Ndio maana huwa namwomba Mungu nisiwe na tamaa. Tamaa itafanya niibe,niingie kwenye mambo mabaya . Naomba nitosheke na nilichonacho. Kwa Wakati wake atatenda. Kama si leo ni kesho. Amina
Mungu akubark saana mtumishi.Wimbo huu unantoa machoz ya maumivu makali.Kuna wkt pia nami nlipokonywa Mali zote na kuachwa na watoto wangu wawl.Sababu kubwa nltakikana kumuacha Yesu niingie Kwa uislamu Ndio nregeshewe Mali zao.Nliamua kuachana na Mali na kubaki na Mungu.Nashkuru Mungu maisha ynaendelea.So,tusiache Yesu sababu ya Mali.Mungu ana Kila kitu.B blsd so much servant of God.Much love from Kenya.💕💕💕💕🥰🥰🥰
Kazi nzuri sana bro big up sana na ni moja kati ya watu wanaofutilia kazi zako ila direct kazingua kwenye nyimbo ni gospel mtoto ametumia hijabu umo ndan hakuzingatia icho
Ameen, mke au mme askufanye umwache mungu uyo siomke mana maandiko yanasema atakae vumilia mpaka mwisho ndie atakae iona mbingu ivo subili uone utimilifu
Ndio maana huwa namwomba Mungu nisiwe na tamaa. Tamaa itafanya niibe,niingie kwenye mambo mabaya . Naomba nitosheke na nilichonacho. Kwa Wakati wake atatenda. Kama si leo ni kesho. Amina
siwezi kumwacha Mungu Kwa Maisha mazuri na tamaa za dunia😭😭😭😭My favourite verse
ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html
🥰🥰🥰🥰
we nenda
😭😭😭😭mungu akulinde na akuinue zaidi tujifunze kupia wewe uendelee kutufumbua macho hakika wanao kusema vibaya mungu awasamehe
Shida gan mama maisha siri ya Mungu subiri uone yajayo Mungu saidiya ndugu kwa tatizo hilo kuachwa uku akisema awezi kuacha.
Siwesi kumwacha Mungu Kwa Tama ya maisha mazuri, Bora nibaki na Mungu wangu. Wimbo zuri kabisa🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Siwezi kumuacha Babangu Mungu
calender yangu ipo na majira yangu yapo🤲namwamini Mungu 🧎♀️barikiwa sana una kipaji kweli Mungu aendelee kukuzidishia na kumimina baraka kwako🙏🙏🤲🔥
Ubarikiwe sana mtumish inahtaji neema ya mungu kuelewa hlo japo Ni ukweli mtupu
Siwezi kumwacha Mungu kwa tamaa ya maisha mazuri we nenda❤❤❤❤❤
Kaka umeyaimba maisha yangu yote yalonitokea mwenzi mmoja ulopita 😭😭😭😭😭 oooohhooo!!!! Siwezi tengana na Mungu coz namwamin atanipa alozaidi yake 💪💪💪
Same to me
Pole na hongera kwa ushindi kaka
@@josephinemichael1514 barikiwa sana
Wimbo mzuri ,Mungu wawakati sio wapapala
Ujumbe mzuri Sanaa wa kumfanya mtu awe na msimamo.
Ameen ameen Kaz nzli sana kaka mngu akubali sana
Japo sijaoa lakini wimbo huu unanigusa sana!♥️👏🙌🎶🕊️
Hongera sana nimependa nyimbo zako my frend
Mungu akubariki bro nyimbo Zako zi natubariki sana stay blessed bro
Amina Amina Amina 🙏🙏wimbo mtamu ulio na habari njema
Huu wimbo una mafunzo mengi sana kwa sisi vijana wa sai
❤❤❤❤❤
safi sana brother imenigusa sana ii
Wimbo Zakozinaenderea kunijenga sana nakunigusa sana
Amen mungu kwako kuna kila kitu Barak zatok kwako.
Nimesikiliza huku nacheka 😅,japo kuna ujumbe wa moto.....
What an inspiration Butati??? always Serve Jesus Christ Son Of Living God.
Barikiwa sanàaaa
Mungu akubark saana mtumishi.Wimbo huu unantoa machoz ya maumivu makali.Kuna wkt pia nami nlipokonywa Mali zote na kuachwa na watoto wangu wawl.Sababu kubwa nltakikana kumuacha Yesu niingie Kwa uislamu Ndio nregeshewe Mali zao.Nliamua kuachana na Mali na kubaki na Mungu.Nashkuru Mungu maisha ynaendelea.So,tusiache Yesu sababu ya Mali.Mungu ana Kila kitu.B blsd so much servant of God.Much love from Kenya.💕💕💕💕🥰🥰🥰
Mungu akubariki sana sikila mutu uliitwa kweli
ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html
Daaa Mungu akubariki
Amen and mtumishi 🙏 mungu akutendeye ,, haha ya moto wako ,, ata mm siezi achaa mungu Kwa ajili ya mambo ya Dunia ,God bless you,I love your songs
Mungu wetu ni mwaminifu na ujumbe Ni mzuri mno
Oooh!!! God is faithfull, siwezi kumwacha Mungu kwasababu ya tamaa ya maisha💕. Ooh Mungu akubariki mtumishi umenitia moyo nitasonga mbele
God rain you a bunch of blessings 4you are good job🙏🙏
Amazing sana yani daaa nmependa sana barikiwa
Yesu akutunze Sana kakaangu....Nyimbo zako zinaujumbe mzito....ni nyundo Kwa shetani.
Ubalikiwe, nyimbo zako na zierewa sana.
Huu wimbo umenigusa sn mtumishi
Mungu akuinue tu🙌🙌
Nyimbo kalii saana inafundisho kubwa mno
Nenda maman wengine wapo hawapiti hinjo kidogo ulicho pewa😢❤
Yani hapa umesema kweli kabisa acha tumtegemee Mungu hili ni mbonge la wimbo barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Waouah nendatuu mimi nita ngangana na Mungu wangu
Wow wow Hongera Rafki yangu nyimbo Nzuri sana barikiwa mpaka ushangae🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘
Umeupiga mwingi kazi nzuri sana
Congratulations 🎉 I just love your songs ,,,, may God lift you to reach pple over the world ,,,, God bless you Aniset
ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html
Amena kaka kwa wimbo nzuri
Siwezi kumwacha Yesu we nenda tu😭😭 🙌🙌 Congratulations 👏
Kaka
💥💥💥💥💥
Yametukuta maishani live butati sijui uliwaza Nini hii nyimbo
Nimeisikiliza vizr sana huu wimbo aseee nimejiona mimi kabisa 😂 😂 😂 😂 ilinitokea mwez wa 5 tu hapa juzi aseeeee
Siwezi kumwacha Mungu,wee Nenda.Mungu ndiye mwenye baraka.Wakati ukifika umbariki mtu sawasawa kabisa
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 depuis RDCONGO ubarikiwe
🙏🙏🙏simwachi Mungu mm nabaki na Mungu 🙏🙏💕
Barikiwa nyimbo zako nzuri sana
Aniset you never disapoint una lyrics zlizoenda shule na chuo pia Roho Mtakatifu azidi kukuongoza
Ayo ndo maisha nimudani namume wangu kwer naona Niko mumajimalefu .Kwa made it sababu watoto walee
Hongera kaz nzur sana
Love your blessings ❣️🙏 MUNGU akubaliki
😢wimbo nzuri kweli inanifanya nafeel kulia,,enyewe ziwenzi kumwacha mungu
vido dope sana hiiii itakua
Amen,siwezi kumwacha Mungu,we nenda.....Barikiwa Sana mtumishi
Barikiwa sanaaaaa my kaka
Ubarikiwe Sana ndugu,,wimbo hui umenitiya moyo sana,ubarikiwe saaana.
Enyewe mimi nami nimekataa siwezi acha Mungu uepo wangu ni yeye achana naye 🙏🙏🙏
Ubalikiwe sana mtumshi Wa mungu kwa nyimbo zako za ujumbe tunabarikiwa sana
Bro! Ubarikiwe duuuhh nimetokwa na machozi,kamwe hatutamuache Mungu kwa tamaa Za Dunia, sisi wapitaji tu...
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yooo mungu njo chef wenendatu
Good news mungu akubaliki
Aende kabisa. Mungu hachelewi wala hawai. Nenda kabisa.
Ubarikiwe Sana mdogo wangu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Makin Sana ii
Nyimbo nzuri sana
Ni kazi ya baraka sana hii!👏
Aniseti wewe ni mtumishi kweli
Ouahhh, siwezi ku force wakati
hongera Sanaa Ndugu
Kazi nzuri sana bro big up sana na ni moja kati ya watu wanaofutilia kazi zako ila direct kazingua kwenye nyimbo ni gospel mtoto ametumia hijabu umo ndan hakuzingatia icho
Saf San ujumbe mzitoo❤❤❤
Ubarikuwe wimbo muzuri🙏🙏
Hongela kazinzuli
Butatieeeee Kaz yako njema sanaa Mungu akubariki mnoooo❤️
Umenibaliki sanaaaaaaaaaaaaa
ATA maishi yawe magumu vipi siezi muacha mungu
Mungu ndio msafisha nyota pekeake hao wengine ni upepo wa kipindi tu ✍️
Barikiwa sana kk
Blessed bro kazi nzuri
Hakuna kupoaaa
Ameen, mke au mme askufanye umwache mungu uyo siomke mana maandiko yanasema atakae vumilia mpaka mwisho ndie atakae iona mbingu ivo subili uone utimilifu
Iko vzr mtumishi pia hata ujembe wanyimbo ni mzr
Siwezi kumwacha Mungu Wangu eti Kwa sababu ya Tamaa ya ulimwengu.
Watu wengi wanapaswa kupata huu ujumbe, utakaowatia nguvu, na uwezo kusonga mbele. Wasimwache Mungu KWA hali yeyote ile. He is faithful
Barikiwa sana kwa wimbo mzur Mungu akuzidishie
Mungu ni kila kitu
ANISETI mungu akuongeze zaidi siku za uhai ili huduma yako iwepo zaidi,hongera sana kaka
Mungu alibariki mtumishi
❤aniset butatu hongera sana
Anaegawa riziki ni Mungu mwenyewe ninavyo ishi leo sivyo nitaishi kesho😭😭😭
Heri nibaki na Mungu
Namwamini Mungu....God always comes through 🤲🙏
@Anisetibutati keep it up 💯 💪
Jambo , nimebarikiwa sana kaka kwa wimbo huu ni historia tosha katika yale nilio kutana nayo kwa ajili yaku mwamini YESU
siwezi kumwacha MUNGU
Mungu azidi kukuinua
salute kwako, hakika usimwache Mungu hata pale atakapokuinua ndugu
Nimemwaga machozi sana 😭😭siwezi kumwacha mungu
This is the really situation we are facing we as believer may God wipe away our tears in Jesus name😭😭🙏🙏🎉🎉❤❤
Nyengine tenaa