Askofu Kilaini apigilia Msumari/Wakatoliki waliosimamishwa Ekarist Iringa kisa MWAMPOSA/Atuma ujumbe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 83

  • @levinachuwa7622
    @levinachuwa7622 2 роки тому +7

    Msimamo wa kanisa Katoliki, big up Askofu. Ifike mahali wakatoliki watulie miguuni pa Bwana kupitia mafundisho ya kanisa Katoliki. Miujiza ipo ya kutosha kabisa kwa Yesu wa Ekaristi. Tumtumie mama Bikira Maria maombezi wetu. Roho Mtakatifu atusaidie, tuachane na Roho MTAKA VITU kwa UTUKUFU WA MUNGU. Tumsifu Yesu Kristu ❤️

    • @carolichinyala9790
      @carolichinyala9790 2 роки тому

      Kuna Yesu kristu na Yesu Kristo,

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Yesu Kristu= Yesu Kristo= Jesus Christ= Yezus Christos =... =...

  • @stephentossi2626
    @stephentossi2626 2 роки тому +6

    Nimeupenda sana msimamo huo. Baba Ngalale ni mwamba wa imani Katoliki

  • @karistachuma9946
    @karistachuma9946 2 роки тому +1

    Tumsifu Yesu Kristo...Ikumbukwe kuwa ili tusamehewe ni lazima tusamehe ..Mungu mwenyewe anaonesha kupitia kumpokea mwana mpotevu aliyetapanya mali zake kwa maisha ya ukahaba...... Msamaha utolewe kwa hao waliokengeuka na kuacha imani yao........Kwa upendo wa Kristo tutumike na kuwajibika

  • @josephsiwila2397
    @josephsiwila2397 2 роки тому +3

    Tumsifu Yesu Kristo! Namuelewa sana baba Ngalalekumtwa ...ht akiadhimisha misa ya kipaimara hataki picha kupigwa madhabahuni

  • @yohanampayo1798
    @yohanampayo1798 2 роки тому +5

    Huwezi kuzuia watu kuhudhuria kongamano zito la mwamposa kwa sababu watu sio wako,na huwezi ukawa unamwabudu mungu na matatizo hayakutoki magonjwa nk

  • @emilykatabi378
    @emilykatabi378 2 роки тому +3

    Huo tunauita ni uzululaji katika Imani, naunga mkono mang'amuzi ya mapadre na Askofu wa Jimbo Hilo, kubwa na la msingi tuiishi Imani yetu halali.

  • @geradtesha4991
    @geradtesha4991 2 роки тому +2

    Safi sana, nimekuelewa baba ngalelekumtwa.

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 роки тому +4

    Ukimwamini mungu kila kitu kinawezekana. Sio leo mafuta upako kesho unaenda kupokea ekaresti yn unayumba bola uwe mwislamu

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому +2

    Nawapa pole wakatoliki mmefumbwa.mnawasiwasi mnakimbiwa wakatoliki mpo kinyume na YESU mnajitetea tu mnaogopa biashara zenu zimeingiliwa

  • @sinevictor8966
    @sinevictor8966 2 роки тому +4

    Wakatoliki tuwen wakatolik imara jaman tuombe mioyo ya ufukara ulimwengu unahtaj iniji ya kweli naamn Kansa ka

  • @olivermazuma981
    @olivermazuma981 2 роки тому +1

    Kweli kabisa imani ya kanisa katoriki haitaki kuchanganya na kama upo tofauti nafsi inakushinda hasa kwenda kupokea ekarist aisee nakaaga muda kweli kuijongea meza nashindwa suruhisho langu ni toba tu NAIPENDA IMANI YANGU YA UKRISTO UKATORIKI.

  • @eliyamagina1794
    @eliyamagina1794 2 роки тому +2

    Amina Baba asikofu

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 роки тому

    Namkumbuka Sana askofu ngalalekumtwa alikuja focolarini iringa alitushauri vizuri sana

  • @deborahmgedzi7269
    @deborahmgedzi7269 2 роки тому

    Asante sana. Endeleeni kukemea hizi no siku za mwisho.

  • @yesutuatosha1460
    @yesutuatosha1460 2 роки тому +2

    Kemea,karipia na kuonya. Baada ya hapo wafundiahe ili washibe waache kutafuta kula nyumba za jirani.
    2 Timotheo 4:2-4
    2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
    3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
    4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.

  • @butungo1
    @butungo1 2 роки тому +1

    Ahsante sana Isaac. Nimefurahi umemuuliza Baba askofu kuhusu mapadre wetu kupenda mno ujasiriamali badala ya uchungaji. Habari za maendeleo sawa, lakini Kanisa limejikita mno kwenye masuala ya kiuchumi na kusahau yale ya kichungaji.
    Naomba uendelee kuwaongea na wachungaji wetu. Tunahitaji umoja wa kanisa sasa

    • @mdemualphonce1559
      @mdemualphonce1559 2 роки тому

      Ktk jumuiya wagonjwa wapo hawaombewi uponyaji Bali michango mzee wa upako anasaidia sana hao hawajaugua

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 2 роки тому

      watu wanateseka Sana ndomaan siyo kwamba wanapenda shida ndo zinazo sababisha

  • @lativamandela3594
    @lativamandela3594 2 роки тому

    Amina

  • @vickymgonja3007
    @vickymgonja3007 2 роки тому +1

    Papa ni mpinga Kristo anajiinua nakutaka kuabudiwa ( 2 wathesalonike2;4) Papa alibadilisha Amri za Mungu zingine akazitoa ( Daniel 7:25) papa amechukuwa cheo Cha Mungu wakati yeye si Mungu Daniel 11:36 Papa anamtukana Mungu badala ya kumsifu ufunuo 13:6 papa anayo Dini lakini anamwbudu Mungu bure ( mathayo 15:9) papa Amezini na wafalme nao wakaao juu ya nchi ( ufunuo 7:2) papa amelewa damu ya wenye haki ufunuo 17:9 Anajina la kiroho ambalo Yesu alliagiza mwanadamu asilitumie ( mathayo 23:9) anajiita ni mtakatifu kinyume na maandiko muhubiri 7:20 Aliwatesa watakatifu na kuwaua ( ufunuo 6:9___11) Anafundisha mafunfisho ya mashetani (1. Timotheo 4:1) hivyo hatushangai akimpiga vita mtumishi wa Mungu mwamposa kuondoka kweli kanisa la roma liliaza miaka ya 1800 kuwatesa watumishi wa Mungu alianzia wabehomia, martin luther pia tunajua wameandaliwa na Shetani kutawala Dunia kiserekali na kidini hatutanunua wala kuuza hatatahubiri hatutatibiwa kama hutatii Amri ya papa lakini ole wake atakaye tii Amri ya papa sehemu yake jehanamu Sama Daniel 7:1___

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 роки тому +4

    Km wangeweza wangepepeleka mafuta,maji keki wakawape wagonjwa mahospitalini wapone na wagonjwa wangepungua kila hospital miujiza ya kiki

  • @glorykimaryoglory5060
    @glorykimaryoglory5060 2 роки тому

    Imani yako ndio itakayo kuponya

    • @glorykimaryoglory5060
      @glorykimaryoglory5060 2 роки тому

      Kumbuka wasipo kwenda kwenye mikutano ya mwamposa just wanakesha majumbani na tv,au redio kupitia irise and shine,,,kikubwa RC waongeze mafundisho watu waelewe wasiwe wanasomewa tu dakika moja mbili ibada imeisha

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 2 роки тому

    Jamani wakatoliki wanaenda kutafuta chakula hebu mkae mtafakari kwa nini watu wenu wanakimbia hawashibi hata kufungua bibilia wengi hawajui kufungua mimi mwenyewe nimejua kufungua nilivyoenda huko najua bibilia

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 2 роки тому +2

    Hivi katoliki haiamini katika MAFUNUO?, pengine Mungu kamfunulia bishop atumie hizo bidhaa sasa unapataje ujasiri wa kukosoa imani ya mtu mwengine. Lisheni chakula sahihi kondoo wenu jamani

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 2 роки тому +1

    Mimi kama mkristo mkatoliki, SI bariki sana kwenye maamuzi ya kumrudisha mkristo kwa adhabu. Tutafute njia nyingine

    • @anatolikwe
      @anatolikwe 2 роки тому +1

      Mpendwa kutubu siyo adhabu bali ni sharti la msingi kurudi katika msitari. Akishatubu apokelewe kwa upendo bila shida akijua kwamba alichofanya siyo kizuri kwa imani yake na hatarudia tena. La sivyo mwishowe watu watakubali hata kujichoma kama Uganda

    • @anatolikwe
      @anatolikwe 2 роки тому

      Kilaini

  • @carolichinyala9790
    @carolichinyala9790 2 роки тому

    Ni lazima mkubaliane na wakati, watu wanamtafuta Mungu wa kweli, Kanisa lina zaidi ya miaka 1000 watu hawabadiliki, uzinzi, uasherati, uchawi umejaa ndani ya kanisa leo mnamkataa Mwamposa mbona ni mwenzenu nae, au amewazidi ?

  • @marthakarera229
    @marthakarera229 2 роки тому

    Viongozi wetu wakatholiki acheni udini na ubinafsi mbinguni hakuna ubaguzi wa dini,,,zaidi sana mngeweza kwenda kujua nn mnakosea ktk kuwalea waumini kiroho si kuanza majungu ya udini,,

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 роки тому

    Umemuuliza Baba Askofu maswali muhimu naye ametoa ufafanuzi makini Waamini wengi hatujui mafundisho msingi ya kanisa Hata ninyi vyombo mualike mapadri na maaskofu watoe mafundisho

  • @ngaydasafari6790
    @ngaydasafari6790 2 роки тому +3

    Huu ndio ukatoliki bila unafiki

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 2 роки тому +1

    Ekaristi takatifu Ina miujiza mikuu kuliko huo uzururaji waende st Joseph pale wakapeleke shida zao waone majibu

  • @veronicapaulo9271
    @veronicapaulo9271 2 роки тому

    Hao wafundishwe katekisim upya

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 роки тому +4

    Mi mwislam,inatakiwa mtu atulie kwny imani yake mn hakuna anayeweza kufanya miujiza.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому +1

    Uwe wa YESU sio mtu wafukuzeni kabisa watoke huko gizani.mnawakilsha mpinga kristo.eleweni huu sio wakati wawajinga bali waelewa na wasomi kuliko mnavofikili huu sio wakati wa ukoloni chagua YESU au waroma nakushauri chagua YESU

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 роки тому

    Ni ukweli

  • @carolichinyala9790
    @carolichinyala9790 2 роки тому

    Jamani kanisa la Roma alijaanza leo kufungia watu wake, Maltin Luther alikuwa Padre akaona aelewi akatoka,na kundi kubwa leo kuna kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania kkkt

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 роки тому +2

    Wakatoriki mmepoteza sana watu kwa mafundisho yasiyo kuwa na uzima ndio maana mnakimbiwa mnawatisha ijue kwetu uwe huru

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 2 роки тому

    Duh

  • @christinanyoni937
    @christinanyoni937 2 роки тому +1

    Katoliki hawabembelezi mtu ukizingua wanakuzingua

  • @amiryluzilo4843
    @amiryluzilo4843 2 роки тому +2

    Mkristo anaye tangatqnga kutafuta miiujiza huyo siyo kondoo Bali ni mbwa mwitu kwani Imani Hana maana kristo Alisha tufia alitukomboa jiombee kwanza ndy uombewe

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому

    Juweni ya kuwa Dini siyo chama cha Siasa.

  • @ngamugamahonzelosanga3316
    @ngamugamahonzelosanga3316 2 роки тому

    Zamani walikuwa wanatenga waumini waliopoa kiroho hata ikitokea amefariki alizikwa makaburi ya kipagani sijui nayo hii iliishia wapi au ni kuongezeka kwa makunisa hata hao walisimamishwa watapenda huko

  • @athanasngalawa1105
    @athanasngalawa1105 2 роки тому

    Swali la kwenye Katekisimu:Kwanini tupo duniani????
    Tukijikumbusha jibu la swali hili, maswali mengine yoooote yatapotea

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 2 роки тому

    Hakujibu ipaswavyo, kinachoqapeleka huko waamini sii mahubiri wala mafundisho, ni mazingaumbwe ya miujiza hawana nafasi hata ya kusikiliza wanaenda kutafuta viitwavyo uponjaji na miujiza

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 2 роки тому

    Mimi nimezaliwa kwenye eneo lisilokuwa na dini nyingine miaka hamsini iliyopita ila Leo makanisa yamekuwa mengi na walioanzisha hayo makanisa wamehama Katoliki. Embu tujitathimini kwanza tunakokosea viongozi wetu. Mimi siungi maneno ya askofu Wetu Kilaini kwamba hatubembelezi. Hiyo siyo vizuri.

    • @anatolikwe
      @anatolikwe 2 роки тому +2

      Ndugu yangu katika imani huwezi kubembeleza kwa kukubali mtu aende kinyume na imani. Ila cha kufanya akitubu apokelewe kwa upendo bila kumpa shida

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +2

      Watu wanachanganya imani na ushirikina! Kanisa haiwezi kulivumilia hilo! Wasipotoa msimamo, Mungu atawauliza ! Asante Baba Askofu Kilaini! Barikiwa!

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 роки тому

      Kanisa katoliki lina mengi tuna ibada,tuna mafungo, tuna jumuia hawa watangaji hata muda wa rozari hawana na uelewe hakuna mtu wa kukupa muujiza kama hata kiwango cha imani huna

  • @matumizbinafsi4094
    @matumizbinafsi4094 2 роки тому

    Mara ya kwanza kujua mafuta yatumika kanisani niliona kanisa la RC tuongeze imani tu na kuboresha huduma ya kristo kwa waumini Yesu anatupenda sote

  • @stephentossi2626
    @stephentossi2626 2 роки тому

    Wakatoliki tuna namna nyingi za kutengeneza chakula kuliko hata wanachofuata huko. Tuna Novena Tuna mifungo na vitu vingine tujenge mazoea ya kiu kuvipata

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael3805 2 роки тому

    Kanisa katoliki lijichunguze na kujitafakari mapungufu yao wasiwe madikiteta waumini wao kuna kitu wanakikosa kwao ndio maana wanaenda kukitafuta nje...wakkt wajielewa

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 2 роки тому

    Muhuuuuu

  • @leticiamnyeti1130
    @leticiamnyeti1130 2 роки тому

    Una uhakika gani km Mwamposa ni mshirikina?umejuaje?haya umeongea kuhusu kuwatembelea waumini hicho kitu hakifanyiki ndomaana watu wanaenda kwingine ambako watasaidiwa

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 2 роки тому

    Tujitahidi kuangalie tulikosea ili watu wetu wasikimbie Kanisa.

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 2 роки тому

    Maji rc yapo mafuta rc yapo ni matumizi tu

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 2 роки тому

    Enyi Kanisa Katoliki la Roma kweni wakweli. Yesu Kristu aliwaambia Mafarisayo hadharani kuwa ni wanafiki na wspotoshaji wa neno la MUNGU. Nanyi kama UJASIRI tokeni hadharani mumeambie huyo Mwaiposa kuwa ni MPOTOSHAJI na MWONGO. Kwa njia hiyo waumini wenu watamwelewa huyo ni mpotoshaji na kamwe hatamfuata.

    • @afyabora3207
      @afyabora3207 2 роки тому

      Wao wanaotaka kubadili biblia ndio wapotoshaji, wao wanaokubali ndoa ya jinsia moja ndio wapotoshaji n wao hao waroma ndio waliolawiti watoto wadogo wakiume huko Roma leo wanajiona wakosoaji. Wamejionyesha ushauri mnu kumkosoa Mwamposa. Waroma walioenda Kwa Mwamposa bado wamemfata Mungu yuleyule waache roho chafu za ubinafsi😃

  • @projestusfelician8366
    @projestusfelician8366 2 роки тому

    Watubu

  • @yonamsemo6634
    @yonamsemo6634 2 роки тому

    Unauhakika kuna ushirikina unafanyika kwa Mwamposa? Tunachoamini kwa Mwamposa watu wanapona kwa Jina la Yesu hayo ya ushirikina mnayajua nyie, tunawakaribisha kwa Mwamposa Mungu anatenda Ishara na Miujiza.

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 роки тому +1

    Kakobe naye alivuna pesa saizi katulia amewaachia wengine wavune pesa

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 2 роки тому

      Unaonaeee.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +1

      Acheni kumchafua Askofu Kakobe,,, Yule Baba ni Mkristo, huwezi kumlinganisha na Mwamposa, Wakala wa kishetani sana Mwamposa,,,

  • @yohanampayo1798
    @yohanampayo1798 2 роки тому +1

    Hao maaskofu wakatoliki wanahofu watakosa washirika

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 роки тому

      Thubutu katoliki tuko vizuri wala hatuhitaji promo

    • @yohanampayo1798
      @yohanampayo1798 2 роки тому +1

      @@shamimushittindi1418 kama mko vizuri mbona siku 3 za ishara na miujiza toka kwa mtume mwaposa zimewatetemesha maaskofu wenu mbaka mnayengwa kwenye sikalameti

    • @yohanampayo1798
      @yohanampayo1798 2 роки тому +1

      @@shamimushittindi1418 huu ni wakati wa kumtafta yesu kristo yule mtenda miujiza siyo wakati wakung'ang'ania dini,dini ni kaburi kubwa wengi wamemezwa na dini

    • @yohanampayo1798
      @yohanampayo1798 2 роки тому

      @@shamimushittindi1418 mwamposa hoyeeeeee

    • @boniphacemvungi9317
      @boniphacemvungi9317 2 роки тому

      @@yohanampayo1798 hujasoma biblia pole sana na mwaposa wako