SUMU | Ep 01|.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Mapenzi yana nguvu saana na ndio mpaka leo hakuna majibu sahihi ya maswali yote yanayohusu mapenzi..
    Binti alitaka kujenga ndoa yake kumbe jitihada zake mwishoni zilizuwa utata kabisaaaa 😔.
    Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
    Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
    Follow us on TIKTOK 👇
    www.tiktok.com...
    For Bussiness WHATSAPP ONLY
    +255 764 397 711
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 50

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 місяці тому +6

    Bismillah, haya tushanuia...twasubiri mwendelezo tujionee sumu itakavyotupeleka japo mashallah mwanzo tushauona na sio mbaya na siku njema huonekana asubuhi 👍

  • @JaneGeorge-pf2gr
    @JaneGeorge-pf2gr 3 місяці тому +7

    Nice ipoh vzr shabnam Big up ❤🎉

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 3 місяці тому +4

    Mzuri sana ianamafunzo ila mtuobgeze mda kidogo jamani chibu tuleteyeni namba 2 Sasa daa Hadi raha

  • @WilsonWaliuba
    @WilsonWaliuba 3 місяці тому +6

    Episode mpya ...tunatarajia makubwa

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 3 місяці тому +6

    Kazi kazi

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 місяці тому

      🏆 Director wa Africa! Nasubiria kumuona #SANDRA atakaa nafasi gani ktk #SNAKE_BOY na #BIG_BOSS season 2. Yule ni miongoni mwa waigizaji wanaojituma sana. Kuhusu vipaji, na kuigiza wote umewafua vizuri sana lakini SANDRA kwa upande wa wanake anashindana na MWASI, na vidada 2 majina yao sijavikalili. Viko vizuri sana ktk uigizaji ❤❤❤ #SNAKE_BOY 🏆 #BIG_BOSS 🏆

  • @MICKEYBOYHB
    @MICKEYBOYHB 3 місяці тому +9

    Tunaoamini chibu ni mtaalamu nataka niwajue

  • @Edith-rq3mm
    @Edith-rq3mm 3 місяці тому +7

    Mim movie za chib zinanikatisha tamaa kwasababu haziishag km ufuo cjui ht uliishia wap

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 місяці тому

      Wewe ndio hujui kuangalia move ati hujui mfuo iliishaje 😂

    • @Edith-rq3mm
      @Edith-rq3mm 3 місяці тому

      Nambie ni episode ya ngap mwisho Ili nitafute maan Kila nikitafuta sipat naomb nisaidie tafadhal maan mm cjui kuangalia movie kwakwer pia unifundishe namn Bora ya kuangalia movie

  • @MariamOmary-tt3fo
    @MariamOmary-tt3fo 3 місяці тому +11

    Tuna wakubali team chibu woteeee ❤🎉

  • @WaziriMahadhi
    @WaziriMahadhi 3 місяці тому +2

    Yani kwenye hii huyu dada anatisha sana anajua sana

  • @Mkundaviral
    @Mkundaviral 3 місяці тому +4

    MASHAALLAH

  • @JaneGeorge-pf2gr
    @JaneGeorge-pf2gr 3 місяці тому +3

    Nzuri sana shabnam upo vizuri❤🎉

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 місяці тому +7

    HII TAMTHILIA Mr CHIBU umenikumbusha nasheed ya kijana wangu mmoja aliwahi kuniletea inaitwa SUMU YA MUHOGO 😂 Kwakuwa napenda sana stori nikambana maswali hii stori aliitoa wapi akasema ni stori maarufu sana hasa PEMBA ❤ Hatimae umeitolea filamu sasa ❤😂 Naangalia EP 1 nikiwa najuwa itaishaje 😂❤
    MAONI: Tusitengeneze taswira mbaya. Chibu umeigiza kama mwenye msimamo wa dini. Wanawake kutembea namna hiyo hususan mke wako sio sahihi. Kuongeza mke ni sunna lakini kuvaa stara ni faradhi. Itakuwaje unataka kufanya sunna haliyakuwa faradhi hauzingatii!?.... 🙏 Hauwezi kutaka kuongeza mke mwenye anayevaa namna hiyo bila kuonesha juhudi ya kumlingania ktk mambo ya faradhi... 🙏
    KAZI NZURI tulekebishe vijidosari

  • @depsonathanase6275
    @depsonathanase6275 3 місяці тому +4

    Je suis le 4e depuis RDC

  • @mc_donya04
    @mc_donya04 3 місяці тому +4

    Hamna kupoa ni mwendo wa kazi tu

  • @chardtz6218
    @chardtz6218 3 місяці тому +3

    🔥🔥

  • @revocatusfelix-vg6xh
    @revocatusfelix-vg6xh 3 місяці тому +2

    Greatest bro

  • @bongotamuonline3090
    @bongotamuonline3090 3 місяці тому +4

    🎉🎉🎉🎉 ❤

  • @paschalmtatiro9850
    @paschalmtatiro9850 3 місяці тому +1

    Story nzuri kaka Big up sana

  • @fguy2687
    @fguy2687 3 місяці тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rojaasha7024
    @rojaasha7024 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉

  • @ZuratyAkida
    @ZuratyAkida 3 місяці тому +2

    Mzri msicheleweshe mwendelezo

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 3 місяці тому +1

    Aiseee😂😢

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @HusseinMandary
    @HusseinMandary 3 місяці тому

    Chibu hujawahi kukosea umetisha San kweny hii movies nakubal San

  • @joshuasakwa1548
    @joshuasakwa1548 3 місяці тому +7

    Ukisikia mkenya anaomba like jua yeye ni failure, Hana maisha

  • @Innocentfilm
    @Innocentfilm 3 місяці тому +1

    Ni zuri sana . Ni wenu director Innocent kutoka Congo 🇨🇩👉🎉 naomba SUBSCIBE zenu wa dungu

  • @MohammedSaid-jm5hm
    @MohammedSaid-jm5hm 3 місяці тому +5

    Wa5 like zangu

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 3 місяці тому

    Bravo

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 3 місяці тому +2

    Oooh Mashallah hii tamthilia ni kisa kimoja ivi cha kiislam mtu na wifi yake ndani nyumba walikua mhawapendani wifi akaenda kununua sum ili amuue wif yake yan mdogo wa mumewake ila alivoenda dukan mwenye duka akampa dawa ya .............................😅 💖nachadhan tusubire tamthilia indelee😊 good job Mr chibu🎉🎉

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 3 місяці тому +1

    Chibu unazingua humalizi tamsilia zako unaanza mpya ilimradi hatukufahamu jipange

  • @johnjulius6805
    @johnjulius6805 3 місяці тому +2

    Ni nzuri ila mazingira ni hayo hayo tu mbadilishe hata location

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 3 місяці тому

    MOVE HII NI NZURI SANA ILA TUMFATILIE KANUMBA MASINDE ANA MOVE NZURI PIA

  • @Tabiatz
    @Tabiatz 3 місяці тому +1

    Shangazi mmh umetowa sum kweli unaupendo wewe au😢

  • @DaudWest
    @DaudWest 3 місяці тому

    🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MussakKhan
    @MussakKhan 3 місяці тому +10

    Leo na mim wa Kwanza naomben like zangu

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 3 місяці тому

    KAKA ANGALIA NYUMA AKO WAMEKUWEKEA SUMU USINYWE

  • @Matlida_karembo
    @Matlida_karembo Місяць тому

    Kazi nzuri

  • @paschalmtatiro9850
    @paschalmtatiro9850 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥

  • @calvinntinder3722
    @calvinntinder3722 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @cadmax_
    @cadmax_ 3 місяці тому +2

    🔥🔥🔥🔥