Adhabu yaongezwa Wakatoliki walioenda kusali kwa MWAMPOSA Taarifa zafika kwa Askofu Ngalalekumtwa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Wakatoliki waliosimamishwa kupokea EKARISTI kisa MWAMPOSA Taarifa zafika kwa Askofu Ngalalekumtwa.
    Askofu Ngalalekumtwa Baada ya kupotea Waraka wa Mapadre waliowasimamisha waumini wao Kupokea Ekaristi takatifu nae ameshusha Rungu Jingine kwa wakatoliki wote Jimbo zima la Iringa ikiwa ni kuungana na Maamuzi ya Mapadre wake kwa kitendo walichokifanya cha kushiriki mkutano wa Mwamposa uliofanyika huko iringa mwishoni mwa wiki iliyopita

КОМЕНТАРІ • 388

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 2 роки тому +19

    Ninachojua hakuna dini ya kunipeleka MBINGUNI ila YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 2 роки тому +1

      Ubarikiwe Sana dini nikama vyama

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      @@joycenicodemus.2232 Tena dini ni kama rangi mbaya iliopakwa kwenye kitu kisicho faida Wala matumizi yoyote

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 2 роки тому

      Dini ni mpango wa mwanadamu

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      @@hassanbukambu931 Dah Yani uko sawa KABISA dini ni mfumo(NJIA) WA mwanadam kumtafuta mungu asieweza kumjua,lkn YESU ni NJIA kweli na uzima kumfikisha mtu Kwa Mungu WA kweli

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 2 роки тому +14

    Neno la Mungu linazungumzia kuhusu karama mbalimbali kuhusu mitume na manabii .Na mitume hao na manabii ni Mungu mwenyezi aliyewaweka hivyo mnakosea sana kulinda sheria zenu kuzuia watu wasikutane na Yesu kupitia hao watumishi wa Mungu.Hakika mnangojea adhabu Kali ya moto wa milele endapo mtatawaliwa na sheria zaidi ya Sheria ya Roho wa uzima.

    • @patrickzulu743
      @patrickzulu743 2 роки тому +1

      Mwanposa ni nabii wa uongo na nabii wa shetani na katoliki ni zehebu la mpinga kristo wote no mashetani washenzi wanapotosha watu wa mungu

    • @dianedavid5110
      @dianedavid5110 2 роки тому +1

      @@patrickzulu743 usimuhukumu mtu MUNGU ndiye anayetakiwa kutuhukumu.

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 роки тому +2

      @@patrickzulu743 jikague kwanza je hujawahi mkosea Mungu?je wewe ni Mtakatifu sana kuliko huyo unayemhukumu?sipo kwa Mwamposa wala si wa Katoriki lkn hatupaswi kuhukumu,hukumu yetu ni kwa Mungu tu na si juu ya binadamu msihi Roho wa Mungu akuonyeshe njia sahihi ili usipotee

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 2 роки тому

      @@patrickzulu743 unamkufuru Roho wa Mungu aliye ndani yake kesi hiyo haituhusu ni wewe na huyo MUNGU WA Mwamposa tunaamini Ni KRISTO YESU

    • @patrickzulu743
      @patrickzulu743 2 роки тому

      @@wilfredlukowo9476 humjui wewe mshabiki wa shetani

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 2 роки тому +3

    Mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa kazi iendelee wasitupunguzie mwendo. Hatuna muda nao hawa. Wajanja wapo Kawe.. Twendeni Kawe....usijicheleweshe Injili iendelee. Injili iende mbele. Ongeza gear Baba.....kanyaga mafuta, speed week hii hadi Mbeya.....watachoka sana mwaka huu. Tukutane Mbeya Alhamisi, Ijumaa na Jmamosi.

  • @judithmlaki1147
    @judithmlaki1147 2 роки тому +3

    Pole baba askofu,okba Mungu akupe macho ya rohoni uijue kweli🙏

  • @PonsianoMatinyaHENRY-gm2nv
    @PonsianoMatinyaHENRY-gm2nv 3 місяці тому +1

    Safi sana askofu ngalale kumtwa kwa kuwaasa wawe na imani kwa kile walicho kiamin katika kanisa cathorick

  • @lucymollel8212
    @lucymollel8212 2 роки тому +12

    Iringa nendeni kawe kwa mwamposa achaneni na hao wana vitu vyao

    • @isabellahassani3652
      @isabellahassani3652 2 роки тому

      We vip, kwani mwamposa ndo Mungu wako? acha kuwapotosha mwenzio, mwamposa alipokuwa hayupo mlikuwa mnaenda wapi

  • @maggiesteer6655
    @maggiesteer6655 2 роки тому +3

    Mungu anaokoa kwa kutenda matendo mema , moyo safi na dhamira njema siku zote.

  • @thelesiakabadi2155
    @thelesiakabadi2155 2 роки тому +7

    Asante baba mungu awatunze na kuwajalia nguvu zaidi.

    • @wilhelmntenya7618
      @wilhelmntenya7618 2 роки тому +1

      Asante Kwa kusimamia maandiko vema ,ubwana yesu akutunze askofu wetu.

  • @enocklazaro8175
    @enocklazaro8175 2 роки тому +6

    Mwamposa kweli ameupiga mwingi.... Piga Kazi Mwamposa. You are true servant of Jesus christ!..

  • @gloryshayo9966
    @gloryshayo9966 2 роки тому +2

    Safi baba askofu wakae kwa nidhamu .YESU kristu yupo hapohapo catholic soma neno la Mungu muamini utapata miujiza zaidi ya unavyohangaika.

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому

      Kweli kabisaa!

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Amina kwa imani wakatoliki wenzangu tunasonga mbele, hiyo miujiza na injili ya uponyaji ndio inawafanya watu watangetange kila kona na mwishowe kukosa pa kushika lakini pia tujitahidi kuwafundisha watu Katekesimu na Biblia maana kuna wengine wakisomewa mstari mmoja tu hana cha kujitetea unakuta anahamishiwa kwingine Mungu atusaidie sana 👏🏻✝️☦️ pia watanzania tuamkeni tufanye kazi na tusali pia tusitegemee miujiza tuu ,watu wengi walioishi kwa kutegemea miujiza tu siku mambo yakienda sivyo maana Mungu hawahi wala hachelewi ni rahisi sana kukufuru ,pia turejee 2Timotheo 2:14-26🙏🏻🙏🏻

  • @glorygadielmshana1070
    @glorygadielmshana1070 2 роки тому +25

    Kwahiyo madhehebu mengine wakija kusali kwenu nao wakirudi makanisani kwao Waka tubu?pia mwamposa amesaidia maelfu ya watu wavuta bangi wameacha,walevi wameacha pombe,wagonjwa wamepona,maskini wame pata baraka,nyie katolik mmefanya Nini?....acheni ubaguzi mtu ana Uhuru wa kuabudu popote,...

    • @emmanuelmatagulwa7372
      @emmanuelmatagulwa7372 2 роки тому

      Mm ni mkatoriki lakini kwa hili wamechemusha. Acha MUNGU wa mwamposa atende miujiza Hawa hawana lolote wameniboa sana

    • @vickymgonja3007
      @vickymgonja3007 2 роки тому

      Glory Gabriel mshana hawa viogozi wa katoliki wamewatenga washirika wao kwakuwa wamempokea yesu sikwa mba wameenda kongamano linaloogozwa na mwamposa ukisoma kitabu Cha vita kuu utauona Rumi ilivyotesa wafuasi wa Yesu ukisoma Daniel 7 unauo watakavyobadili sheria majira na nyakati ukisoma biblia utatambua Papa atapewa uwezo na nguvu nashetani atatawala Dunia zima kidini na kiserekali hutanunua,hutauza,hutatibiwa, hutahubiri,hutafanya kazi ,hutasafiri, hutasomesha, hutofanya chochote kama hutatii Amri ya Papa sasa hawa maparoko ni mawakala wapapa lazima wamchukie Yesu yeyeto ana mchukia aukumsema vibaya ukundendea vibaya mwamposa amemtendea Yesu mwamposa hafanyi kwa uweza wake bali kwa uweza wa Yesu kwa pamoja waTanzania tumshukuru Mungu kutupatea mkombozi madaktari wanashindwa kwa Yesu kupitia mwamposa tunapona tunafunguliwa Asante Yesu

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 2 роки тому

      Huko sahihi halafu sijaona sehemu mitume wamegombania waumini katoliki wanaweza kufanya miujiza ila hawaipi nafasi sijui kwanini halafu waumini wakienda kutafuta sehemu nyingine wanalalamika mi nilihama mazima baada ya kupona kwenye kanisa jingine

    • @prophetislaeltino2496
      @prophetislaeltino2496 Рік тому

      Ndio ujue kuwa kunamakanisa sio yaMungu watu wanakatwaza kwenda kuungana nawakristo wengine hawa nimapepo wazwaz

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 11 місяців тому

      ​@@emmanuelmatagulwa7372amna mungu wa mwamposa lamda miungu,

  • @stanslausefrem476
    @stanslausefrem476 2 роки тому +6

    Asante Sana Baba Askofu...tunaomba Majimbo mengine yafuate mfano wa Jimbo la Iringa ili kuirejesha Imani Katoliki mahali pake.

  • @annakinyami2998
    @annakinyami2998 2 роки тому +3

    Mtu hazuiliwi kuhama kanisa Kama anaona panapomfaa aende tu lakin kuhusu mtu anasali kule alafu anakuja huku kukominika hayao sio mafundisho

  • @vickymgonja3007
    @vickymgonja3007 2 роки тому +13

    Baba paroko mungu wako ninani na Mungu wa mwamposa ni nani yesu wako ni yupi na Yesu wa mwamposa ni yupi mbingu unayowapeleka watu niipi naya mwamposa niipi kama ni Mungu mmoja wote wakrto kwanini unamkatamtumiahi wa Mungu? Mwamposa?

  • @sifachanda8225
    @sifachanda8225 2 роки тому +7

    Mwamposa endelea na kz ya mungu

  • @victoriashayo1460
    @victoriashayo1460 2 роки тому +4

    Kwa Imani hayo maji mnayotumia kanisani ukinywa unapona nawaomba Sana msiponde wachungaji wachungaji wakiongea na mtu Yani kunafaraja unapata ni Kama Ness au docta unaumwa anakuambia wewe utapona na kweli kwa Imani na dawa unapona na nyiye azeni huduma yakuongea na waumini.

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 2 роки тому

      Wabandike na mikono na mapepo watolewe na shuhuda ziwepo aliye nae mwana ana ushuhuda

    • @yohanavenance1977
      @yohanavenance1977 2 роки тому

      wanafikiri bado tunadanganyika na hizo bible zao za kuedit na kusubiri mtu afe wamzike dini zingine unasali ukiwa mzima tu hawana msaada wowote ukiwa na shida kubwa ndo maana unakuta padre ana mganga wake mpaka waumini hakuna msaada wa kiroho kwa mpinga kristo

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 роки тому +14

    Tumechoka na stori za abunuasi,tunataka kuona matendo ya Mungu,msitutishe safari kaweeee Kwa Mwamposa

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому +1

      Siku ya kikukuta utajua,Mimi nimelienda kwa mtume,nilijuta.

    • @claudiangowi9628
      @claudiangowi9628 2 роки тому

      @@patriciasanga9848 Acha uchawi, ulijuta nini

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому +1

      @@claudiangowi9628 nilijuta baada ya kujua kuwa Sio mtume kama nilivyokuwa nafikiria,kwa muonekano Wa nje ni mtumish,kuna mambo nyuma ya pazia,nimeteseka almost three years,nikabahatika kukutana na mchungaji Wa kisabato nikamuelekeza,akanisaidia mpaka leo nipo hai,kwa upande wangu sitaki kumsikia huyo MTU hata kwa bahati mbaya.tena nilienda kipind kile yupo mwenge kwa wachonga vinyago.

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому +1

      Hakuna Mungu hapo,bora uende kwa mganga Wa kienyeji ujue moja kuliko kwa huyo kiumbe. Namafundisho Yake fake

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому +1

      @@claudiangowi9628 mi mchawi huyo anayejifanya mtume ndio umuite machawi.lakini sishangai wanatimiza maandiko kuwa watakuja manabii Wa uongo!

  • @lucymollel8212
    @lucymollel8212 2 роки тому +9

    Yamepitwa na wakati mapokeo hayo

    • @theresiariwa4691
      @theresiariwa4691 2 роки тому

      Wakamwendea Yesu wakasema , tumeona mtu anatoa pepo kwa jina lako ambaye hafuatani nasi;
      tukamkataza. Yesu akasema, Msimkataze, maana hakuna mtu atayefanya muujiza kwa jina langu akaweza mara kuninena vibaya . Marko9:38-39 Mwamposa hutoa kwa jina la nani ? Mungu ndiye atendaye kazi zote katika watu wote. Wakorintho 1:12:6 . Tusimwekee Mungu mipaka .

  • @muniraassenga1068
    @muniraassenga1068 2 роки тому +5

    Mama kanisa mh inafikirisha kidogo ROHO MTAKATIFU NIFUNDISHE KUNYAMAZA

  • @anatolikalisti3813
    @anatolikalisti3813 2 роки тому +3

    Mungu ni mmoja na imani ni moja kama wew ni mkatoliki amini katika njia hiyo siyo kutangatanga huku na kule mwishowe hueleweki kama ni wa dhehebu gani.

    • @mama_mlezi7744
      @mama_mlezi7744 2 роки тому

      Kwani dhehebu ndio tiketi ya kuingia mbinguni,,,jamani mtafuteni Mungu,mpate kumjua zaidi ili awafundishe yaliyo mapenzi yake,muwe watakatifu Kama alivyo mtakatifu mpate kurithi uzima wa milele

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 2 роки тому +13

    Wanaokwenda kwa waganga wa kienyeji tamko lao ni lipi?!!!!

    • @judithmgaya7733
      @judithmgaya7733 2 роки тому

      😂😂😂

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 2 роки тому

      Kama unazijua amri za Mungu jibu unalo

    • @patriciamkupasi6230
      @patriciamkupasi6230 2 роки тому

      😅😅😅😅😅😅

    • @yusuphfutte6979
      @yusuphfutte6979 2 роки тому +3

      Na mm nashangaa mbona watu wengi waumin wa katoriki wanaenda kwa waganga wa kienyeji lakin cjawahi sikia walaka.... Wanaona mtu bora afichame aende kwa mganga kuliko kwa Mungu anaehubiriwa na dini au mtumishi mwingine,,,, hii si sawa maana watu wanashida kubwa za kiroho kuliko wanavoongea na wengi wanapoteza maisha kabla ya mda wao lakin hawasemi ....

    • @denismaussa650
      @denismaussa650 2 роки тому +2

      Hapo umewaza

  • @marthakarera229
    @marthakarera229 2 роки тому +2

    Ubinafsi na kujiona Miungu watu utatukosesha mbingu binafsi mi ni mkatoliki safi ila kwa kunizuia nisiabudu ninapotaka hilo ni kosa sana maana Imani ya mtu huwezi kumpangia.,,tunafata neno na si porojo na tunaangalia uponyaji na si ubinafsi na masharti ya maombi tupo na uhuru wa kuabudu,,kumzuia mtu asisikilize neno la Mungu kisa ni dini nyingine binafsi naona ni aina ya utumwa.Pepo la ubinafsi lishindwe kwa dini zote.

    • @vailethcleophace8924
      @vailethcleophace8924 2 роки тому +1

      Usiwaze kuhusu ubinafsi my dear, mnyororo wako wa kumchunguza mwamposa ni mfupi Sana kuliko haoo walioko kwenye hiyo game yenyewe, ninachoamini ni kwamba; Baba askofu hajakurupuka (wamechunguza) so sisi ni waamini tu wao wanajuana wao kwa wao yupi mkweli na yupi bra bra braaa 😭😭

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 2 роки тому

      @Martha kama kweli wewe ni mkatoliki basi ni usiyejitambua kudai una haki ya kujichagulia imani. utaishia kubaya usipotaka kurekebishwa pale unapopotoka

    • @marthakarera229
      @marthakarera229 2 роки тому

      @@celestinshayo7295 mna ndugu zenu wangapi ambao ni waislamu na madhehebu mengine?? Kama mnaitafuta mbingu si kwa kukashifia makanisa mengine ni kuombea waumini na kuombea kanisa ambalo umeamua kuabudu.,, Siyo kiongozi tunayemtegemea mpakwa mafuta naye anaingia kushindana na madhehebu mengine wakati hatukuja kusutana makanisani tunahitaji kuongozwa na roho mtakatifu na si kutazama wengine wanafanya nn?? Acha mtu aamue kile anachojisikia uhuru wa kuabudu na kujiamulia ni juu ya mtu na kamwe Mungu hachagui yeyote anayemwamini ataokoka.

  • @emeldamulukuzi888
    @emeldamulukuzi888 2 роки тому +2

    Safi kabisaaaa...Who is Mwamposa...Moshi alisababisha vifo. Muo go hiyo.

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 роки тому +5

    Wakatoliki hoyeee hongera askofu

    • @kat.josephmission9088
      @kat.josephmission9088 2 роки тому +1

      Amina na ive hivyo kanisa liwe na msimamo huu kote nchini

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 2 роки тому +1

      Natamani maparoko wa mikoa mwingine waige mfano huo, wakatoliki ndo waanzilishi wa Kwanza duniani kumjua Mungu

  • @hamislukas6543
    @hamislukas6543 2 роки тому +2

    Bila kuacha zambi utahangaika huku nakule kutafuta miujiza, achilia mzigo uliyobeba uone Mungu atakavyokushangaza, piga magoti mulilie Mungu kwakumanisha uone atakavyokushangaza,. Najivunia kuwa mkatoliki haika sitaacha kumwabudu Yesu wamsalaba, Mama bikra malia uniombee

    • @rihannajoseph5796
      @rihannajoseph5796 2 роки тому +1

      Hata yesu alituma wanafunzi wake aliwambia wachukue mafuta wakatumie kuponya watu wakawapake wagonjwa na walio na mapepo walipakwa mafuta na walipona kwa jina la yesu hata paroko alipakwa mafuta na ndio maana anasimama kuongoza ibada sasa muulize paroko mafuta aliyo pakwa yeye mgonjwa haluhusiwi

    • @yohanavenance1977
      @yohanavenance1977 2 роки тому

      Tulikuwa wakatoliki kama ww usiongee sana subiri yakukute utaona kama huyo padre wako anamsaada wowote watu wamepotoshwa na mafundisho ya uongo mtu yupo huko ili akifa azikwe vizuri wanavyodai so hata ww wanakusubir.

  • @deonjawike4881
    @deonjawike4881 2 роки тому +8

    Kwani lazima kubaki huko roman ????

    • @rosemofuga8101
      @rosemofuga8101 2 роки тому

      Sio ndio hapo Sasa mm siko huko kwao long time ago

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 роки тому

      Kama hujawahi kuongozwa sala ya toba huwezi kuyaona matendo makuu ya Mungu

    • @rosemofuga8101
      @rosemofuga8101 2 роки тому

      Nakubaliana nawewe lakini huko sijui kama hata wanajua hilo

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 2 роки тому

      Ukiona umuhimu kubaki utabaki!

  • @Misol003
    @Misol003 7 місяців тому +1

    Wakristo tuwe na msimamo ktk Imani yetu hasa sisi WAKATOLIK tujivunie na tusitetereke

  • @modestanjau5211
    @modestanjau5211 2 роки тому +7

    Safi kabisa wanekuwa wakihanga ika mno. Wamesahau kwamba mungu hayatafutwii kwa kutangatanga kwenye makanisa . Trulia kanisani kwako mungu atakusikia maombi utakayomwomba

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 роки тому

      Kinachowahangaisha watu ni kupata matendo makuu ya Mungu,kama kanisa lenyewe kila siku ni kusali na kutoka hakuna nguvu yoyote inayodhihirika kwa watu,hapo napo utulie Mungu atakusikia?hahaaaaa,

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 2 роки тому +4

    Heri wenye moyo safi maana watamuona Mungu

  • @enocklazaro8175
    @enocklazaro8175 2 роки тому +5

    Kwa hili naamini Kuwa MWAMPOSA NI MWANAFUNZI WA YESU!.

  • @vickymgonja3007
    @vickymgonja3007 2 роки тому +6

    Paroko mbona ninyi mumemkosea Sana Mungu n moja Amri kumi za Mungu ( kutoka 20 ;1_____ ) mungu amesema msiabudu sanamu mbona mnawapotosha waumini kwa kuwekasanam kanisani? Mbona mumeindoa biblia kwa washirika mkawapa mistake ya wa umini je yatoka kwamungu?nk

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 2 роки тому

      Pombe sio dhami kwao kuabudu picha hawa wanafuata sheria sio Yesu Mungu awasaidie

    • @johnmahenge2717
      @johnmahenge2717 Рік тому

      Mungu mwenyewe ndeye ,,ahukumuye je,, wewe mwanadamu ni nana umuhukumuye,,,
      Vicky mpendwa,,,
      Kathoriki hatuabudu sanamu tunaheshimu,,, kama wewe uzitunzavyo picha zako kwenye albam au simu Yako,,,basi kama Ivo ACHA kupiga picha na kuzitunza kama ukumbusho wako ,,,amina,,

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Tena kitu ambacho nashangaa sana kwa madhehebu mengine wanapenda kutusema sana wakatoliki lakini kuna kitabu cha kisabato kilichoandikwa na Ellen White kinaitwa Jina La Yesu kina picha ya Yesu anayewekwa ktk. Kanisa katoliki sasa unashindwa kuelewa yupi mwenye makosa duuuh pia sisi tunaamini kuwa picha na nadharia zinahitajika ili tuweze kujenga taswira ya kile ambacho tunakiamini hata wewe unaposali huwa unacreate imagination kuwa maombi yako yanaelekea wapi pia kama Musa alivyomuinua nyoka wa shaba kule jangwani hivyo hivyo mwana wa Adam hana budi kuinuliwa pia Suleiman alichora na kupamba hekaluni kwa picha za makerubi na kutengeneza ng'ombe wa kusubu, tusomeni biblia takatifu kwa kufuata mshororo na sio kwa kurukaruka 🙏🏻🙏🏻

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Pia sisi tunaona fahari kubwa kwa msalaba wa yesu kristo ambao wokovu wa dunia umetundikwa juu yake waweza kurejea maandiko matakatifu Wagalatia 6:11-18 asomaye na afahamu 🙏🏻🙏🏻

  • @elizabethmaleo8339
    @elizabethmaleo8339 2 роки тому +3

    Yesu ni WA Kila mtu anayemwamini na kusema ni mwana wa Mungu

  • @RoseJames-ed5hv
    @RoseJames-ed5hv 2 роки тому +1

    Kazi kweli kweli Mimi sibanduki kwa Mwamposa hata kwa rungu najua Mungu alichonitendea kupitia Ile madhabahu. Mimi nafuata mafundisho simfuati mwamposa.kila mtumishi ana namna yake ya kufundisha neno la Mungu wengine ukienda Wana kazi ya kusimanga watumishi wenzake hapo ndipo wanapofeli.

  • @mwanaidimsawila456
    @mwanaidimsawila456 2 роки тому +6

    Mwamposa ajasema anagawa utajili hapana.mimi nimemuelewa yeye ana wafungua watu waliofungwa na nguvu za giza. Kwani nyinyi mapadr hamuoni watu wanateseka na magonjwa?. Mwenzenu kashushiwa upako .mwacheni akomboe.

  • @elizabethmaleo8339
    @elizabethmaleo8339 2 роки тому +2

    Yesu anasema dini iliyo safi isiyokuwa na mawaa ni kushika amri za Mungu

  • @mbisembise142
    @mbisembise142 2 роки тому +1

    Kumzuia mtu aonae msaada wake mahali ulipo tena msaada wa bure. Pasipo kuungama dhambi zake kwa mwanadamu mwingine sio sahihi. Imani HAILAZIMISHWI MTU kwa nguvu.

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 8 місяців тому

    Safi sana waondoke kama hawataki Kanisa KATOLIKI ni kubwa

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 2 роки тому +7

    Wasio kinyume chetu,wako upande wetu.
    Kama sote tunamhuburi Kristo aliyefufuka chuki hizi zinatokea wapi?

    • @user-ng6yt2od7l
      @user-ng6yt2od7l 2 роки тому

      Ndoapo

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Sio chuki wapendwa ni kipengele cha ekaristi takatifu tuu yaani mkate na divai kwa kanisa katoliki kama haujajitakasa au umejitenga na kanisa yaani unakuwa umejitenga kushiriki meza ya Bwana ambayo wenyewe wanaaita Kufungiwa masakramenti ni hivyo tu wapendwa, lakini kwa ubinadamu wetu Mungu aturehemu sana 😥😥

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 2 роки тому +5

    Safii wajifunze na wengine

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 Рік тому +1

    Ondoka kabisaa ujiunge na Mwamposa Kanisa Catholiki halipungukiwi, Hakuna Askofu Wala Padri Wala sister ataenda huku.Mungu haishi kwenye nyumba ya Mwamposa

  • @sadickgasper4713
    @sadickgasper4713 2 роки тому +3

    Katoliki wanapoteza waumini namna hiyoooo.Watafakari sababu na waifanyie kazi.

  • @epafrasgray5725
    @epafrasgray5725 2 роки тому +2

    ACHENI HAYO WOTE WAPIIGAJI. KANISA NI KRISTO NA SIYO KATOLIKI WALA PRNTECOSTE WALA LUTHERANI NK.NK.

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 роки тому +3

    Hiyo inaitwa kupotezana huyu kuzimu na yule mpinga Kristo nani zaidi kipofu juu ya kipofu wanakemeana

  • @brandycrescent1208
    @brandycrescent1208 2 роки тому +1

    Najivunia kuwa Mkatoliki najivua kupata sacraments saba ambazo zimeniponya na kunitakasa kabisa Yesu wangu ninakushukuru kwa uponyaji

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s Місяць тому

    Asante yesu wa ekaristi
    10:28

  • @antoniambogolo3628
    @antoniambogolo3628 2 роки тому +8

    Safi sana watu tunahangaika sana na miujiza tunaiman habar safi sana tuwe namsimamo wakatolikiii

    • @deusdeditkapenegele8919
      @deusdeditkapenegele8919 2 роки тому +1

      Watu hawahangaikii miujiza WANASHIDA nawanatafuta ufumbuzi ni hivyo tuuuuuu

    • @gloriaatupele9090
      @gloriaatupele9090 2 роки тому +1

      Ukiona watoto wako wanahangaika mwenyeshida ni mzazi,zichunguzeni njia zenu yakale yamepita sasa yamekuwa mapya

    • @gloriaatupele9090
      @gloriaatupele9090 2 роки тому

      @@deusdeditkapenegele8919 kweli ndg yangu kiongozi wa dini anaifahamu nyumba ya mwenye pesa tu wewe kapuku hata hawana habar na wewe

  • @eneamsomba1982
    @eneamsomba1982 2 роки тому +6

    Mwache mwamposa apinge njili

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 2 роки тому

    Ashuke mungutuu ndio atukanye bila Ivo mwamposa mungu akuweke uzidi kukomboa watu katka vifungo vya Giza na na matatizo mengi 🙏🙏

  • @johnmalanilo1346
    @johnmalanilo1346 2 роки тому +1

    Yesu Kristo hana ubaguzi wanaobaguana ni wanadamu. Wale wote wanaomwamini YESU Kristo, ni wa Kristo wala siyo wa askofu wala paroko. Kanisa moja ni Mwili wa Kristo siyo _Katoliki_. Japo siamini mafundisho ya Mwamposa, lakini ni KOSA kuwazuia waamini kusikiliza na kujifunza neno la Mungu.

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому +1

      Nimecheka 😂😂😂 mimi Mungu akubariki sana 🙏🏻🙏🏻

  • @richardsanga8641
    @richardsanga8641 2 роки тому +1

    HMMM. WATU WASIPOPATA UPONYAJI, WASIPOPATA WANACHOTAKA WATAKWENDA KWINGINE. HAPO NAONA MNAMPIGIA ZEZE MBUZI.

  • @victoriashayo1460
    @victoriashayo1460 2 роки тому +2

    Watu saa tatu wanatoka katoliki wanaenda kwenye makanisa menginge embu maparoko waongeze ujuzi wa rohoni ili waamini wasiwatoroke watu wanashida siyo kwamba hapo yesu hayupo yupo Ila waongeze mafundisho na wawawekee mikono wagonjwa wapone🙏🙏

    • @mama_mlezi7744
      @mama_mlezi7744 2 роки тому

      Watu wajae roho,,,waombe nyumbani mwa Mungu,,,Ani unaenda nyumbani kwa Mungu Kama unaenda shulee,,,watu wafundishe kujiombea wenyewe na sio kukalilishwa sala

    • @emmanuelmatagulwa7372
      @emmanuelmatagulwa7372 2 роки тому

      Kabisa

  • @deborahmgedzi7269
    @deborahmgedzi7269 2 роки тому +2

    Mungu Mwenyezi Awabariki voongozi kwa kuchunga kondoo wenu!

    • @revinaedward6616
      @revinaedward6616 2 роки тому

      wew utaenda mbingun na nani et utaenda na kanisa lako watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 2 роки тому +3

    Ivi hawa wanao tangatanga na makanisa wamewahi kujiuliza kwamba huko wanako enda kwenye madhehebu huko je huko hawafi kikubwa watubu madhambi yao mungu atawasamehe hapo hapo walipo. Baba askofu usisumbuke na hao mamalaya mungu anawajua walio wake. Ni bora tuwe kumi tunaoelewa kuliko wengi wanaojaza viti

    • @epafrasgray5725
      @epafrasgray5725 2 роки тому +1

      Watu na akili zao tens wasomi mnafungwa na dini!! Ninyi bado Kristo hajawafungua huko kwenye magereza ya dini. Poleni!

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 роки тому

      @@epafrasgray5725 Tatizo hawajaongozwa Sala ya toba

  • @winifridarutaindurwa182
    @winifridarutaindurwa182 2 роки тому +1

    Yesu ni yule yule na HANA DHEHEBU.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому +2

    Pumba na mchele vinajitenga vyenyewe mnataka watu waendelee kuteseka wakatoliki acheni kutisha watu ndio maana mnakimbiwa kwa kutaka watu wakae gizani.wakatoliki mna tumia maji na mafuta.mjitafiti kweli mafundisho yenu mna muhubiri nani maana mpo kinyume na BIBLIA.HUO WARAKA NI WAKUNYIMA WATU UHURU WA KUABUDU HUO NI UKOLONI

    • @bellahappy2119
      @bellahappy2119 2 роки тому

      Umenifurasha sana wanapenda sana watu wateseke awana msahada wowote roma

  • @nyalusoli8072
    @nyalusoli8072 2 роки тому +2

    Ni dhahiri kwamba hawajamuona Mungu kwenye makanisa yao

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 роки тому

    Mwamposa fanya kazi Maisha yaendelee Mimi najua sii kilema tenaaa💃

  • @angelanderson5066
    @angelanderson5066 2 роки тому

    Mungu ni mmoja tunaemtafuta na maandiko ni yale yale Mwamposa piga injili watu wapone 🙌🙌

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 2 роки тому +2

    Kwani Mwamposa anafundisha kinyume na Yesu Kristu au hatumii Bibilia? Kanisa Katoliki linatumia mafuta na maji ya baraka pia.

    • @imeldaphilipo3325
      @imeldaphilipo3325 2 роки тому +2

      Maana manabii wengi watatokea na kupotosha wengi hyumkini hata wateule? Ulidhani angewezaje kupotosha wateule Kama asingetumia maandiko n jina la Kristo upofu wa nyakati za mwisho na Wala ufisadi wenu huu hautadumu na aibu yenu ishawekwa tayali Mungu hadhihakiwi

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому +3

    Paroko nitu mkubwa. Anamwakilisha Askofu. Tujifunze kuwatii maparoko.

    • @samwelmwakipesile8070
      @samwelmwakipesile8070 2 роки тому

      Mkubwa ni Mungu na watu ni wa Mungu Mungu atusaidie tuweze kuwa na ufahamu juu ya Mungu

  • @jaclineshayo2023
    @jaclineshayo2023 2 роки тому +2

    Mbinguni hatutaenda kwa dini wala dhehebu Bali kwa kua na moyo Safi(kutokua na dhambi)

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 роки тому

      Wao wanaamini eti mtu akishakufa padri anaweza kumuombea akasamehewa ndio maana wamepumbazwa

  • @neemajohn1272
    @neemajohn1272 2 роки тому

    We askofu unastahili kutubu.. maana hakuna dini inayompeleka mbinguni bali Iman na kumwamim kirsto

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 роки тому +1

    Wanaoenda Kwa waganga mnawajua mbona hamuwatoleo matamko?Hamna mbingu ya kupeleka watu msiwatishe.

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 роки тому

      Umenifurahisha sana,ni kweli wanaoenda kwa waganga hawatoi walaka ila wanaoenda kumtafuta Mungu walaka tayari duh!makubwa

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 2 роки тому +3

    Mbona hao mapadre hawapingi mafuta ya upako wa wagonjwa??
    Mbona mapadre hawapingi maji ya baraka kwenye milango ya makanisa ya Kikatoliki??

    • @gwanda27
      @gwanda27 2 роки тому

      Kanisa katoliki linamafundisho juu ya vitu hivyo na msingi wake,lakini kumbuka siyo kila maji Wala mafuta Basi yanatakatifuza isipokuwa Yale yaliyobarikiwa na wapakwa mafuta yaani neema hutoka kwa aliyonayo na kwenda kwa asiye nayo,Sasa huyu bulldoza kaitoa wapi neema hiyo?.

  • @kastulideemay6721
    @kastulideemay6721 2 роки тому +9

    Asanteni Mawakili wa Kristo kutoka Jimbo Katoliki Iringa, adhabu hii imguse kila mkatoliki anayekwenda kinyume na waraka wa Mapadre. "Tunaonyana kwa upendo tunapopotoka". Amina

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 2 роки тому +2

      Kwani hao mapadri wenyewe wamekuwa mungu kuwahukumu watu? Wakitengwa hapa duniani mungu wao alowaumba atawatengua huko mbinguni.

    • @akidajulius8397
      @akidajulius8397 2 роки тому

      @@joycenicodemus.2232 waromani ni thehebu lenye msimamo mkali sana,waromani wapo kama waislamu,wanamisimamo sanasana,sio haya mathehebu mengine ya sio jitambua ,bendela fuata upepo, akija mtu Leo akisema ,tule mavi tutapona,utawaona wanakula,wakiambiwa salini uchi mtapona ,utawaona wanasali uchi,wao wanchoangalia nimiujiza wapate gali na nyumba,wakiambiwa pokea,nao Wana toa macho kweli nakukinga mikono kupokea nyumba na gali,utajili,yani kama mazuzu vile ,

    • @neemayusuph5323
      @neemayusuph5323 2 роки тому

      Hao ni wanadamu tu waacheni yesu anao watu wake.

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 2 роки тому +3

    asante sana mapadre wetu Munɡu azidi kuwajalia afya ya roho na ya mwili.

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 2 роки тому +2

    Mpinga kilsto nabii wa uongo ndani ya ulingo !!

  • @alisasportsTV
    @alisasportsTV 2 роки тому

    Mapokeo ya wanadamu yanawatesa sana wanashindwa kumwamini YESU ...wamekalia sheria tuu za kanisaa!!

  • @graceshayo2280
    @graceshayo2280 2 роки тому +3

    Mbona hawawazui wanaoenda kwa waganga na kutoa kafara

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 2 роки тому +2

    Watu wamegeuka kua Miungu na kuiona wao makanisa yao ni sahii kuliko wengine Kinachotakiwa ni Imani mbona Mwakasege katoloki wanaenda na mikutano mingi tu watu huwa wanaenda kwa nini kwa Mwamposa imekua ni Issue unampa mtu Adhabu ww ni Mungu Makanisa ni mengi ni uamuzi wa mtu.Hivi hawa Maparoko na Masisita ni wa Tawa kweli yani hawana ndoa au (......)Tumuachie Mungu atahukumu na atamnyoosha na kumuinua amtakae.Tusihukumiane

  • @mama_mlezi7744
    @mama_mlezi7744 2 роки тому +1

    Kitabu Cha matendo ya mitume konaelezea Yesu aliwaagiza wanafunzi wake walipokuwa ndani ya chumba akawaambia kaeni humo hata mkiisha kupokea Roho mtakatifu,,,Mungu ni mmoja vita vya nini,,,kikubwa watu sasaivi wanahitaji nguvu za Mungu live badilishen mfumo wa misa zenu acheni watu waombe,walie nyumbani mwa Mungu,,wawekeeni wagonjwa mikono na wenye shida muone Kama wataenda kwa mwamposa,,,watu tunataka kumjua Mungu dini haitatupeleka mbinguni,,Ila utakatifu ambao chanzo chake ni kumjua Mungu na kuyafanya mapenzi yake

  • @sabinamwashi3510
    @sabinamwashi3510 2 роки тому

    Asante yesu

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 роки тому +2

    Safi!

  • @aidanikasembe8191
    @aidanikasembe8191 2 роки тому +3

    Kila MTU atauchukuwa mzigo wake mwenyewe

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael3805 2 роки тому +4

    Kwa mwamposa na kwa waganga na mitambiko kupi bora?? Kanisa katoliki mlelogwa nani?? Any wagalatia mmelogwa nani?? Mpinga kristu yupo kazi watumishi wanapingana

    • @angelomangare8952
      @angelomangare8952 2 роки тому

      Mchungaji mwema c huwachunga kondoo wake?

    • @joventiusjeremiah
      @joventiusjeremiah Рік тому +1

      Mnaowashambilia mapadre,mna haki kwasababu hicho ndicho mnachokielewa na kukiaminni. Wakati ulifka mtaelewa nakutoka katika hiyo Imani.Hongera Kwa kupona na kutajirika lakini kilichokuponya ni nn?Kilichokutanirisha ni nn? Nitaftee nikufumbue macho.

    • @joventiusjeremiah
      @joventiusjeremiah Рік тому +1

      Siyo Kila kinachongara kwamba ni dhahabu!!

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Au wasome maandiko ya Titus Amigu pia bila kumsahau Padri Emmanueli Msabila wataelewa maana Wakristo hawajatulia 🙏🏻

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Au wasome maandiko ya Titus Amigu pia bila kumsahau Padri Emmanueli Msabila wataelewa maana Wakristo hawajatulia 🙏🏻

  • @hellenmsaba8800
    @hellenmsaba8800 2 роки тому +1

    Mmechelewa hamna jipya kama mna akili pigeni injili ipasayo

    • @gwanda27
      @gwanda27 2 роки тому

      Wanaopiga injili kinanani na wamewezaje kuhakikisha unabii huu wa uongo hautokea,lazima andiko lililonenwa na manabii litimie kwahiyo linaelekea lakini kanisa lake halitaanguka maana halipambaniwi na mtu yeyote isipokuwa yeye mwenyewe.

  • @user-gv9zo3os2m
    @user-gv9zo3os2m 11 місяців тому

    Watu wengi watajitokeza wakihuburi kwa kuitumia jina langu. Mkiona hivyo wakimbieni pale sitakuwepo. shika ulicho nacho asije mwovu akakunyang,Anya. Tujitahidi kusoma neno la Mungu na kulielewa. Shetani yuko kazini anatafuta wateja wa kwenda nao jehananu. Tumwombe sana Mungu atupe akili ya kuchambua

  • @jescakiwanga8444
    @jescakiwanga8444 2 роки тому +1

    Tena hao maaskofu wazizi Kama nn mnavunja sheria y uziz lkn mnazaa n watu ovyoovyo

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 2 роки тому

    Amini usiamini na usidanganyike hakuna dini yoyote itakayokupeleka Mbinguni hakika. Muamini MUNGU aliyeumba Mbingu na nchi. Mwamini mwana pekee YESU KRISTO na kwamba alikufa akafufuka na ameketi kuume mwa MUNGU BABA. Yupo anaishi anatenda miujiza jana leo na hata milele! Ninachoamini sikiliza na ulichunguze Neno kama latoka kwa Kristo kweli au la..

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 2 роки тому +5

    Masadukayo mnawazuia watu ni wa kwenu???waacheni watu wanaumwa miaka yote nyie vitambiiiii tuuuu

    • @revinaedward6616
      @revinaedward6616 2 роки тому

      Hahahahhahaahahhahah barikiwa

    • @ezekielsaigody743
      @ezekielsaigody743 2 роки тому

      Sasa katolic ushoga na uchafu unarusiwa na babu france pop kweli hapo kuna Mungu?

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 роки тому +2

    Mwamposa fanya Kazi ya Mungu,watu wapone mambo ya udini hatutaki katoliki ndio Nini?mmetia aibuuuu.

  • @victoriashayo1460
    @victoriashayo1460 2 роки тому +1

    Watu wanataka neno la uponyaji shida maandiko ya jumapil yote ni moja dunia moja watafundisha nn zaidi labda wanakwaya waimbe tu ibadani Hadi saa Saba Mmmmmm

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 2 роки тому

      Yaani wewe unafikiri kama Mimi mpendwa Yaani nikifikiria Mungu alivyo mkuu, na kazi zake zilivyo kuu, neno lake na mafundisho halafu uwe na mateso kutoboa ukiwa katoliki Ni ngumu huwezi amini Kama Ni Alpha na Omega

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 5 місяців тому

      Kama Mungu aishivyo mm ni Mkatoliki ambaye nimeshuhudia mwenyewe miujiza mingi,sisemi kwa ajili ya kujisifia labda hapana, Iman ndio itakuponya ndugu yangu pia tutafakari sana kuhusu neno uponyaji ni neno pana sana,Sifa ziende kwa mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi,rejea Yakobo 4:8🙏🏻🙏🏻

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 роки тому +3

    Wao ni MUNGU au Wana MBINGU tutahamia kwa MWAMPOSA 100%🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃!!!!!

    • @imeldaphilipo3325
      @imeldaphilipo3325 2 роки тому

      Nanyi mkiambiwa Kristo Yuko jangwani msiende! Hamkusoma Hilo mat 24. Timilizeni maandiko ninyi ni magugu muda ukifika mtatupwa kunakostaili

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 роки тому

      @@imeldaphilipo3325 watatutenga na masinagogi yao kwa ajili ya KRISTO !!kwani tumeua au tumelewa au tumefanya dhambi gani!!!!TUTAENDA.

  • @lasttrumpettv1784
    @lasttrumpettv1784 2 роки тому

    Naona hapa shida ni Askofu kuwa mtu wa mwilini hajui ya rohoni ndicho kinasumbua. Kama hao watu unaosema ni wako ungeliwalisha neno wakapona magonjwa yao kama neno linavyosema wasingekwenda huko. Wewe unawasambie nendeni na amani wakati wamejaa shida.

  • @juliuschacha3658
    @juliuschacha3658 2 роки тому +1

    Mwamposa wanaungua ndio maana wanajihami wameleta mambo ya mashetani alafu wanang'ang'ania tustoke wamefeli endelea na maombi mwamposa

  • @pamelamroso2618
    @pamelamroso2618 2 роки тому +4

    Wewe ni nani mpaka umukumu mwanadamu ni mmoja tu anayehukumu

  • @neemalyimo8988
    @neemalyimo8988 2 роки тому

    injiri iliyopoa haitakiwi na kama wameenda kwa yesu yuleyule shida iko wako

  • @revinaedward6616
    @revinaedward6616 2 роки тому +3

    kabla ahubri watu wamuelewe amekosa kazi kweli ya kufanya

  • @mariamzirojuma2157
    @mariamzirojuma2157 2 роки тому +1

    Wachawi mpo nao kanisani. Kwanini hampokei uchawi? Mnataka watu wakae navyo mpakq lini?

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 2 роки тому +2

    Tunaama kanisa nyingi warokore oyeee

  • @rennyleo4874
    @rennyleo4874 2 роки тому +1

    Nivizuri mgeanza kuzuia wanaoenda kwa waganga kuliko anaye mtangaza Kristu

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 2 роки тому

    Roho za mpinga Kristo waziwazi , wakatoliki mnachekesha Sana,kujifunza neno la Yesu mnapinga? Ahaaaa ahaaa poleeeni

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s Місяць тому

    Kweli wwanadam ni watu wa kuhangaika msahau kabisa kama maandimo yanavyosema ni kweli kabisa katoliki nawapa shavu

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael3805 2 роки тому +1

    Wewe ni.nani kumwekea Mungu mipaka

  • @nehemiaayo9527
    @nehemiaayo9527 2 роки тому +3

    Ukisikia chuki ndoo izi sasa watumishi mmeishiwa guvu za Mungu kabisa ndoo maana watu wanaenda uko nyinyi mjitadhimini kwanza

    • @thomasregina1937
      @thomasregina1937 2 роки тому

      I think wewe sio Mkatoliki maana kila kitu kimeelezewa hapo

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 2 роки тому

      @@thomasregina1937 nini iyo imeezwa kama unajiesabia haki nakuwatuka wengine ndoo maelezo ngani in ifike maali tujitadhimi sisi kwa sisi Kwanza kabila ya kuukumu

    • @patriciamkupasi6230
      @patriciamkupasi6230 2 роки тому

      Ohooooo tunatetea ukatiliki.😔tunamuacha Yesu Atakaye tupeleka mbinguni

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 роки тому

      @@thomasregina1937 Nyie jifanye wakatoliki safi uku mnatenda dhambi mkisubili mfe padri aje awaombee msamehewe!!! Sijui nani aliwafunga ufahamu,!! ivi hamjawahi kusoma habari ya tajiri na Lazaro?

    • @gwanda27
      @gwanda27 2 роки тому

      @@sweetbertrwiza5982 Shida naona ni uasi uliotangulia hapo Ndiyo maana hata mukifundishwa hamuelewi sababu hata wanaowafundisha hawakuelewa Imani inalindwa kwa jasho na damu siyo kitu Cha kuchezea,Ndiyo maana haya yameongezeka kwasababu Sasa kila anayepigwa na maisha utasikia kaanzisha kikundi Cha maombi Mara kanisa makanisa leo yamekua Kama ilivyokua waganga wa kienyeji Sasa wachungaji hawaaminiki tena wanaitwa wapiga pesa sababu ya haohao kina bulldoza!.

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s Місяць тому

    Kama unaimani amini ulipobatizwa sio kutangatanga hutaiona pepo.

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s Місяць тому

    Achen matamshi ya kasfa kwa kabisa katoliki mtalaaniwa. Hilo ni kabisa mama.

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 2 роки тому +1

    Wote michanganyo tupu! mtu akiwa mlevi hatengwi akienda kwa mwamboss atengwa

  • @morrismwaipopo2243
    @morrismwaipopo2243 8 місяців тому

    Naona wanataka kukimbiza sadaka mwamposa anaponya watu na wao waanze kuponya na wivu wa nini? Hospital za kabisa katolik unaweza ukafia mlangon Kama hujatoa pesa Imani ipo wapi? Imani bila matendo mwacheni mwamposa aokowe kondoo wa bwana

  • @obeidchamila6392
    @obeidchamila6392 8 місяців тому

    Waraka,waraka,waraka kila kukicha NI nyaraka tu tutor na nyaraka za kubariki mashoga sasa ili tujue msimamo.