km ni ndugu haina neno lkn km ni kikazi bac yule mtoto kapoteza sana mn ilikua tokea wanaanza walikua wamfungulie UA-cam account saiv angekua ashakua na tunzo zake
@@yakfizahran4536 swali lako sana hizo plaque za UA-cam haziuzwi kuna video niliiyona mtandaoni marekani kuna jamaa alifikisha subscribers million 10 UA-cam ikamtumia akaendanayo kwa sonara kuiuza wakamwambiwa haina thamani yoyote sio madini yule akasema hata dola 20 sipat wakamjibu hawawez kununuwa haina thamani yoyote
Ongera Sana Kaka Angu nakupenda na nitaendelea kukusupot kwasababu kazi yako Ni nzuri 🤣🤣 Kama kawaida yako ety siwez uza, na kimbia Kama siku hile🤣🤣 Ongera Sana MUNGU AKAWE MDHAMIN WAKO katika kazi yako Wory out million Kumu inawezekana don't giveup 🤚
Ahsante kushukuru ndugu yangu ❤❤❤
Congratulations from Swiss Bro sisi iko penda wewe toka ulaya
Congratulations bro🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sky is the limit.
Hongera sana Steve na team yako kwa ujumla. Bidii zaidi kwakweli zinahitajika
Hongera sana my fav. Guy STEVE MWEUSI nami pia nko na furaha sana kwamba kumona umepewa zawadi my guy kusema ukweli you deserve it HONGERA...STEVO
Hongera kaka nakupenda sana wapi likes za wakenya hapa🙏🙏🙏💝💝
Hongera Steve mweusi ni kawaida yetu kuunga mkono wasanii wetu popote walipo 💛💚💪🇹🇿🇦🇪
Congratulation 🥰🥰🔥🔥 hongera sana Steve na team yako ukiwa na dogo sele
Hongera endelea kuwa mbunifu zaidi sisi tuko nyuma yako 👍👍👍👍👍👍
Umestahili kamanda we ni mbunifu big up👍👍👍👍👍👍👍
hongera sana kaka mm ni Said yahya kutoka Zanzibar
Hongera sana Steve
Mungu akipenda tutakupeleka mpaka 10m in sha ALLAH
Ww unaweza mwenyezimungu atakusimamia kwenye maisha yako steve mweusi
Hongera mz baba🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯💪💪💪🙌🙌🙌🙌
Hongera sana Steven.....mm naendelea kukuunga mkono .kk kwasabu napenda kazi zako
Hongera Steve ni kazi yake Mwenyezi Mungu, akutendee na akujalie mema
Hongera team yote ya Steve endeleeni na kazi nzuri Mola awe nanyi kazeni buti maisha ndio hayo sasa 🤗🤗🤗🤗🥳🥳🥳🥳❤❤❤💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺
Congratulations Steve, même aussi nous le congolais nous sommes contents
Congratulations Steve from 254 your number one fun 👏👏👏👏👏👏👏
Hongera sana umepiga kazi keep it up na mafanikio mema
Safi uko vzr kwa kuwalipa wefanyak ndio sababu Mungu anakula zaidi
Congratulations sir....God bless you my dear brother we love you
Hongera sana mzee baba nakufuatilia sana video zako nikiwa Kenya
Hongera sana ,mwenyezi mungu Aendelee kukubariki🙏🙏
Waoow hongera Sana Steve 👏👏🤝
Hongera sana styve mweusi nakupenda sana
Hongera sana stive mweusi kwa kazi yako.
Congratulations bro
Ongera majina wangu ,nakutia moyo toka congo🎉🎉🎉🎉❤❤
Hongera sana aisee unastahili hyo tuzo
Hongera sana na Mungu akupe kibali usonge mbele zaidi
Hongera sana ❤️ brother force à toi on est ensemble 🇨🇩🇨🇩
Maashaallah
Waoooo hongera stivu🎉
Hongera Sana Somo Langu Steven
nampenda sana stive ni muwazi sana watu kama hawa huwa siyo wachoyo
Hongera sana Steve naomba kujua Sele ni mwanao wa damu?
❤❤❤❤❤❤❤Nakupenda sana mimi
Unahistahili Hongera 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Hongera san steve nakufatilia san nikiwa maswa simiyu Tanzania
Hongera bro utusupport pia sisi uko Tanzania #kenya tunawapenda
Congratulations
Maashaallaah mungu azidi kukubarki
Hongera mtu wa Mkulanga! Na ujue Bado nataka kuja Mkulanga ❤
Hongera ila vp Mbona dogo Sele hakuwepo kaka kazi zote mlofanya dah! Skupenda
Yupo shule ila akirudi anampelekea kumuonesha
Bongera sana mpambanaji
Hongera sana brooo mungu akubariki sana 😘😘🙏
Hongera sana brother,Nafurahishwa sana na vituko vyako.Mungu akufungulie milango zaidi kaka.
congratulaion brother💖
Congratulations hard work pays wishing you and your team the best.
I come from DRC munyamulenge we love you Steve mweusi
Ongera sana Kaka Steve Hakika Unapambana Sana Sanaa Sanaa Big up
Cogratulations indeed Steve mweusi
Hongera sana mr. Steve. Endelea kutupa burudani
Hongera sana kaka mungu akuzidishie
Hongera Steve nweusi....leo ndio tumeona faida ya kukusapoti .
Nivizuri kushukuru tubopamoja 100/100 sitive tumikasana nabingine bitakuja mimi mufana wako bujumbura mungu akongezeye siku zakuishi uzidi kudufurahisha bujumbura burundi
Hongera Sana..👊
Pongezi sanaa kwa kazi nzuri
Hongera Kaka 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🥂🍾🍾
Congratulations to you brother you deserve it ❤❤❤unajua na unajua tena
Hongeraaa kaka twakupenda sana
Amazing,,, keep up the good work
hongere steve mweusi from burundi
Hongera sanaaa steve jmn
Hongela Sana Never ge up
Mashallah tabarakallah
Congratulations brother keep it up✊
congratulation..............................
Félicitations pour votre choix 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hard work pays,good job ,from🇰🇪
Hongera sanaa mwamba
CONGRATULATIONS STEVE USIMSAHAU DOGO SELE KAKUENUA KWAKWELI ALL THE BEST BRO AND BE BLESSED ALL OF YOU GUYS.
km ni ndugu haina neno lkn km ni kikazi bac yule mtoto kapoteza sana mn ilikua tokea wanaanza walikua wamfungulie UA-cam account saiv angekua ashakua na tunzo zake
@@zuleikhakhamis3303 kweli zulekha
Hongera najivunia sn
Congrats bro.. kazi safi unafaa tuzo kaka
Hongera sana mweusi stive
Hongera stive🎉
Hongera San steve mweusi
Hongera Sana stive
Ongera sana mwamba...Mungu akuzidishie
Good 🙏
Mungu akutangulie bro stev
Hongera sana kaka Steve mweusi 👍👏🔥🙌
Hiyo sio GOLD na wala haina thamani upande wa mauzo
@@rubenprince8990 kwani zinauzwa izoo mbona naona kama mbao
@@yakfizahran4536 swali lako sana hizo plaque za UA-cam haziuzwi kuna video niliiyona mtandaoni marekani kuna jamaa alifikisha subscribers million 10 UA-cam ikamtumia akaendanayo kwa sonara kuiuza wakamwambiwa haina thamani yoyote sio madini yule akasema hata dola 20 sipat wakamjibu hawawez kununuwa haina thamani yoyote
Ongera Sana Kaka Angu nakupenda na nitaendelea kukusupot kwasababu kazi yako Ni nzuri
🤣🤣 Kama kawaida yako ety siwez uza, na kimbia Kama siku hile🤣🤣
Ongera Sana MUNGU AKAWE MDHAMIN WAKO katika kazi yako
Wory out million Kumu inawezekana don't giveup 🤚
Hongera steveeeee nakupenda saaana
Hongera Stivu
Hongera steve mweusi
keep it up buda
Mwamba nakupata sana mungu akubaliki sanasana
Congratulations Steve.
Congratulation🤣💕💕🔥🔥🔥
Hongera Sana kijana
hongera steve,hata kazi zenu pia ni nzuri unatu furahisha wengi japo kuwa tukicheka huwa hutuoni.
MUNGU Akubariki sana Steve
Hongera sana jamaa. Tupo poamoja. Ukaze zaidi sasa.
Hongera sitivu
Ongera sana❤❤❤🎉🎉🎉
Mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza vyema
Hongera,sana,kaka
Hongera sana Steve nakufuatilia sana