@@HassanAhmed-di9jq Mm kwenye huu mjadala nimeona waandishi walikuwa wanauliza maswali vizuri kabisa ila muulizwaji alikuwa anajibu anavyojua yeye mwenyewe📌
@@JackKanyigo mjinga ww mwenye kuumia mnashindwa kutafuta waovu wanaoteka watu na kuwaua kila siku Makonda. Vp haya mauaji, ubakaji kulawiti anahusika Makonda???? Hadi useme muovu
@@robertphilip385 vp Hawa watu wanaoteka kila kukicha anawateka yeye? Sativa, nae alimteka yeye?? Mnaogopa kuwataja watekaji maana mtakufa mnakazi ya kumchafua Makonda Mavi yenu
Kuna mahala pamekatwa hapajasikika vzr.... achieni habari ieleweke kwenye kila nukta😅😅😅.... pale bungeni kuna kitu kinadaiwa kipya hakijasikika vzr.... naajua kipi kimekatwa ila mngekiacha tu wakisikie acheni kuchuja habari 😅😅😅
Mimi ni pressenter toka Tfg OnlineTv miongoni mwa watu au mapressenter nawo wafuatilia bas ni zembwera salimu kikeke na fredic bundara lily ommy kwa upande wa wanawake basi neema ally na salamaa jabiry
Hawez sema ukwel hata dk moja Ila Mungu wa mbngun ndo anajua ukwel na lisu si mwehu aropoke tu lazma anadata za kutosha na ingekuwa uongo makonda angemshtak lisu
Kakangu Makonda,mi naamini mwanzo mwisho kuwa wewe huhusiki na utekaji wowote.I salute you my dear brother Mqkonda may Allah guide, bless and protect you wherever you are from anyone willing/planning to harm you
Zembwela Leo amenikosha hongera Kwa ujasiri🎉
Zembwelaaahh maswal mazur xn kaka respect for you
Nakukubali sana wee kaka zembwela ingekua waandishi wote wanajiamini na wanamasuali km hayo basi Tanzania tungekua hakuna adui
@@HassanAhmed-di9jq Mm kwenye huu mjadala nimeona waandishi walikuwa wanauliza maswali vizuri kabisa ila muulizwaji alikuwa anajibu anavyojua yeye mwenyewe📌
ZEMBWELAAAA,😂😂😂, kweli ww nimeamini ni tambala la deki
Hakupepesa macho kudadadeki 😅😅😅
Zembweraaaaa safi sanaaaa
I LOVE ZEMBWELA.
Mungu atawaumbua siku moja..we mtumie mungu kwenye unafiki
Biggest three3 questions from zwembela.🙏🙏🙏🙏
Ilove ❤❤❤makonda
Zembwela oyeeeeh
Big up makonda kiongoz anae weza
Mhhhh zebwelaaaaa shikamoo
Zembwela wa moto
Umeuliza swali nzuri sana Zambwela lkn Ajajibu inavyo paswa
Wenye akili tunaelewa hakuna alichojibu zaid ya kuzungusha manen
Sawa Zembwela mcheza kareti mkongwe😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🙌
Hongera Mkuu wangu wa mkoa Mh.Makonda usivunjike moyo pambana Mungu yu pamoja nawe!!
Zembwela 🔥
Hongera sana Mh Makonda Mungu akusimamie kila hatua Dua endelea kuchapa kazi 💪💪🔥
Mungu yupi labda mungu
@@Rm2024-x3dWw unamjua mungu yupi
Ili lenyewe jinga kweli mungu yupi kwa mtu muovu kama huyu
@@JackKanyigo mjinga ww mwenye kuumia mnashindwa kutafuta waovu wanaoteka watu na kuwaua kila siku Makonda. Vp haya mauaji, ubakaji kulawiti anahusika Makonda???? Hadi useme muovu
Kibaka Tu huyu!
Mungu ndio anajua ukweeli
HONGERA ZEMBWELA KWA SWALI ZURI. ILA MAKONDA AMEKWEPA KUJIBU
Anatabasamu tu Mwanangu Atukuzwe Mungu Ajuae Yote
good job Mr Makonda
Zembwera anakuuliza mengne we unajb mengne na kupiga chenga acha ujiga
Zembweeeeeela zembweeeeeela na jicho kalitoa
Zembwela kanyooka, since day one naikubali sana mtazamo wake na consistency kweny mamb ya habari
Safi sana Kiongozi wangu mpendwa MAKONDA piga kazi🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Tekaji hili
@robertphilip385 kabisa
@@robertphilip385 vp Hawa watu wanaoteka kila kukicha anawateka yeye? Sativa, nae alimteka yeye?? Mnaogopa kuwataja watekaji maana mtakufa mnakazi ya kumchafua Makonda Mavi yenu
Zembwela kwa maswali yako hayo mungu akubarik ila siku nyengine unajiwek Kikaangoni
Acha uoga wewe
Si alitaka aulizwe maswali sasa Zambwela anakosa Gani mpaka awekwe kikaangoni?
Mungu wambingu na inchi akujazenguvu kwajinala yesu kristo/ Mimi si mu Tanzania lakini nakupenda sana
Zembwela uko vzr nitakufutia kazi bbc
safi sana makonda kwaufafanuzi mzuri
Hakuna ufafanuzi hapo hajajibu swali
@acha uchawiievansdecaprio8196
Nomaa Sanaa
Uzuri wa Zembwela hakwepeshi maneno, ila sasa kwa Comled Makonda sina wasi wasi nae. 🫡🫡🫡🫡
Bashite unahusika sana kwa wenye akili swali hili una damu za watu mikononi muda tu utasema
Akili ndogo haiwezi kuelewa hilo kaka
Zimbwella kichwa kweli😂😂❤
Mmmh ila mm sijaridhishwa na majibu🙌
Mbona haujibu swali bro
Zembela fundi sana nakukubali kaka kwamaswali mazuri
Zebwela kweli wewe ni mkongwe umeonesha ukongwe wako katika maswali yako🎉
Hiyo ndio maana halisi ya bebelu zembwela ni bebelu😮😮😮😮
Tz kweli a2nahakili unaic mungu nimjinga kama sisi ety mungu amlinde anachokificha kwe2 mungu anakiona nacku 1 atamuumbuw na maigizo yake
Kuna mahala pamekatwa hapajasikika vzr.... achieni habari ieleweke kwenye kila nukta😅😅😅.... pale bungeni kuna kitu kinadaiwa kipya hakijasikika vzr.... naajua kipi kimekatwa ila mngekiacha tu wakisikie acheni kuchuja habari 😅😅😅
Huyo ndiyeMakonda✍️💯
Nchi yakusadikika hii, mna hoji wahusika wa ushenzi wote unaona endelea nnchini .
KAZI NZURI SANA MH MKUU WA MKOA, MTI WENYE MATUNDA HAUACHI KUPIGWA MAWE.
@@MustapherSamson-s6l Anamatunda gan
Mungu atakulinda kaka makonda usiogope hao washenzi piga kazi mkuu wewe ni special
Makonda nampenda
🙆🤦 ndo majibu gani haya
Mimi ni pressenter toka Tfg OnlineTv miongoni mwa watu au mapressenter nawo wafuatilia bas ni zembwera salimu kikeke na fredic bundara lily ommy kwa upande wa wanawake basi neema ally na salamaa jabiry
Kwani ulipompiga kofi Warioba ulikuwa na nafasi gani? Mbona hukuchukuliwa hatua? Ndo kwanza ukapata cheo Cha DC
Thanks
Huyo Alo trend juz Kwa kutekwa kiluvya naona kmy 🥲🥲
Kazi ipo
Shikamooo z
Hakika nikweli nikuonavyo hatamimi kwaupeo wangu ,huwezi kufanya hilo ,na Mungu akulinde
Kaka unajua
Kabisa makonda umejibu kwa vizur sana kabisa mti wenye matunda mema ndio unaopigwa mawe
Mweshimiwa makonda naomba msingi wa milioni 3 niuze mkaa
Good debate
Mbona swali hazajijibu
zebwela umeuliza kama mwandishi kweli kweli na mkuu wa mkoa makonda umejibu vyema hongereni sana
Wazee wa kupongeza..😂
Hujawah kuniangusha zembwela
Kaka Makonda mi nakupenda Kwa sababu ya utendaji Kazi wako ambao Una uadilifu na uajibika WA hali ya juu.Raisi mtarajiwa baada ya Dr Samia
Hawezi kuyajib
Mungu akulinde Paul Makonda piga kazi Kaka
Hatujataka matokeo ya Kaz zake,tunataka majibu ya maswali husika,kama ni utendaji mbona Kila mkoa una viongoz na maisha yanaenda ase!!!?
Asante zembwela😂😂
Zembwelalaa wewewweww😂😂😂😂❤❤❤❤
Aah anajifanya anajibu kwa siasa.izi siasa c ngeni jijini labda uwe mgeni wa jiji😅
Jb swali
Zembwela Leo umejitoa ufahamu ulipo kuwa una soma leguruki chuo ulikuwa mpole sana
Mh, Paul makonda ananyota Kali sana🔥🔥
Ya uongo kweli anao
Anaulizwa swali lake anajibia matukio ya wengine ogopa sana mtu muongo atapiga chenga ya mwili adi akukwepe😂😂🙌
Hawez sema ukwel hata dk moja Ila Mungu wa mbngun ndo anajua ukwel na lisu si mwehu aropoke tu lazma anadata za kutosha na ingekuwa uongo makonda angemshtak lisu
Mungu halali ipo siku
Zembwela mpa ukweli makonda na mwingine yoypte
Yanga oyeee Supu oyeeee
Oyeeee
Wewe ndo umeua, yaani ktk comments zote, yako imeniacha hoi
Majibu yako yapo vizuri sana wakuelewa ataelewa
MUNGU IBARIKI TANZANIA😂😂😂❤❤❤
Lema akiona hii atajitundika mamae. Safi sana Rc Makonda.
Kwa uongo huu anaoupiga hapa ahahhaa kweli wewe jinga
Anaulizwa utekaji anajibu barabara😂
Kuna kitu akipo sawa apa kwa huyu jamaa
MUNGU MKOMBOZI WETU akubariki Makonda AKUPE NGUVU Moya hakika siku kqasiku
Huyu mtekaji na muonezi
The making of President
Zembwela kajilipua😂😂😂😂😂
😂😂😂 Mako bhana watu wanambananisha kwenye red Conar
Alie na d2 tumekuelewa
KWANI ATA urais ujaanza leo
Mbona anazunguka zunguka ajibu swali alihusika au hakuusika
Dalili za uwongo
Ondoeni chuki mioyoni kisha fafanuen kwa umakini
MAKOND ANA AKILI SANA MUNGU AMLINDE
Ujinga ni mzigo
Mbona makonda anajirleza sana
Anaulizwa swali anatoa maelezo
Makonda hahusiki.... Ila utekaji upo na serikali inajua nini inaendelea.... Sema makonda anajua pia ila hawezi kusema
Evidence unazo
@Rm2024-x3d kwani wewe upo dunia ipi
Kakangu Makonda,mi naamini mwanzo mwisho kuwa wewe huhusiki na utekaji wowote.I salute you my dear brother Mqkonda may Allah guide, bless and protect you wherever you are from anyone willing/planning to harm you
Chawa live
bado unatutangazia underground kariakoo.😳👀
Zembwela 🙌🏾😂
Sijaona hiyo iphone katka ilo Tangazo la simu😂 amjanyoka aiseee
Vipi kuhusu kuvamia clouds media House..ushahidi wa cctv upo
Zembwera kunywa Bia moja ntalipa
Hongera Makonda. Utabaki kuwa Mwamba.
Hongera kwa maswali zembwela
Unaweza Msifia Zembwela Kwa Kuuliza Swali Zuri Kumbe Alimtext Muheshimiwa Kwamba Nitauliza Swali Furani.😅
Makonda 👊👊👊
Ila Zembwela shikamoo
😂😂😂😂😂huyu jamaa bhna
maswali matatu..
ungejibu majibu matatu.
sijakuelewa makonda maelekezo mengi saana hatukuhitaji kujua