Aniset Butati ft Zakaria Kayanda- Litatimia (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 351

  • @annamwaipaja1662
    @annamwaipaja1662 2 роки тому +44

    Kama Mungu amefanya jambo juu yako kupitia wimbo huu gonga like Kubwa hapa sasa

  • @zakariakayanda8732
    @zakariakayanda8732 2 роки тому +10

    Hakika alilo panga Mungu lazima litimie

  • @bigsheshe8694
    @bigsheshe8694 2 роки тому +9

    Unafanya Vizuri sana akipanga amepanga Ubarikiwe Mtumishi wa mungu

  • @gospelsharom9318
    @gospelsharom9318 2 роки тому +8

    Kwa msaada wa mungu kila upangalo lazima litatimia kwa ukubwa amen

  • @grolykanuti3369
    @grolykanuti3369 2 роки тому +8

    Mtetezi wetu yupo kwa kila nyakati tunazo pitia na kila tunachokiomba Ufanikisha kwa wakati Barikiwa mpendwa 🤝🤝

  • @danielpetersamson
    @danielpetersamson 2 роки тому +4

    kuna nyimbo aniseti aliimba kuwa maisha ni kama gwaride wa kwanza anakuwa wa mwisho inaitwaje jamani?

  • @mrishompotodaily7791
    @mrishompotodaily7791 2 роки тому +6

    Kweli Jicho la Mungu linatazama wakati wote ,Yote yanawezekana kwa imani 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @bakarimgaza3282
    @bakarimgaza3282 2 роки тому +3

    Video nzuri sana huyu mama kacheza vizuri mtumishi pia umeimba kwa hisia sana mungu akungoze katika huduma yako

  • @josephmzirai1566
    @josephmzirai1566 2 роки тому +2

    Mungu akuongoze kwa kila ufanyacho mtumishi Nyimbo zako zinatupa baraka sana

  • @danielmatei1801
    @danielmatei1801 2 роки тому +3

    Paliko na utukufu wa mungu lazima litatimia 🤲🤲🤲

  • @hellisshemzigwa5383
    @hellisshemzigwa5383 2 роки тому +3

    Hongera sana aniset kaka ww umekuwa daraja kwa waimbaji wadogo naomba zidi kunyenyekea uwe baraka kwa watu taji ipo Ubarikiwe sana

  • @clemencemlindima3344
    @clemencemlindima3344 2 роки тому +4

    Watumishi hongereni sana video ni ya 🔥 sana

  • @butestore566
    @butestore566 2 роки тому +10

    Nikisikiliza wimbo huu unanitia sana moyo katika maisha nayo pitia kweli litatimia 👏👏👏👏

    • @zakariakayanda8732
      @zakariakayanda8732 2 роки тому

      Kabisa LITATIMIA

    • @luganobingson8045
      @luganobingson8045 Рік тому

      Kweli nabalikiwa Mimi na nyimbo zako kaka mtumikie mungu akupe upeo zaidi ubalikiwe

    • @luganobingson8045
      @luganobingson8045 Рік тому

      Nafalijika sana nikiskliza wimbo wako katka mapito nayo pitia najikuta nalejea kwenye amani mungu akujalie maisha malefu Mimi lugano mkowa wa songwr

  • @marianamasha2550
    @marianamasha2550 2 роки тому +3

    Nyimbo nzuri sana 👍 love from Kenya

  • @masterkey536
    @masterkey536 7 місяців тому +1

    Uhakika boss

  • @sadreckamani4764
    @sadreckamani4764 2 роки тому +4

    Ubalikiwe butati naenjoy sana nyimbo zako

  • @kilionakombu9962
    @kilionakombu9962 2 роки тому +3

    Ni kweli alilo panga Mungu lazima litimie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ruthnessmorongaa9444
    @ruthnessmorongaa9444 2 роки тому +3

    Amen Amen ujumbe mzuriiiiiiiii sana wakutia moyo alilopanga Mungu litatimia Amen,, Mungu awainue juu zaidi,🙏🙏

  • @directorinyangeadriano5031
    @directorinyangeadriano5031 2 роки тому +3

    Waoohhhh..hongereni sana kwa kazi zuri

  • @giftmwamba601
    @giftmwamba601 2 роки тому +3

    Kazi nzuri sana kaka hakika Litatimia

  • @aarpp4907
    @aarpp4907 2 роки тому +4

    Mungu wangu ulichonipangia kwa maisha yangu naomba litimie😭😭😭😭😭😭🤲🤲Yesu usiniabishe tamanio langu walijua

  • @evencemangamwachia1617
    @evencemangamwachia1617 2 роки тому +2

    Akikubeba yesu uko salama....nmeona ili kwa maisha yangu...ata wainuke wangapi..mungu atatimiza makusudi yake tu....mapito.. tu

  • @enock783
    @enock783 2 роки тому +5

    Kalibun butati I love you Enock from Burundi bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @geniustv2860
    @geniustv2860 2 роки тому +5

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Kwa Huduma Yako ni njema 🔥🔥🔥

  • @jamesbahati3639
    @jamesbahati3639 2 роки тому +1

    Ahsante wimbo mzuri

  • @Cosmas_Kayamba
    @Cosmas_Kayamba 2 роки тому +3

    Kati ya jumbe pendwa zaidi ni USIOGOPE!!
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!

  • @kelvingodsonnangwa6162
    @kelvingodsonnangwa6162 2 роки тому +2

    Mungu azidi kuwainuwa zaidi watumishi wa mungu

  • @desaumwaweza
    @desaumwaweza 2 роки тому +3

    Hongera sanaa kazi nzuri

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 2 роки тому +2

    Ameen hakuna wakupangua aliyo yapanga mungu.lazima litimie🙏

  • @ruthinesspeter132
    @ruthinesspeter132 2 роки тому +4

    Alilo panga Mungu lazima litimie barikiwen sanaaaaaaaaa

  • @Bettvincent59
    @Bettvincent59 11 місяців тому +2

    May the unemployed find a job, may the sick be healed, and whoever reads this message be blessed 💚

  • @enezamusicofficial26
    @enezamusicofficial26 2 роки тому +6

    Encouraging item.....
    Kenya well represented

  • @gracelinda1460
    @gracelinda1460 2 роки тому +3

    Nimesikiza mwimbo Hadi nimerudia mara mingi nafurahia wimbo nikiwa Kenya likes yea Aniset butati

  • @francymwaka600
    @francymwaka600 2 роки тому +2

    Naupenda sana wimbo huu jamani yaani kwa ufupi naenjoy

  • @saumujefferson4823
    @saumujefferson4823 2 роки тому +1

    Kweli buteti kazi nzuri sana kaka mungu azidi kukuonekania.

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 2 роки тому +1

    Hakika hakipamga MUNGU mii nani nopinge mung awabaricki mnooo Kaz nzri mnooo 💥💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MajaliwaMtondo-t3b
    @MajaliwaMtondo-t3b Рік тому +1

    Aya bana

  • @jessicamahone7599
    @jessicamahone7599 2 роки тому +2

    AMEN🙏 Nyimbo imenibariki sana

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 2 роки тому +1

    Hongera sana kaka

  • @gracelinda1460
    @gracelinda1460 2 роки тому +12

    Nice song watching from kenya

  • @jojokelvin5993
    @jojokelvin5993 2 роки тому +1

    Wimbo mzuri sana

  • @bollltok
    @bollltok 2 роки тому +3

    Barikiwa Sana Butatiiii

  • @eunicenakhayali8659
    @eunicenakhayali8659 2 роки тому +7

    A true reminder to keep waiting for at the right time God will make it happen..😇

    • @chebetmaiyo7435
      @chebetmaiyo7435 2 роки тому

      Indeed, wait upon the Lord

    • @aarpp4907
      @aarpp4907 2 роки тому

      God's time iz de best,,am waiting for God's time 🙏

  • @rosinawawuda7432
    @rosinawawuda7432 2 роки тому

    Thanks for the Sweet Song.Nasikia Kutoka Kenya Yetu Given By Baba Katika Jina LA Yesu Aliye Hai.Barikiweni Zaidi

  • @kasunimusyoka
    @kasunimusyoka 2 роки тому +2

    Kweli kabisa alilopanga mungu lazima litimie✍️

  • @mozehnegelo7915
    @mozehnegelo7915 2 роки тому +1

    nyimbo nzuri bro👏👏

  • @daudimasumbuko576
    @daudimasumbuko576 2 роки тому +1

    Mmenibariki saana kwa kweli nyimbo ni nzuri sana endelea hivi mtu wa MUNGU

  • @julietkhaminwa8641
    @julietkhaminwa8641 2 роки тому +2

    Amina kabisa mungu akipanga nilasima litmie

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 2 роки тому +1

    My brothers mmejua kunibless nawapenda Sana 🥰🥰

  • @KITALAMBOAPPTANZANIA
    @KITALAMBOAPPTANZANIA 2 роки тому +3

    Tunaye Mungu Atushindiae Kwa Kila Jambo Siku Zote 💣💣💣💣

  • @rechelabisay2873
    @rechelabisay2873 2 роки тому +1

    Hakika Alilo panga Mungu Lita Timia Balikiweni Sana Watu Wa Mungu

  • @yvonnejoyce
    @yvonnejoyce 2 роки тому +1

    Amen 🙏 yenye mungu amenipangia lazima litatimia Kwa imani 🙏 hata mwanadamu apinge lazima litimie thanks for a wonderful song and may God bless you 🙏

  • @tausijuma916
    @tausijuma916 2 роки тому +1

    ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥nyimbo nzuri

  • @raymonndchilwa1441
    @raymonndchilwa1441 2 роки тому +1

    Imekuwa ya kufariji sana hii nyimbo Mungu awabariki

  • @evalinjosia9520
    @evalinjosia9520 2 роки тому

    Zakaria na Butati Hakika Roho Mtakatifu anazungumza Nanyie kupitia Huduma Hii Ninazidi kubarikiwa kupita maelezo 🙌🙌🙌🙏🙏

  • @amaninyambulapi3650
    @amaninyambulapi3650 2 роки тому +2

    Hakika ni wimbo mzuri sana na wenye faraja.
    💯 Mungu atujalie kupambana vyema

  • @Sahammer
    @Sahammer 8 місяців тому

    I am perplexed that this hit underscores 300k views. A masterpiece herein

  • @rosehudson8286
    @rosehudson8286 2 роки тому +4

    Unafanya Vizuri sana Katika Muziki wa Gospel Kaka Butati Mungu Azidi Kukuongoza Kila Hatua Barikiwa #Litatimia 🙌🏽🤝🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @PapaTheKingKenya
    @PapaTheKingKenya 2 роки тому +1

    Kenya 🔥🔥🔥🔥 tuko hapa

  • @rosinawawuda7432
    @rosinawawuda7432 2 роки тому

    Napenda Huu Wimbo Nimepewa Na Mungu Wetu Aliye Hai Yaani Ya Mwaka Mpya 2023 Barikiweni Sana.Nasikia nikiwa Kenya Yetu.

  • @berthanzowa8760
    @berthanzowa8760 2 роки тому +1

    Litatimia 🔥🔥🔥

  • @yvonnealusa5300
    @yvonnealusa5300 2 роки тому +3

    Weeeeeuuu the song is on fire may God continue blessing u while u here spreading the word watch this in n wcb love from kenya

  • @dominicstiven5275
    @dominicstiven5275 2 роки тому +1

    Is very big in Gospel music, may God guide you in every way🔨🔨

  • @samwelimbazi2641
    @samwelimbazi2641 2 роки тому

    Hii ndio inaenda kuwa kolabo bora ya kufunga mwaka huu 2022 ikiwa unamini hilo Gonga Like Hapa

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 2 роки тому

    AAA.ubarikiwe.sanaaaa.kwa.ujumbe.mzuri.mungu.akuongezee.na.siku.za.kuishi.haleluyaaa

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 2 роки тому +1

    HALLELUJAH!..

  • @Paulsingers7930
    @Paulsingers7930 2 роки тому

    Uakika Mungu ni Mungu tu mambo anayo yafanya juu yangu ni makubwa sana ubarikiwe butati ujumbe safi

  • @jonathanmwangi6418
    @jonathanmwangi6418 2 роки тому +1

    kweli vita ni mingi ila Mungu anatuwezesha kupenya katika kila jaribu

  • @rachellebucumi3320
    @rachellebucumi3320 2 роки тому +1

    I'm in Australia like you song.

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 2 роки тому +1

    Wimbo huu mtam san

  • @chrispinmuhuna6205
    @chrispinmuhuna6205 2 роки тому +2

    Finally the video is out
    Good job brothers
    May God bless you

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 2 роки тому +1

    Ñice 👍 song 🎸 keep up the good work of spreading the Gospel of God 🙏 my Gospel star ✨✨✨🎙️......

  • @majiamoshi7421
    @majiamoshi7421 Рік тому

    Nimebarikiwa Kwa wimbo wenu mzidi kusonga mbele japo nasisi tunatamani sana kufikia hatua yenu.

  • @ezluckvoice1110
    @ezluckvoice1110 2 роки тому

    Hii nyimbo nimekuelewa sana Mungu atukuzwe kupitia nyimbo hii🙌

  • @adamsimon5095
    @adamsimon5095 2 роки тому +5

    Hallelujah 🙌🙌🙌 Hakika nimebarikiwa sana na nyimbo hii! Wakati Wa Mungu Ukifika Linatimia Mubarikiwe sana Watumishi! 🙏

  • @pstelphasumwela7946
    @pstelphasumwela7946 Рік тому

    Hakuna wa kuzuia mipango ya Mungu.Mungu atatimiza

  • @adelasilota2845
    @adelasilota2845 Рік тому

    Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nimebarikiwa na nyimbo

  • @shamyabduly8338
    @shamyabduly8338 2 роки тому +1

    Litatimia akuna ngumu kwake

  • @pastorlawrancemarango6817
    @pastorlawrancemarango6817 Рік тому

    Wimbo mzuri sana Kaka mungu na aendelee kukupea nguvu

  • @kimoisheila2117
    @kimoisheila2117 2 роки тому +1

    Kazi safi brother...amazing 🔥🔥🔥👌👌👌

  • @jonathanvyaranse2668
    @jonathanvyaranse2668 2 роки тому +2

    Litatiamia tu

  • @daudikaduma460
    @daudikaduma460 2 роки тому +1

    The song has a very good message to all,give likes to this song!! Aise

  • @clairemakotswi9666
    @clairemakotswi9666 2 роки тому

    Thank God 🙏 I know you can't leave me alone I'm sure the end of my life you will Bless me too this is the nice n lovely song hallelujah be blessed the man of God 🙏

  • @pendobalalita5963
    @pendobalalita5963 2 роки тому +1

    Amina sana mtumishi wimbo unabarki sana

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 2 роки тому +1

    Ameni,Mungu awabariki sana

  • @butatv6961
    @butatv6961 2 роки тому +2

    LITATIMIA

  • @HassanLikaluka
    @HassanLikaluka 7 місяців тому

    Jamaaniii nyimbo zahuyu kaka aniset zinanikosha sana

  • @methodmeshack5164
    @methodmeshack5164 Рік тому

    Hakika mungu hubadilisha kila kitu kwenye maisha

  • @rebeccaemmanuel3184
    @rebeccaemmanuel3184 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumish nabarikiwa na huduma yako

  • @witnessmjema4188
    @witnessmjema4188 11 місяців тому

    nabarikiwa na hizi nyimbo Mungu azidi kukuinua

  • @lolomasangu5720
    @lolomasangu5720 2 роки тому

    Gloire à Dieu itatimiya alilo panga Mungu pa maicha yangu

  • @heriethgaspar4530
    @heriethgaspar4530 2 роки тому

    Ameen barikiwa watumishi wa Mungu🙏

  • @3816
    @3816 2 роки тому

    Filling grateful to the Lord while lesting to this song, More grace Sir Butati, 🇰🇪🇰🇪

  • @cizaisaie8117
    @cizaisaie8117 2 роки тому

    Wimbo huu umenipa moyo mungu awabariki

  • @tabithamaina6317
    @tabithamaina6317 2 роки тому +1

    A very encouraging song. May God bless you

  • @rosematembo4650
    @rosematembo4650 Рік тому

    Mungu,akuinuwe,nawe,piya,ujumbe,mzuri,sana

  • @jojokelvin5993
    @jojokelvin5993 2 роки тому

    Alipangalo Mungu uwezi kupangua

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 2 роки тому

    Mungu atatenda kwa wakati unaofaa

  • @zaburonimeshacki5917
    @zaburonimeshacki5917 2 роки тому

    Akika kweli ritatimia mtumishi barikiwa

  • @gloriarose8606
    @gloriarose8606 2 роки тому +2

    Amen and Amen be blessed