Jinsi ya kujua kama wifi yako imehakiwa na kumtoa mtu yeyote

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 41

  • @FahadAbdallah77
    @FahadAbdallah77 4 місяці тому +1

    Broo mbona failing ulilo sema la Fing mbona unalipia

  • @tujulishanesandawegroup1729

    Nimejifunza mengi Aksante sanaaa

  • @Djrapher255
    @Djrapher255 Місяць тому

    Broo Mimi router yangu inatoa blue light blinking na Hai provide mtandao

  • @is-hakaame
    @is-hakaame Рік тому

    Somo zuri kaka

  • @jumakabwe3256
    @jumakabwe3256 4 місяці тому

    Bleess bro

  • @AbduliwwahabiAbdulwakili
    @AbduliwwahabiAbdulwakili 18 днів тому

    Kaka yangu mm natumia go fiber lakini nahitaji kubadilisha password

  • @mrdominik7533
    @mrdominik7533 Рік тому

    Ahasante kwa Somo lkn Samahan Mwalimu tunawezaje kuunganisha Net kutoka kwenye Router/computer kwenda kwenye Simu via USB ??

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Рік тому

      Sawa, Tutaandaa somo hilo, ila router ni rahisi maana router ndio inasambaza wifi.

  • @muhsinmuhsein4484
    @muhsinmuhsein4484 Рік тому

    Pamoja

  • @Zuu673
    @Zuu673 5 місяців тому

    Naomba mawasiliano kaka

  • @sasitachristopher-ec7tv
    @sasitachristopher-ec7tv Рік тому

    Naomba kujiunga na masomo ya exel

  • @majutochikawetv8965
    @majutochikawetv8965 9 місяців тому

    Mkuu nimejaribu kutumia hiyo fing nimejaribu kuremove wanaotumia wif yangu but baada ya kudelete nikirefresh wanarudi tena automatik nifanyaje????

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  9 місяців тому

      Tutaandaa somo lingine karibuni usijali LITAKUWA dawa ya wanaotumia net yako kinyemela.

    • @majutochikawetv8965
      @majutochikawetv8965 8 місяців тому

      Hii fing haina uwezo wa kublock wezi wa wif ili hali nimelipia ila sioni faida yake

  • @is-hakaame
    @is-hakaame Рік тому

    Ila sasa tunaomba utuandalie somo la kushusha window 11 mana ulisema tutashusha pamoja au umesahau?

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Рік тому +1

      Duh Asante sana kwa kutufuatilia kwa makini tutaliandaa hilo huenda lijalo Mungu akipenda.

    • @is-hakaame
      @is-hakaame Рік тому

      @@nk-computertraining tutafrah sana kaka mana tupo kwa lengo la kua na sisi tunakua more than proffesional

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Рік тому

      @@is-hakaame usijali linakuja.

  • @ElishaMarwa-t7q
    @ElishaMarwa-t7q 4 місяці тому

    contact namb plz nashda kweny wifi yangu

  • @dawatul-salafi129
    @dawatul-salafi129 Рік тому

    Lete SoMo jengine la kuhack parswod ya wifi password

  • @epromedia5534
    @epromedia5534 Рік тому

    Mkuu nna changamoto

  • @technicalandinfo3174
    @technicalandinfo3174 Рік тому

    Somo zur nimjifunza jambo pia mwalimu tunaomba somo kuhusu prossesor mfano hap ufafanuz juu ya hivi vitu hapa
    i5-3337U 2.60ghz
    i5-2520m 2.60ghz
    na hii
    i5-3337U 1.60ghz
    i5-3337U 2.60ghz
    hiv vitu vimekaaje

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  Рік тому +1

      Asante, tumeongelea hilo, tazama video ya "unataka kununua computer mpya chagua hii"

  • @majutochikawetv8965
    @majutochikawetv8965 8 місяців тому

    Hiyo program mbona naremove mtu hatokoki

  • @Zuu673
    @Zuu673 5 місяців тому

    Kaka mimi wifi tangu inaisha haraka 10gb siku moja jamani