Chino amjibu Marioo baada ya P-Funk kuingilia kati kuhusu bifu yao na tuhuma za kuwekeana sumu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 6 годин тому +4

    SNS nawapenda sana ,hua mnanifurahisha❤

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 6 годин тому +7

    Ukitaka kujua tabia ya mtu subiri apate hela 😮😮😮😮

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 6 годин тому +5

    Wawe na beef la kawaida na sio kutaka kuuana mambo ya sumu haipendezi

  • @matendoa.online803
    @matendoa.online803 5 годин тому +3

    Uki taka juwa mutu vizuri subiri apate.
    Uyo Chino comment yake ina onesha zarau ndani yake . Mario alikuwa very serious.
    Chino ana play dirty game. Aya ni maisha.

  • @yusuphcharles1497
    @yusuphcharles1497 6 годин тому +6

    Siku zote kwenye maisha inakuwaga hivyo
    Unansaidia mtu kiroho Safi mwisho wa siku akifanikiwa mambo yanakuwaga kama hivyo
    Huyo chino aache dharau za kishamba😢😢😢

  • @RayMakini
    @RayMakini 5 годин тому +1

    Napendaa ujamaa anavyooo ongeaa

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 годин тому +3

    Is possible mario anaona wivu kwa chino chino kampita marioo

    • @SuzanMoshi-m1s
      @SuzanMoshi-m1s 4 години тому

      Kampita nin mwaya usiamin maisha y mtandaon mwaya hana hela ya marioo hanaa 😅

  • @-KINKAU
    @-KINKAU 5 годин тому +8

    Hamjamuelewa chino ana maanisha FEROOZ NI KAKA YYE NI MDOGO WAKE sio MARIOO NA YEYE 😮😮😮

  • @kelvinterevael6401
    @kelvinterevael6401 6 годин тому +4

    Nafikiri hii P funk alikuwa anamzungumzia ferooz , kwasabab hapo nyuma kidogo kuna conflict ilikuwepo kati ya ferooz na chino,kama sikosei chino alimtuhumu ferooz kumgeuka kwa kutumia kipande cha wimbo wa ferooz kwenye wimbo wake wakati alimuomba kabla ya kufanya hivyo na akakubali

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 6 годин тому

      Kama sio kiki Album chino anakosa. Hata wangeenda mahakanani mariio hangeshibdwa hanaushahidi nani

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 5 годин тому

      Yaani Babu Tatizo Media zetu hizi hata awafanyi kabisa Research Pale P funky aliulizia kuhusu issue ya Feroos na Chino, Sasa hawa wanakurupuka na Kuongea kitu hawakijui kabisa."

  • @sabinibra3513
    @sabinibra3513 5 годин тому +1

    Leo Sns leo Mmechemka 😂 dah

  • @dannydannizo8099
    @dannydannizo8099 3 години тому

    Mmefeli bifu linalozungumzwa apo ni la feruz na chino,mmekurupuka vijana

  • @amirhamud3343
    @amirhamud3343 5 годин тому +1

    Sns mmezingua wanaongelea kuhusu kumdai Ferooz milioni 100

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 4 години тому

    Mwnangu #GIANT_MAN ujawai niangusha🔥

  • @kelvinmarcus7436
    @kelvinmarcus7436 6 годин тому +4

    Hapo walikuaa wanaongea kuhusu ferooz si marioo

    • @charleskaozya9924
      @charleskaozya9924 5 годин тому +1

      Kweli kbs waandishi leo wamezingua😂😂 halafu wapo serious kweli wanajadili kitu hawakijui😂😂😂

    • @sabinibra3513
      @sabinibra3513 5 годин тому +2

      Hawa jamaa ndio wanakuza mabifu bana😂 Majani alikuwa anamuongelea Ferooz😂

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 5 годин тому +2

    Huyo boya amechagua upande, mashabiki Gani wamemkataa marioo?? Wakati wengi wanamsema chino??

  • @nikelaJimson
    @nikelaJimson 35 хвилин тому

    Upotoshaji huu

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 4 години тому

    *msanii akiwa hajapata chochote maisha mengine huendelea namahusiano pia wanakuwa nayo wakisha jipata huwaacha mademu zao nakutafuta mademu wajanja wamji sasa mtumesota wee leo amepata umesepa mtapewa sana sumu sana msisingiziane*

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 години тому

    P ALIMAANISHA KUHUSU FERUZI hakumaanisha issue ya kina Mario Chino kashtakiwa na Ferooz

  • @MrishoMambo
    @MrishoMambo 4 години тому

    Mnabadilisha Habari Chino alikua nashida na ferooz sio Habari ya marioo

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 5 годин тому

    Majani kamanisha bifu ya Chino na ferooz,kesi yao mahakaman ,mnageuza Mambo ,acheni uchochezi waandish😮😮

  • @Joseph-hi2ov
    @Joseph-hi2ov 5 годин тому

    Sns mnazingua, P amemanisha bifurcation ya ferooz na Chino lakin nyie mmegeuza kwa Chino na Mario kuweni makin

  • @KennethMgona-jy4vc
    @KennethMgona-jy4vc 6 годин тому +1

    Wakuda hao

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 5 годин тому

    Hawa sio bifu .Hawa wanatengeneza kama mond na Ali .

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 4 години тому

    Marioo ndo anajiweka level moja na chino…kwa kulalamika mtandaoni!! Angekaa kimya tu ila hapa anaonekana anatafuta huruma kwa public

  • @HalimaNamangupa
    @HalimaNamangupa 6 годин тому +3

    Waacheni watafute attention 😂😂

  • @kibwanakhamisi5604
    @kibwanakhamisi5604 4 години тому

    Kuna ngoma yao inakuja hii ni Kiki tu hakuna beef yeyote

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 4 години тому

    #SNS 🔥🔥🔥

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 5 годин тому

    Mnajiuliza maswali mnajijibu wenyewe (wenzio wapo kazini)😅😅😅

  • @KIBAHATIPS
    @KIBAHATIPS 5 годин тому

    😂😂😂eti ela inazidi kukua uko mtandaoni

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 5 годин тому

    Chino sio bifu,
    Bato la makusudi kulipoteza sekeseke la tuzo kubalansiwa.

  • @laymusicTz
    @laymusicTz 6 годин тому

    Harmonize x daimond tukutane status shwaaaa🤸

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 5 годин тому +1

    😂😂😂😂😂mmefeli leo bifu analo maanisha ni chino na feruzi ni baada ya chino kutumia maneno ya feruzi ktk wimbo wake na wala haikuwa kuhusu marioo 😂😂

    • @chibo666
      @chibo666 5 годин тому +1

      Yoooh hata mimi ndo nmeelewa hvo.😂😂😂leo Sns wamepigwa za uso😂😂

    • @dannydannizo8099
      @dannydannizo8099 3 години тому

      Mmefeli nyie bifu linalomaanishwa ni la feruz na chino,mnakurupuka sana vijana

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 годин тому

    Hata mimi nilisema. Marioo asimlaumu chino chino hana shida

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 5 годин тому

    Mfanya kaz ndio nn?? Na alikua akimfanyia kaz gani marioo.

  • @MrishoMambo
    @MrishoMambo 4 години тому

    Mnayumba mmekua kama peji yaudaku

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 6 годин тому

    Marioo.hanakusje kams chino alitums eatu epe dumu kwani chino aogopi policr kwani hakuna poontam ifanywe sio kila kitu chino zatizo chino kaein then marioo nahisi anaumia

  • @PhilbertEmmanuel-o5y
    @PhilbertEmmanuel-o5y Годину тому

    Jaco nakukubar una mawazo tunduizi

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 годин тому

    Mario alikzwa anamdidis hamo nakumchamba siwahau marioo asijione kafika bado sana wivu

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 3 години тому

    Ukute wanataka kutowa nyimbo wanatuchosha tu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Годину тому

    HUYU CHINO ANAHADABU NDIO MANA SULA YAKE KAMA TANGAWIZI MBISHI 😂😂😂

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 6 годин тому

    Sioni kana ni lazina siku ile chino kazima angempa asante mario mbona hamo alinyopata tunzo zakw akunsifia mwambino kama alintoa tuacheni kuna vitu pia marioo kasaidiwa na chino

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 2 години тому

    Je ukihacha kazi utahendelea kuita aliye kua boss yako boss? Na hii inahuwa sana nyumbani Africa na tunabeba kahuli za boss adi nyumbani boss nikama mpo kazini yani mazingira ya kazi ila mkitoka hapo sio boss wako tena

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 6 годин тому

    Kik

  • @WOLFGANGfr
    @WOLFGANGfr 3 години тому

    I THINK P FUNK ALIULIZA KUHUSU FERUZ NASIO MARIOO

    • @WOLFGANGfr
      @WOLFGANGfr 3 години тому

      KUHUSU NYIMBO MPK WAKAENDA MAHAKAMANI

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 5 годин тому

    Majani Ameongelea Beef ya Feroos na Chino, sio ya Marioo na Ndio maana Akasema hakuna Beef ya Mdogo na kaka akimaanisha yeye ni mdogo kwa Feruzi, Kuweni na Research SNS saiz ni wakubwa msiwe watu wa kukurupuka tu kama media za uswahilini

    • @joezeno8
      @joezeno8 4 години тому

      ✊🏿🔥🔥🔥🔥👏🏿👏🏿👏🏿