Maombi ya Ujazo wa Roho Mtakatifu by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лис 2019
  • Haya ni maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu tuliofanya siku ya mkesha wa tarehe 4/10/2019. Ni maombi yenye nguvu sana kwa imani utapokea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amina.
    "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi."
    Matendo ya Mitume 1:8
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link: / holyspiritconnect
    Facebook Link: / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 172

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 Місяць тому

    AMEN 🙏.....AHSANTE ROHO MTAKATIFU...NINAFUNGULIWA SANA KUPITIA HAYA MAOMBI
    BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU 🙏❤

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 3 роки тому +10

    Amina nimetikiswa viganja na nyayo vimewasha nmenena kwa lugha ,,machozi na kamas zimetoka,,,tumbo lilikuwa la moto endelea kutufundisha barikiwa sana ,,,MINGU AKUINUE KWA VIWANGO VINGINE

  • @fatmaally4673
    @fatmaally4673 10 місяців тому +1

    Nashukuru MUNGU kuona haya maombi nimenena kwa lugha kwa mara ya pili maishani mwangu Asnte MUNGU asante ROHO MTAKATIFU 🙏

  • @sizalaiser1947
    @sizalaiser1947 3 місяці тому +1

    Yesu kristo nijaze roho wako mtakatifu

  • @MariamMZIMBA-zf5ev
    @MariamMZIMBA-zf5ev 4 місяці тому

    Amen napkea kujazwa nguvu

  • @milembeanthony4518
    @milembeanthony4518 3 роки тому +2

    for my first time kunena kwa lugha thank you holly spritt thank you Jesus

  • @valentinavalentino4941
    @valentinavalentino4941 10 місяців тому +1

    Nipo hapa leo and this video imekua msaada sana.
    Niliamka nikiwa mkavu sana lakini imenisanidia. God bless you mtumish.

  • @thomaskandela6610
    @thomaskandela6610 4 роки тому +9

    Mungu asifiwe sana kwa mala ya kwanza nimenena kwa lugha leo

  • @winifridanicodemo3192
    @winifridanicodemo3192 4 місяці тому

    Asante roho mtakatifu kwakusema kutumia kinywa changu leo, wapendwa haya maombi yananguvu🙏

  • @marcelastephen4247
    @marcelastephen4247 3 роки тому +2

    Nimemwona Mungu kupitia ww ktk somo la Maombi

  • @user-bl7xu3iu3e
    @user-bl7xu3iu3e 4 місяці тому

    Naminapokea kunena kwa lugha kwajina layesu

  • @catherinemaro9429
    @catherinemaro9429 4 роки тому +12

    Barikiwa mtumishi, na mm Leo nmejazwa na Roho Mtakatifu kwa Mara ya kwanza nmenena kwa lugha

  • @VeronikaNjiku
    @VeronikaNjiku 6 місяців тому

    Ubarikiwe

  • @anethsankonga9226
    @anethsankonga9226 3 роки тому +1

    Amen mtumishi ubarikiwe tumekumic huku kiwira tukuyu

  • @theresiadis4869
    @theresiadis4869 4 роки тому +4

    Barikwa mtumishi kupitia hili somo

  • @flaviandyamukama4010
    @flaviandyamukama4010 4 роки тому +3

    Ameen mtumishi kwa mara ya kwanza nami nimejazwa na kunena kwa lugha kweli Mungu ni mwema

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 2 роки тому +1

    Mungu nijaze Na Roho mtakatifu

  • @dorcasshelufumo5274
    @dorcasshelufumo5274 2 роки тому +1

    Napokeaaaa nguvu ya ROHO mtakatifu

  • @bahatimwangoka6761
    @bahatimwangoka6761 11 місяців тому

    Aminaaa

  • @KKk-dm1ms
    @KKk-dm1ms 2 роки тому +1

    I kned the holly spirit in and spiking in tongues

  • @lovenessinnocent7832
    @lovenessinnocent7832 2 роки тому +1

    Asante Yesu nimenena kwa lugha

  • @ethelgivamakota7143
    @ethelgivamakota7143 Рік тому

    Amen

  • @mteulemgospel3055
    @mteulemgospel3055 2 роки тому +2

    Be blessed man of God 🙏🙏

  • @lilianflorence5061
    @lilianflorence5061 4 роки тому +3

    Yesu nisaidie nipo tayar na mimi

  • @gatimwita2865
    @gatimwita2865 6 місяців тому

    Baba niteter

  • @SusanAshle-zj8do
    @SusanAshle-zj8do Рік тому

    Hallelujah hallelujah Amen thanks you Holly l love you Holly spirit

  • @annabelnjoki3940
    @annabelnjoki3940 3 роки тому +2

    Thank you Holy spirit and Man of God

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 роки тому +2

    Asante roho mtakatifu

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 8 місяців тому

    Ameen na pokeya roho mtakatifu 🙏

  • @mariammjonde2988
    @mariammjonde2988 3 роки тому +1

    Ameen mtumishi ubarikiwe kwa mara ya kwanza nimenena kwa lugha nifanye ili niendelee

  • @aminam267
    @aminam267 3 роки тому +2

    Mimi ni amina wa yesu 🙏🙏❤

  • @zainbomary3970
    @zainbomary3970 3 роки тому +3

    Ubarkiwe Mtumishi

  • @mgoledaudi6051
    @mgoledaudi6051 4 роки тому +3

    Roho nijawe tena kama siku ya Pentekosti🙏🙏🙏

  • @mkundemsuya2504
    @mkundemsuya2504 4 роки тому +3

    Amen 🙏
    Napokea ujazo wa rohoni

  • @sarahpetro4418
    @sarahpetro4418 4 роки тому +5

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU napata nguvu yakuomba sana ninapo angalia video zako

  • @drlafelamusonda7485
    @drlafelamusonda7485 Рік тому

    Asante yesu nimekupokea roho mtakatifu, usifiwe mungu usifiwe baba usifiwe milele 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @craziest_luxurious
    @craziest_luxurious 7 місяців тому

    Amennn nimepokea kwa jina la yesu

  • @didaksimon5493
    @didaksimon5493 3 роки тому +4

    AMEN AMEN AMEN, barikiwa Sana

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 4 роки тому +7

    Amina kaka, nilishjazwa before but this time it was different, oooh my GOD nimepta furaha inayodumu jaman am soooo happy Thank you HOLY FATHER we love youuu am blessed to have u HOLY SPIRITY your mostly welcome in my heart 😘😘😘 oooh sijui nisemeje nafuraha sana mimi na barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 3 роки тому +2

    I'm filled

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 роки тому +2

    Dam ya yesu iniokoe,

  • @fridaordnaa4591
    @fridaordnaa4591 8 місяців тому

    Asante Roho Mtakatifu 🙏🏾

  • @gloriakaliyo4856
    @gloriakaliyo4856 4 роки тому +5

    Napokea ujazo wa roho mtakatifu

  • @resamaria4617
    @resamaria4617 4 роки тому +3

    Asante yesu napokeya

  • @thomaskandela6610
    @thomaskandela6610 4 роки тому +3

    Ubarikiwe mtumishi

  • @mariamaden4583
    @mariamaden4583 4 роки тому +2

    Amen mtu wa MUNGU napokea

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 роки тому +2

    Napokea kwa Jina LA yesu

  • @ninakiwope4222
    @ninakiwope4222 2 роки тому +1

    Thank lord I receive

  • @happinessazizi2833
    @happinessazizi2833 4 роки тому +5

    Barikiwa kaka Inno kwa somo zuri..🙏🙏🙏

  • @jescacheyo1329
    @jescacheyo1329 3 роки тому +2

    Amen Amen

  • @scolasticawacuka8371
    @scolasticawacuka8371 4 роки тому +3

    Ameen

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 3 роки тому +5

    I'm filled with holy spirit

  • @agnesmbone231
    @agnesmbone231 7 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @elinahaule9699
    @elinahaule9699 4 роки тому +2

    Amina,

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 роки тому +2

    I receive power in Jesus name amen

  • @graceemmanuel3072
    @graceemmanuel3072 4 роки тому +2

    Amen na pokea kwa jina la Yesu

  • @annaseth5824
    @annaseth5824 4 роки тому +3

    Ameen mtumishi

  • @tausisande9272
    @tausisande9272 4 роки тому +3

    Amen barikiwa sana

  • @upendwawamamasaudiyanonobu9211
    @upendwawamamasaudiyanonobu9211 3 роки тому +2

    Amena

  • @mariamzima5218
    @mariamzima5218 4 роки тому +2

    Barikiwa Mtumishi

  • @rosepereira7478
    @rosepereira7478 4 роки тому +3

    I receive blood of Jesus christ

  • @sarahruto5967
    @sarahruto5967 2 роки тому +1

    Thank you lord

  • @natashertasher5576
    @natashertasher5576 Рік тому

    Damu ya yesu jaa ndani yangu

  • @user-zf7gb6pq5b
    @user-zf7gb6pq5b 4 місяці тому

    Tufuze kabisa

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 Рік тому

    Asante mtumishi

  • @maureenosoro8901
    @maureenosoro8901 3 роки тому +2

    AMEN

  • @emmamwende8266
    @emmamwende8266 2 роки тому +2

    Thank you Jesus for the holy Spirit

  • @Youth_revivaltz
    @Youth_revivaltz 2 роки тому +1

    Amina🙏

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 3 роки тому +2

    Ameeeeeeen ameeeen

  • @jeniffermissbillionaire2344
    @jeniffermissbillionaire2344 Рік тому +3

    Nimetamani nimeskiza hii video Mara mbili nikitamani. Natamani siku yangu iwe Leo. Ipo siku tu nikumbuke

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 Рік тому +1

    Thank you Holly Spirit 🕊️🕊️

  • @kisetukumbuael1839
    @kisetukumbuael1839 4 роки тому +3

    Haleluya haleluya

  • @collinslyimo8095
    @collinslyimo8095 3 роки тому +1

    Ameeen

  • @janethjosephat6986
    @janethjosephat6986 4 роки тому +2

    Amen 🙏🙏🙏

  • @fatumamohamed6049
    @fatumamohamed6049 4 роки тому +3

    Amina napokea🙏🙏🙏

  • @scoviaokaronon4305
    @scoviaokaronon4305 3 роки тому +3

    Amen I received it in Jesus mighty name 🙏🙏

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @tumainimwaigomole7338
    @tumainimwaigomole7338 4 роки тому +2

    Nimeokoka Ila roho mtakatifu sijajazwa

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 роки тому

      Omba kwa imani maombi haya utajazwa. Mungu ni mwaminifu sana

  • @fatumamohamed6049
    @fatumamohamed6049 4 роки тому +3

    Asante kwa mafundisho mazur ,naomba kuuliza ukipokea loho mtakatifu unakuwaje na nitajuaje Kama nimepokea

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 роки тому +1

      Ishara ya kwanza ni kunena kwa lugha. Mbili, utaanza kuona matunda ya Roho Mtakatifu ambayo ni "Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria."
      Wagalatia 5:22-23
      Tatu, atakuwa anakuombea.
      Kwa hiyo unaponena kwa lugha Roho Mtakatifu anakuwa anakuombea.
      "Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu."
      Warumi 8:26-27
      Kwa hiyo ndio utaanza kuyaona kwenye maisha yako.

    • @fatumamohamed6049
      @fatumamohamed6049 4 роки тому

      Asante nimeelewa

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 4 роки тому +4

    Amen Mtumishi

  • @restutadeuterius2716
    @restutadeuterius2716 2 роки тому

    Nimeuona muujiza wako bwana baada ya kumpokea roho mtakatifu

  • @husseinchea5524
    @husseinchea5524 4 роки тому +4

    Amen mtumishi...nmefurahi sana leo nimenena kwa lugha. Nifanyeje ili niendelee kunena kwa lugha?

    • @ndeshiissangya3275
      @ndeshiissangya3275 3 роки тому +2

      Uwe unapata lisaa limoja la kunena kwa lugha utakuja kunena moja kwa moja

  • @thomasselemani2331
    @thomasselemani2331 4 роки тому +2

    Nimejazo na Roho mtakatifu

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 3 роки тому +1

    Shalom,
    Vipindi vyenu live inakuwaga Saa ngapi
    Instagram na you tube

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 роки тому

      Kila ijumaa saa nne kamili usiku mpaka saa saba usiku.
      Pia kuanzia tarehe moja mwezi wa saba tutakuwa na mfungo. Ambao kila siku tutakuwa live hapa kuanzia saa nne kamili usiku mpaka saa saba usiku

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 роки тому

      MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA kuanzia 1/7/2021 mpaka 7/7/2021
      Tutakuwa na maombi ya kufunga na kuomba kuanzia tarehe 1 mwezi wa saba mpaka tarehe 7 mwezi wa saba.
      Katika hizi siku saba kila mtu atakuwa na mahitaji yake ambayo atamuomba Mungu amtendee. Katika siku hizo saba za maombi utaandika mahitaji yako sita na la saba iwe ni shukurani. Mahitaji hayo utayaombea kwa siku hizo saba ukiomba Mungu akutendee.
      Kila siku utakuwa unaombea hitaji moja. Na siku ya mwisho utamalizia kwa maombi ya shukurani kwa kumshukuru Mungu.
      Haya maombi ya kufunga na kuomba yatakuwa ya masaa 12 yaani kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Ukipenda unaweza kufanya saa 12 jioni mpaka saa 12 asubuhi vyote ni sawa utafanya kwa kadri Roho Mtakatifu atakavyokuongoza.
      Wenye matatizo ya kiafya au wajawazito au wanaonyonyesha wanaweza kufanya maombi haya wakiwa wanakula au kuacha baadhi ya vyakula au vitu visivyo vya muhimu ambavyo vina wanakuchukulia muda na muda huo wakautumia katika maombi na kusoma neno.
      Katika hizi siku saba wekeza muda wako mwingi katika kuomba na kusoma neno. Ukiwa kazini au kwenye biashara ukipata muda tu soma neno au jitenge uombe. Ukirudi nyumbani chukua hata nusu saa au saa zima kuomba. Usiku amka omba, soma neno, omba tena, soma neno, omba tena.
      Pia utaanda mistari ya kusimamia katika kila hitaji utakalo ombea. Ni vyema sana kusimama katika neno lake. Pia katika maombi yako usisahau kuombea kazi ya Mungu na nchi yako. Omba Mungu azidi kuokoa watu wakapate kumjua Yeye, ombea watumishi wake na watu ambao wanapitia matatizo mazito. Hata kama wewe unapitia matatizo mazito ombea na wengine wanaopitia katika matatizo. Hiyo itakuwa ni mlango wa wewe kuuona utukufu wake katika maisha yako.
      Na mimi hapa kila siku nitakuwa natoa muongozo wa maombi hayo kwa kadri Roho Mtakatifu atakavyo ni ongoza na tutakuwa live kila siku usiku katika channel yetu ya UA-cam ya Holy Spirit Connect kuomba pamoja kuanzia saa nne kamili usiku mpaka saa tano usiku kwa siku zote saba.
      Usisahau kushare na wengine habari hizi za mfungo huu.
      HUU NI WAKATI WETU WA KUOMBA
      Innocent Morris
      +255652796450 (WhatsApp)

  • @janejesse1582
    @janejesse1582 4 роки тому +3

    Tumusifu yesu,,naeza pata namba yko?

  • @fadhilimwalongo3185
    @fadhilimwalongo3185 4 роки тому +2

    Ninaomba namba yako Mimi ninashida naomba msaada wako

  • @gemmygamah7683
    @gemmygamah7683 3 роки тому +1

    NAPOKEA KWA JINA LA YESU

  • @mkundemsuya2504
    @mkundemsuya2504 4 роки тому +2

    Amen 🙏
    Napokea ujazo wa rohoni

  • @boazmswima857
    @boazmswima857 4 роки тому +4

    Amen

  • @zainbomary3970
    @zainbomary3970 3 роки тому +2

    Nqpokea kwa damu ya Yesu

  • @lucynaleo6143
    @lucynaleo6143 4 роки тому +4

    Amen napokea kwa jina La Yesu

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 роки тому +1

    Ameen

  • @margaretkapolesya3979
    @margaretkapolesya3979 Рік тому +1

    Amen Amen

  • @mushiones9967
    @mushiones9967 4 роки тому +2

    Amen 🙏

  • @fadhilimwalongo3185
    @fadhilimwalongo3185 4 роки тому +2

    Ninaomba namba yako Mimi ninashida naomba msaada wako

  • @mathewspetr2465
    @mathewspetr2465 2 роки тому +1

    Amen

  • @renaldleonard5956
    @renaldleonard5956 2 роки тому +2

    Amen

  • @glorykessy6942
    @glorykessy6942 4 роки тому +3

    Amen

  • @lucylucy2327
    @lucylucy2327 4 роки тому +3

    Amen

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 3 роки тому +1

    Amen