I connect to this man's of God great annoiting know and I receive it with a powerful faith to manifest in my soul, spirit,mind, heart even my entire being,Apoweful message to us be blessed from Nairobi Kenya
AMEN AMEN AMEN I will not complain again , from now I will start praising God for every situation , am so blessed powerful message , God 🙏 bless you pastor
asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri sana te sana ambao umefika kwa mda wake .ila nina ombi tafadhali,mtumishi,si furahishwi na utumiaji wa simu mazabahuni,pahali pa biblia.ila samahani sana baba mtumishi.ktk jina la Yesu uni samehe sana.
Hili somo limefanya Nipige hatua ambayo nimwaka ss nilikuwa nimeshindwa kuwa na maamuzi, ila nilipockiliza hili somo namshukru Mungu nimefanya kile nilichokihofia nasas Nina Aman moyoni mwangu, Mungu aendelee kuktumia ili niendelee kupiga hatua zaidi, Barikiwa san pastor.
Mungu Awabariki saana Pasta Mmbaga kwa huduma uliopewa na Bwana Mungu wetu Baba wa mwokozi wetu Yesu Kristo. Mimi nipo Bujumbura ila nahitaji saana kuwa mwanafunzi wako ila sijuwi itawezekanaje, mahubiri yako yananijenga truly speaking
Mungu akubarik Sana mtumish kwa neno zur na maombi Kwan nguvu ya Mungu imenishukia nikiwa nyumbn lakn niliamin kutoka ndan ya moyo wangu naenda kupokea muhujza wangu, nayo imekua naamin Mungu anaenda kujibu Zaid y niombavyo katika jina la Yes kristo, lakn nilitaka kujua unapatikana wap maana natafuta kanisa la kiroho lenye nguvu za Mungu muhumba mbingu na nchi, nikaabudu naomba kujua upo wap, Asante.
Kuna mtu mmoja alinifanyia uchawi hahaha ila nikampuzia. Jamani alinisemea ubaya wakati saa hii ananitegemea kwa kuniomba nimsadie. Wala sijachukia nimemsamehe nikampuuzia. Aliniambia sitofanikiwa yeye ndiyo hajafanikiwa. Somo nimelipenda sana..
Amina nami naamini mlima wangu Mwenyezi Mungu ataniondolea naiombea Familia niondolee pepo wanaosumbua watoto wangu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth
Nimejikuta nakuombea maisha marefu pastor maana wewe ndio mfariji wa wengi hasa mimi...Uishi maisha marefu ili uendelee kuongoa roho.....barikiwa
Pastor Mmbanga Mungu wa Ibrahim akupe maisha marefu
Nimebarikiwa kwa fundisho bora la Yesu Kristo. Mchungaji, Bwana akubariki Sana,in Jesus name
Mungu mbarikiwe Mtumishi wako ana tubariki sana! Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Powerful word💪 be blessed servant of GOD
I connect to this man's of God great annoiting know and I receive it with a powerful faith to manifest in my soul, spirit,mind, heart even my entire being,Apoweful message to us be blessed from Nairobi Kenya
Hdhhdhfh
Amen 🙏🙏🙏 very impressive.... I thank God for this inspiration, blessed
Watu ambao nataka waokolewe. James,chritine,Paul Peter George Brian, Magret secila Adrian
87
I missed these kind of preaching aisee, Yaani nafanya kazi hapa na kula madini ya bureeee kabisaa
Amen
Asante Pr Mwenyezi Mungu akuinue ktk vilele vya mafanikio ,akushike viganjani mwake .songa mbele ktk jina la Yesu.
Amen saraha kali hiyo asante
Thanks pastor be blessed & continue with the work of God
👏👏🙏🙏❤️♥️Ubarikiwa AMEN AMEN.
Amen Amen hili neno limenigusa asante Yesu
Barikiwa sana mtumishi .Mafunzo yako mazuri sana ukweli kabisa yamenibadilisha
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU nipo na barikiwa sana na mafudisho yako❤
AMEN AMEN AMEN I will not complain again , from now I will start praising God for every situation , am so blessed powerful message , God 🙏 bless you pastor
Asante mchungaji kwa mafundisho yako mazuri hakika ni naenda viwango vaya juu katika imani, ubarikiwe zaidi
asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri sana te sana ambao umefika kwa mda wake .ila nina ombi tafadhali,mtumishi,si furahishwi na utumiaji wa simu mazabahuni,pahali pa biblia.ila samahani sana baba mtumishi.ktk jina la Yesu uni samehe sana.
Thank you so much man of God. I'm blessed.🙏🏾
Amen Amen Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Mungu akubariki sana Pr,akufanye uwe baraka kwa mataifa
Amina .barikiwa xn pastor
Ubarikiwe Sana mtumishi kwatupatia haya mafundisho mazur 🙏
Ubarikiwe mtumishi wa mungu aliye hai tupate wapi watumushi kama hawa wanao lisema neno kama lilivyo JEHOVA asnte
Amen Amen.
God bless you Pastor.
Am blessed through listening to you.
Am healed in the Name of God
Hili somo limefanya Nipige hatua ambayo nimwaka ss nilikuwa nimeshindwa kuwa na maamuzi, ila nilipockiliza hili somo namshukru Mungu nimefanya kile nilichokihofia nasas Nina Aman moyoni mwangu, Mungu aendelee kuktumia ili niendelee kupiga hatua zaidi, Barikiwa san pastor.
Mungu akubariki sana
Aminaa
Shimwe Kagwiza
@@godfreymwacha9701 nambie
Mungu Awabariki saana Pasta Mmbaga kwa huduma uliopewa na Bwana Mungu wetu Baba wa mwokozi wetu Yesu Kristo. Mimi nipo Bujumbura ila nahitaji saana kuwa mwanafunzi wako ila sijuwi itawezekanaje, mahubiri yako yananijenga truly speaking
Amen Amen
mungu okoa dada na wadgo nakaka pia uniponye
Mungu akubarik Sana mtumish kwa neno zur na maombi Kwan nguvu ya Mungu imenishukia nikiwa nyumbn lakn niliamin kutoka ndan ya moyo wangu naenda kupokea muhujza wangu, nayo imekua naamin Mungu anaenda kujibu Zaid y niombavyo katika jina la Yes kristo, lakn nilitaka kujua unapatikana wap maana natafuta kanisa la kiroho lenye nguvu za Mungu muhumba mbingu na nchi, nikaabudu naomba kujua upo wap, Asante.
Nipo DODOMA karibu sana
Wafuga majini,, waganga na wachawi hamjachoka kugonga dislike kwa mafundisho ya yesu kristo yaani mnachomwa na Moto wa yesu 😂😂😂😂😂
😂😂😂
😅555555555555555@@karlgabrielwilfredkalivuba927
Jambo Mwalimu asante sana kwa ma ubiri Mungu aku bariki sana
Ubarikiwe sana mchungaji, maubiri yako inatujenga sana.
Kuna mtu mmoja alinifanyia uchawi hahaha ila nikampuzia. Jamani alinisemea ubaya wakati saa hii ananitegemea kwa kuniomba nimsadie. Wala sijachukia nimemsamehe nikampuuzia. Aliniambia sitofanikiwa yeye ndiyo hajafanikiwa. Somo nimelipenda sana..
Watching for the second time. The message is great,i shed tears . I have to come and listen again. Barikiwa sana Pastor
Im here my sister .
Am glad dear. Barikiwa pia
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA.
Naangusha rasha Rasha za Makofi hapa 👏👏👏👏👏👏✊✊✊✊✊Mafundisho dhabiti💪💪👌👌👌👌👌💯💯💯💯💯🌹🌹🌹🌹🌹😇😇😇😇😇😇
AMEN AMEN a strong teaching and understanding God bless you
Amen
Amana
Amana
Jembe la Kristo wewe kweli ni vizuri kuwa na maandiko matakatifu tafsiri zote ikiwezekana.Amina
Nimebarikiwa nkiwa Kenya...Mungu akubark sana Pastor.....Kumbka familia yangu ilio kosa amani umoja wala upendo ....nkumbke npate kazi.
Mchungaji Mungu akubariki sana kwa huduma kubwa nina homba msahada wa mahombi kwa jili ya mama yangu anadumbiluwa na nguvu za kichawi.
Mshukuru Mungu kwa hali hiyo nawe utapona
Ubarikiwe mchungaji
Mungu akubariki sana pasita kwa mafundisho manzur
Somo lina upekee.Hongera Fundi Mitambo,sauti imetulia vizuri alna iwe hivi Kwa masomo yote.
Mungu akubarikie na Kukulinda mtumishi
Mwenyezi Mungu atukuzwe milele na milele . Mwalimu umefundisha vizuri Sana Yesu aongenze tena na tena ili watu waokolewe .
Thank u pastor God bless u
May God's blessings come into your house because you were really given knowledge
Mungu akubariki pastor
Amen powerful message , watching you from South Africa Johannesburg
Hello dear how are you doing today? May I please get your email there is something I want to ask I'm here in Tanzania
Amina hakika nimebarikiwa sana na shetani ameshindwa katika Jina la Yesu hana nafasi tena katika maisha yangu Yesu amemiliki iyo nafasi
Jamani haya mafundisho yamenikujia tu mmi nimekua mtu wakulalamika Mungu anisamehee 😭😭😭😭kuanzia sasa nitaanza kusifu Mungu eee Yesu nisaidie 🙏🙏🙏
Powerful message
Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kusikia na kujifunza neno hili la ukombozi maishani Mwangu,,,MUNGU NI MKUBWA ❤🙏MUNGU NI MKUU
Mungu akubariki Sana pst hili somo waaah linahitaji ufunuo WA ndani sana
God bless you servant of Almighty God
Ubarikiwe Sana nimepokea kitu kwa jina la YESU.
Barikiwa mtumishi nimebarikwa sana
Thanks pastor david
Amen,welcome Kenya
Nashukuru sana kwa mahubiri mazuri kwamba tumpige shetani kwa kusifu Mungu, badala ya kulalamika tu.
Amen ,, MUNGU AKUBARIKI NA AKUJAZE NGUVU ZA KU AMINI
Somo hili limekuwa faraja kwangu Asante Mungu kwa Mahubiri ya mchungaji Mmbaga Mungu Nitetee ktk maisha ya mwanangu.
Waoh am blessed.Watching from Bahrain.
Amina mtumishi wa Mungu wa mbinguni,nimeouona mkono wa Bwana kupitia mafundisho yako! Ubarikiwe sana kwa jina la Yesu kristo, Amina!
Amen. The best preaching
Asante mungu
Barikiwa sana Mlokole wa SDA
Great teaching,God bless you man of God
Neno nzuri Sana.Am blessed.Amen
Asate mutumishi wa mungu mafundisho mazuri san ❤❤❤😊😊😊
Fundisho lako mchungaji limenipa ujasiri tena wakusimama,,,,yesu atusaidie sana🙏
Barikiwa Sana pastor mbaga Kama Mimi nibarikiwavyo na mahubiri yako.Naitwa Agnes Eunice nakupata vizuri tokea mkoani mbeya.amin
Napokea maneno haya ya ushishindi nashukuru Ee Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako nimefunguliwa kwa jina LA Yesu Kristo ameniii
Rafiki mupezi nisaindie n'a Na MBA ya psta mbonga
Naomba namba ya wtsp
Amina nami naamini mlima wangu Mwenyezi Mungu ataniondolea naiombea Familia niondolee pepo wanaosumbua watoto wangu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth
Ubarikiwe pst naomba Sana utuombee kwenye kesi ya shamba imefanywa more than 30yrs lakini tuna imani tutashinda
Mungu asimamie haki itendeke
Amen balikiwa sana mtumishi wa MUNGU BABA wambinguni
Asante sana mtumishi Wa Mungu Barikiwa sana
Amen Naamini katika jina la 𝗬𝗘𝗦𝗨 𝗞𝗥𝗜𝗦𝗧𝗢 🙏🙏
amen mungu akubariki sana,
Ubarikiwe sana pastor kwa mafundisho mazuri
Mmmmm
Amen limenichomaaaaa
Saaaaaana
Amen. God continue to guard you.
Ahsante Mchungaji kwa somo zur Limenpa kitu kipya, Mungu azid kukutia Nguvu katika Mahbiri yako tzid kjifunza zaid
mtumishi barikiwa sana
Barikiwa Pastor; Ujumbe uliomo katika somo hili una nguvu kwelikweli
PR ubarikiwe na Bwana adumu kukutumia your my ever favorite PR
Amen
@@MahubiriPrMmbaga Napokea neema ya bwana yesu kristo.
Ubarikiwe pastor kwa mahubiri mazuri, ombi hilo la mwisho limenitoa kifungoni.
Mchungaji mungu akubaliki napenda sana mahubili yako
Amen nimebarikiwa sana pastor asante
Ubarikiwe sana
Amen! thanks be to God!
maubiri yako naielewa sana. barikiwa
Ameni Ameni pastor
Ubarikiwe sana❤
Amen pastor nashukuru nimepona Mungu akubariki maana nimekuwa wa kulalamika sio kuomba
Mungu akutumie. Maana tunabarikiwa mtumishi wa mungu
Mariko Mariko Mariko. alikimbia usiku Yesu alishikwa akiwa uchi. Mariko oooo Mariko
Amen
kweli baba neno ni kwa ajili yangu ubarikiwe mtumishi wa BWANA
asante baba naomba niombee niombee nipate Ada ya chuo
Mungu akutendee muujiza
Ameni BaBa nimepokea nasubiri kupokea ili ikawe ushuhuda kwangu na kwa wengine.
Nimebarikiwa kwa somo lako. Amina
Hili somo limenibariki sana Mchungaji Mungu akubariki sana
Yesu ameniponya kupitia somo hili
Amen...MUNGU akubariki mch
Somo zuri
Amina, barikiwa Pr.