂😂 tajiri shuka tuokote
Naskia sauti ya binti kigoma😅😅
😂😂😂😂😂
Binti kigoma Anasema tajiri ashuke aokote Hahaha!!
Chama kubwa la serikali
Ving'0ra vyote hivyo anacheo gani serekalini kama sio iluminat 😊😢
Kweli wewe freemason
Huyu mwamba ela kapata wap
Hapa ningemkuta mama shaban yaa mama angu bola ningemkosea adabu tu lakin so kwa chf
Vnguvu ya pesa kweli nyoko
Huyu jamaa ni sawa na kiboko ya uchawi wale wale serikali haioni hata kidogo
Maisha marefu tajiri wg
Respect my brother
Hawa wa mama waliotandika kanga zao hakika ni watumwa
Ila mm sjui dhumuni lake huyu kijana kujitokeza kwa wakati huu bado sijapenda situation yake
Hy mshamba sana sjawah ona toka nizaliwe
Ingekua nimkutano wa chadema polisi wangepiga stop ila kwasababu nimambo ya tajiri ruhsa hamna shida
akina baharesa au gsm wamekaaa kmya ila jamaa anajiona dony afu watu wanashoboka tafuteni hela mbona zipo ila tuna kz tu yakuzitafuta
C anajitangaza kila sik yy jiunge na 666
Tuoneshee na ww ulizotafuta
Naomba nisaidiee mimi maskini atuna uwezo nifanye biashara niwasaidie wazaz
Hongera tajiri tuone na cc tunashida mahitaji ya watt
Anae Linda ni mungu tu
Wangu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa nanukuuu maandiko matakatifu
Kwani yeye ni mchungani
Àcheni makasiriko tafuteni hela dadeq😂😂
Mung niepushe kumtegemea mwanadamu
Kumpenda huyu ni matumzi mabaya ya upendo😂😂😂
Nan? Kakulazimisha umpende. tafuta pesa Acha ujiga
wanaombeza waigize japo kwa dkika 1 tu
Tanzania muna uhuru,hapa Rwanda huwezi fanya hivi,uokoke!!
🎉🎉🎉 Dah
BIASHARA MATANGAZO🎉
Ukifikiria upotevu wa watoto mara kutolewa viungo hawa vijana wanaibukaga tu hawajulikani walikuwa wanajishughulisha na nini wanamwagamwaga ela embu tuwafwatilie kwa jicho la tatu
Kabisa
Ela anayo jamaaah
😂😂😂😂😂 dah ila mwanangu unajuw ku fake
Hata ww ukiwa na hela unapewa escort2
Toka magetoni tafuta hela mtoto mdogo pesa nyingi
Eti tajiri shuka tuokote 😂😂
Huyu jamaa ni nani!!!!!😮😮
Israel mtoa roho 😎😎
N yesu alie sema atarudi
kweli nyie ni wapumbafu 😂😂😂
Mbona sijamwona sasa huyo Chief Godlove mwenyewe au nyie wenzangu mmemwona?
😂😂 yaan wanasifia kitu ambacho hakionekani haya ni maajabu
Dahhh hi ni dunia ya mwisho kila mashaka na maajabu tutaweza kushuhudia 😂
Maskini uwa 2 nabebwa vibaya
Cheef naomba msaada wa pesa kidogo
Kpnd Cha maguful usngeona huu ujnga kabsa,chukuen Kodi kwa huyu mbwa
Sawa
Shuka waokote😂😂
Jamani mmoja naomba anitumie jina huu wimbo
Na matukio mengi watoto kuuliwa hatari sana kuna kitu
Hizi gari zake Kenya niza kuenda matanga
Mbwaa wewe unayoo au ukoo wenu ipoo au masifaa na elaa huna 😊
😂😂😂😂😂😂😂
Yuko vizuli😂
🤪
Binti kigoma nimekuona❤
Ameedit hao polisi walikuwa wanajipitia tu na Doria zao
Unaona ni jambo la hajabu kwako mbona ata ww unaweza unawakodi tu unalipia escort au ulikuwa ujui wanalipia
Manisha n kupambana
Huyu babu ndio nan