Kweli kuna wanawake wa aina hii tena wanabahati ya kupata mume wa maana halafu mme ata haoni mapungufu yote ila watu wengine ndo mnakua mnaona kitukooo😂😂😂😂😂😂 kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Duh. Najua Joti unaigiza, ila hii nimejikuta nachukia mimi kana kwamba ni kweli aisee kumbe maigizo. Yaani huyu Mwali ni kero kipeo cha pili, kiherehere wa mjini.
Mwanamke Google kila kitu anakijua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤namnyonyeshaaaaa babuu weeee hatariiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️
Yaaa kama leo kuna mtu hajacheka basi hampendi joti ❤️🥰🥰🥰
Yani nimecheka hatari ilajoti jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaaah HUyu Jamaa anajua kuvaa Kila Aina ya uhusika, anaweza kuhusika Kam mzee, mtoto kijana na Mwanmke piah, like zake hapa plz...
Kabisaa yupo vzuri
Umesahau na mpemba
😂😂😂😂😂😂😂hajanawa ywauja😂😂😂😂
7:00
😂😂😂😂
Mashabiki wa joti twendeni tuka mpigie kula joti kama mchekeshaji wetu namkubali Sana joti. ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maeneo gani kumpigia kura
😂😂
Nacheka nusu kufa nikiwa 🇰🇪 Kenya joti tunakufatilia😂😂 KAZI yako nzuri
This is more than a comedy...Joti unajua sanaaaaaa. Huwa nasubiri Ijumaa...leo umenitendea haki
Umependeza mwenyewe makeup yako kiboga🎉🎉🎉🎉na icho kiwigi rangi basi mashaAllah 🎉
Ila Google imenyooka😂😂
Sijawahigi kukoment toka joti ahaze vichekesho ila hii video ya leo hapana jmn naombenu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimepasua mbavu naomben hata tano tu like
Joti the best art content comedy top in Tanzania
Jamani. Mie naombi joti uigize ukewenza tena wew bimdogo kamaunakubaliana namim gongalike❤❤😂
Kweli kabisa itakuwa bomba sana tutacheka mbaka basi😂😂😂
Itakua fire😂😂😂
Kwakwel😅
My number one comedian in east Africa 👏🏾👏🏾👏🏾
Joti tucezeye ukiwa nyumba ndogo uwe mke mdogo itanoga hatari jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ao munaonaje vipenzi wa Joti 🤙🤙🤙🙌🙌🙌🙌🙌
Joti namkubali sana huyu jamaa anajua sana 🎉❤❤❤ like apa kama unasema ajua mwamba
Mgeni amekua mwenyeji😂😂😂😂😂kiboga
Hii ya leo kali brother kipaji unacho keep going 💪 😂😂😂😂
Da kibogaa 😂😂😂😂😂anampa kichambo mama mkweee😂😂😂😂 live bila chenga ni kitukooo😂😂
😂😂😂😂😂😂
Naumia sana 😔😔Sisi tuliochanjwa chanjo ya covid,19 tukiona nyie ambao hamkuchanjwa mko hai 😥😥😥😥😥
Koma nani alikwambia uchanje
😂😂😂pole wakati Dr Magu anasema tusichome mkamuona mjinga
Kwahiyo ulitaka tufe😂😂
😂
Pole ila nawew sibd mzm kua na amani fny km umesahau yn lisikuumiz kichwa
Jott utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂
Atafika kwa tabu sana😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Kwanza kabisa nimshukuru mama sa100 suluhu hasan
Kvp kwamba ndo anaigza
Hata mimi nimeshangaa😂😂@@gosbertmuta5421
Unamshukuru kakunyonyesha
Ila joti ni 🔥🔥🔥 aya team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Jot leo umenifurahisha sana na wachezaji wote pamoja mama mkwe nampenda sana. Sasa chuvi nyingi halafu kwa mkwe umechachuka sana❤❤❤😁😁👍👍
Kiukweli joti na nahuyu mama mnaendana sana
😂😂😂😢😢😢😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ucheze. vizuri sana nashukuru Mungu akubariki sana na Domi you doing right ▶️👍👍👍▶️▶️▶️▶️👍
Haha hahahhah Dah.... Joti nakutambua toka 2005 nlipokua bado Shule,,,, nakukubali Sana much Love from Msa Kenya..... This is more than talent
Kiiboga kiboga mpaka naona Aibu Mimi huku😅😅😅😅😂
😅😅😅jamn joti anafurahisha alivotaka kuanguka na chakula adi mama mkwe ameshituka anatak kukimbia😅😅😅
Babaahh mlewa shewele 🤣🤣🔥🔥🔥💪
Kweli kuna wanawake wa aina hii tena wanabahati ya kupata mume wa maana halafu mme ata haoni mapungufu yote ila watu wengine ndo mnakua mnaona kitukooo😂😂😂😂😂😂 kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂 uyu jamaa kajisahau kamuita nishai badala kiboga...Joti me unanikosha sana😂😂😂😂♥️♥️
😅😅😅 mama mkwe katema sumu joti big up nakupenda sana unajua kunivunja mbavu
😂😂et nzi mmewafungulia kwenye banda
😂😂
kibgo napenda ukiacct kaaa mwanamke😂😂😂
Kazi nzuri hiyo kutoka kwa comedy icon of TANZANIA 🇹🇿🇹🇿
Joti Uko Fireeeee Kama Simba Ya Mgunda 😀😀😀😀😀😀
Mambo
🤣🤣🤣🤣🤣
Always happy to see this comedian
Yaaani mama hadi kaa ishiwa 😆😆😆😆😍
Napenda Zito anavyoigiza sura yake inaongea bila kuongea
nampenda sana jot anavyopangilia mamb yake
😂😂😂😂 duh! Ila kiboga kutuvunja mbavu tuu
😂😂😂😂..oyaaa we jot mbavu zangu uku bhna😂😂😂..maua🎉🎉🎉🎉yko kaka
Jafar Makenz kutoka Mwakijembe Jotty umenichekesha sanaa leo
Nakubali san ❤
Joti😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ nakupenda sana 😂😂😂
mkamwana sio kwa kiherehere hicho mweeh😂😂😂 nimecheka sina hamu jot never disappoints
Yaani uyu aunt yang kabisa anaongeaaa😂😂 kila kitu anaweza yeye😂😂
😂
Baab joti...fundi
Mashav mengi kwako my fav comedian of ol time❤❤
Ni kucheka tu ,asubuh na mapema
Huyo mama mungu amzidishie maisha marefu muendelee na Sanaa mnaweza kuliko sana
Inzii zimefunguliwa kweny banda 😀ila kibogaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli chakula hiko hakiwezi kulika duh!😂😂😂😂😂😂 Huyu #Kiboga wamoto nyieee😅😅😅😅😅😅
Uyu mmama n joti n combination nzuri saana 😂😂😂
😂😂😂😂 unajua kutufurahisha joti nakuombea uishi miaka mingi sana uzidi kutupa furaha
😂😂😂😂usiombe yakukute jmn kama haya ya zito maan nasi ni mama wakwe watarajiwa kwakweli 😂😂 mapenzi gani ya kumtemea chakula ma mkwe jmn
😂😂😂😂😂Hizo cheche za wali jaman daaah....😅😅😅😅
Joti my favorite comedian naombane mni subscribe na mm fans wote wa joti
Duh. Najua Joti unaigiza, ila hii nimejikuta nachukia mimi kana kwamba ni kweli aisee kumbe maigizo. Yaani huyu Mwali ni kero kipeo cha pili, kiherehere wa mjini.
Joti is the best comedian since i was very young 😂😂😂
Jamani .haaa kiboga comedy zako haziniishi hamu.hususa hii narudia nikirudia.nacheka ssana jamani.mimi ni mkenya .comedy naangalia lakini sijawahi kucheka ssana isipokua comedy za kiboga..umenivunja mbavu
Joti ni mtu na nusu anajua mpaka anakera😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😂kauwaaa joti 😅😅😅
Joti unajua sana aseeh. Nimekupenda bure Mwaya
Yaaan joti namkubali saaan hasa akiigiza kama mwanamke hadi raha Big Up kiboga
Asante san Joti Kiboga kwa kutujali Asante san tunakupenda san 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Kiboga wewe apan kwa kweli unatisha 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Joti unatisha kinomaa big up
🤣🤣🤣🤣hapana jamani kucheka gani huko na ubwabwa unaruka wote mdomoni🤣🤣
Hii kalii sanaa , kisalakasi , we goggle 😂😂😂😂
Ugali wali 😂😂😂
Wifii kama wifii anambinde kupitilizaaa😂😂😂😂😂maamkwe kazi unayo😂😂❤
Jot is my number one comedian Tz
Jamani Kuna nzi au mewafungulia kwenye banda😅😅😅😅
😂😂😂 aisee nimecheka saana
Kweli hapo ndoa kifungo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyo mkamwana kiboko 🤣🤣🤣🤣🤣
Leo nimewahiii😃😃😃,🔥🔥🔥🔥🔥
Joti jamani eti wamefunguliwa kwenye banda😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.... Joty is the best ever🙌
Ila Joti ur Good Greatest Comedian Ever.
Et nmekubali kuolewa 😂😂😂😂
kucha kama tunda za ubuyu😂😂😂😂
Nlivo kua nangoja joti tv basi kwa hamu 🤣🤣🤣🤣🤣
Haya mambo ya GOOGLE 😂😂😂KUNA NINI TENA KIBOGA JAMANIII 😂😂MKWE KANOGA HUO😂😂😂
Nmecheka jaman 😅😅😅 joti huyu😂
jaman sio kwahio chumvi😂😂😂
😂😂😂😂wifi mchachu😊
😂😂😂😂😂 Daaah mpk naonaa aibuu mimiii
Mwanamke Google kila kitu anakijua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤namnyonyeshaaaaa babuu weeee hatariiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️
Mbona hamuongelei huo mkono ulokoroga chumvi😂😅😅😅😅😅
Joti TV umenichekesha sana katika video yako hii unajua sana yaani umenipa raha😂
Et nzi mmewafungulia banda😂😂😂 ila kiboga jmn. Kucha kama tunda za ubuyu😂😂 kaaah
Kiboga is my favourite character. I advocate for more of kiboga in action.
😂😂😂😂 Kiboga amechachuka😂😂😂
Jamani joti leo nimecheka mpk machozi duuuuh noma 😂😂😂😂😂
Joti uko juu sn 😂😂😂😂
Hhhh nakupenda bule dakibogo et google🤣😂
Daah wifee wa motooo...😂😂😂😂
Nzi wamefunguliwa kwenye banda😂
Mkwe kila idara yuko vizuri😂😂
Mnaonyonyeshwa mpoooooo ngumi za kutoshaaaaaaa kichwa juuuuuu mama hoiiiiiii
Joti na huyo mama ndio walio tuchekesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🇬🇧
Lukasiiii unatisha duuuh😂
Nakukubali sana joti upo vizuri sana 🔥🔥
Mwendo wa vichwa 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂et yy ndio anamnyonyesha😅😅😅jot chiz
Unaweza kushangaa kwann huolewi kumbe sababu ni we mwenyewe. Mungu niepushe nikipelekwa ukweni nisiongee sana.