Kiboga love you from Tanzania, you made my night ila sema character ya kiboga na Babu nazikubali sana, mganga kaupiga mwingi san ushuzi nusu chpa hahhhah
Joti mshukuru Mungu mamaako kukuzaa ama sivyo angeumwa chango maisha yake yote. Looo wee mwisho wa matatizo. Nikikuona tu na hizo pose zako hucheka peke yangu kwa sauti🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie jamani kweli maisha magumu inatakiwa kubuni mbinu mbalimbali ya kujipatia kipato.Mtu wa make up huwa anakutendea haki sana 🙏. Tante kwa burudani tamu
Kama unapenda Joti aigize Kama Kiboga,,,like za kutosha🤣
😂😂
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ukwel usemwe joti mmoja ni wasanii miamoja 😍😍😍
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Mbavu zangu jamani
Joti waigiza uharisia jamani apo ulipo ni mwanaume na unaigiza Mama mwanamke na unawapita ata hao waigizaji wakike awafuidafu jamani❤❤❤❤
I missed this character, I love when she's in "kiboga" role. True definition of talent!
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Yeah,napenda Kiboga sana🤣🤣🤣
True.
Hi
hata mimi😂😂
Big up sana mwamba aloekti kuongea kipemba 😅😅😂😂😂
Joti you were born a comedian good work always 🤣🤣🤣🤣🤣
❤️❤️❤️❤️❤️joti umeweza tena mungu hakubariki🙏🙏🙏🙏🙏
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
“Eeh kweli yani wanaume wananifanya kama ngazi wanapanda nakushuka”😂😂😂😂 we joti wewe
😩😀😀😆😆😆😆
😂😂😂
Uko vizuri Madame Monsieur Kiboga
kutoka
🇨🇩🇨🇩 Ninakufata 5/5
Uwiii Mganga Mchongo Baridi sana 🤣😂🤣😂🙆♂️Eti Haki ya Mungu Anageuka kuku 🤣😂🤣😅😂🤣
😂😂😂😂🤣🤣🤣
Joti uko vyedi sana, I'm Ur number 1 fun🥰
Sema huyo mganga kaupiga mwingi sana😅😅😅
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Hapo kwenye ushuzi nusu chupa 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Eeh, ndio ni kweli wanaume wananifanya kama ngazi wananipanda na kushuka 🤣😂🤣
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Aiseee niwe mkweli tu huyo #MGANGA Ameua hatariiiiii💞💞💯%
..
😄😄😄😄
Km ngazi wanapanda na kushuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️👌
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Haahaaaa I was looking for this kinda comment nilijua nimesikia mimi tuu😂🤣🤣
Sio pw
Kazi nzuli 😃😃kiboga wanagupanda nagushuka🤗🤗🤗
Looking good Kiboga nice hair and makeup 😍
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Joti you are 💪🇹🇿 and world🏆 comedian.
Creativity, Innovation, skills and experience on your art 👏>>>>💯%
Keep it up💪
Kiboga love you from Tanzania, you made my night ila sema character ya kiboga na Babu nazikubali sana, mganga kaupiga mwingi san ushuzi nusu chpa hahhhah
Character ya kiboga ndo naipendaga Sana, mwenyezi mungu akuzdishie broo joti
Kabisaaaaaaaa
Dah!!! Mungu wangu nmecheka mpk watu kwenye bus wananitazama nmekumbwa na ninii...joti..🙏..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jahahaaaaaaaaahahah
Sijachelewa sana jot aliyekuloga kafa wew
😳😳😳🤣🤣
Hahaha kwahiyo nilikuwa naongea na mtu wa zanzibar sio yeye ni mpemba 🤣🤣🤣🤣🤣🙌👏🥰🇬🇧💯
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Jamani mganga leta njiwa aliebalehe mwenye chunusi🤩🤩🤩🤩na ufyuzi nusu chupa
Haaaa nakuona Raisi wa comedy TZ God bless more
Ilaa jotii😆😆😆😂😂😂🙌hapanaaa anachekeshaaa mpk rahaaa
😅😅😅😅🐦🐦🐦njiwa huyo kiboka ambaye hajabalee kweli huyo mganga Ni wa mchongo
Jamaa kawapatia wapemba balaaaa 😂😂😂😂
Kaongea kikojan hiko halis
Wasambaa
Hahahahh wew hujui chochote hao niwamakunduchi unguja tulieni nyinyi sis wa zanzabari ndio tunajuana
ushuzi nusu chupa!
njiwa mwenye chunusi khaaaaaaaaah😂😂😂😂😂😎
Kiboga umeivaaa...Make up imekaa poa sana 😂🔥🔥🔥🔥
Joti mshukuru Mungu mamaako kukuzaa ama sivyo angeumwa chango maisha yake yote. Looo wee mwisho wa matatizo. Nikikuona tu na hizo pose zako hucheka peke yangu kwa sauti🤣🤣🤣🤣
Kiboga True definition of Talent
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
I can’t stop watching to comedy joti you still number one ☝️ comedy
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
That English though 😂
Sema kaka ww ninoma yani😂😂😂
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Ila kiboga bana
Alikuwa mbishi mno 😂😂🤣🤣Hela ya vicoba imepigwa tyr
Wtt fuso mbili , anataka dada kiboga
Amepigwa mganga wa mchongo
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Watoto fuso mbili 😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣Weee Joti mbunifu kwelikweli hongera.
Penda kibonga🥰🥰🤣
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Safi Sana kiboga awo wagagnga kuwafukuziya mbali 👍👍👍
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Mr Lucas Mhuvile! Much respect to you sir! love from Kenya! Kazi nzuri sana mheshimiwa!
Joti nakukubali sana
Kama umefirahishwa na joti mwaga like za kutosha
Wewe mganga unajua sana
Kuongea KIZANZIBAR umenifulai saaaaana HET KUNSIKIA
Ila waganga😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣siwapendi mimi😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣utajua hujui,chezea kuzaliwa mjini
Hahaha above all..ule mtama mzee n noma..mpemba kapewa dozi
Eti hajafanya vurugu hapa,🤣🤣🤣
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Yaaani
Matapeli ukijiuliza amejuaje tu. Umekwisha🤣🤣🤣🤣🤣
Dah unaweza jotiiii cheichei salam ya zanzibar👍
😆😆😆🤣🤣 afadhali ingekua ushuzi chupa tele ningejikamua lakini nusu chupa sio kweli🤣🤣🤣🤣😀😀
Nipe No zako nku Whatasp plz
Kila kazi unaugumu wake maana sio rahisi kama alivofikia joti ila congtration sana kazi yako joti
🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie jamani kweli maisha magumu inatakiwa kubuni mbinu mbalimbali ya kujipatia kipato.Mtu wa make up huwa anakutendea haki sana 🙏. Tante kwa burudani tamu
Yaan anampatia sn
Yaaaaan yuko vizur
Umeona e
Mganga ndio kiumbe ambacho kinachoweza kukupelekesha anavyotaka na ukafaata 😂😂😂😂
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Leo kaipata fresh matunguri yote yametupwa dadeki
Kaka hauja wahii koseaaa😃👍👍👍👍👍
jifunze adobe after effects link ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Wallah Joti 🤣🤣 umejua kutufurahisha na wewe umekua mgonjwa wa mchongo
Joti ww ni best online comedian hatari sana, na Nina uhakika ukipanda sjini utaua sanaaaa
Napendaga tuu anavorudisha wigi lake nyuma🤣🤣
Joti utauwa😄😄😄we bwege kweli nimecheka kifala sana 😃😃😃😃.
Joti unaweza bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Uhusika wa kiboga huwa unanifurahisha sana yaani Leo Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
🤣🤣🤣Wanapanda Kama ngazi doh Kali sana
Joti kamaliza Kila aina ya uhusika mtoto kijana mdada mmama bibi babu nk msanii mmoja Sawa na wasanii milioni
Jot mbona kama upendi habari zenyewe❤❤👍👍👍
Jori nzuri sana na maziwa km mtungi WA maji
ushuzi nusu chupa🤣🤣😂😂, nimependa rafudhi ya kizanzibar....
Kidogo kaelekeza kipemba mganga... mashallaah
Kapatia asaa sijui kama sio mpemba huyu sema anakaa dar tu
Hiyo cio kipemba nikiunguja cha kitumbatu
Napenda sana akiwa Kiboga.
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
#Joti wewe ni bingwa wa comedy. I must watch your vids before I sleep. Lots of love kutoka New Jersy 🇺🇸 USA. Wa Kenya 🇰🇪 wenzangu mpo?
😂😂😂 tupo
Tupo much love from a 🇰🇪 in 🇬🇧
Tupo Kama kawa
Hi
Tupo swee hellen
Hapo kwanza n cheke 😂😂😂 wanaume wanapita Kama wanapanda ngazi😂😂😂😂
hapo kwenye ushuziiiii🤪🤪🤪🤪mi hoyi
Mpemba 😂😂😂😂 nimekubali
Nmecheka kwa nguvu mpka watu wamegeuka kwenye Basi😁😁😁😁😁😁😁
Kinyumenyume Cha kiboga apana🙌🤣🤣🤣
Alafu wewe Kiboga,
Unaniuwa mbavu zangu miye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃ushuzi nusu lita labda akuupate shell
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣mganga wa mchongoooooo
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Eti hee tuko zanzibar kusikia chei chei🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😁😁😁😁
Joti bhna eti wanaume wananifanya kama ngazi wanakuja na kunipanda ila hawanioi😀😀😀😀😀😀
Joti utaniua bure,am watching from malawi
Kama Kuna mtu tangu nikujee joti hujawahi niangusha from Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Joty Kama joty njiwa aliyeaza kbalee mwenye chunus uwo mtamaa syo wa nchiii
Nampenda sana joti jaman hanajua 😂😂❤
I love Joti so much 😹😹😹😹
Hahahahah ety mwenye chunusii😂😂
Tangia "Freshi" sijawahi kucheka saaaaaana tena hadi video hii. Hongera bw Joti! Perfect video, perfect kabisa 👍🏽.
Em namimi leo nipeni like nikavimbe mtaani please
MGANGA: AAAHTSIEEEEE.....JOTI: Jamani jamani heh!!
Mr.juma from zambia wao jot
Joti bhana na kitako chako sasa ukirudi nyuma hahahahahah
Kibogaaaaaaa love you from Tanzania
Joti uko very good sio kwailo nyonyo
Born to be comedian..ur talented kipenzi
Mpemba kaondoka 😜😜😜 na hela kaacha 😂😂😂Waganga bhana 😅😅😅
Never disappoint Jotiiii 😘😂
Swipe ya Joti kwa mganga umenivunja mbavu😂😂😂
Mie sielewi km goli 3 bila 😀Sasa yule kaondoka uyu ndiye lkn pesa zipo 😀
Noma sana Joti dawa ys moto ni moto
jifunze adobe after effects ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Haha njiwa mwenye chunusi 😂
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Alieanza kubalehe😂😂😂khaaa waganga shikamoo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu miyeeeeeee
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Akyamungu unageuka kuku🤣🤣😂😂
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
This is the reason why i don't understand why people believe in witchcraft 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Thank you kiboga😇😇😇
ua-cam.com/video/G9chX0Sf0oo/v-deo.html
Hii kali .... very short alf very creative😅😅🙌