Masha'allah.. mungu ampe afya njema uyu mama amepambana Sana ,tunaoamini kwamba mafanikio hayajaandikwa kwa walio soma peke Ake .WEKENI LIKE ZA UYU MAMA APA .✍️😊🔥
NIMEJISKIA KUUMIA SANA JUU YA UPAMBANAJI WA HUYU MAMA, WAPO WAMAMA WANAPAKA RANGI KUCHA UTASKIA WANAPEWA TUZO ZA SUPERWOMAN.NADHANI HUYU MAMA ASAIDIWE SERIKALI IANDIKE HISTORIA YAKE NA APEWE HESHIMA YAKE.
MILLARD AYO TV ITAENDELEA KUWA KINARA WA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUIBUA TUNU ZILIZOKUWA HAZIJULIKANI DUNIANI. KATIKA CHOMBO CHA HABARI BINAFSI TUZO IENDE KWA MILLARD AYO TV YOU'RE THE BEST OF ALL❤
Eti alikuwa kashazaa mtoto halafu alikuwa mdogo hana matiti 😂😂😂 Ameshazaa!? Halafu hana matiti kipindi hicho alikuwa mdogo hakuweza kujulikana 😂 Mmm! Huenda ni ukweli lakini aseme walikuwa wanajua kama ni mwanamke lakini aliishi nao hivyo hivyo kwakuwa alikuwa mkakamavu. Lakini sio kuwa hawakumjua kama ni mwanamke
Hebu acheni wenge eti bimkubwa muongo na ilikuaje wasimtambue...,guys huyu mama anazungumzia 40+ years ago wengi tunaocomment hata hatukua tumefikiriwa hakafu tunabisha.....ashakua mtu mzima sana na karelax mwili umekuja .....ni ngumu kujulikana haswa ukichangia alikua anafanya kazi nzito
Tatizo serikali huwa haimuendelezi mwenyye kipaji. Bali inadili na mwenye cheti anapewa ajila kwa mzunguko wa kutosha. Laiti wangedili na vipaji Tanzania tungefika mbali sana. Kuna watanzania wanaweza kufanya mambo makubwa. Laiti wakiwezeshwa Tz itakuwa na mambo makubwa. LAKINI! haiwezekani kwasababu wazungu hawataki tuzinduke. Laiti tukizunduka wateja wa bidhaa zao watapungua...
Kwa pili ndio mgodi wangu wa kwanza kuzama upo blook d ni kweli alikua anazama sana wakati huo na maisha ya Mererani wakati huo hakuna kufatiliana kwa chochote
Mama anamiliki kitalu cha mgodi na hana simu ya kupangusa tena anawafanyakazi zaidi ya 70 ,,,mwenzangu na mimi tukipata million 2 tu chakwanza ni simu ya macho 3 tuwavimbishie wenzetu kitaaa,,,wanawake tujifunze kupitia mama huyu
Uyo mama ndowaamzilishi wa migodi mereran alikuw ni mnene uyo balaaaa sema mgodi wake niule wa zamani sasaiv aytoi ten mawe imebaki wanaesimamia wachina tu nasasaiv anaktu ten jmn dah
Nampongeza sa a huyo mama kwa kuoiga kazi na kwa yeye ni mwanamke lkn na akajulikana kama mwanaume ni vipi alifany matiti yake yasionekane?naomba kuuliza hilo mwandishi na pu mm naona sura yake imekaa kike kabisaaa 😂hongera sn mama!! Ninaomba tu kujua hilo!!!
Lakini hii story siwezi kuiamini 100% kuwa watu hawakujua kama ni mwanamke!. Ni jambo gumu, mwanamke kuchanganyika na wanaume tena kwenye mgodi!?. Eti kakamatwa na serikali ndipo wakajua kama ni mwanamke kisha wakamrudisha hawakumtoa. Eti marafiki zake walikuwa wanaume. Halafu wasijue kweli!?..
@@rqiyaabdallah840 hapana, kuhusu matiti haya ni ya uzeeni. Yeye anazungumzia alikuwa mdogo sana msikilize vizuri. Tatizo linakuja alipouliza alikuwa kesha zaa akajibu ndiyo alikuwa kazaa mtoto mmoja. Itakuwaje mwanamke azae halafu asiwe na matiti ya kuonekana!?. Hatakama alikuwa mdogo kwakuzaa tu matiti lazima yaje kiasi cha kuonekana.
Masha'allah.. mungu ampe afya njema uyu mama amepambana Sana ,tunaoamini kwamba mafanikio hayajaandikwa kwa walio soma peke Ake .WEKENI LIKE ZA UYU MAMA APA .✍️😊🔥
tayari 🔥
Wanaotoa tuzo za wanawake wapambanaji they should do research, kuna wanawake mtaani wana deserve more 🎉 huyu mama mfano bora
Hongera sana Bi Mkubwa wewe ni Mwanamke SHUJAA Maua yako hayo🎉🎉🎉
From today ,strong woman imepata mwenyewe ,hao wengine ilikua janja janja
NIMEJISKIA KUUMIA SANA JUU YA UPAMBANAJI WA HUYU MAMA, WAPO WAMAMA WANAPAKA RANGI KUCHA UTASKIA WANAPEWA TUZO ZA SUPERWOMAN.NADHANI HUYU MAMA ASAIDIWE SERIKALI IANDIKE HISTORIA YAKE NA APEWE HESHIMA YAKE.
Yaan sana,cjui Zamarad na wengine kama watalifuatilia hili
MILLARD AYO TV ITAENDELEA KUWA KINARA WA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUIBUA TUNU ZILIZOKUWA HAZIJULIKANI DUNIANI.
KATIKA CHOMBO CHA HABARI BINAFSI TUZO IENDE KWA MILLARD AYO TV YOU'RE THE BEST OF ALL❤
Strong mama
Hongera sana Mama Pili Hussein .
Daah hii ni noooma sana kweli alijitoa muhanga sana kupambania maisha yake ya mafanikio
ua-cam.com/video/2ApvlC1If1c/v-deo.html
True story
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana leo😂😂😂😂miaka 16😂😂😂happy sweet 16 uncle hussein
Mbona namfahamu huyu,,ana mgodi jirani kwa Bahya kwa muhindi OPEC ,,
Bora alifanya ivo kuliko kujiuza
chuga Moja iyoo 🙌🙌🙌🙌🙌🔥
Hongera pili
Kawezaa Sana ❤️
Strong woman
Dada pili huyo mungu akupe maisha marefu dada yangu mama wakinyiramba
Mashaallah ❤
ua-cam.com/video/2ApvlC1If1c/v-deo.html
Kweli kabisa
Huyu mama alijituza sana miaka wengi walipaparika sana wakafa kwa ukimwi kwa kupenda anasa za Dunia kwa miaka aliyo ingia mererani.
Sasa stop kuingia chini ya mashimo sasa ameshakuwa mtumzima nguvu zimekwisha pungua
Hongera zake mwanamke mwenzangu
Maisha haya sio poa wallah 😅😅🙌🙌
Hii ni movie kabisa wazungu wakijua hii story yani wana tungia movie kabisa story ya uyu mama tz tuna kwama wapi
Ni kweli sisi watu wa mererani tunamjua.
Wasanii wetu wanawaza mapenzi
Najua wanaume wakiwa peke yao huwa wanajiachia sana kwenye kukojoa hawajali. Inaonekana huyu bibi kaziona nyingi sana
😂😂😂😂
Ndio umeamua kuwaza hivo😂
😂😂😂😂 jamani
Hahahahaha
Akili zako wewe
Hii interview angeifanya Millard mwenyewe au Vido, ingesimama zaidi
Upo sawa Sana mama mpambanaji
Mara nilikuwa sina maziwa. Mara niliacha mtoto home duu yawezekana ni mkweli ila kasahau history yake❤
Hongera sana mamy❤❤
Eti alikuwa kashazaa mtoto halafu alikuwa mdogo hana matiti 😂😂😂 Ameshazaa!? Halafu hana matiti kipindi hicho alikuwa mdogo hakuweza kujulikana 😂 Mmm! Huenda ni ukweli lakini aseme walikuwa wanajua kama ni mwanamke lakini aliishi nao hivyo hivyo kwakuwa alikuwa mkakamavu. Lakini sio kuwa hawakumjua kama ni mwanamke
Hii point nayo niliifikiria sana.
😂😂😂😂
Kuna wanawake wengine hawana maziwa jombaa
@@selemanmaganga-le4zg mbona makubwa au yalikuwa Bado muda wote huo!!
Kuna wanawake matitit hayaonekan ni madogo
Jaman shangazi yangu pili
Wewe ni mama shujaa sana
Salute kwako 🎉🎉
Maisha ni pambano , safiii
ua-cam.com/video/2ApvlC1If1c/v-deo.html
Safi sana
Alikua anafanyaje akiwa kwenye siku zake
???
Anavaa Pads
😂😆😆😅😅
Namie nilikuwa nawaza napia kukojoa
@@mwajumamwajuma55 kwan mtu si anaenda kukojoa private jaman lazma watu wakuone
Sio kweli mm leo tu nimejua kama mwanamke na icho kifua je
Uyu mtangazaji munahusiano gani na uyo bibi maana mwafanana saaaana😊
😂mamaaake mkubwa
Mwanamke wa nguvu hongera sn mama yangu wale wa kucha za bandia mpo?
Hongera mama
Big up 🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️
MASHALLAH,,🌹🌺🌹🌺🌷🌻🏵️🌹🌹🌹🌹
Mashallah
Haya Eric Shigongo njoo hapa uandike kitabu
Mashaallah
Hebu acheni wenge eti bimkubwa muongo na ilikuaje wasimtambue...,guys huyu mama anazungumzia 40+ years ago wengi tunaocomment hata hatukua tumefikiriwa hakafu tunabisha.....ashakua mtu mzima sana na karelax mwili umekuja .....ni ngumu kujulikana haswa ukichangia alikua anafanya kazi nzito
Tatizo serikali huwa haimuendelezi mwenyye kipaji. Bali inadili na mwenye cheti anapewa ajila kwa mzunguko wa kutosha. Laiti wangedili na vipaji Tanzania tungefika mbali sana. Kuna watanzania wanaweza kufanya mambo makubwa. Laiti wakiwezeshwa Tz itakuwa na mambo makubwa. LAKINI! haiwezekani kwasababu wazungu hawataki tuzinduke. Laiti tukizunduka wateja wa bidhaa zao watapungua...
1
Mama na mimi naomba kazi jaman
Kwa pili ndio mgodi wangu wa kwanza kuzama upo blook d ni kweli alikua anazama sana wakati huo na maisha ya Mererani wakati huo hakuna kufatiliana kwa chochote
😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Mama anamiliki kitalu cha mgodi na hana simu ya kupangusa tena anawafanyakazi zaidi ya 70 ,,,mwenzangu na mimi tukipata million 2 tu chakwanza ni simu ya macho 3 tuwavimbishie wenzetu kitaaa,,,wanawake tujifunze kupitia mama huyu
😂😂😂😂😂😂😂
Hongera san wajina wang pili😂😂
🙌🏽
Mbona mjomba Hussein
Daah,,kweli ajionavyo mtu ndivo alivyo,,yaan mpak ana vindevu 😀😀
😂😂😂
@@mamags8828 nomaa 😂
kweli ww ni mama shujaa.MUNGU aendelee kukupigania
Uyu mama kanipa nguvuu yakujitafuta
Uyo mama ndowaamzilishi wa migodi mereran alikuw ni mnene uyo balaaaa sema mgodi wake niule wa zamani sasaiv aytoi ten mawe imebaki wanaesimamia wachina tu nasasaiv anaktu ten jmn dah
Ayo Tv huyu mama anapatikana wapi?
Mashaallah, ila nakuomba ujenge tena huo msikiti
My mama mpambanaji huyu inabidi tujifunz kwamama huyu
Pili Shayo Blok D
Hayo maxiwa uliyafanyajee
Msikilize anasema alikuwa mdogo mdogo matiti hayakuwa makubwa
Angekua magufuli ungeangaliwa
Mbn hujamuuliza wakati wa kujisaidia haja ndogo kulingana na mazingira ya kukaa na wanaume wengi ilikua anafanyeje?
Watu jamani mnauliza sijui maziwa hamjasikiliza interview amesema zamani hakuwa nayo Ayo maziwa amenenepa tu sasa iv baada ya kupata ela muelewe
Pili kaponzwa na tatu, ila huyu mwandishi anaboa maswali yake yanajirudia na wala haleng point
Mwanamke wa shoka ni huyu siyo hawa wengine wanaofuga makucha na kuwekwa makope na wanajiita super women
Wadada Wote mnaopanda juu ya meza wakati wa mitungi mnalakujifunza huko😂
Leo mtangazaji kuna kitu anawaza sana kichwa hakipo apo
Mbona anaonekana kabisa ni mwanamke
Apo sasaa😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😅naishia tu kucheka hakiii
Sasa mbona anamaziwa hawakujua kama ni mwanamke kivip
Kwani hawakuona maziwa na ulegevu wa makalio😅😅😅
Msikilize tena mbona yuko wazi kujieleza
❤😂
Wanawake wa shoka tuko wapi jmn.
Aliwahi kuhojiwa zamani
Nimwanamke jasori kweli
Mtangazaji unarudiarudia maswali sana.
Muda wa kukojoa ilikuajee
😂😂😂😂jmn ww
Siamn mm na siwezi kuamn matt2 unajua saut tu
Ni wapi na mimi niende nionganisheni basi na mimi🤦🏿♀️
Mtangazaji punguza kula nyama za uso zitafunika macho 😒😒😒😒
Nitakonda sanaa
@@godfreymillardayoripota3002 hapana yani upungue kidogo tu utakuwa poa sana
Nampongeza sa a huyo mama kwa kuoiga kazi na kwa yeye ni mwanamke lkn na akajulikana kama mwanaume ni vipi alifany matiti yake yasionekane?naomba kuuliza hilo mwandishi na pu mm naona sura yake imekaa kike kabisaaa 😂hongera sn mama!! Ninaomba tu kujua hilo!!!
Halikuwa mdogo maziwa alikuwa Hana sikizeni vizuri
Bado nauliza, nhonho alizipeleka wapi kipindi iko chote?
Sasa hayo maziwa walikuwa hawayaoni
Mtangazaji vip au nini tatizo
Huyu ni mchaga
Sio mchaga tu.sema mchaga OG
@@joramkimario9321mtu wa Singida huyo
Nyonyo alizipeleka wapi?
Msikilize vizuri anasema alikuwa mdogo mdogo matiti hayakuwa makubwa
Sasa watu hawaoni ma nyonyo jmn?
Wachaga noma
Sio mchagga ni mtu wa Singida
Wahuni waliamua kumkaushia tu apate ridhki,sio km hawakumjua 😂😂
Kweli 😂
Mwanaune jifanye mwanamke ,Uitwe shoga
😂😂😂😂😂 mecheka kwa saut
Dah! Kuna maswali natamani kupata majibu yake..
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni
Maziwa vipi ilikia unayaweka wapi Huseni?
😂😆😆😆😅😅😅
Lakini hii story siwezi kuiamini 100% kuwa watu hawakujua kama ni mwanamke!. Ni jambo gumu, mwanamke kuchanganyika na wanaume tena kwenye mgodi!?. Eti kakamatwa na serikali ndipo wakajua kama ni mwanamke kisha wakamrudisha hawakumtoa. Eti marafiki zake walikuwa wanaume. Halafu wasijue kweli!?..
Kwaza kama uyu mama kujulikana nirahc sana Kwasababu anamaziwa mkubwa lazima ajulikane tu
Hapo kadanganya
Ni kweli mm nipo mererani
Walimnyamazia tu wafanyakazi wenzie kwasbb ya maisha lakin walijua sana tu kuwa yey ni mwanamke
@@rqiyaabdallah840 hapana, kuhusu matiti haya ni ya uzeeni. Yeye anazungumzia alikuwa mdogo sana msikilize vizuri. Tatizo linakuja alipouliza alikuwa kesha zaa akajibu ndiyo alikuwa kazaa mtoto mmoja. Itakuwaje mwanamke azae halafu asiwe na matiti ya kuonekana!?. Hatakama alikuwa mdogo kwakuzaa tu matiti lazima yaje kiasi cha kuonekana.
Mwanamke mwanamke kwanza kipini pili hata mwendo tatu hajakakamaa nne labda hamba storie Leo mmepuyanga
ua-cam.com/video/2ApvlC1If1c/v-deo.html
True story
Wamepuyanga haswaaa
@@joesimba hehehehe
Duu hapo bado sijazaliwa
Sasa maziwa yalihama au
Hao watu ni wapumbavu tu maana maziwa hayo yote unashindwaje kumjua
Kipindi hicho alikiwa bado mdogo
Alikuwa anapelekewa moto na nani sasa miaka yote hio?
Au ndo alikua mteja mzuri wa matango gengeni 🤔
Watu hawajamtambua kwa vipi mbona maziwa nayaona au macho yangu?
Atakuwa Aliyabana kwa fundi maziwa🤣🤣🤣
Maziwa makubwa yote ayo wasijue😅
Anasema alikuwa kadogo hana manyonyo alivopata miela yake nais ndo manyonyo yakaja😅
Msikilize vizuri anasema alikuwa mdogo mdogo matiti hayakuwa makubwa
Wee Si umezaliwa miaka ya 2000