MAREHEMU MKE WANGU |Ep 01|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Mwanamke alifariki hapo kijijini lakini baadae watu walikuja kugundua kuwa ameolewa kijiji kingine.
    Kwanini ilikuwa ivyo na ni nani aliyegundua hilo mwisho wa siku nini matokeo yake...
    USIKOSE kufatilia tamthilia hii ya MAREHEMU MKE WANGU uburudike na ujifunze kitu kwenye maisha ya sasa.
    Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
    Follow us on TIKTOK 👇
    www.tiktok.com...
    For Bussiness WHATSAPP ONLY
    +255 764 397 711
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 64

  • @Japhetrapeecryton
    @Japhetrapeecryton 3 місяці тому +8

    Wa Kwanza Leo kutoka South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @bonventureimbuga522
    @bonventureimbuga522 3 місяці тому +8

    Wa Kwanza Leo from Doha Qatar

  • @awadhfarajilugoya1998
    @awadhfarajilugoya1998 3 місяці тому +3

    CHIBU una zingua sana Kila siku vi story vipya ile ya ufuo ume ipotezea na ilikua story nzuri zaidi una toa vitu nusu nusu humaliziii unaanza vingins

    • @MariamOmary-tt3fo
      @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +2

      UFUO ili isha msimu wa kwanza bado msimu wa pili mbona mnapenda kuwalaumu watu kila siku
      Fatilieni kwanza bhana 😂 😂

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 місяці тому

      😂😂😂​@@MariamOmary-tt3fo

  • @helminatadei
    @helminatadei 3 місяці тому +5

    Nice nice nice🔥

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 3 місяці тому +5

    ❤❤

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 3 місяці тому +4

    shukran kwa burdan team chibu

  • @fpssatanzania2782
    @fpssatanzania2782 3 місяці тому +6

    🎉🎉🎉🎉❤

  • @SakinaMussah
    @SakinaMussah 3 місяці тому +5

    Kaz nzur❤❤❤❤

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 3 місяці тому +2

    Nzuri sana hongera chibu tupe mwendelezo kwa wakati

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 3 місяці тому +2

    Tutafahamu mbele ndo film za chibu zilivyo hata mwisho wake pia hatutouelewa

  • @MariamOmary-tt3fo
    @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +7

    Tupo na wew kwenye kila kazi team chibu ❤

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 3 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @idefoncenoel1021
    @idefoncenoel1021 3 місяці тому +3

    haieleweki

  • @SadaAhmad-nq5hx
    @SadaAhmad-nq5hx 3 місяці тому +13

    Mbona mazingzong haieleweki mara kafa mara kaolewa mar analazimishwa kuolewa vp jmaan

    • @DelvinChepkorir-t1d
      @DelvinChepkorir-t1d 3 місяці тому +5

      Hapo ni feedback😅😅😅😅wanakumbuka nyuma

    • @SadaAhmad-nq5hx
      @SadaAhmad-nq5hx 3 місяці тому +1

      @@DelvinChepkorir-t1d tatizo hatujui nai anaayekumbuk hapo ina mana wote wanakumbuka tuu

    • @MariamOmary-tt3fo
      @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +2

      Hiyo ni kumbukumbu jaman 😂 😂 Au mshazoea black and white

    • @ireneluoga5847
      @ireneluoga5847 3 місяці тому +2

      Wanakumbuka nyuma hapo mbon nzur na inaeleweka

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 місяці тому +4

      Ni flash back bhana hebu kueni makini mukiangalia movie

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 2 місяці тому

    Nzuri

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 місяці тому +7

    Mbn cyelew uk sadra kafa uk kaolewa uk an mchumb

    • @MariamOmary-tt3fo
      @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +1

      Hii ni series ngoja tuone sehemu ya pili itakuaje ❤

    • @AnnaLea-lq6ob
      @AnnaLea-lq6ob 3 місяці тому

      ​@@MariamOmary-tt3fohiyo ni feedback, hawakubadisha tu rangi

  • @ArsenSilayo-r4o
    @ArsenSilayo-r4o 3 місяці тому +3

    Hii move hata haieleweki mara huyo sandra alikufa mara yupo na kwenye ndoa dah pananivuruga

  • @calvinntinder3722
    @calvinntinder3722 3 місяці тому +2

    💫💫💫

  • @NzembiNyamai-u6l
    @NzembiNyamai-u6l 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 2 місяці тому +3

    ❤ Mr CHIBU nimekuona kwenye SNAKE BOY umerudi teeeeena ❤ Ebana ee siulijinyonga lakini!?. Kazi iendelee. 🙏 Lakini hii tamthilia sijaiwekea maoni nasubiria EP 2 ili niweke maoni sahihi 🙏

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 2 місяці тому

      Snake boy 2 producer kaishiwa na idea, ilikuwa makosa kumaliza wahusika wa maana kama huyu Sandra bi migomba na mwakatobe kwenye part one, sai anafanya kuwafufua

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 місяці тому +1

    Haya twende kazi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NazminaAbuu
    @NazminaAbuu 2 місяці тому

    Yan uyo bibi kwakuigiza mchawi asijekumpita bi mwenda😂😂😂

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 3 місяці тому +2

    Nzuri mwendelezo please

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 2 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @SaydonMusic
    @SaydonMusic 3 місяці тому +1

    Nomaaaaaa sanaaaa blod

  • @kaptemapambo1921
    @kaptemapambo1921 3 місяці тому +1

    Aieleweki

  • @charleskabelinde3503
    @charleskabelinde3503 3 місяці тому +1

    🎉nice work

  • @SeifMziray-mh6ce
    @SeifMziray-mh6ce 2 місяці тому

    Sauti ndgo Sana muwe unatoa sauti kubwa kidogo

  • @JoaquimAntonioCornelio-z6g
    @JoaquimAntonioCornelio-z6g 2 місяці тому

    Em verdade 🇯🇴

  • @ZenathissaZenathissa-tq1jm
    @ZenathissaZenathissa-tq1jm 2 місяці тому +1

    Mhhh Bora tu nisitie neno😂😂😂😂

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 3 місяці тому +1

    Yan kiufupi sijaelewa ata kidogo jaman

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥👌👌👌

  • @JasminKilimo
    @JasminKilimo 2 місяці тому

    Kazi nzurii

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 3 місяці тому +2

    Chibu mbona kama ivo

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 місяці тому +1

    😢😢 ufuo wa mbona mulituachia kati haikuisha jamani

    • @TightnotChome-fn2jy
      @TightnotChome-fn2jy 2 місяці тому

      Haki tmalizieni ufuo mbwana😂

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 2 місяці тому

      @@TightnotChome-fn2jy umeonaeeh na vile ilikuwa imefika patamu

  • @RakmaRakma-o9b
    @RakmaRakma-o9b 2 місяці тому

    🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 2 місяці тому

    EP 2

  • @Fatumabeuty-bx1qo
    @Fatumabeuty-bx1qo Місяць тому

    𝘚𝘴 𝘩𝘪𝘪 𝘮𝘣𝘰𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘪𝘦𝘭𝘦𝘸𝘦𝘬𝘪

  • @FettyMeshaki
    @FettyMeshaki 3 місяці тому +1

    Aijaeleweka muv mb zet znaisha bule

  • @SimaojorgeManuel
    @SimaojorgeManuel 2 місяці тому +1

    Por favor por likes todos vocês

  • @Maarifasnr-gu6dp
    @Maarifasnr-gu6dp 2 місяці тому

    Kama huna D mbili huwezi kuelewa

  • @rawlentmaneke3569
    @rawlentmaneke3569 2 місяці тому

    Jamani mbona mimi sielewiii hii movie mtu amekufa mara anaomba aolewe mara ameolewa ni mzimu au?

  • @JoaquimAntonioCornelio-z6g
    @JoaquimAntonioCornelio-z6g 2 місяці тому

    Bem,

  • @kaptemapambo1921
    @kaptemapambo1921 3 місяці тому +2

    Haieleweki