@@RichardMuteke Butati na Tim yako tayar tumekaribishwa Kongo 😁 tunaenda lini tunaenda staff wote wa BUTATI MUSIC PRODUCTION habaki mtu tunataka kupepea na as😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu akubariki Kaka Aniset Butati, Nyimbo zako zinabariki wengi, Nasi tunakuombea kuwa huyu Mungu hunaye Muimbia akakubariki, akajibu sala zako Katika Jina La Yesu. Amina
Kabisa na Mungu akijibu maombi kinacho baki ni kupepea tu hakika Wimbo huuu ni baraka nimesikiliza siku mbili mfululizo bila kuweka wimbo mwingine hata Yale ambayo hajajibu Mungu naaamini anaenda kuyajibu na itakua zam yangu ya kupepea kwa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Watu wa Kongo mubarikiwe sanaaaaaaaa tumeona mlivyo pokea nyimbo za mtumish Butati hakika najua siku moja tutamuona ndani ya viwanja vya mji wa Kongo amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@zakariakayanda8732 Safari ipo Kwa wote karibuni Mombasa tupepee ndani ya Baraka teletele za Mtumishi Butati mwezi Disemba mwaka huu tafadhali 🙏💖🎊🥳🥰🥰🥰
Kampara kampara tumewapokea vilivyo hapa Tanzania na tunawakaribisha sanaaaa mje mfanye collaboration na watanzania🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ukweli husemwa huu wimbo ni mzuri hila kuna sehemu hao wadada wamevaa vibaya sanaaa😭😭 nguo za mipasuko km wakristo sio poa wakati mwengine msifanye hivyo na Mungu awabariki 🙏🏽🙏🏽 #injiliYaKristo
Waimbaj wanao mtukuz YEHOVA kuwen makin na vt mnatumia kwajil ya kupendezesh man xhetan anamitego ming ya kuwanas watu wa MUNGU nikiaz na hicho kit umekalia,
Nawakaribisha kwa Mara nyingine Tena🙏🙏🙏
Nawe tuna kupenda sana💪💪🇨🇩 hapa Congo yaani dah umekuwa maarufu kweli kweli tunakusubiri hapa kwetu naomba watu yote kama tuko pamoja tulete link
@@RichardMuteke Butati na Tim yako tayar tumekaribishwa Kongo 😁 tunaenda lini tunaenda staff wote wa BUTATI MUSIC PRODUCTION habaki mtu tunataka kupepea na as😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@RichardMuteke Kongo boss tumeitwa usituache
@anisetbutati
Kaka tunakutazama kutokea nyumbani hapa 😁😁😁😁
Tumesha karibia Kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kama unamkubali aniseti butati gonga like tako
Tayar like tumezimwaga hapo
Wenye Mungu amewakumbuka kujeni hapa leteni likes
Amen amen
Tuko hapa kabisa
Amen amen
@@zakariakayanda8732tuko hapa
@@zakariakayanda8732tumekumbukwa na Mungu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎻🎻🎻🪕🪕🪕🪕🪕🪕
Nikwene ndibhuswe ni mana 🙏🙏🙏🙏 Waha gonga like hapa🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🔥🔥🔥🔥
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kama uko pamoja na Sisi kwakumsikiliza butati leta bendera Yako hama yangu ndohii🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hapo ndio kwetu
@@harrietajiambo229 nashkulu sana💪💪 nimeamni tuko pamoja
Barikiwa Sana ndugu kwa kuwa nasi
✍️✍️✍️🇨🇩🇨🇩🪘🎻🎺🙏🇨🇩
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉❤❤❤ Ahsante Mtumishi Butati Kwa kipya kibao tumebarikiwa Mombasa Kenya ❤❤🙏🙏🙏
Aiseeee mbarikiwee sana Kaz nzuri sana 🎉 wap kak zakaria mbarikiwe san
Zakaria amesimama vilivyo kwenye verce ya pili hakika Mungu amejibu maombi ya watu wake🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hakika kazi ni nzur mno
@@JosseeNaftari-zg4nf 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mm hapa kutoka Kenya wajir
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Shalom shalom wapendwa muda wa kupepea ni saa10
Ndio tuko hapa tunapepea kwa uweza wa Mungu hakika mmefanya kazi Kubwa hongeren sanaaaaaaaaaaaaaa
Zakaria vers ya pili umesimama vilivyo hongera sanaaaaaaaaaaaaaa kazi Kubwa kwa Mara nyingine ukiwa na Butati
Ndio tunapepa hapa kutokea kazuramimba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😅😅😅
Hongera verc ya pil umeitendea haki sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Binamu yangu mungu azidi kuwainua juu mpaka watu washangae
Mungu akubariki Kaka Aniset Butati, Nyimbo zako zinabariki wengi, Nasi tunakuombea kuwa huyu Mungu hunaye Muimbia akakubariki, akajibu sala zako Katika Jina La Yesu. Amina
Mungu aendelee kukupigania 🎉🎉❤
Mungu anajibu maombi. Kazi safi sana ANISETI na Zakalia. Mungu azidi kuwapandisha viwango vya Juu zaidi. The song is its just of another level
Amen amen asante Sana mtu wa Mungu
Tunashukuru Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@zakariakayanda8732 Amen na karibu sana
Kabisa na Mungu akijibu maombi kinacho baki ni kupepea tu hakika Wimbo huuu ni baraka nimesikiliza siku mbili mfululizo bila kuweka wimbo mwingine hata Yale ambayo hajajibu Mungu naaamini anaenda kuyajibu na itakua zam yangu ya kupepea kwa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Mnipe asilimia zangu kabisa 😆😆😆😆😆😆😆😆
Ww unabalaa sana kaka
Umesimama vzur mtumishi
Huu wimbo inanibariki Sana, mbingu zinene mema juu ya huduma yako kaka.
Tunashukuru Sana sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I got US Visa and have been playing this song since. Thank you God!
Hongera Kaka nimekesha nayo😂
😅😅😅😅kama mimi
Kumbe tupo wengi
Hongera sana ...ma Brothers mmefanya vizuri sanaaaa by MTOTO WA NYUKI🎉
Amen amen mtoto wa nyuki 🙏🙏🙏🙏
Tuko pamoja sanaaaaaaaaaaa
Mtoto wa nyuki
Kabisa kazi n nzur no jaaman
Yes madam
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu tu nakupenda sana uku Congo 🇨🇩 Bukavu
Lazima tuje Kongo huko
Watu wa Kongo mubarikiwe sanaaaaaaaa tumeona mlivyo pokea nyimbo za mtumish Butati hakika najua siku moja tutamuona ndani ya viwanja vya mji wa Kongo amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi ❤💯
Kenyans let's gather here for this minister🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪 kenya kenya
Asanten sana wakenya kwa kutuunga mko watanzania hakika tunashukuru
@@patrickkatana8823 mbarikiwe saanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
🎉🎉🎉Karibu Mombasa kenya tucheze PEPEA pamoja mwezi Disemba mwaka huu tafadhali Mtumishi wa Mungu Bwana Aniset Butati 🎉🎉❤❤❤ #Tumebarikiwa sana leo🙏🙏🙏🙏
BUTATI MUSIC PRODUCTION wote lazima tufike Mombasa pia naamini Boss hautatuacha @anisetbutati😁😅😅😅
Tunakuja Mombasa team mzima ya BUTATI MUSIC PRODUCTION kutoka manzese daresalam Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@butatimusicproduction2129 😆😆😆😆😆😆adm wa Leo nimesha mjua anapenda safar Sana😆😆😆🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@@zakariakayanda8732 Safari ipo Kwa wote karibuni Mombasa tupepee ndani ya Baraka teletele za Mtumishi Butati mwezi Disemba mwaka huu tafadhali 🙏💖🎊🥳🥰🥰🥰
@@butatimusicproduction2129 karibuni Mombasa tupepee pamoja watu wangu 🙏🙏🙏🙏
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tupo , natutaendelea nyimbo zako Butati, Naona nikipepea Kama tai.
Hii kazi yaani Niraha tupu maana MUNGU Akijibu Nibasi hakuna wakuzuia Nikupepea Tu 🎉🎉🎉🎉🎉
😆😆😆😆😆😆kabisa ndugu Mungu akijibu ni kupepea tu ndani ya YESU
Kabisa kabisa
Kinacho baki n KUPEPEA tu
@@zakariakayanda8732 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wangap mnasubir Kama Mimi hapa napepeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wangap twangojea hapa
Tuko wengi tu hapa
Wengiiii tu
@@zakariakayanda8732 😅😅😅😅😅 mzee wa napepea Kama tai
@@zakariakayanda8732 mhhhhh sawa😁😅
BARIKIWA SANA RAFIKI YANGU NIKIKUMBUKA MAISHA TULIVYOKUWA WOTE SHULE SIO RAHISI HAKIKA MUNGU ANAJIBU KWA KISHINDO THEN TUNAPEPE
Nyimbo nzuri Sana ❤ Niko Kampala Uganda
Kampara kampara tumewapokea vilivyo hapa Tanzania na tunawakaribisha sanaaaa mje mfanye collaboration na watanzania🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤from Burundi🇧🇮
Waooooo karibu tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asanteni jama yangu🙏
@@aimecesaire7197 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waaaaaaaao so fire🥰🥰nyimbo nzuri Sana bro mbarikiwe
Kabisa Kaz n nzur
Mungu azid kuwabariki Zaid na zaidi
@@ruthinesspeter132 waoooo Ruth kumbe uko hapa tulikumisss
Kabisa Kaz ni nzur
PONGEZI SANA, NYIMBO YABARAKA.... MUNGU AKUBARIKI PAMOJA NA UDUMA YAKO 🇰🇪🇰🇪🍒
Kabisa pongezi nying kwao kazi Kubwa
Mungu azid kuwabariki sana
@@ruthinesspeter132 kabisa
@@ruthinesspeter132 amen amen tumezipokea na asanten kwa saport Kubwa Mungu awabarik sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tulioisikia wapo radio tukakimbilia hapa like pale👉
Waoo Mungu ajibuye maombi yetu, tunamshukuru saana yeye ametutendea hata ambayo hatukuyaomba 🙏🙏🙏
nasonga mbele mabaya yenyu ndie baraka zangu
Tupo hapa tunangoja napepea
Kaka yangu, Mungu akubariki sana n'a hii nyimbo
Wow, iyi Moya ni 🔥 be blessed
Maombi maombi Mungu amejibu maombi..Mungu amenikumbuka🎶 so powerful song 🔥..keep it up man of GOD real love your songs God bless you.
Tuna pepeea pamoja
Ameeni.haleluyaa
🎉🎉God bless you brother I love this song I the best for me in this year Mungu akubali Sana kwa ujumbe wako 🎉🎉🎉🎉
God grant you more blessings to you for a niceable song🙏🙏
Aisee umenipa hamasa tena ya kusimama na kuendelea wimbo mzr hapa nauskilizia tu kwenye speano yangu 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Amena amen Mungu akupe kusumama na kufanya kazi yeke Tena
Simama jitie nguvu safar bado inaendelea 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Acha Mungu akupe kupepea kila kuitwapo leo.
Kazi yako ni njema Sanaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kabisa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ameeeeeeeen........wimbo huu umenibariki sanaaaa bro watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masaaaa ndio haya ya kupepea
Masaa yamewadia kabisa
Bado dadika chache tupepeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kuna sirikubwa ndani ya maombi,Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙌🙌👏👏🤲🤲🫶🫶🫶🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kabisa
Kuna sir Kubwa katika maombi
Wow. This. Is. Soo. Uplifting may god. Continue. Anointing. You. Butati. For. The. Glory. Of his name.
Tuko tayari
Kuna katoto hako kameitendea nyimbo hii kazi kamelembua sana jmn 🔥🔥🔥🔥
Ombi la moyo wangu nikufanya collabo na wewe mtumishi butati🎉🎉,nice song,acha mungu akuinue zaidi katika huduma hii.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukweli husemwa huu wimbo ni mzuri hila kuna sehemu hao wadada wamevaa vibaya sanaaa😭😭 nguo za mipasuko km wakristo sio poa wakati mwengine msifanye hivyo na Mungu awabariki 🙏🏽🙏🏽 #injiliYaKristo
Mungu axidi kubariki nyimbo xako xanitia moyo Sana.
MUNGU Akikuinua Hakuna Wa Kukushusha Amen 🎉🎉
Wimbo huu wanitia moyo licha ya changamoto nayo pita najua mungu yu pamoja nami
🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja wapendwa wa Mungu nawependa❤👏
🇰🇪🇰🇪 barikiwe sana butati mungu akuinue ungae kama nyota👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri sana Amejibu Maombi
Mungu akubari kweli Mungu amejibu maombi yangu
FOR SURE ITS PRAYERS THATS MAKES US TO BE WERE WE ARE BECAUSE HE LISTEN TO OUR PRAYERS LISTENING FRM ZAMBIA
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 indirimbo nziza canee numva ndayikunze pee. Maombi. Mubarikiwe
Very powerful message for sure God answers our prayers napepeaaa❤❤❤
Ubarikiwa mtumishi,huu wimbo wabariki moyo wangu
Waimbaj wanao mtukuz YEHOVA kuwen makin na vt mnatumia kwajil ya kupendezesh man xhetan anamitego ming ya kuwanas watu wa MUNGU nikiaz na hicho kit umekalia,
Mungu akuinuwe mimi ni Ezéchiel toka congo
Ubarikiwe sana MTumishi wa MUNGU Kwa wimbo mzuri sana
Ubarikiwe sana
Hongera San kaka kwakazi nziri ya bwana🌄🌄🌌
🎉🎉🎉🎉🎉ameen Mungu nikumbuke na Mimi .
Kupitia wimbo huu naamini tumesha kumbukwa kabisa
Mungu amesha jibu maombi Yetu kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@JosseeNaftari-zg4nf aamen🙏🙏🙏🙏
Kenya tupo ,asante sana 🙏na soso maombi yetu yajibiwe na mungu
Amen Asante sana
Tunaamini Mungu Alisha tenda
Ameeen hakika MUNGU amejibu na ataendelea kujibu
Hongera sana mtumishi ila ayo mashanga ya shikamo usivae tena yanakupunguzia. Utukufu
Upako huu ni Bora sana hakika nimebarikiwa mno , barikiwa sana na Mungu
KAZI Safi Aniset butati and zakari mungu awabariki watumishi nasikia kutoka kenya
Twasubiri kupepea Pamoja
Maombi maombi amejibu maombi🤲🤲🤲
Wimbo umenitubariki Sana lakini wadada mavazi yenu hajatubariki aniset ubarikiwe sana
Chombo kwa hewa
Mwendo wa kupepea
Ameeeeeeeen nimebarikiwa sanaaa l love your songs Man of God. Mungu akujaze nguvu
Kabisa
Tunazidi kubarikiw kw utukufu wa Munguu🙏🙏🙏
Kabisa kabisa🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Hallelujah ,Yesu ni Mfalme... Hello Ukurasa mpya
Wanawake wamevaa nguo fupiiii wameharibu upako wa wimbo
Good song indeed it carries a strong message that prayers are powerful am blessed keep the fire burning.
My song for this season 🙏
Honger sana mungu akuinue zaidii unanibariki sana na nyimbo zako
Hongera sana Zacharia Kayanda❤❤,, mmefanya kazi nzuri sana🎉🎉
Yeeec ❤hakika amejibu maombi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌🙌
Kabisaaaaaa maombi yamejibiwa vilivyo
Hapo safi wimbo unaneno nzur ubarikiwe
Ongera sana rafiki yangu Mungu akuinue zaidi na zaidi
🎉🎉🎉🎉 hallelujah 🙏🙏🙏 powerful
Kabisaaaaaaaaa
Hakika utukufu had utukufu
Utukufu had utukufu kwa uweza Wa Mungu
Hakika ni utuku Hadi utukufu Mungu amejibu maombi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
MUNGU Azidi kukuinua zaidi 🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤ kaz njema sana Mungu hawabarik
Awesome,wimbo mtamu sana ..mungu akutumie sana kaka
🙏🙏🙏nakukubar sana aniset
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu kwa Kazi yako njema Sana
Baba Mungu akubariki sana Asante kwa neema kubwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi🇹🇿
Mungu aku bariki Kaka.
Wow 😲 nice one,,,nainjoy nikiwa Kenya
Kaka kazi nzr hongera endelea kubariki mioyo
Booonge la ujumbe barikiwa sana✊
Kabisa
Slam aniset nyimbozako zinanifarijisana asantekwako
❤i tap will come back with a testimony🎉🎉