Sawa nitakuja kuwafahamsha mana ni swali ambalo waliowengi wamekuwa wakiniuliza. Kuwa karibu na channel yangu ili nitakapo upload video hio usiweze kupitwa.
Asante kwa swali lako, Khassim! Ikiwa unapata shida kukconnect kwa password ya Wi-Fi, hapa kuna baadhi ya vitu vya kuangalia: 🟢Hakiki Password: Angalia mara mbili kuwa password uliyoingiza ni sahihi. Ingiza tena kwa makini. 🟢Reset Router/Zima na uwashe wifi yako: Ikiwa unapata shida, jaribu kufanya reset kwenye router yako ili kuona kama password iliyowekwa inabadilika au la. Compatibility Issues: Hakikisha kwamba kifaa chako kinachukua frequency ya Wi-Fi (2.4GHz au 5GHz). 🟢Reboot Your Device/ Restart pc yako. Ikiwa tatizo lipo bado, niambie tu tufanye uchunguzi zaidi!
Kwenye Simu je unajuaie Mzee mwenzangu 😂😂😂😂😂
Sawa nitakuja kuwafahamsha mana ni swali ambalo waliowengi wamekuwa wakiniuliza.
Kuwa karibu na channel yangu ili nitakapo upload video hio usiweze kupitwa.
Me najaribu kukonnect pasweder inagoma sijui shida nini
Asante kwa swali lako, Khassim! Ikiwa unapata shida kukconnect kwa password ya Wi-Fi, hapa kuna baadhi ya vitu vya kuangalia:
🟢Hakiki Password: Angalia mara mbili kuwa password uliyoingiza ni sahihi. Ingiza tena kwa makini.
🟢Reset Router/Zima na uwashe wifi yako: Ikiwa unapata shida, jaribu kufanya reset kwenye router yako ili kuona kama password iliyowekwa inabadilika au la.
Compatibility Issues: Hakikisha kwamba kifaa chako kinachukua frequency ya Wi-Fi (2.4GHz au 5GHz).
🟢Reboot Your Device/ Restart pc yako.
Ikiwa tatizo lipo bado, niambie tu tufanye uchunguzi zaidi!
Kuitafuta kwa simu nafanyaje😢😢
Natuma video soon utaweza kujua jinsi ya kuona password katika simu yako.