SUMU | Ep 02 |.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2024
  • Mapenzi yana nguvu saana na ndio mpaka leo hakuna majibu sahihi ya maswali yote yanayohusu mapenzi..
    Binti alitaka kujenga ndoa yake kumbe jitihada zake mwishoni zilizuwa utata kabisaaaa 😔.
    Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
    #snakeboy22 #siriyahuba #ufuo #shetani #kicheche #bhailam #nyamayamwanangu #kipara #mwakatobe #vevowood #mwanamke #directorkakoso #kisiki #sungwi #kifochangu #sonaa #nyamayamwanangu #mkobawamama
    Follow us on INSTAGRAM 👇 chiebway_tz...
    Follow us on TIKTOK 👇
    www.tiktok.com/@chiebway_tz?_...
    For Bussiness WHATSAPP ONLY
    +255 764 397 711
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 42

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 29 днів тому +12

    Mimi ni fans namba moja wa CHIBU & BUTUA hao waheshimiwa napenda saaaannah kuangalia wanavyocheza na uhalisia wa script zao ❤ Kunawaigizaji nikianza kuangalia filamu zao naona ni wasanii chipukizi kabisa, lakini Chibu tangu nianze kumuona naona ni muigizaji mkubwa sana. 🙏 CHIBU & BUTUA ❤💥

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 29 днів тому

      Lakini CHIBU mkeo angevaa stara kama wewe unaenda msikitini na unamsimamo wa dini. Hata huyo mke wa pili ulitaka kumuongeza kama SUNNAH mbona faradhi anazotekeleza hakuna. Kuanzia stara ya mavazi na kauli!!!... Hilo ni tatizo Mr CHIBU ungezingatia vigezo vya dini filamu ingenoga na aingeleta ujumbe sahihi ktk hadhira kwa mujibu wa dini husika. Hao wengine kama wasingevaa stara sawa. Lakini mkeo na huyo anayetaka kuongezwa mke wangekuwa na stara.

  • @MariamOmary-tt3fo
    @MariamOmary-tt3fo 29 днів тому +8

    Woyoooo namba mbili ya 🔥 🔥 saana 🎉 hongereni saaana team chibu ❤

  • @Masterstevemedia-kb5oc
    @Masterstevemedia-kb5oc 29 днів тому +6

    kazi poa

  • @KITUFE
    @KITUFE 29 днів тому +5

    Unyama huuu hapa🎉🎉🎉🎉

  • @user-sv7uu3xw1r
    @user-sv7uu3xw1r 29 днів тому +5

    Wakwanza from Mozambique 🇲🇿 😍

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 28 днів тому +3

    Halima usilie umeepushiwa eda mwaya😢 ila bimkubwa maamuzi ya haraka kitakukuta kitu...team chibu unyama kama unyama 💪 humu tuuuuu🎉🎉🎉

  • @bongotamuonline3090
    @bongotamuonline3090 29 днів тому +3

    Hauna baya team chiebway 🎉🎉🎉

  • @mishikesi7882
    @mishikesi7882 29 днів тому +3

    So nice🎉❤

  • @SumaiyaWambui3500
    @SumaiyaWambui3500 29 днів тому +2

    me as 1st wife tyipping😂😂😂😂anyway we love you guys watching from kenya❤❤❤❤

  • @SadaMohamed-xl9rc
    @SadaMohamed-xl9rc 28 днів тому +1

    ❤❤❤❤

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 28 днів тому +1

    Wow❤Kaz nzr xna😊 much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @user-rd6nr4qq3s
    @user-rd6nr4qq3s 24 дні тому

    Kijijini kuna pisi Kali sana ❤

  • @Loidydaleobina784
    @Loidydaleobina784 29 днів тому +1

    Kazi nzuri chibu ❤❤❤❤.

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 28 днів тому +1

    much much love

  • @FredYassineCheia-di7yj
    @FredYassineCheia-di7yj 28 днів тому +1

    Good job from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @AllyJuma-hm8nu
    @AllyJuma-hm8nu 29 днів тому +1

    🎉🎉 mashauallh

  • @devisrwekaza709
    @devisrwekaza709 28 днів тому +1

    Umetisha mwqnangu

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 23 дні тому

    Kali sana ❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @mahmoudnajad217
    @mahmoudnajad217 28 днів тому +1

    DUH! Ata mm ningeachana na Mima maana so mzunguko uwo😋😍😘

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 29 днів тому +2

    🧭🤳
    Wa mwisho kufika kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mozambique PEMBA Carioca ✨✨ like zangu tafadhali jamani walau kumi

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 25 днів тому

    🔥🔥🔥❤️❤️❤️

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 29 днів тому +1

    Mima unalazimisha😂😂 ndoa

  • @celestinkenga9212
    @celestinkenga9212 25 днів тому

    Kz.nzur.wapendwa.much.love.watch.from.saudi

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 28 днів тому +1

  • @user-rd6nr4qq3s
    @user-rd6nr4qq3s 24 дні тому

    🎉

  • @fguy2687
    @fguy2687 29 днів тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 28 днів тому +1

    ❤❤❤team chibu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 28 днів тому +1

    Uhuum mmmmh mwana kulitafuta mwana kuligeti chibu umewasha moto utakae kushinda kuzima haya yangu maco😅

  • @user-tt5kz6xk1j
    @user-tt5kz6xk1j 27 днів тому

    Fikir kabla ya kutenda

  • @Yusco_Rhynova
    @Yusco_Rhynova 28 днів тому +1

    🌎🌎

  • @user-rf2cg9tv3u
    @user-rf2cg9tv3u 27 днів тому

    Mme atakufa kweli awo minaona sio dawa ya kuuwa ndio mana kamwambiya ampe Ile sim masheji nao mh kumbe alikua natamani mwanaume wamwenziye duuu m

  • @user-rf2cg9tv3u
    @user-rf2cg9tv3u 27 днів тому +1

    Ndowa hamna bibi we Mme karudi kwa mkewe Hadi Raha shangazi kaweza kabisa kumpa dawa Yama funzo sio dawa ya mitishamba jamani ukubwa dawa hhhhhhhh daa Mme akitaka kuowa inaumaga iyooo

  • @mamyto_aziza5157
    @mamyto_aziza5157 23 дні тому

    Hii camera imetumika hapa imefanya wasanii wote kuwa na magegeza … jamani nani mwengine ameona vile nimeona mm

  • @ldmfromkenya6273
    @ldmfromkenya6273 29 днів тому +2

    Aki chibu hujafanya poa kabisa aki😢😢😢😢😢😢😢

  • @CHOMBOFCMTVMEDIA
    @CHOMBOFCMTVMEDIA 29 днів тому +1

    𝐌𝐢𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐡𝐢𝐛𝐮 𝐟𝐢𝐫𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐢𝐢 𝑺𝑼𝑴𝑼❤❤❤❤❤❤