MELI KUBWA ZA ZIDI KUTIA NANGA BANDARI YA DSM, MKURUGENZI TPA "TUMEKWISHA HUDUMIA TANI MILIONI 12"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 31

  • @samsondavid7350
    @samsondavid7350 Рік тому +2

    Kazi nzuri sana pongezi kwa serikali yetu pendwa

  • @zikramussa2366
    @zikramussa2366 Рік тому

    Ufafanuzi mzuri, ni neema kubwa kuwa na viongozi bora kama hawa wazalendo na wenye kuiinuwa inchi kiuchumi allah akuzidishie baraka , chapa kazi kijana❤

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Рік тому +2

    Congratulations rkn bado port inazidiwa ongezeni bidii yaufanyaji kazi

    • @Optionxll_Playz1
      @Optionxll_Playz1 Рік тому

      Kwanini bandari ya Tanga hazipanuliwi na Mutwara? Ili zisaidie Bandari ya Dar ?

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 Рік тому +2

    Changamoto kubwa ni kwamba mnajisifu kufanya kaz lkn Kuna meli zimetia nanga Zina mwezi 1 Sasa hazjashusha mizigo hii ni aibu kubwa wafanya biashara wanalalamika mnawapa hasara hvyo ondoen urasimu kuweni wazalendo wahurumien watanzania wenzenu

    • @dickchambilo9138
      @dickchambilo9138 Рік тому

      Ongeza sauti, wasitudanganye tunaona meli zimeganda baharini, na wateja wanalalamika kuondoa mizigo yao

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o Рік тому

    Meli nyingi zann tunataka fedha Za nchi sio meli nyingi

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o Рік тому +1

    Znalipa kodi? Huu ushenz magufuli alitufungua akili

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому

    Huyu mkurugenzi mbn hatumuelewi? Meli zimejaa nje ya bandari hazishushi kabisa na mizigo haitoki bandarini yy anatuambia vitu tofauti dah

  • @tobimwinyi8856
    @tobimwinyi8856 Рік тому

    Kazi iendelee...

  • @vedastusmalimi5176
    @vedastusmalimi5176 Рік тому

    Mkurugenzi Gani hajui Hata kujieleza kitaam. Atakuwa ni wa mchongo huyu.
    Angeelezea ufanis na tunafaidika vpee na wingi wa mizigo hiyo!?.
    Mwarabu ndo ananufaika ee

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 Рік тому +1

    Hawa jamaaa hamna kitu meli imefika tareh 17 mwz wa 12 mpak leo mzigo haujaingia godown la silent ocean

    • @Optionxll_Playz1
      @Optionxll_Playz1 Рік тому

      Wangepanua Bandari zote Tanga na Mutwara ili zisaidie Bandari ya Dar

  • @ahmed-shakirmwamba4992
    @ahmed-shakirmwamba4992 Рік тому

    Bandali ya Dalesalam , Bwawa la mwalimu Nyelele. Kichefu chefu. Uchafuzi wa Lugha. Shida iko wapi R inakuwa Changamoto.??

  •  Рік тому +1

    Pembe basketball team #145,#0047

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Рік тому

    Meli.zinakimbia HAMAS,houth,n.k.Kwao zitatekwa

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Рік тому

    Watanzania au waarabu semeni tu

  • @SalimSaid-k3z
    @SalimSaid-k3z Рік тому

    Kumbe twawexa lakini .................inchiyetu wote

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Рік тому

    Panueni Bandari zote Tanga na Mutwara pia kuna shida gani lakini inchi mbona munakuawaga munangangania bandari moja ??

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому +2

    Uongo mtupu

  • @nazandele5553
    @nazandele5553 Рік тому

    Nakupata milady Ayo

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Рік тому

    SS atuna aja na vyombo vya habari tuna aja na maaendeleo ukifanya vzr tutakuona tu ss tunaakili ww fanya SS tutakuona tu akina aja ya akina milad ayo tutakuona

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @SalimSaid-k3z
    @SalimSaid-k3z Рік тому

    Usiuze basi bandari

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому

    Tunajua hii mnataka kuifanya kuwa Kiki ya kisiasa ccm out😮😮

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Рік тому

    Izo data zako SS zilitupunguzia kod et SS wadogo zilitusaidia nn et kwetu SS je umeme haukatiki mafuta yameshuka bei SS maisha yetu inatusaidia nn

  • @allykassim6046
    @allykassim6046 Рік тому

    Hi inchi hii mmmh acha nipite tu

  • @AbdallahMjegere
    @AbdallahMjegere Рік тому +2

    Acha kuongopa wewe

    • @samsondavid7350
      @samsondavid7350 Рік тому

      Yupi sasa hapo anayeongopa? Reporter au aliye comment

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Рік тому

    Sasa mnapotaka kuwauzia watu unawauzia watu kitu Cha mkakati