HANS RAFAEL ATAJA SIFA ZA MUTALE | "HUYU NI ZAIDI YA CHAMA" |SIMBA ILITUMIA UMAFIA HUU | "IMEKWISHA"

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 31

  • @emmanuelsayi304
    @emmanuelsayi304 6 днів тому +4

    Karibu sana joshua mare

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 днів тому +7

    Mutare ni bonge la mchezaji karibu sana Simba kocha mpange Mutare kwenye namba yake YA 10. Jamani simba tufurahi wanasimba

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 6 днів тому +9

    Mwambieni huyo mjinga asimtaje Phiri tena kati ya waliofeli. Phiri alikuwa hatari sana mpaka alipoumia akicheza dhidi ya Kagera Sugar. Wachambuzi wengine mnakosa sifa kwa ajili ya kuchambua kwenu kishabiki. Mkiacha ushabiki mtakuwa bora.

    • @user-kn1mr2em5i
      @user-kn1mr2em5i 6 днів тому +4

      Alifeli ndyo maana akatemwa hata Djuma Shaban aliwaka ikafika muda akatemwa hapo tunahesabia kafeli kwasababu ameshndwa kuwa kwenye kiwango chake muda wote mbali na majeraha ilibd aonyeshe zaid

    • @mwana-dodomamedia9111
      @mwana-dodomamedia9111 4 дні тому

      Mbona km POVU flani hv!? 😂😂😂

  • @user-eq6go4hl3c
    @user-eq6go4hl3c 6 днів тому +5

    yes

  • @gastomkendaMkenda
    @gastomkendaMkenda 6 днів тому +4

    Naomba ratiba ya kipindi chenu Cha mchezo hansi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 днів тому +4

    Kocha tunaomba kila mchezaji apewe nafasi yake na namba yake anayochezea. Makocha muwe mnajaribu kuuliza namba aliyokuwa anachezea huko alikotoka ili kupata timu iliyo bora

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh 5 днів тому

    Hans 👋👋👋👋 unajua kaka

  • @user-ee8xb1tl5n
    @user-ee8xb1tl5n 6 днів тому +3

    Hansi Rafael chikwende mwanangu san

  • @Maggab-cl5od
    @Maggab-cl5od 5 днів тому

    Karibu mwamba wa kazi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 днів тому +3

    Hapo ilikuwa ni tatizo la kocha kuwaweka benchi

  • @ameirfaki9277
    @ameirfaki9277 5 днів тому

    Napenda ligi yetu iwe mithili ya EPL yaaan timu bora ziwe nying ili tuone ushindan wa hali ya juu...

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 5 днів тому +1

    WASIPO ZUNGULIWA WATAROGWA SIMBA MJUWE HILO.

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi 6 днів тому +3

    Karibu sana joshua tunakupenda,,na ww chama nenda kafilwe huko

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 6 днів тому +2

      Matusi hayajengi Dunduka

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 5 днів тому +1

      ​@@amaniomar1755MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂😂😂

  • @HJ-wf2vi
    @HJ-wf2vi 6 днів тому +3

    Wachambuzi acheni upuuzi mtupu why kwa Simba SC always mpo negative kwa actions za Simba SC???

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 6 днів тому +2

      Yaani Hans kamsifu unasema yuko negative

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 5 днів тому

      Umeskiliza au ndo unafki na mmekariri

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 5 днів тому

    Namba 10 anagor ngap musidanganyewatu mtaonahaibu badae

    • @mwana-dodomamedia9111
      @mwana-dodomamedia9111 4 дні тому

      Mm nilijua upo kwenye sherehe za kumkaribisha MZEE CHAMA, kumbe bado unafuatilia nyendo za timu bora namba 6 Afrika!? 😂😂😂😂😂

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 6 днів тому +2

    kwani cc na utoporo lini?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 днів тому +1

      😂😂😂 we huogopii

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 5 днів тому +1

      ​@@mwanangusanaUOGOPEWE WAKATI HUNA LOLOTE 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 5 днів тому +1

      @@salimmalaka256 🤣🤣🤣 nimekukosa kosa 3 ... Dube 1 , Aziz ki 1 na chama 1 dk za jioniiiii 🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 5 днів тому

      @@mwanangusana TUNGOJE TUONE HIZO 3

  • @user-xg9ix9ex9h
    @user-xg9ix9ex9h 6 днів тому +1

    Huyo ndo ulinganishe na chama we una una utani sana

    • @mwana-dodomamedia9111
      @mwana-dodomamedia9111 4 дні тому

      Huyu ni KIJANA na CHAMA ni maji ya jioni. Upo sawa, hawalingani hata kwa mbali

  • @gastomkendaMkenda
    @gastomkendaMkenda 6 днів тому +2

    Naomba ratiba ya kipindi chenu Cha mchezo hansi

  • @gastomkendaMkenda
    @gastomkendaMkenda 6 днів тому +1

    Naomba ratiba ya kipindi chenu Cha mchezo hansi