Wewe ni mwalimu mzuri sana aisee ndivyo wanafunzi wanapaswa kufundishwa yani unajiona mwanafunzi utakavyokuwa na uelewa mkubwa. Ngoja niende kwanza nikasubscibe kabisa
Kwanza waulize ISP wako bando lako ni speed ngapi, wapigie huduma kwa wateja, kisha waambie speed yako wataizidisha. Ila kama unataka kuzidisha mwenyewe lazima kwanza ujue sababu ya tatizo, na kuna nadharia kadhaa: 1- Bando limeisha (Renew) au, 2- Kama ni Wireless itakuwa sehemu ulipo kuna vitu vinazuia signa kufika kamili (hakikisha uko sehemu nzuri) au, 3- Vumbi katika connector za waya zilizoingia au kutoka kwenye router (safisha vumbi) 4- Settings zimevurugika. (Fanya reset). Kama umefanya yote na bado twambie.
leo nimkuwa wa kwanza
Habar.jinsi ya kuunda wife voucher.tafadhali.👏
Somo zuri mwl nimelipenda
Mwalimu apewe maua yake @Nk be more than professional
Nimeyapokea hayo, asante sana sana tunataka tuwe zaidi yao.
Wewe ni mwalimu mzuri sana aisee ndivyo wanafunzi wanapaswa kufundishwa yani unajiona mwanafunzi utakavyokuwa na uelewa mkubwa. Ngoja niende kwanza nikasubscibe kabisa
Asante sana sana
Hapa pekee ndipo Kuna trick za huakika Tena zenye ufafanuzi kushindwa ni uzembe wetu wenye ila mwl kazi unafanya BARIKIWA SANA
Shukran sana ndugu, nyinyi ndinyi sababu ya ukinara wa NK.
Appreciate 👍
Thanks
Shukrani
Bro mimi nina smile 4G lte mifi R702 sijui jinsi ya kuilipia nisaidie tafadhar
Jiunge na group letu la WhatsApp.
Samahani mkuu mimi router yangu muda wote speed inasoma kb je nikitaka ifike mb upande wa speed natakiwa nifanyaje
Kwanza waulize ISP wako bando lako ni speed ngapi, wapigie huduma kwa wateja, kisha waambie speed yako wataizidisha.
Ila kama unataka kuzidisha mwenyewe lazima kwanza ujue sababu ya tatizo, na kuna nadharia kadhaa:
1- Bando limeisha (Renew) au,
2- Kama ni Wireless itakuwa sehemu ulipo kuna vitu vinazuia signa kufika kamili (hakikisha uko sehemu nzuri) au,
3- Vumbi katika connector za waya zilizoingia au kutoka kwenye router (safisha vumbi)
4- Settings zimevurugika. (Fanya reset).
Kama umefanya yote na bado twambie.
Jins ya kulipia nafanyaje dear ya halotel
Nenda katika vituo vyao
Nenda katika vituo vyao
Icho kifaa unachofanyia Set up inakuwa na line ya simu
No, ni router.
Mwalimu kwanini kozi hii isiendelee kila Ijumaa!!
Ok tutaiendeleza kidogo kidogo.
@@nk-computertraining
Ahsante sana NK The King
Samahani wewe uko wapi nina router yngu sijui nianzie wapi nikufate unisetie niweze kutumia
Duh Mimi niko nje ya nchi ndugu jaribu kufuatilia somo vizuri utaelewa.
kunawatu wanasikani unazuwiaje wasisikani
Fikiria njia nzuri ya kuwazuia.
Tutatoa masomo hayo baadaye.
Home wifi inasaidia nini
Home wifi? Au wifi? Kiufupi wifi ni tecknolojia ya kusambaza internet kwa vifaa vyengine bila ya nyaya.