😭😭😭mtumishi Mungu akubariki kwa hakika roho mtakatifu aliye kupea huu ufahamu ameokoa nafsi yangu maana hasira ni kikwazo kikubwa sana 🙏🙏🙏nimepona katika jina la yesu .
Hakika nimepokea masomo mema kuhusu hasira..nimependa sana mafafanuzi yako kupitia mafundisho yako umeniteka hadi nika subscribe to ur chanel.wacha nipokee mafundisho yako kila siku kila saa maanake yananibariki na kunibadili kuendana na njia za cristo.barikiwa sana mchungaji.🙏
Asante mtumishi wa mungu,nimejifunza mengi ,ubarikiwe sana
Amina baba ubarikiwe 👏👏🥰
😭😭😭mtumishi Mungu akubariki kwa hakika roho mtakatifu aliye kupea huu ufahamu ameokoa nafsi yangu maana hasira ni kikwazo kikubwa sana 🙏🙏🙏nimepona katika jina la yesu .
Hasira inaharibu furaha. It's very true. God help me.
pastor george umekuwa mwalimu wangu bora barikiwa sana
Ahsante sana
Ameen
Amen Amen
Be blessed
Asante sana mtumishi kwa neno hili hakika nimeponywa leo
Katika jina layesu hasira isiwe sehem ya maisha yangu
Aaaamen
Asante mtumishi kwa somo la JINSI YA KUSHINDA ROHO YA HASIRA. nimebarikiwa nalo mno na kubarikiwa.
Hakika nimepokea masomo mema kuhusu hasira..nimependa sana mafafanuzi yako kupitia mafundisho yako umeniteka hadi nika subscribe to ur chanel.wacha nipokee mafundisho yako kila siku kila saa maanake yananibariki na kunibadili kuendana na njia za cristo.barikiwa sana mchungaji.🙏
Pastor George comedian
Ahsante
V
Amen