Ngwale Sport.....Naomba hizi clips mzisave....hawa tunawapa game 5 tu za kwanza, wataanza kuongea tofauti, utasikia wanalalamikia tena ohh uongozi ....ooh usajili.....
Hayo maneno yenu muyatunze baadae msijekusema Gsm amedhamini timu 9 mara cjui wamenunua mara mnaujumiwa mara kunamamluki mara wanajivunja Sisi tunawazoom tu tunasubir msimu uanze
Hongera,Simba nguvu Moja
Zetu dua Simba ismame km zamani tupate raha sasa
JAMANI tufanye mambo yetu yote wanasimba Lakini tusimsahau Juma mgunda
Uko sawa nimekuelewa
Weweeee Simba nguvu moja
Ngwale Sport.....Naomba hizi clips mzisave....hawa tunawapa game 5 tu za kwanza, wataanza kuongea tofauti, utasikia wanalalamikia tena ohh uongozi ....ooh usajili.....
Nakuckilza sana mwamba GB64
Nimekubali mzee baba simba oyeeee
GB 64 🙌 we ni noumah kwahiyo Manara ni wetu Yule na zoazoa ni wao😂😂
Naomba sana Mgunda awepo ktk benchi la ufundi ni fundi asiachwe
Akili kubwa...
sawa baba
16 wamepewa thank you
Gb 64 nakusoma sana tunatengeneza Simba Bora
Simba ni noma❤❤❤❤
Sawa kaka
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Nguvu moja
Mangungu oyeeeeeeree.
Gb64 on fireeeeee
Mbape wa Belgium ndio yupi tena 😂😂😂
Daaah kumbe Mangungu nae Kijanaaa😂😂😂😂😂
Nakubal 64 Kaz na umr
Vp Tena huendi kumfuata Chama
Gb 64 mashine😂
Sawa mwalimu ni kijana
Wachezaji vijana
Benchi la ufundi vijana
Msemaji kijana
Mashabiki vijana
Angalizo usijekusema kuna mamluki
Hayo maneno yenu muyatunze
baadae msijekusema Gsm amedhamini timu 9 mara cjui wamenunua mara mnaujumiwa mara kunamamluki mara wanajivunja
Sisi tunawazoom tu tunasubir msimu uanze
Simba nguvu moja
Jamani matola nae aenda kwa wanawake
Mgunda awe msaidizi
Nae abadilishwe
❤❤❤❤
Hajaaamia Azam bado
🎉yap,
Makolo huku kwetu Zambia 🇿🇲 ni wazazi
Mgunda asitoke jamani,
Yeh
Nomekuelewa gb
Tatizo mnaongea sana halafu uwanjani mnatafutana tarehe 8 sio mbali Yangu tunawasubiri
Sikupendi kwa sasa unapenda kujisifia
Na wew nae huna akili Sasa hapo kajisifia wap
Mtu mbaya 😂😂😂😂
Halow Gb 64 punguzeni maneno waambieni viongozi wasimtoe mugunda anaujua mpira wa hapa tafadhari sana waambie
Kama anaujua mxhukueni na nyie
Wew huyo ni mvuta bangi tu hana lolote
simba nguvu moja na itwa Ismaily kutoka Mozambique wilaya ya palma.
Timu inahitaji kiinga warogani wAshindwe
simba nguvu moja na itwa Ismaily kutoka Mozambique wilaya ya palma.