Unatumia slogan za Trump i love my country. Mi nakuona hamnazo. Kama unpenda nchi yako njoo ukae sio mnaishi huko alafu mnatwambia love my country . Kizungu kingiiiiiii
Ila mm nina swali, kwani nape na january ni akina nani na hata wakiondolewa kwny mfumo ionekane hawatakiwi kuondolewa ni kama MUNGU wa taifa hili? Yaani wawe wanakorokochoa mambo halafu wanajiweka pembeni waachwe tu waogopwe, hawa wacha wakae benchi ili samia awe salama kwny uongozi wake maana nyie msotaka hawa waondolewe ni wazi mnajua kinachofanywa na hawa wahuni sasa samia kakataa acha wakae kando hawa maana yaliyomo yamo
Acha kuchafua waachie wenyewe wewe usichunguze ya watu ikiwa wewe mkimbizi ya huku ya nini yote hiyo uchungu kukosa uongozi na wa huipati utaishia kuongea ushaongea sana lakini huoni ndani acha umbeya mateka tu wrwe
Wewe mange umekosa kazi toa kelele zako wewe uko hulo ya huku yanakuhusu nini una haya sura kama unakula ndimi maneno umeamza tangu magufuli mpaka leo umelipwa?bado unajitia ubaya tu kuwa na akili huko marekani hakuna watanzania mbona hawaongei upumbavu kama wako samia ndo katawala hatoki mpaka utawala wake uishe na wewe endelea kubwabwsja tu
Hahahaaaaa mange Kimavi maandamano yamebuma😂😂😂😂
Hayajabuma polis wsingeingilia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kweli zingatia herufi R na L.
Unatumia slogan za Trump i love my country. Mi nakuona hamnazo. Kama unpenda nchi yako njoo ukae sio mnaishi huko alafu mnatwambia love my country . Kizungu kingiiiiiii
Ww akuna cheo cha kuteuliwa kikawa cha kudumu nimambo ya kawaida sana
We were mange mbona tumekuchoka wanawake wenzuo hata sielewi mambo haya yanakusaidia nn na kwann usiende kusali
Mange nikieeleele Hana lolote Bali ana watu wanao mtuma ila akuje huku tz sio kiss yupo nnje huko anatuletea upashkuna apite zake fyee
Nakweli hawa watu hawafai mama kaona mbali
Ila mm nina swali, kwani nape na january ni akina nani na hata wakiondolewa kwny mfumo ionekane hawatakiwi kuondolewa ni kama MUNGU wa taifa hili? Yaani wawe wanakorokochoa mambo halafu wanajiweka pembeni waachwe tu waogopwe, hawa wacha wakae benchi ili samia awe salama kwny uongozi wake maana nyie msotaka hawa waondolewe ni wazi mnajua kinachofanywa na hawa wahuni sasa samia kakataa acha wakae kando hawa maana yaliyomo yamo
Hatutaki kuona sura yako kama ya kiume
Umekosa nywele unavaa wigi
Hatutaki porojo zako zifayie huko uliko pia ni nchi
Music wa nini unadisturb
Kati yao mmoja si alikua anakukula dada
Wewe Mange huko Marekani sikunauchaguzi sasa kwanini unakaza tuu mkundu wako huku
Acha kuchafua waachie wenyewe wewe usichunguze ya watu ikiwa wewe mkimbizi ya huku ya nini yote hiyo uchungu kukosa uongozi na wa huipati utaishia kuongea ushaongea sana lakini huoni ndani acha umbeya mateka tu wrwe
Ongea kiswahili fasaha we mtangazaji wa ovyo
Wewe mange umekosa kazi toa kelele zako wewe uko hulo ya huku yanakuhusu nini una haya sura kama unakula ndimi maneno umeamza tangu magufuli mpaka leo umelipwa?bado unajitia ubaya tu kuwa na akili huko marekani hakuna watanzania mbona hawaongei upumbavu kama wako samia ndo katawala hatoki mpaka utawala wake uishe na wewe endelea kubwabwsja tu
Eeeeeeh eeeeeh ndugu mtangazaji
Ndugu mwandishi zingatia matumizi halisi ya herufi R na L
Who cares tunachotaka maendeleo tu
Eee eeeee so
Tuongonzwe na mwanaume jamani majaliwa au doto awe rais na makamu basi au mbowe au lisu au lema tosha😊🎉
Doto hana kitu
Hahaha unaota ndito za mchana bro
Kama ni rais wako,mpeleke jikoni@@SaidShemkieti
Hawa chadema ulowataja hawaji kuongoza hii nchi, hatutaki kuwa watumwa wa wazungu period
Sisi hata sasa ni watumwa wa wazungu,@@rosepaul7901
Mm