MTANZANIA ALIPA MILIONI 11 KUSAFIRI NA MELI KUBWA DUNIANI, INAPITA NCHI 6, INA MSIKITI KANISA, HOTEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 144

  • @ChristianKiponda-d7e
    @ChristianKiponda-d7e Рік тому +1

    Tanzania tununue meli ya Abiria, Ianze safari za Dar-es-salaam, Zenj Err Barr (Zanzibar), Maputo Mozambique, Port Elizabeth, Cape Town, Durban Natal, Mombasa, Djibouti, Karachi, Pakistan, Mumbay, Calcutta, Singapore, Bankok Nk, Hili jambo linawezekana, Zanzibar kulikuweoo Mv Mapinduzi ilikuwa ni Passenger, Lazima tuamini ya Kuwa Inawezekana.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому

    Asante sana Rais wangu Samia kwa kazi nzuri.Kwa kweli unapewa maua yako. Kwa kweli🙏🙏👍👍❤❤❤

  • @davidmakange4296
    @davidmakange4296 Рік тому +3

    Meli kuwba ni Icon of the sea, inabeba watu zaidi ya 7000. Kuna Symphony of the sea, wonder of the sea.

  • @MosesMajani-h8t
    @MosesMajani-h8t Рік тому +1

    hongera DP WORD

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому +7

    Ndo tunaingia hapa kwenye meli,,, see you soon Tanzania

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Рік тому +6

    Wazanzibar Oyee Mlandege Oyeeeeee ❤

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Рік тому

    Kazi nzur ya mama Samia hakika kaitangaza Tanzania vema,. Allah amjaalie mazur na amlinde❤

  • @allycomm1553
    @allycomm1553 Рік тому +2

    mbon huyu captain anafanana na yule wa kwny TITANIC!

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 Рік тому +36

    Hizo ndo bata sio vijitu vinaenda kigamboni vinajipiga picha kwenye vimitumbwi vya kuvulia pweza nakujipiga picha nyiingi

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 Рік тому +2

      😅😅😅

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Рік тому +1

      😆😆😆🤣🤣🤣🤣

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@shyfettymtunda4619 mashauzi maana hadi ngalawa zinaitwa yatch sku izi wabongo mbwembwe sana kwenye Maisha yakuigiza

    • @stemarcely7493
      @stemarcely7493 Рік тому +1

      Umejua kunichekesha...😂😂😂

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb Рік тому

      @​@@shyfettymtunda4619naona umefurahi na wwe.ushipanda hio meli 😅

  • @SherryFadhil
    @SherryFadhil Рік тому +5

    Sipandi ata siku mojaa naogopa😢😢😢

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Рік тому +8

    Hili dude leo saa 12 asbh nimeliona bwana pale feri ndolinaelekea kupaki weee nikajua mafuriko jmn kubwa hilo mpk raha

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb Рік тому

      @Zuwena salim2794 nenda ukalitembelea

    • @henrymmbaga8448
      @henrymmbaga8448 Рік тому

      😂😂 Mimi niliiona jana majira ya saa moja na dk30 hivi usiku nikiwa ferry, nilikua busy na mambo yangu ghafla nageuka kuangalia upande wa baharini, nilistuka sana maana nilihisi kama ghorofa lipo majini linatembea😅😅 kwakweli nilikua surpprised sana.
      Ila jamaa wana meli kubwa na nzuri

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb Рік тому

      Mm nishelipanda mwaka jana

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb Рік тому

      @zuwena salim2794 mm nishelipanda mwaka jana ww upo wapi?

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 Рік тому

      @@Ali-uh9wb 😂😂😂😂😂hukuniona pale kwenye swimming

  • @salcle9702
    @salcle9702 Рік тому +5

    Taifa lijjenge bandari kwa ajilili ya utalii kama huo mda siyo mrefu meli na privet boat zitakuja mingi

  • @simonbakari8459
    @simonbakari8459 Рік тому +5

    Hiyo meli urefu wake ni sawa na viwanja viwili vya mpira wa miguu na si zaidi ya vitatu

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Рік тому +1

    KAZI iendelee

  • @Psychology-all
    @Psychology-all Рік тому +1

    Kazi iendelee 😊

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Рік тому +8

    Ninavyoogopa bahari mimi,hasa zile storms!!Wueeh 🙌
    Wale tu hizo bata zao.

    • @christianosimba
      @christianosimba Рік тому

      Pole sn beautiful nitakuja kukuchukua nikija bongo sawa love

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Рік тому

      Lol 😂😂😂🙌

    • @eliadaniel216
      @eliadaniel216 Рік тому

      Usiogope mbona Raha TU Anza kuanda lile pantoni mdogo mdogo utazoea mamaae

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 Рік тому

      @@eliadaniel216 Panton siogopi.Shida ni ile kusafiri wiki mbili au hata mwezi mzima mpo tu baharini.Kuna muda bahari inachafuka nyie,yani bahari inakuwa na hasira na ghadhabu.Chombo kinabinuliwa hivi mara vile.Jamani hapana kwakweli.🙌

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 Рік тому

      ​@@shyfettymtunda4619usijali chagua fukwe yoyote duniani apa twende tukaponde Raha mtoto mzuri,usiogope🤔🤔🤔

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Рік тому +2

    Respect Zanzbar 🙌 🤲 🙏 🙌 ❤

    • @Worldunite
      @Worldunite Рік тому +1

      Mbona haikutia nanga zanzibar?

    • @Zuu673
      @Zuu673 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂​@@Worldunite

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 Рік тому +1

      Respect Zanzibar kwa lipi sasa??ndezi mkubwa wewe😂😂
      Kisa huyo Mzanzibari kula starehe kwenye hiyo meli ndio unatoa respect we hovyooooo😂😂😂😂

    • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
      @AbdullaSeifKhamis-tv4zq Рік тому +1

      Ukisikia Comed disease ndiò hizo😂😂😂

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

      😂😂😂 Uliza ndugu walio kiwanjani Bara Ina Madaktari, wanasheria, MA Engineer, MA Nurse kibao lakini Tunasema Tanzania Oyeee acha wanao miliki truck companies yaani wabongo kibao hasa USA lakini tunasema Tanzania 🇹🇿 oyeee mi nilidhani unajisifu kaenda Hajj au Umra Waislam Mambo Leo

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Рік тому +1

    😂😂😂 ahsante capten,,,et kazi iendeleee.

  • @maxdesignspro
    @maxdesignspro Рік тому

    yupo wap hyo mtanzania

  • @AbelTweve-yq8xe
    @AbelTweve-yq8xe Рік тому +5

    Captain amepigaje apo mwishon,,,, KAZI IYENJLEEE 🤣🤣🤣

  • @thabitisendekwa
    @thabitisendekwa Рік тому

    duh tumepata bahati nchi yetu kupita meli kubwa kama hiyo najuwa serikali na wananchi wamepata chochote kupia hao wageni

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 Рік тому

    Hongera wazanzibari kumbe mko mbali rudini kwenu mje muijenge zanzibar msitanue tu huko

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs Рік тому

      Kwani wakija kuijeng Tanzania haiwezekan mbona kama wabinafsi sana nyie wa we ni

    • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
      @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Рік тому

      NDio walivyo Hao wazanzibar wabinafsi,,ata wakisafir hawasemi n watanzania et wanajiita wazanzibar 😂😂😂😂Sasa Oman ukija mtz unaamibwa intiii zenjibar yaan mpk nasikia hasira

    • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
      @AbdullaSeifKhamis-tv4zq Рік тому

      Wana ubinafsi mpaka Wapemba wamewatoa kwenye Uzanzibar niwao pekeyao saiv kwenye Zanzibar saiv utasikia Pemba na Zanzibar😂😂😂😂 kazi Ipo lakin watambue tu Wapemba ni watu wakarim sana

  • @davidmakange4296
    @davidmakange4296 Рік тому

    Ila wabongo tunapenda sana kuchomekeana. Hiyo meli katika meli za kitalii ni ya kawaida sana. Haiko hata top 10.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Рік тому

    Kwa hiyi kwako ni ajabuuuuuuu, kwa huyo bwana kusafiri na Meli.?

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 Рік тому

    Mashallah

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah Рік тому +1

    Na hii itazima sijaipanda kwel sikubali….

  • @EmanuelNicholaus-vn9gl
    @EmanuelNicholaus-vn9gl Рік тому

    Wazungu wanakula bata jamani

  • @ellymedia
    @ellymedia Рік тому +1

    Amefanana na naibu spika wa bunge

  • @sarahfesto8411
    @sarahfesto8411 Рік тому +1

    Captain amenifanya nicheke 😂😂

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani Рік тому +5

    Yaani majanga yanayoikuta Yemen yamesababisha meli nyingi kupitia huku Tena kubwa kubwa,maana Suez Canal imefungwa Sasa sijui tulie au tucheke sisi wa east Africa😂

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 Рік тому

    Aah we TITANIC dude la dunia bos wngu

  • @LeonardKasanjala
    @LeonardKasanjala Рік тому

    Duuu

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 Рік тому

    Wazee wa stowaway mko wapi chombo hiyo😅😅😅

  • @HamisiMakasara-hb3nt
    @HamisiMakasara-hb3nt Рік тому +5

    Watu wameshapiga 5, wewe unawaza Titanic!

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Yaani haka kameli ndo ajabu??? Mbona vado tuko nyuma saana, Bado tunaishi karne ya 16,
    Hakuna cha ajabu hapo hata km wangekuja na nyambizi ni jambo la kawaida tu 2:44 3:06

    • @jovitusykyagara2013
      @jovitusykyagara2013 Рік тому

      We fala kweli unaona wife hata kwa vitu ambavyo huwezi kuvipata kamwe!!?
      Utakufa maskini mbwa ee

    • @Worldunite
      @Worldunite Рік тому

      Nani mbwa?​@@jovitusykyagara2013

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Рік тому

    Dah alfu ina nguvu cheki inavokunja kona kama n boat ndg aiseee

  • @stimaonelifetz9233
    @stimaonelifetz9233 Рік тому

    Ila CCM washaweka kibwagizo hapo eti kaz....i indeleee😂😂😂😂

  • @esthermachangu4970
    @esthermachangu4970 Рік тому +2

    Mbona nimeogopaaa naona km titanic nyingine

    • @idrisakasuwi7865
      @idrisakasuwi7865 Рік тому

      mbn hiyo ndogo hiyo ni sawa na viwanja 2 vya mpira na nusu ya kiwanja

  • @MsafiriSafari-q6c
    @MsafiriSafari-q6c Рік тому

    Waswahili kwa kujifanya wanajua? Mijitu mingine hata zenji tu haijawai kufika. ...unayasikia ya kisifia mara kama viwanja viwili sijui vitatu...kwani alitemgeneza babu yenu

  • @kilimaentertainment1687
    @kilimaentertainment1687 Рік тому

    Mambo ya bandari

  • @shamimsianga1852
    @shamimsianga1852 Рік тому +2

    Mbona captain haojiwi anaongea tu mwenyewe? Nakuuliza wewe mwanahabari

  • @MrWima100
    @MrWima100 Рік тому +5

    Haya wale wakumponda mama mpo? au bado mnahitaji ufafanuzi?

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt Рік тому +1

      Huwezi kuwasikia kwani wameiona?!

    • @happynesssamwel2917
      @happynesssamwel2917 Рік тому +2

      Sasa hapo umefaidika na nini wewe kwahiyo meli???
      Bado tunahitaji ufafanhzi ndio
      Au hiyo meli niyakwetu????
      Pimbi kweli wewe

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt Рік тому

      @@happynesssamwel2917 Sio kosa lako, darasa ndiyo tatizo, ukikimbizana na chizi wewe mzima ndiyo utaoneka chizi, kasome elimu Bure ndipo utakapoelewa ulimwengu unaoishi unakwendaje

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Рік тому +2

      @@HamisiMakasara-hb3nt kwani hiyo meli itanisaidia nini hata kama nimeiona!!! Niambie wewe imekusaidia nini😓😓

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx Рік тому +4

      Hii nchii acha tu jmn😂😢 wajinga hamuishi tu sasa huyo mama ako amekunufaisha na nn hapa

  • @nurathabdu-ux1uw
    @nurathabdu-ux1uw Рік тому +1

    Niliiona nikiwa navuka zangu panton inatosha😂.oh

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Iyo Ndio Bata Kutoka Taifa Moja Kwenda Lingine Napia Ukiwa Na Jicho Lashetani Mpaka Majini Utayaona Baharini

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 Рік тому

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 Рік тому

    Kumbe inapita tu😢😢

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Рік тому

    Kula chuma hicho KIBARA 1.

  • @samwelmwigicho3092
    @samwelmwigicho3092 Рік тому

    Ndugu yake na ZUNGU