Tangazo la post limekua tofauti hotuba ya shekh. Alieandika post hiyo aombe radhi kwakua kawakosea watazamaji. Mwenyez Mungu amjaalie shekh maisha marefu yenye afya njema inshallah
Your sermon is for intellectuals. Those who have a cheap mind will not really get the msg across. May Allah strengthen you and your family for sure all umma.
Mimi sio mu islam alakini mafundisho ya sheikh huyu yameni saidia sana tena sana kabisa, ksema ukweli huyu ni mhubiri wa wanaadamu. Mungu akubarili mwalimu
mashaAllah sheikh huyu ndio naanza kumuona leo na kumalizia lakini kwa kweli nimeskiza masheikh wengi lakini kweli kila wimbi na nguvu yake Allah akupe umri mwema na umri mrefu na kwa hakika watakao kukuelewa ni wale wenye hikma zaidi Allah atuzidishie hikma Sisi wasikizaji
Wakristo tulio mkubali Sheikh like zenu hapa
Mimi ni Mkristo nimpenda mafundisho yako
Asante kwa elimu.Nimejifunza kitu hapa sikutoka bure.
Manshaallah alhamdulillah m/mungu akutunze shekhe.akufungulie kheri zaidi na zaidi uzidi kutuelimisha.🤲🏼
Masha Allah Tabaraka Rahmani mawaidha manzuri saaana Allah ampe umri mrefu wenye kheri na yy
Shehe hongera sana nimejifunza vitu vingi kutoka kwako m/mungu akujalie umri mwema mrefu wenye heri na afya na kizazi chema ww na sisi
Mashallah, the highest level of understanding, we need intellectuals kama wewe. Allah atuongezee sote elimu.
Ameen
Jazakallahu kheir sheikh
Subhan ALLAH JazakALLAH khairan kwa Mawaidha very Perfect reminder
Allahumma barik Sheikh,
Shukran kwa kutuelimisha🙏
jamaa ana akili sana,very high reasoning,me ni mkristo lakini najifunza sana hapa
Hongera
Bwana akufungulie neema zake
Masha Allah twakukaribisha pia ktk uislamu
Allah akuongoze nduguyangu uwone haki nauyifate
Nikwambie kitu kaka elimu ya dunia unaipata na kuichukua kwa MTU wa dini yeyote awe mkristo ama muislamu ama pagani
Mashallah, ALLAH amzidishie afya ili tuelimike zaidi
Masha Allah sheikh God bless you tunajifuza mawaiza mazuri sana
Mashallah tabarakallahu, mu gu akukithie haja zako,akuongezee elmu uzidi kuelimisha umma aamiin ya'arabb
Jazzak Allah kheri cheik wetu tunakupenda sana
Tangazo la post limekua tofauti hotuba ya shekh.
Alieandika post hiyo aombe radhi kwakua kawakosea watazamaji.
Mwenyez Mungu amjaalie shekh maisha marefu yenye afya njema inshallah
Asalam alaikum,huyu sheikh Allah ampe elimu zaidi,afya na maisha marefu yenye amali njema.naomba jina la huyu sheikh pls.
Shk. Adinani
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SHEIKH U SAY EVERYTHING IS TRUE 👍 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naaam shukrn San kwa maawaidha mazur Allah akuhifadh shekh
Mashallah tabaraka wataala Allah akupe Kila lenye kheir uzidi kufikisha ujumbe inshallah
Kuna utofauti mkubwa kati yako shekh na baadhi ya mashekha wengi wa Tanzania..you are most intelligent..
Shukran sana sheikh wetu umetuelimisha vizuri sana.
M.mungu akubariki sana
Mashaallah Allah amzidishie huyu shekh alhamdulilah nimefarijika
Manshaallah tabarakallah 🎉🎉
Assalam aleykum warahmatullah wabarkatuh alhamdulillah maneno ya huyu mwalim ni mazito sana allah amjalie mwisho mwema
Sheikh mashaAllah madini kibao mashaAllah mashaAllah 🎉🎉
M/mungu akuzidishie elimu na afya njema uzidi kutupa dawa m/mungu akuongoze wewe nasisi Amin
Naaam! Yani sitamani hata neno moja kutokulisikia vizuri! Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa umma sheikh!
MaaShaaAllah.❤❤❤ Kweli khutba yake nzuri sana, hata mimi nimeipenda.
Allah (SWT) amjaze kila la kheir Sheikh. Allahumma Aamin 🤲
Assalamu Alaikum warahmatullah wabarakatuh naomba Nina la sheikh tafadhali Jazakallah Khair
Mungu akubarik sheikh mawaidha mazuri sana na yamaana sana ,mungu akubarik ameen
Shekher uko vizuri sana shida iko wapi kuhusu yesu kwamba kweli hujui kuhusu yesu
Sheikh nimependa mawaidha yako sana, Mwenyezi Mungu akuzidishie.
Your sermon is for intellectuals. Those who have a cheap mind will not really get the msg across. May Allah strengthen you and your family for sure all umma.
Allah ampe afya na umri shekh
ALLAH SUBHANAHU WATAALA AMPE UMRI MREFU AZIDI KUTUELIMISHA. ALLAHUMMA AAAMIN.
Mungu akupe maisha malefu uendelee kuwaelimisha walio jisahauu
Wallah huu Sheikh ❤❤❤❤
Taqbirrrr🎉 Allahu Akbar🙏
ALLAH akupe gheri sana sheigh wetu
MashaaAllah MashaaAllah true Sheikh
Mimi sio mu islam alakini mafundisho ya sheikh huyu yameni saidia sana tena sana kabisa, ksema ukweli huyu ni mhubiri wa wanaadamu. Mungu akubarili mwalimu
Mashallah Mashallh Mashalah
Mashaallah tabarakaah
Shukran Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri sana
Yaarabi tupe mwisho mwema
Amiin
Mbona hii shekhe ana hikma nyingi 😊😊😊👏🏽👏🏽👏🏽
Mashaallah tabaraka allah yaan nimepata faida nyingi sana asubui hii allah akupe afya njema uzidi kutuelimisha inshaallah
Good lesson
Mashaa Allah Tabaraka llah mawaitha penye mafunzo
Allah akupe umri uziidi kutuwelemisha
Allah akuhifadhi
Dah .. alhamdulillah Allah atubariki shekh
Maneno ya hikma, Masha Allah
Mashallah mashallah mashallah
Tunakupenda Kwa ajili Allah
Maashaallha Allah akulipe pepo na umat wa muhammad Allah atuepushe na moto ishaallah. Mswalie mtumeee.
S.A.W
Jazakum Allah Khair
Mimi ni romani lakini nimependa mafundisho yako gd bless your
God bless you to and welcome to islam
Allah akuongoze uwe na maono juu ya haki!
Allamdullillah mashaallah mawaidha mazuri sana
May Alla bless and protect you
Hii ni hotuba na mawaidha yaliyojaa elimu'busara'na hekima kubwa Mwenyezi Mungu akujalie Kila la heri uzidi kutupa darasa
Allah akulipe shehe
Jazaka Allah heri
Mimi binafsi uislam hua siupendi lakini kwa huyu shehe nimempenda sana tena sana
MASHA ALLAH
Mashallah sheikh
Mashaalah
Allah Akuzidishiye ilm na umri mrefu na afya uzidi kutunufaaisha na kutuelimisha
Asalam aleykum mungu atupe subrisa yakusikiliza huyu mwalim
Mashaa llah 🌹 huyu shekh nimempenda burereee
Masha Allah, Masha Allah, Masha Allah, Allah akubarik.
Huyu Sheikh ameongea Maneno makubwa Sana mazuri tu ALLAH akuongoze sheikh wetu.
mashaAllah sheikh huyu ndio naanza kumuona leo na kumalizia lakini kwa kweli nimeskiza masheikh wengi lakini kweli kila wimbi na nguvu yake Allah akupe umri mwema na umri mrefu na kwa hakika watakao kukuelewa ni wale wenye hikma zaidi Allah atuzidishie hikma Sisi wasikizaji
Mashaallah,🙏 Tabarakallahu Sheikh🤝🎉
ASalam Aleikum Allahuna Azidishe elimu
Masha allah tabarakllah
ماشاء الله تبارك الله عليك Allaah akubarik
Mashaallah allah akuzidishie
Alhamdulillah maneno sahihi shekher wangu nimejifunza kitu hapo
MashaAllah mungu akulipe sheikh
masha'Allah sheikh wetu
Mashaa Allah nataka nije kukuona nikija Uganda in shaa Allah
Mashaa Allah shk uko na hekima Allah Akujazi kila la kheri Ameen
Masha allah jazakallah qyer sheikh has spoken with wisdom
Mashallah. Kuna Elimu nyingi ndani yake. Ana elimu na busara
Allah akuzidishie mawaidha mazuri sana
Napendagaa mawaidha yakee
anaitwa nani?
Alhamdulillah
MashaAllah, Allahu barik feek
Mashalla alhabulilai ustaz 🤲🤲🤲🤲🤲🤲📿
Mashallah ❤❤ kweli
Maa shaa Allah
Nimempenda huyu sheikh
Naomba jina la huyu sheikh wetu.
Sheikh Murtada
MashaaAllah. Allah akujalie
Yani kuna watu humu akili ndogo wanacomment Mara sijui Africa Mara sijui nini? Lakini kama huwezi kumuelewa huyu sheikh kwa kutumia akili ndogo.
Anajitahidi kutoa mifano ili watu na waumini waweze kuelewa,sema huyo huwezo wake wa kuelewa uko mbali tuombe allah ampe ufahamu
Huyusheh naajue hawawakoloni waarabu na wazungu hawapendi kanisa wala msikit wanapenda teknolojia na kuibia mali afrika
Kabisaaaa
Allah awahifadhii masheikh zetuu
17:50
Uko smart sana shekhe hongera sana.
ما شاء الله
Mashallah mashallah mashallah barakallah fiika
Una Elimu sana Sheikh,mie ni mkristo lakini nakukubali mno
Takbirrrrr
MashAllah maneno kuntu
Your genius ❤❤❤❤❤
Sahihi kabisa sheikh wetu
Kwel sheikh!!!!
Mashallah sheikh adinan
Shukran
Maashaallah ❤ ( aminiii)
allah akujaze heri zaidi. shekh
Allah akuifadhi kuna siku tulikuwa namanga