KISUGU AVUJISHA MASHINE 5 ZA SIMBA ZIMEFUNGIWA NDANI|CHAMA SIO PIGO KWETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 37

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw День тому

    SIMBA nguvu MOJA 💪
    Kwa msimu ujao kazi nzuri Sana kwa sajiri zinazoendelea sahiv. MPANZU Lin jaman anatua MSIMBAZI
    ✍️ Mabetu &Co

  • @AmiryHamza-gs8pp
    @AmiryHamza-gs8pp 3 дні тому +1

    Kweli kaka kisugu unaongea vzr na point simba tunaijenga upya naamini tutakuwa vzr et

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 дні тому

    Kisugu uko sahihi kabisa.Tuombe tu tupate usijali mzuri sio tunawasijili wanakuja vizuri toka kwai baada ya muda wachezaji wanakua wa ovyo:wanashuka kiwango chao tunachowasifia. Simba nguvu moya❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MsafiriBosco-qh4kd
    @MsafiriBosco-qh4kd День тому

    sawa kaka dua tu

  • @user-kl9ej6yd4v
    @user-kl9ej6yd4v День тому

    Chama babu aende tu uwa Hawa ngai wakifika utopolo

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 3 дні тому

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SamilOmary
    @SamilOmary 3 дні тому

    Simba nguvu moja

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 3 дні тому

    Safi raha badaye machungu

  • @michaelkasilabwa3096
    @michaelkasilabwa3096 3 дні тому

    😮said huwezi ukaelewa maana we utopolo

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 3 дні тому

    Kwa wachezaji nakupongeza ila kwa viongizi hasa nangungu wako sitajakuunga mkono abadani

  • @JaziaImmanuel
    @JaziaImmanuel 2 дні тому

    Nikwelikisungu,tumefirahiwanasimba

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 дні тому

    Ongea Baba.

  • @JalasiIssa
    @JalasiIssa 3 дні тому

    Shida ya huyu mwamba ni mwongo

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 3 дні тому

    Jamaa anailazimisha furaha😂😂😂😂

  • @elizajohn8066
    @elizajohn8066 3 дні тому

    Chama ni nani chama alishamaliza Simba nguvu zake yanga anakwenda kupumzika tu anajipya

  • @michaelkasilabwa3096
    @michaelkasilabwa3096 3 дні тому

    🎉ongea baba ongeaaaaaa

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 3 дні тому

    Kwausajili upi mnajifariji tu nyinyi mwakahuu chama pekeake atawafunga tano hatamsajili vip hamtapata tena mchezaji Kama chama Mimi haomnao wasajili sijamuona hatammoja afanane na chama nyinyi mmezowea machawa wa Simba kuwadanganya mashabiki wa Simba waliokuja kwanza mliwasifia hivohivo hakuna Kama chama

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 дні тому +1

    we kisugu Acha kum underate chama;

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 3 дні тому

      matusi peleka kwenu mwehu mkubwa usikute wew ni shoga

    • @MicahGhloloj-bs4cy
      @MicahGhloloj-bs4cy 3 дні тому

      Ajatukana mbona amesema kumu underet maana yake Ni kumchukulia poa poa

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 3 дні тому

    Patachimbika meakani

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 3 дні тому

    Chuma hijo kimewadia simba

  • @iddymsagalile5371
    @iddymsagalile5371 3 дні тому

    tusha wazoea wakina bii vijola

  • @selemanisaid1435
    @selemanisaid1435 3 дні тому

    M o m
    Joshua mutale. M
    Omari diakite . O
    Stephen mukwala from congo
    M. O . M

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 3 дні тому

    Wewe ni nani? Simba?

  • @tosh7671
    @tosh7671 2 дні тому

    MEMKWA

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 3 дні тому

    Acha kumuongelea vibaya Chama mpumbavu ww

    • @manmanonline6394
      @manmanonline6394 3 дні тому

      Chama kitu gan ww duka tu lile,ana mwanzo tu ila mwisho wake mbaya!....hahahahahaha“aa

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 3 дні тому

    Makocha wa simba ni wengi ndiyo maana benchika ameshindwa

  • @jameskessy3067
    @jameskessy3067 23 години тому

    Hap nikwer

  • @user-lj8jp9dc9l
    @user-lj8jp9dc9l 3 дні тому

    Ukiona mara nyingi ukiongea unazomewa tambua unaongea uchafu

  • @SadikiSaid-cp1pt
    @SadikiSaid-cp1pt 3 дні тому

    uyu nae anachongeaga ata simuwere wagi ana ongea umbavu gani apo sasa

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 3 дні тому

      Inategemea ubongo una uwezo gani wa kuelewa saaa huelewi nn au utopolo hamuelewagi

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 3 дні тому

      toka lini utopolooo mkawa waelewa