UBUYU WA ZANZIBAR | Njia rahisi sana ya kuutengeneza | Faida ni kubwa mnoooo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 187

  • @nuruloy2085
    @nuruloy2085 6 місяців тому +2

    Una moyo wa pekee dear,barikiwa sana.Naomba unionyeshe package zako my

  • @ZakiaSuleiman-gx2le
    @ZakiaSuleiman-gx2le 4 місяці тому +1

    Maashaallah una elekeza vizur

  • @UpendoRichman
    @UpendoRichman 19 днів тому

    You teach well

  • @shanimwanga4455
    @shanimwanga4455 6 місяців тому +2

    umeelekeza vizuri na umejibu vizuri sana maswali ya sisi tuliokufuatilia....Mungu akubariki mnoooo

  • @nasiraMiraji
    @nasiraMiraji Місяць тому

    Asante dada nilikua nawaza nikafundishwe

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 3 місяці тому

    Ahasante Mungu akujaalie sana Kwa moyo ulionayo❤❤❤

  • @NessKiminyoge
    @NessKiminyoge Місяць тому

    Hongera sana mungu abarik Kaz ya mikono yako

  • @LucyThomas-ir3yn
    @LucyThomas-ir3yn 7 місяців тому +1

    Asante mwalimu nimekuelewa

  • @IreneLingson-d4m
    @IreneLingson-d4m 2 місяці тому

    Sasante kwa .maelekezo my sister mungu akubariki ila nlikua naomba kujua ubuyu unakauka kwa muda gani

  • @DeboraDaniel-h7z
    @DeboraDaniel-h7z 3 місяці тому

    Hongera sana Dada Kazi nzur sana MUNGU akubaliki ❤❤❤

  • @ZainabuMahuba
    @ZainabuMahuba Місяць тому

    Dada up vzr sanaaa

  • @MuslimMattersChannel
    @MuslimMattersChannel 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉I love this Mungu Akuzidishie

  • @JanethMwakanyamale
    @JanethMwakanyamale 11 місяців тому +1

    Asante dd UBARIKIWE

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 5 місяців тому

    Unaeleza vizuri asante

  • @zaharabeautifulmremi8801
    @zaharabeautifulmremi8801 4 місяці тому

    Shukran sana my sister ❤❤

  • @ElibarikiDaudi-t1i
    @ElibarikiDaudi-t1i 5 місяців тому

    Ahsante kwa darasa

  • @liliankasimila6252
    @liliankasimila6252 9 місяців тому

    Vailethy utafika mbali Mwenyezi Mungu akazidi kukutunza. Katika waelekezaji nadhani ur my the best wengi wamepata kitu kutoka kwako even me. Thank you be blessed

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  9 місяців тому

      Waoo nasikia furaha kupata comment kama hii,
      Asante dear. Be blessed too

  • @JofreyTarimo-v5v
    @JofreyTarimo-v5v 10 місяців тому

    Asante sana Dada angu kwani ata mwanangu kajifunza kupitia ww😊😊👏👏👏

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  10 місяців тому

      Waooo nafurahi sana kusikia hivyo. Asante kwa feedback nzuri. Pia usisahau kuangalia video zingine kwenye channel hii.
      Karibu

  • @nuraynmakoya803
    @nuraynmakoya803 Рік тому +2

    Mashaallah shukran momy😊

  • @eunicemwanaidi7340
    @eunicemwanaidi7340 Рік тому +1

    Upo vizuri sana ubuyu

  • @IRENEREWARD
    @IRENEREWARD 6 місяців тому

    Ahsante Sana na mm hatimae nimeweza barikiwa❤

  • @MartinaMrosso-qu8dt
    @MartinaMrosso-qu8dt 7 місяців тому

    Hongera good explanation

  • @ZabibuMahamudu
    @ZabibuMahamudu 8 місяців тому +1

    Asante dada nimeelewa vizuri

  • @MarryTemba-l1k
    @MarryTemba-l1k Рік тому +1

    Shukrani sasa dada mzuri Mungu akubariki sana

  • @SaraAruna-i6l
    @SaraAruna-i6l Рік тому +1

    Maasha Allah

  • @Mundhir-mu1py
    @Mundhir-mu1py 6 місяців тому

    Mashallah 😊😊😊

  • @SaumuSudi
    @SaumuSudi 8 місяців тому +1

    Asante unafundisha vizur

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 Рік тому +1

    Asante mpendwa

  • @Deborahsamweli
    @Deborahsamweli 4 місяці тому

    Asante mamy

  • @Mundhir-mu1py
    @Mundhir-mu1py 6 місяців тому

    unaweza 😊😊

  • @pendobugalama953
    @pendobugalama953 6 місяців тому

    asante sana

  • @RebekaMsongwa
    @RebekaMsongwa 9 місяців тому

    Uko vizuri kuelekeza mungu akubariki sana

  • @SalmaDavidMbawala
    @SalmaDavidMbawala 3 місяці тому

    Nimejifumza kidogo

  • @VailethSabasi
    @VailethSabasi 6 місяців тому

    Nimependa

  • @ChristinaAloyce-wc3yt
    @ChristinaAloyce-wc3yt 8 місяців тому

    Asante dada nimeherewa

  • @zuenamkindi6848
    @zuenamkindi6848 Рік тому +1

    Nimependa mpenz asant

  • @HawaDavid-y8u
    @HawaDavid-y8u 10 місяців тому

    Nice

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 Рік тому

    Hi mashalla ubiyu mzuri sanaaa chumvi huweki

  • @OlivetaMwantandi-le4co
    @OlivetaMwantandi-le4co Рік тому

    Asant Dada, naomba mawasiliano yako

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 Рік тому

    Asante my dear ngoja nifanye naamini ntaweza

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Sawa, mahali utakapoona ugum utaniuliza

    • @pyelesyamwakatika540
      @pyelesyamwakatika540 Рік тому

      My dear nimepika Leo ila wangu haujaachana kama wewe ulivoachana mwishoni na nusu ya unga haijaisha ila unaradha sa sijui nimekosea wapi

  • @mariamiddimasudi4179
    @mariamiddimasudi4179 Рік тому +1

    Wow wow so nice dada hicho kikombe ni Cha ujazo kiasi gani

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому +2

      Ñi cha robo na kidogo
      Ila usisumbuke pima vikombe vile vya nusu kilo vitatu kwa sukari kg moja

  • @RoziLukas-r6p
    @RoziLukas-r6p Рік тому +7

    ❤ nimependa jinsi ulivyo tengeneza na unavyo elekeza vzr natumain na mm nitaweza kutengeneza Vzr ❤🎉🎉🎉

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Ooh asante sana kipenzi
      Naamini utaweza pia kutengeneza vizuri

    • @FrolaMkonongo
      @FrolaMkonongo 8 місяців тому

      Ahsante namimi nitajaribu

  • @godloveyohana3153
    @godloveyohana3153 6 місяців тому

    Maelezo mazuri, naomba mawasiliano yako tafadhari

  • @SalmaJumanne-b5z
    @SalmaJumanne-b5z 3 місяці тому

    Ahsant dada nimepend unafundish vzr na mm ntatengeneza

  • @GlorygeorgeNgororo
    @GlorygeorgeNgororo 5 місяців тому

    Asnt nitajifunza kipenz

  • @amayner71
    @amayner71 4 місяці тому +1

    Kilo moja unatoa pakt ngapi

  • @JUMBOSONSCOMPANY
    @JUMBOSONSCOMPANY Рік тому +1

    nimeipenda hiyo, mm nilipika nilifuata hvyo shida haukukauka kwa wakati nilikosea wap

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Hapo mpenzi haukuivisha shila yako.
      Hakikisha shila inaiva ili ubuyu ukauke, ikikauka inakua inatoa povu nene

    • @JUMBOSONSCOMPANY
      @JUMBOSONSCOMPANY Рік тому

      @@Vaileths_Kitchen asante umeniongezea kitu asante sana

    • @mkamirachel9006
      @mkamirachel9006 5 місяців тому

      Mai wangu mbn ubuyu wangu haukauki

  • @faustakostantini6677
    @faustakostantini6677 Рік тому +1

    Upo vizuri dear, unga wa ubuyu umeupataje?

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Asante dear.
      Unga wa ubuyu nautengeneza mwenyewe, kuna video nimepost namna ya kuutengeneza huo unga mpenzi

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Angalia kwenye description box kuna link nimeiweka dear

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      ua-cam.com/video/1mkWezRPZ4Q/v-deo.html

  • @CesiliaMajani
    @CesiliaMajani 7 місяців тому +2

    Ubuyu kilo moja unatoa pakti ngap?

  • @sharifaali2927
    @sharifaali2927 2 місяці тому

    Jamani me nihitaji namb yk mamy me nikijaribu nashinwa

  • @AngelinaGeorge-n6v
    @AngelinaGeorge-n6v 5 місяців тому

    Nimependa sana ...ila hayo maji vikombe vinne ni lita ngapi kwa kusaidia zaidi please

  • @EgraMataya-xb5zw
    @EgraMataya-xb5zw 8 місяців тому +1

    Naomba unifundishe

  • @maimunahemedinkuyah5489
    @maimunahemedinkuyah5489 Рік тому +1

  • @DanielMwandoje-jt5no
    @DanielMwandoje-jt5no 7 місяців тому

    Maji kiasi gani

  • @Dorcas.j.Msonsa
    @Dorcas.j.Msonsa 7 місяців тому

    Dada ahsante kwa darasa naomba mawasiliano yako kwa maswali please

  • @DonataJoachimu
    @DonataJoachimu 10 місяців тому

    Asante dada kwa kutupa madini barikiwa sn nimekupenda bure,naomba namba yako

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  10 місяців тому

      Amen.
      Ubarikiwe pia kipenzi.
      Usiache kiendelea kuangalia video zinazopatikana ndani ya Vaileth's Kitchen najua utajifunza mengi zaidi

  • @AnjelinaMokoro
    @AnjelinaMokoro Місяць тому

    Shira ni kitu gani???

  • @FatmaabdilahiRinabbe
    @FatmaabdilahiRinabbe 5 днів тому

    Shira ni sukari

  • @catherinemondu2006
    @catherinemondu2006 Рік тому +1

    Naomba darasa la ubuyu wa vipande plz afu unitag

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 3 місяці тому

    Tuelekeze na ubuyu wa vipande

  • @asifiweminja9071
    @asifiweminja9071 Рік тому

    Nimzur kwakweli

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 3 місяці тому

    Video zuri lakini kelele nyingi huku nyuma sauti kwa mbali unasikia la msemaji....

  • @ImidyMgogo
    @ImidyMgogo 7 місяців тому

    Mbona sijaona ile shila uliyoipunguza ukiiweka?

  • @arshadanwarali7084
    @arshadanwarali7084 2 місяці тому

    Iv tried everything my mabuyu never dries

  • @HalimaDerua
    @HalimaDerua 14 днів тому

    Mia tano kwa shilingi elfu moja unamaanisha nini hapo hapo sijakuelewa.

    • @2116-n
      @2116-n 12 днів тому

      Yaan unaweza kufunga package za kuuza mia Tano mia Tano na package ZINGINE zikawa kubwa kidogo ukauza kwa elfu mojamoja

  • @GloryNgoyaro
    @GloryNgoyaro 3 місяці тому

    Dada mm nikipika unakauka sijui nakoseha wapi jaman

  • @RehemaMichael-d4l
    @RehemaMichael-d4l Рік тому

    backinpoweder ni iipi?

  • @MwanaidiWaziri-vi2pl
    @MwanaidiWaziri-vi2pl 8 місяців тому +1

    Nimependa jamani

  • @CalorinaMlama
    @CalorinaMlama 5 місяців тому

    Ukiwa na ubuyu debe moja sukari kiasi gan? Na unga wa ubuyu kiasi gan!

  • @Livanahbreezy
    @Livanahbreezy 4 місяці тому

    Samahani,mm nimepika ubuyu ila umezidi maji nifanyaje

  • @JudithMinja-q1h
    @JudithMinja-q1h 6 місяців тому

    Samahan dada inamaana kias cha ubuyu ndo kias cha sukar??

  • @estherjackson2085
    @estherjackson2085 Рік тому +1

    Nimependa naomba nione kopo la hiyo rangi pliiiiz maan nmenunua yangu imeandikwa raspberry red ubuyu hautoki na rangi kam hyo ya kwako

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Angalia kwenye channel kuna video nimepost jioni hii, nimeonesha hilo kopo la rangi ambayo huwa natumia, n kavideo ka sekunde chache tu

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      ua-cam.com/video/0U54mGqjYPU/v-deo.html
      Bonyeza hii link ya hiyo video

  • @RenathaExsavery
    @RenathaExsavery Місяць тому

    majina ya baadhi ya malighafi hatujaelewa mfano alipoweka zesta beaking powder hatua inayofuata ameweka nini na mwsho kumalizia vip

  • @habibajombo1627
    @habibajombo1627 Рік тому

    Hapo pa kuweka shira, unaweka na kuchanganya unga wa ubuyu bila kuweka jikoni/motoni? Unachanganya ukiwa umezima jiko?

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Hauweki jikoni, unakua umeitoa shira yako jikoni, ndipo unachanganya

  • @SabrinaSaid-oc5pk
    @SabrinaSaid-oc5pk 4 місяці тому

    Jmn naomba nisaidie mm ubyu wang ĥaukaukiiii

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 Рік тому

    Baking powder natumia hata ya maandazi au lazma iwe hyo?

  • @nicemusa7027
    @nicemusa7027 8 місяців тому +1

    Samahani Naomba kuulza hiyo shira inafananaje na km Sina naweza kutumia nn kwa niaba?

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  8 місяців тому

      Bila samahani
      Shila ni ya lazima my dear.
      Ukiangalia video vizuri nmeelekeza jinsi ya kutengeneza

    • @eunicegodlove
      @eunicegodlove 5 місяців тому

      Shira ni huo mchanganyiko Wa sukari na rangi na viungo vyote

    • @siliviajaabu2898
      @siliviajaabu2898 5 місяців тому

      😂😂😂 nilijua ni kiungo ​@@eunicegodlove

  • @elizabethnondiimbaika2499
    @elizabethnondiimbaika2499 2 місяці тому +1

    Tafadhali toa mziki maana sauti yako iko chini hatuskii nu mziki tunaskia tu

  • @ZakiaSuleiman-gx2le
    @ZakiaSuleiman-gx2le 4 місяці тому

    Hiyo Bakinpoda inakua ya ubuyu tuu au

  • @DanielMwandoje-jt5no
    @DanielMwandoje-jt5no 7 місяців тому

    Baking powder ya maandazi

  • @ImmaculataMbekenya-dw8uv
    @ImmaculataMbekenya-dw8uv Рік тому

    Dada naenda kazi yko nisaidie namba yko

  • @chichiiddy8703
    @chichiiddy8703 3 місяці тому

    Hivi rang gn huwa azina chumv

  • @JosephinaMasaga
    @JosephinaMasaga Рік тому +1

    Asantee dear!Mie napka ubuyu n mtam xana lkn haung'ai kama ule wa zanzibar au hua kinawekwa nn kung'arisha ?

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Hakuna wanachoweka dear, sukari ndiyo inayoung'arisha ubuyu, pia angalia kwenye unga, yawezekana unaweka mwingi

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Na ubuyu huonekana kama unang'aa unapokua sehem ya jua au mwanga

  • @ManthuraAhmed
    @ManthuraAhmed 10 місяців тому

    Samahani dada mbona mm nikijaribu kipika ubuyu wangu haushiki rangi wote mwengine huwa mweupw

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  10 місяців тому

      Nilipost video kielekeza jinsi ya kupunguza huo weupe kwa kuutwanga ili kupata unga, pia kunauwezekano mkubwa kwamba umeweka ubuyu mwingi kuzi Shira uloitengeneza.
      Karibu

  • @HalimaMgeni-mr6qw
    @HalimaMgeni-mr6qw 6 місяців тому

    Unautunzaje ili usikauke

  • @neemmwita8507
    @neemmwita8507 Рік тому

    Asante nimejufunza lkn kilo moja sukari sio.nyingi kweli?

  • @ShaftMwiinga
    @ShaftMwiinga 10 місяців тому

    Nitumie number from Zambia

  • @mkamirachel9006
    @mkamirachel9006 5 місяців тому

    Mie ubuyu wangu haukauki shida n nn

  • @mariammichael1626
    @mariammichael1626 6 місяців тому

    Baking powder ni aina gani na unga wa ubuyu unaweka kiasi nusu , robo au kilo

  • @ANAWEMAMALILA-lf7gk
    @ANAWEMAMALILA-lf7gk Рік тому

    Dada nimependa maelezo yako.naomba unisaidie namba yako

  • @JovithaKavindi
    @JovithaKavindi Рік тому

    Naomba namba yako

  • @d.m453
    @d.m453 8 місяців тому

    Maji unaposema kikombe kimoja ni sawa na robo lita au ni kiasi gani?

    • @shanimwanga4455
      @shanimwanga4455 6 місяців тому

      ameelekeza mdau akasemaa sukari kilo moja aweke vikombe vitatu vya nusu lita

  • @GloryJumanne
    @GloryJumanne 9 місяців тому

    Unaweza kunipa namba zako

  • @zaitunimohamedi9564
    @zaitunimohamedi9564 6 місяців тому

    ubuyu wa unga unaweka kiasi gan kwny iyo kilo maja

  • @naillanassor2589
    @naillanassor2589 Рік тому

    Kikombe cha maji ulopima kina ujazo gani??

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Kinazidi kile kikombe cha robo kidogo, ni kama robo na kidogo

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  Рік тому

      Ni aina kama vile ambavyo zaman vilikua vimeandikwa "Ok"

  • @GloryJumanne
    @GloryJumanne 9 місяців тому

    Kama nataka kutengeneza lita10 sukari nawekaje nimechangakiwa sielew

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  9 місяців тому

      Usianze na ubuyu mwingi kama ndo unaanza kujifunza
      Kwenye vipimo n vizuri ujue vya kilo kwanza

    • @MagrethMkonde
      @MagrethMkonde 6 місяців тому

      Ubuyu mzur sana lkn mm nikipika unashikana sana sijui shida nini?

  • @magdalenakayombo9294
    @magdalenakayombo9294 8 місяців тому +1

    Uho unga unauzwa ivyo ivyo au unatenganisha na mbegu before ya kuanza kutengeneza

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  8 місяців тому

      Unga unauzwa, ila unaweza ukatengeneza pia. Video ipo kwenye channel hii ya jinsi ya kutengeneza huo unga

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  8 місяців тому

      Video ya jinsi ya kutengeneza unga wa ubuyu
      ua-cam.com/video/1mkWezRPZ4Q/v-deo.html

  • @PaulinaGambi
    @PaulinaGambi 9 місяців тому

    Vifaa unapata wp?

  • @ElisiaJames
    @ElisiaJames 9 місяців тому

    Kama hauna hiyo Radha ya strobel waweza weka maziwa?

    • @Vaileths_Kitchen
      @Vaileths_Kitchen  9 місяців тому

      Ndio, japo ubuyu wa maziwa usitengeneze mwingi sana maana unatabia ya kuwahi kuharibika

  • @qudramshana7904
    @qudramshana7904 Рік тому +1

    Dada asante sana nimekupenda bure ubarrikiwe naomba no zako