Maombi ya Uponyaji - Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 226

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 Рік тому +2

    Amen nmepokea, ahsante bwana Yesu
    Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wake🙏

  • @alicejery7880
    @alicejery7880 2 роки тому +3

    Namuungamanisha dada yangu na maombi haya naamini Mungu amponye asimame Tena amtie nguvu upande huo uliopalalaizi apone, presha iachie mwili wake. Amen

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 2 роки тому +3

    BWANA YESU ASIFIWE SANA...... naamini nimepona kwa Jina la YESU mkombozi wetu,, Amen

  • @happinessmchenya714
    @happinessmchenya714 2 роки тому +1

    Namuunganisha mama yangu na mama angu mndogo na bibi yangu katika maombi haya Mungu akawaponye

  • @AaBb-co1cp
    @AaBb-co1cp 2 роки тому +2

    AMEEN. Ni. AMiNA. Kirao. TUKOPAMOJA. Mm. Ninashinda. Sehemu. Yasiri. Yanyuma. Naomba. Mungu. Atede. Miujiza. Kwasababu. Inamiakakabiminae. Niliulizia. Nikaambia. Nikinyakuzi. Nahicho kinaambia. Hakitaki. Watoto. Lakini. Mm. Nashukuru. Mungu. Niko. Nawatoto. Watu. Lakini. Hicho. Kijana poa. Kabsa. Kupitia. Maombi. Yako. Mtumishi. Wamungu. Omba. Kiyayuke. Kwajinalayesu.

  • @lindadaudi9735
    @lindadaudi9735 2 роки тому +2

    Amen nimepona mimi na mwanangu glory mtoto wa dadaangu anasumbukiwa na pumu ya ngozi, na dadaangu amepona asante Yesu kwa uponyaji

  • @anastaziashirima5461
    @anastaziashirima5461 Місяць тому

    Najiungamanisha Na Maombi Haya niweze lupona tatizo la damu, niweze lupona miguu, Na tumbo langu lifunguke Kwa Jina la Yesu aliye Hai Ameee

  • @brenderrogath2974
    @brenderrogath2974 3 роки тому +3

    Asante Bwana Yesu kwa uponyaji wako uliouachilia kwangu; Endelea kunilinda kwa Damu yako Kristo Yesu na unifiche Damuni mwako kila siku na kila saa🙏🏾🙏🏾😇
    Ninarudisha sifa, heshima na utukufu wote kwako kwa maana unastahili wewe peke yako sasa na hata milele.
    Amen 🙏🏾

  • @ElizabethLyimo-bc3st
    @ElizabethLyimo-bc3st 13 днів тому

    Mungu mponye Jenifa pale Muhimmbili

  • @paulinaobiria9649
    @paulinaobiria9649 2 місяці тому

    Mwenyezi Mungu naomba maombi haya yaniguse nipokee uponyaji kwa jina la damu ya Yesu Kristo wa Nazareth

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 2 місяці тому

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU akubariki Sana ninaamini mimepona

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 роки тому

    Nimepokea mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 2 роки тому

    Aamen,, nimepokea uponyaji kwa Jina la YESU mkombozi wetu,, aamen,, Asante sana mchungaji Morris kwa maombi ya kukombolewa kwa magonjwa yasiyokoma kuniandama

  • @neybintiwayesu10
    @neybintiwayesu10 2 роки тому +2

    Amen, kwa kupigwa kwa Yesu Mimi na familia yangu tumepona

  • @beautyjoy7969
    @beautyjoy7969 2 роки тому +2

    Nimepona katika jina ls yesu Cristo mwana wa mungu halie hai hallelujah thank you Jesus thank you Lord

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 29 днів тому

    Amen🙏🙏 napokea uponyaj kwa jina la yesu

  • @zainbomary3970
    @zainbomary3970 3 роки тому +3

    Ubarkiwe sana mtumshi nina imni Mungu ameniponya mm pa moja na familia yangu yote ninaomba Mungu akamponye Baba yangu kwa damu ya Yesu Amen Amen

  • @jenifersamson8051
    @jenifersamson8051 2 роки тому +1

    Asante Yesu wangu kwa uponyaji hakika ww ni Ebeneza, mm ni mzima nimepona kila kilichokuwa kinanisumbua Nakuahidi Mungu nitakutolea sadaka na shukrani kila niendapo kanisan maana uliyoyatenda kwangu ni makubwa mno, Nakupenda Yesu kalibu ndani yangu

  • @SamwelWiliamu-be4uq
    @SamwelWiliamu-be4uq Рік тому

    Nashukuru yesu nimepona ugojwa wangu,🙏 mtumishi mungu aendelee kukutunza

  • @gloriahaldama2085
    @gloriahaldama2085 Місяць тому

    Ameeeen kwa maombi haya yameniguza kila mahali

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 3 місяці тому

    Amen Amen Amen nimebokea kwa jina lya Yesu

  • @AnnaMahuvMbongo
    @AnnaMahuvMbongo Місяць тому

    Napokea uponyaji wa viungo mwilin mwangu kwa jina. la yesu.

  • @NeemaJamesMussa
    @NeemaJamesMussa 7 місяців тому

    Nami napokea uponyajii wanguu kwa damuu ya yesuuuu

  • @AnnaMahuvMbongo
    @AnnaMahuvMbongo Місяць тому

    Napokea uponyaji wa miguu kwa jina la yesu.

  • @ShufaaSeif
    @ShufaaSeif Рік тому +1

    Ameen napokea uponyaji kwajina la yesu🙏🙏🙏

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому

    Amen napokea uponyaji Leo hii Kwa jina la Yesu kristo Amen

  • @aishashedrac
    @aishashedrac Рік тому +1

    Amina mungu niponye na mume wangu animaa

  • @flavianajohn4930
    @flavianajohn4930 Рік тому

    Nakiri nami nimeponywa kwa damu yako Yesu Kristo wa Nazareth.

  • @teklakomba4822
    @teklakomba4822 3 роки тому +2

    Amina mtumishi nimepona kichwa

  • @glorywaryuba6306
    @glorywaryuba6306 Місяць тому

    Amen nimepokea Asante Yesu🙏

  • @HappynessJames-vh1ut
    @HappynessJames-vh1ut 5 місяців тому

    Naomba mungu aniponye ugonjwa wamacho

  • @georginaabbo1562
    @georginaabbo1562 2 роки тому +1

    Asante yesu kwa uponyajii ponya baba yangu 🙏🙏

  • @subirambilinyi7285
    @subirambilinyi7285 2 роки тому

    Asante mtumish kwa iman magojwa yamekwisha kwa jna la aliyehai

  • @veronicamtwevu2398
    @veronicamtwevu2398 Рік тому +1

    Ameen nimepona kwa jina layesu kristo

  • @jeniferkalemela99
    @jeniferkalemela99 Рік тому +1

    Amen Mimi nimepona😭😭😭

  • @betreccharles6951
    @betreccharles6951 2 роки тому +1

    Asante yesu kwakuniponya moyo wangu

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki 5 місяців тому

    Napokea kuwekwa huru roho ya hofu na umauti inatoka kuanzia sasa kwa jina la yesu

  • @LilianLumeme
    @LilianLumeme 6 місяців тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu kristo

  • @happinessmchenya714
    @happinessmchenya714 2 роки тому

    Asante mungu Kwa kuniponya na kuniweka huru na famiria yang

  • @AAa-d3v5s
    @AAa-d3v5s 8 місяців тому

    Mtoto wangu apone kutika jina la yesu

  • @AnnaMahuvMbongo
    @AnnaMahuvMbongo Місяць тому

    Yesu niponye magonjwa niliyonayo.

  • @maryjoseph499
    @maryjoseph499 2 роки тому

    Amen barikiw mtumishi wa Mungu

  • @jescakerubo3953
    @jescakerubo3953 Рік тому

    Amen amen God bless you mtumishi wa mungu

  • @lilianmkelewele7489
    @lilianmkelewele7489 2 роки тому

    Ameni napokea uponyaji wa tumbo langu kwa jina la Yesu kristo uvimbe na kila magonjwa yaliyo kaaa kwaa kizazi changu yakatoke kwa jina kuu lako Yehova Ameni🙏🙏🙏

  • @unnimollel3537
    @unnimollel3537 2 роки тому +1

    Kwa amani ipitiyo akili za mwanadamu iliyonivaa ghafla wakati wa maombi haya...naamini nimeshapona Mimi na binti yangu ktk jina la Yesu Kristo wa Nazarethi
    Sifa na utukufu zimrudie Mungu ktk jina Yesu kwa kumtumia mtumishi huyu

  • @lavishvish2173
    @lavishvish2173 2 роки тому

    Amen naamini nitaponywa, ugonjwa wa moyo unanimaliza eee Mungu najikabizi mikononi mwako najua hata kama itachukua muda utadenda 😭

  • @blessedme2226
    @blessedme2226 Рік тому

    Nimepona kwa njina la Yesu

  • @lynejeroo891
    @lynejeroo891 3 роки тому +2

    I receive it lam healing now in Jesus name amen barikiwa sana pastor

  • @brendakadaddie773
    @brendakadaddie773 2 роки тому

    Please lord answer my prayer am sick🙏🙏

  • @GraceMoraa-n1h
    @GraceMoraa-n1h 6 місяців тому +1

    Amen amen Shingo ipone

  • @jacksoldier3025
    @jacksoldier3025 10 місяців тому

    Amen napokea uponyaji

  • @dainesdaudi5683
    @dainesdaudi5683 3 роки тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 роки тому

    Amen pastor be blessed nimepokea

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 4 роки тому +1

    Ameeeeeeen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaaaa ni mepokea uponyaji katika jina la yesu kristo aliye hai🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @betykallomo5587
    @betykallomo5587 2 роки тому

    Mtumishi naomba kujua tofauti ya maombi ya kububujuka na maombi ya uchungu

  • @felisteralisen1235
    @felisteralisen1235 2 роки тому

    Napokea uponyaji mtumishi

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 3 роки тому

    Napokea uponyaji kuhusu inni langu Amen

  • @nacksuma2263
    @nacksuma2263 Рік тому

    Asante Mungu kwa uponyaji

  • @lilianemanuel2579
    @lilianemanuel2579 6 місяців тому

    Ubalikiwe mtumishii

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 2 роки тому

    MUNGU akuzidishie maono na nguvu ya uponyaji 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️

  • @janelaseckwangwe6340
    @janelaseckwangwe6340 Рік тому

    Amen nimepokea uponyaji

  • @maryshee3858
    @maryshee3858 2 роки тому

    Amen am free now I believe in Jesus Christ who died for me🙏🙏🙏

  • @lucylucialucia9647
    @lucylucialucia9647 2 роки тому

    Asantee kwa Uponyaji mimi na Mwanangu tumepokea Uponyaji kupitia maombi haya

  • @sudiamausa1214
    @sudiamausa1214 2 роки тому

    Nimepokea ktk jina yesu

  • @اليزابيثمجيني
    @اليزابيثمجيني 3 роки тому

    Amen mtumishi nimepokea uponyaji kwa jinalayesu nilikua naumwa naki chwa sana

  • @zenais8534
    @zenais8534 4 роки тому +5

    Ubarikiwe sana naamini Mungu ameenda kufanya uponyaji kwangu na familia yangu Amen

  • @lilianmwita3023
    @lilianmwita3023 3 роки тому

    Napokea kwa jina la Yesu alie hai Ameen. naamini Mungu umetenda kwa mwanangu Sophia.

  • @lall2037
    @lall2037 Рік тому

    Lukman popote unapoumwa upone kwa jina la yesu kichwa homa kutapika na kupata nguvu kwa jina la yesu

  • @gillianlissa2403
    @gillianlissa2403 2 роки тому +2

    Amen Amen, ahsante Yesu🙏

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому +1

    Every sickness in my body come out in Jesus name amen

  • @siboniobubinga4523
    @siboniobubinga4523 2 роки тому

    Amen nimebarikiwa

  • @spotbeautylady1704
    @spotbeautylady1704 3 роки тому

    Nabarikiwa sana na maombi yako Mungu aendelee kukuinua mtumishi wa Mungu

  • @selinatemu5656
    @selinatemu5656 2 роки тому

    Ameeen nimepokea

  • @victoriamhagama2536
    @victoriamhagama2536 3 роки тому

    Asante Yesu kwa uponyajii

  • @firirama5141
    @firirama5141 3 роки тому +1

    Napokea katika jina la yesu

  • @oliviashayk4721
    @oliviashayk4721 2 роки тому

    Nimepokea amina

  • @nakuranatema4313
    @nakuranatema4313 4 роки тому +1

    Amen napokea kwa jina la Yesu Kristo..

  • @neemapatrick1584
    @neemapatrick1584 3 роки тому +1

    amina nimebarikiwa kwa maombi yako Mungu akubariki sana

  • @sharonshaz957
    @sharonshaz957 3 роки тому

    Napokea uponyaji Kwa mguu wangu 🙏🙏🙏🙏

  • @shakuriabdul8611
    @shakuriabdul8611 2 роки тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu🙏

  • @anethalson3940
    @anethalson3940 3 роки тому

    ubarikiwe sana mtumishii👏🙏🧘🏻📖

  • @innocensiashirima7241
    @innocensiashirima7241 4 роки тому +2

    Napokea uponyaji..Amen

  • @gracetulo4653
    @gracetulo4653 3 роки тому

    Nabarikiwa nanhuyu mtumishi

  • @carolinemwai1043
    @carolinemwai1043 3 роки тому +1

    Yesu mi mwema

  • @queendavid6717
    @queendavid6717 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🏾

  • @felistamwakyegula1303
    @felistamwakyegula1303 3 роки тому +1

    Ameeen.

  • @elizabethmumbe8072
    @elizabethmumbe8072 4 роки тому +1

    Amen asante kwa uponyaji

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki 5 місяців тому

    Mimi na family yangu tumepona kira loho chafu zitoke ndani yangu

  • @claudiayvonne6352
    @claudiayvonne6352 2 роки тому

    Amen asante

  • @doreenmtani6305
    @doreenmtani6305 3 роки тому

    Napokea uponyaji amen

  • @happynesspoul8235
    @happynesspoul8235 4 роки тому +1

    Napokea uponyaji kwa Damu ya Yesu

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 роки тому

    Naomba uniombee huruma yamungu iniponyesaikolojia yakichwa changu Mama Maureen Kilimanjaro

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 роки тому

      Mungu atatenda

    • @naomy7655
      @naomy7655 2 роки тому

      Amen na mmi niko na dadangu nimgojwa na akipimwa haonekani kitu nakuongea hawez kula hawez naomba mumuombee🙏🙏🙏

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 роки тому +2

    I receive .I am healing now

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 2 роки тому

    I receive in Jesus name

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 2 роки тому

    Be blessed

  • @alicesemwaiko4491
    @alicesemwaiko4491 24 дні тому

    Nguvu ya upojaji ipite kny mwili wa mpendwa wa john

  • @ismailyusuf1647
    @ismailyusuf1647 3 роки тому

    Napokea uponyaji wa kifua

  • @NoelTule-d5f
    @NoelTule-d5f 4 дні тому +1

    Amen

  • @barronkasito6769
    @barronkasito6769 2 роки тому

    Shikakamo muchunganji Mimi naitaji munisaidie Niko zambia naitaji musada wauponyaji kwajinarangu tumaini

  • @tricewilly5021
    @tricewilly5021 3 роки тому

    Amen kaka