DR.MWINYI...... "TANZANIA NI MFANO BORA DUNIANI WA KUDUMISHA MUUNGANO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali
    Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano
    wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni
    na huduma za jamii yameipatia nchi heshima kubwa kwenye Jumuiya ya
    Kimataifa.
    Usisahau kusubscribe, like na comment chini ya video hii.

КОМЕНТАРІ • 1