UTACHEKA MASANJA ALIVYO JIFANYA KAMA MANABII WA SIKU HIZI!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • UTACHEKA MASANJA ALIVYO JIFANYA KAMA MANABII WA SIKU HIZI!!

КОМЕНТАРІ • 365

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 5 років тому +14

    Masanja umefanya kazi nzuri sana, wewe na wenzako Mungu awabariki sana. Nafikiri watanzania wataelewa jinsi shetani anavyowadanganya

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 5 років тому +7

    Hakuna haja ya kukasirika kwa hili igizo, cha msingi umefumbuliwa macho toka kwenye hilo chaka la vitu vyenye upako. Tubu na mgeuke na kuifuata njia iliyo sahihi. Mbarikiwe sana wote mlioshiriki katika zoezi hili. I just love it 👌👌

  • @barakamwinje2532
    @barakamwinje2532 5 років тому +15

    manabiiwa na wanaotumia chumvi ni sawa na waganga wa kienyeji,Hongera Masanja Massage sent

    • @hopesonnassary8539
      @hopesonnassary8539 5 років тому +1

      Ogopa sana kushabikia kitu ogopa mno

    • @jameschaula3100
      @jameschaula3100 5 років тому

      Msanja nimekupenda bure siwapendagi ao jamaa miaka mia

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 5 років тому

      Nani kakwambia? Kasome Biblia,Roho mtakatifu anaweza to a maelekezo kupitia chochote na mtu akaponywa,au kufunguliw!
      Acheni kuongea msivyovijua,muulizei kwanza Roho mtakatifu kabla hamjakurupuka!
      Mnamfungia Mungu kwenye box,kwamba afanye nyie mnavyotaka tu? Njia za Mungu hazichunguziki,huwezi kumpangia Mungu namna ya kuokoa !

  • @dilivasa2485
    @dilivasa2485 Рік тому

    Huu ni ulimwengu uiokwishatabiliwa hongera Pastor Masanja

  • @deborahnelson8452
    @deborahnelson8452 5 років тому +8

    hongera sana masanja nikwel kabisa manabii wa uongo wapo wengi mbna hawaendi kufanya kaz za unabii vijijin wajanja sana wako kipesa zaid

  • @giftnassary5452
    @giftnassary5452 5 років тому +12

    Mungu atusaidie sana,unayaigiza na ndio ukweli wa wengi wanaodhani wapo sahihi kumbe tunapotea.Tumebaki kuamini manabii kuliko kumwaminj Yesu ambaye ndo muanzilishi wa imani yetu.Mungu atuhurumie na kufungua macho na fahamu zetu hasa ktk kipindi hichi cha manabii na mitume.

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 років тому

      Kwali gift na wengine wamo humu wanamshutumu amefanya vibaya. .

  • @annawinstone9426
    @annawinstone9426 5 років тому +1

    Masanja you are the best…… ..Mungu akulinde, what a God sent…..

  • @veromwasamila9581
    @veromwasamila9581 5 років тому +2

    Jaman mm siabudu kanisa la stail hii but naamini sawa na 2nyakati 20:20waminini manabii ndivyo mtafanikiwa na umwamini Mungu utathibitika. Pia kwa hbl ya chumvi soma 2wafalme 2:19 Elisha aliponya maji ya Yeliko kwa chumvi lkn kama haitoshi Hesabu 18:19ni agano la chumvi la Milele soma vzr 2nyakati 13:5daudi alipewa ufalme Milele kwa agano la chumvi (2)mafuta isay 10:27 na nira iliyo mabegan itavunjwa kwa kutiwa mafuta, sabuni zabur 51:7 #nyongeza hta Yesu alitumia mate kumponya kipofu akachanganya na udongo, na pia mitume waliponya kwa kimvuli Chao na vitambaa soma matendo ya mitume uone #jamani mm natamani sana Karama ya kinabii ushauri masanja Mchungaji mwenzangu tuungane katika maombi tupewe maana katika huduma tano za kanisa manabii wa pili mitume ndio sie wachungaji hahahaha.#Pastor Vero.

    • @PastorsTz
      @PastorsTz 5 років тому +1

      Vero umewahi jiuliza kwanini YESU hakuwah tumia chumvi? Pili umewahi jiuliza kwanini wengi wajiitao manabii wa Leo maisha Yao hayaashiri WOKOVU? ? NDUGU Mimi nikushauri piga vita KUPAMBANA na dhambi..soma ebrania 12:4.""hamjafanya vita mkishindana na dhambi""ndugu usishindanie hayo MBINGUNI mbali kaza buti tubu GEUKA tukaingie

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому

      Vero Mwasamila Kwani kuna ubaya unadhani ndugu yangu kuwa Nabii sikiliza maneno ya huyo nabii halafu niambie kama hayo ni sawa?

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 5 років тому +4

    Barikiwa sana kaka Emmanuel Mgaya

  • @elisantej5512
    @elisantej5512 5 років тому +3

    Asante Masanja umenifungua macho. 😂😂😂😂😂😂

  • @geradinechaula2438
    @geradinechaula2438 5 років тому +7

    tupe macho ya ROHONI
    tulijue neno lako la kweli
    tukae miguuni mwako YEHOVA

  • @januaryrevocatus2124
    @januaryrevocatus2124 5 років тому +4

    Nimechekaaa hahahaa....atarr...good presentation comedy..inafundisha hakika

  • @saddykayage1441
    @saddykayage1441 5 років тому +2

    Masanja Mungu kakupa uwezo mkubwa wa kufikili usemapo ni kweli tupu nilimsikia nabiii shilah akilalamika kumbe ulikuwa umetoboa siri yake acha shilah nabii na wengine wakuchukie ila ukapendwa na Bwana Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai

  • @josephsamuel1073
    @josephsamuel1073 5 років тому +6

    hahhaa masanja mbavu zangu mimi......ety naona barafu kwenye friji ss hapo frij cjui lin ikakosa barafu

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому +1

    Iwe kwa namna gani iwe kwa Hali ipi Injiri itaendelea kuhubiriwa..... Injiri Inahubiriwa....ya Yesu Kristo.....

  • @danieljoseph8758
    @danieljoseph8758 3 роки тому +1

    Hongera sana steili kama izo ndizo ambazo wanazitumia watu na ndivyo watu wanazidi kupotea cku hadi cku

  • @lawrencenardo3919
    @lawrencenardo3919 5 років тому +2

    Mungu akulinde mana elimu hii inahtajika juu yetu lkn kumbuka umetangaza vita ktk ulimwengu huu....

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 років тому +1

    Hii itafungua macho ya wengi ...coz sasa ujumbe huu utafika mbali sana na kufungua masikio ya watu wengi....nafikiri masanja angeigiza zaidi ya hapa coz huu ni ujumbe wa kweli na utagusa maisha ya wengi.....
    Nimeshaona kwenye mtandao mtabiri wa kwato mmoja ameanza kupiga kelele na kwato zake...

  • @ericwonder2449
    @ericwonder2449 2 роки тому

    😀😀😀😀But you, Masanja stop killing me plz!!! This is killing so many people. These are the prophets that we have nowadays they don't have time to preach the Gospel they are just lying at people and when you look at it they are just doing business yani wewe Masanja I am willing to see you face to face and I believe that God will make the way yani asante sana kwa ujumbe huu na Mungu akubaliki sana Mtumishi wa Mungu!! From Burundi

  • @CLAMVEVOTREND
    @CLAMVEVOTREND 5 років тому +1

    Shida ni uelewa tu, kwenye Makanisa ya kinabii nguvu kubwa iliyomo humo ni maombi tena yenye nguvu hawakutani tu na ili Mungu akutendee inahitajika maombi sana na anayeponya ni Yesu kupitia mtumishi wake... Sema watu uelewa ni mdogo na shetani anataka kuziua huduma tena kupitia watumishi wengine wa Mungu. Tukumbuke Shetani ana kopi kutoka kwa Mungu... Sema utofauti yeye anageuza kufanya mabaya. Tuogope sana kudhihaki huduma za Mungu na naamini Pia shetani yupo kazini na saa zingine wanaotumiwa wachungaji na sio wenye kuitwa manabii tu..... Hakikisha wewe hautendi dhambi na sio kumwangalia Nabii maana utatazamwa wewe na sio nabii na dhambi zinajulikana kabisa hata ambaye hajasoma sana Biblia

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 років тому +2

    Hili igizo limefungua akili za wengi... Tunakupenda masanja usiogope mwanadamu endelea kutuelimisha na mungu atakubariki zaidi......

  • @joshuajoshua7092
    @joshuajoshua7092 3 роки тому

    Noma sana

  • @sudiamwisa8343
    @sudiamwisa8343 4 роки тому

    Masanja Mungu akubariki endelea kutufundisha tufunguke kaka ubarkiwe sana

  • @zakariazakariamichai2486
    @zakariazakariamichai2486 5 років тому

    mungu akusaidie mtumishi wewe ni mchungaji simama kwenye ktk uchungaji mungu akusameheeee ulitaje jina la bwana mungu wako bile

  • @pamelaadagala6906
    @pamelaadagala6906 5 років тому +2

    Waaah! Challenge imeweza😂😅 mkandamizaji originale

  • @sundaymwanjalila5755
    @sundaymwanjalila5755 5 років тому

    Amina sana watumishi kwa kuweza kuliona hili japo watakaopinga hili

  • @dariasilvanus307
    @dariasilvanus307 5 років тому +1

    Mungu akuhurumie ujui ulitendalo..............

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 роки тому

    Masanja umefundisha vizuri Sana yn umeelekeza vzr Sana watu

  • @HOPEMEDIATZ
    @HOPEMEDIATZ 5 років тому +3

    Masanja keep it up. Kufungua macho ya watu

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 5 років тому +5

    Naliona kanisa likirudi msalabani sio mafuta chumvi na maji kanisa lirudi ktk neno la Mungu

  • @georgechigonele2300
    @georgechigonele2300 5 років тому

    You are the person God seek to use

  • @sabrahmrope5999
    @sabrahmrope5999 5 років тому +3

    Masanja umekose sanaaaa sanaaa

  • @paultvonline3742
    @paultvonline3742 5 років тому +11

    Hahahaaa masanja manabii na wana wamanabii hawatakuacha

    • @erickmushi545
      @erickmushi545 5 років тому +2

      Huyu jamaa anatumia umaarufu wake vibaya

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 5 років тому +3

    Yesu anasema UKIKUBARI NA KUTII UTAKULA MEMA YA NCHI, Yesu kristo ni yote juu ya yote

  • @magrethshemu400
    @magrethshemu400 5 років тому +1

    Asante masanja ubarikiwe 😆😆😆😆

  • @autorichdiagnosis3632
    @autorichdiagnosis3632 5 років тому +1

    Safi sana anaechukia inamhusu

  • @saint_j7263
    @saint_j7263 5 років тому +2

    Yes masanja nimekuelewa sana

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 років тому +3

    Through this drama namuona
    #Chief Apostle Mtalemwa
    #Prophet Daniel Daniel Shilah
    #Apostle G. Malisa
    Hahahaha Mungu tusaidie na utuhurumie

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 5 років тому +2

    Hapo baba umetingisha kiberiti. Hahahahahaha

  • @eunicemagesa8024
    @eunicemagesa8024 5 років тому

    Uko vizuri kazi yako ninjema,nachukia saaan Mimi HAWA manabii wa uongo wanapotosha watu,MUNGU afungue watu wake

    • @shukuruerick4433
      @shukuruerick4433 5 років тому

      MUNGU awape hekima ya kuielewa biblia maana mmeikariri

    • @shukuruerick4433
      @shukuruerick4433 5 років тому

      Mtawapinga sana manabii wa BWANA na mitume ila mkubuke neno linawaonya ninyi mnaowapinga manabii na mitume wa kweri

    • @shukuruerick4433
      @shukuruerick4433 5 років тому

      Ninachokiona jehanum ni ya wengi

    • @shukuruerick4433
      @shukuruerick4433 5 років тому

      Mmempa hofu shetani lakini hofu ya MUNGU ndani yenu hamna

    • @shukuruerick4433
      @shukuruerick4433 5 років тому

      Jifunze kwa mchungaji,MGISA MTEMBE

  • @leahshilatu6606
    @leahshilatu6606 5 років тому

    Mungu akubariki nimependa hii jinsi mnavyotufundisha kukwepa manabii wa uongo

  • @lilybarongo8119
    @lilybarongo8119 5 років тому

    Huyu ni prophet shilla kabisaaaaaaa,masanja mungu kakutumia

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 5 років тому +4

    Hiyo message ni kiboko

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 роки тому

    Waokoe kondoo wa bwana masanja mungu akupe afya njema cn mtumishi!!!!!

  • @pastorjkkarata7274
    @pastorjkkarata7274 5 років тому +3

    kwa exipiriance yangu wewe si kwanza kuwasema manabii,ni toka agano LA kale lkn wewe huwezi kusimamisha kusudi LA Mungu kwa maslai yako ....hapana ndio kwanza ukifanya hivyo wanazidi kuwepo wengi kwa kuwa ni Mungu mwenyewe.

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +1

      pastorjk karata Tatizo unadhani mi nawasema Manabii hapo ndipo uwezo wako wa kufikili Ulipoishia, Mi nazungumzia chumvi ya Kuondoa ya dhambi kama nabii wenu anawambiaga HUYO NI FEKEROOOO

    • @cosmaskimale3121
      @cosmaskimale3121 5 років тому

      Yes bro we unajua

  • @danielmalamba5730
    @danielmalamba5730 5 років тому

    Hahah Brother ndani ya friji kuna barafu!!! Kweli wanatufanyaga hatuna ubongo.
    Barikiwa sana na Uende mbali zaidi

  • @sadockmhinza699
    @sadockmhinza699 5 років тому

    high level of creativity

  • @cleopatramkolwa9788
    @cleopatramkolwa9788 5 років тому +1

    Safiii masanja iko poa

  • @rechomwaijande3273
    @rechomwaijande3273 4 роки тому +2

    Masanja umewapatia atar

  • @billionaireoswardkanyala1307
    @billionaireoswardkanyala1307 3 роки тому +1

    Nani kamuelewa masanja gonga lke

  • @magigemarwa1402
    @magigemarwa1402 5 років тому

    Safi sana kaka angu masanja wataelewa tu

  • @zawadmwilwa3496
    @zawadmwilwa3496 5 років тому +4

    Shila usichukie kama haikuhusu

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 років тому +3

    Uko sahihi, kuna manabii WA kweli na wapo wauongo, unachokifanya Masanja unawakumbusha mababii WA uongo na wafuasi wao kuacha michezo michafu, binafsi nimekuelewa sn

  • @selemanjuma1060
    @selemanjuma1060 3 роки тому +1

    SIKUWEZI SANJA BOY NIMEKUBALI WE NOMA

  • @annaa.kijanjali7968
    @annaa.kijanjali7968 5 років тому +1

    Mafundisho mazuri sana..barikiwa

    • @felistamtisi4448
      @felistamtisi4448 4 роки тому +1

      Kwa kwel mwenzenu masanja uwa naona mungu alimpa uwezo wa kufiri na ni mtu wa pekee sana

  • @erickmushi545
    @erickmushi545 5 років тому +4

    Mmepungukiwa na hekima

  • @victormwakidunda8237
    @victormwakidunda8237 5 років тому +4

    Nimefurahi kwa mafundisho haya hasa ktk nyakati hizi

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 років тому +2

    Na kweli hao wanaojiita manabii na mitume ni hatari sana. Ila mimi na nyumba yangu tutaendelea kusimama ktk imani yetu tukishindwa bora tuwe wapagani km itawezekana

  • @p.nmahumbi8161
    @p.nmahumbi8161 5 років тому +4

    masanja umejimaliza kihuduma umejimaliza subiri ZAKO zinahesabika unarifanyia muzaha jina la BWANA... unahatia ya kulitaja jina la BWANA MUNGU wako bure tubu na uache mara moja.....

    • @bethuelswema7543
      @bethuelswema7543 5 років тому

      Hichi alichofanya wala si kulitaja jina la vwana bure...kwani kupitia hili IGIZO fupi limesaidia kufundsha na kuelewesha watu

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому

      P.N MAHUMBI SUTI ulioivaa imetulia sana hebu tulizaga na akili kabla ya ku comment kaka dah!

    • @godlovem7139
      @godlovem7139 5 років тому

      We ni moja ya watu wanaopigwa pesa na hawa wahuni wa chumvi bora pesa yako ukampe kilema ale

    • @emanuelng1416
      @emanuelng1416 5 років тому +1

      Hapana Mr P.N MAHUMBI masanja yupo sawa kama unauwezo wa kufikiri hapo na kwa umakini wa hali ya juu unakuja kugundua kuwa lengo lilikuwa ni kulitofautisha jina la yesu na hizii biashara zilizongia Mungu mwenyewe anasema ombeni chochote Kwa jina langu ila si utumie chumvi wala maji hapana hadi mwisho kila kitu kiliisha msalabani hvyo basi hata huitaji chum vi zaid ya jina moja tu lipitalo majina yote ni la yesu

  • @christinajackson5976
    @christinajackson5976 5 років тому

    asante sana Masanja maana cku hiz manabii wanajitukuza sana hlf waongo sana matapeli sana especially prophet Daniel Daniel shillah hmn kitu yule Malaya sana anadanganya watu

  • @thobiasmosha60
    @thobiasmosha60 5 років тому

    Hehehehehehe nishida sana manabii feki wanatumaliza

  • @lilianmkelewele7489
    @lilianmkelewele7489 3 роки тому

    Mungu aendele kukutunza mtumishi mafundisho yako yananifundi

  • @youngloyclassic3173
    @youngloyclassic3173 5 років тому

    😀😀😀 hongera xna kaka upo sahihi

  • @siwaledesone9838
    @siwaledesone9838 5 років тому +1

    Hahahah😁😁 dah kweli bwna wamezidi.

  • @elientinizekimaro4258
    @elientinizekimaro4258 5 років тому

    Najua wengi walio sombwa na hili wigu la manabii hawata elewa saana ila ukwel zamahizi ni za mwisho. Na manabii ndio hawa. Ila tusipate shida Yesu alizema Viacheni vikue pamoja ngano itakapo komaa Bwana shamba atakuja kuvuna. Tutajua ngano na magugu.

  • @amanikihanga1488
    @amanikihanga1488 5 років тому

    Nimeipenda sanaaaa ! Watu wanahitaji kufunguliwa ufahamu kwanza lasivyo ni hatari waha mitume na manabii

  • @akybanguliny6258
    @akybanguliny6258 2 роки тому

    Ila manabii wa uwongo mtawatambua kwa ishara pia,sio nabii atatoa pepo Ila kwa jina la Yesu pekeee

  • @goodluckmasige5276
    @goodluckmasige5276 5 років тому +5

    hivi mpaka unatoa pesa kununua mafuta yatoayo dhambi unakuwa umekatwa kichwa yaani haufikilii kabisaa!

    • @macklinanicolaus5110
      @macklinanicolaus5110 5 років тому

      goodluck masige watu wanakuwa wavivu wa kumtafuta Mungu wa kweli wanakomaa na chumvi, na mafuta

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 5 років тому +1

    Hahaha masanja umenichekesha weeeee basi tu

  • @happykizito7226
    @happykizito7226 5 років тому +3

    Inafundisha mno YESU KRISTO TUSHINDIE

  • @adelinaadoloph5311
    @adelinaadoloph5311 4 роки тому

    Haaaaaa masanja nakupenda bure message sent

  • @HAFTVc1
    @HAFTVc1 5 років тому

    HA HA HA HA MASANJA BWANA ETI NAONA BARAFUU 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 5 років тому +3

    Leo Masanja kakamatika

  • @jasmine333
    @jasmine333 5 років тому +4

    Muogope Mungu, acha kukejeli huduma za kinabii

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 років тому +1

    Wanauza chumv mafut maji kanisani dar, yesu hakufany ivyoo

  • @petroanyisiletz5706
    @petroanyisiletz5706 3 роки тому

    Safi sana mtumishi wa mungu yohana 17:1:25

  • @ditrammgimba2759
    @ditrammgimba2759 5 років тому +2

    Manabii,,, 😁😁😁😂😂😂😂 chumvi, mafuta yatoayo dhambi,,maji ya upako,, Mungu tuhurumie,,,,😬😬😬

  • @paulmbilu4004
    @paulmbilu4004 5 років тому +10

    kama we huja soma usimzalau msomi utaonekana mjinga.Ukiona kitu feki ujue O.G kipo.Na usipo jizuia na kutafakari kwa kina unaweza ona kila kitu unacho fanya ni chema kumbe unakosea.Brother sio vyote unaweza kivifanyia ukomedian vingine havikuhusu hapo utakua umekosea mno jihoji kwanza usimuhuzunishe Mungu.

    • @damianjeremia3821
      @damianjeremia3821 5 років тому

      Paul Mbilu wewe unaridhika kufanyiwa maombi kwa elfu 50 na kuuziwa maji?

    • @paulmbilu4004
      @paulmbilu4004 5 років тому +2

      Damian Jeremia nikuambie kitu zingatia point yangu hapo juu.kitu kama hukijui usikipinge mpaka ukijue ili usije ukaonekana mjinga.mf,Yesu alimpaka mtu mate machoni je !pale alikosea?!

    • @paulmbilu4004
      @paulmbilu4004 5 років тому +1

      Damian Jeremia lakini pia nikuulize swali na wewe je! kilicho kilicho kuuma ni huduma ya papaa au ni elfu hamsini?sikia nikuambie kitu ambacho kabisa wamepoteza ,ni Roho mtakatifu wengi mnajua kujazwa tu mkiisha jazwa mnaona hapo ndio mwisho.Ndomana wanao tumiwa na Roho mtakatifu nivigumu kuwaelewa.ninayo mengi ya kukuambia ili Mungu akufumbue macho na ufaham lakini acha niishie tu apo.kama ukiona unahimizwa kunitafuta basi Mungu akubariki nitaweka no yangu hapo ili ujue kinacho endelea usichukuliwe na upepo!

    • @paulmbilu4004
      @paulmbilu4004 5 років тому

      Geofrey Chengula pole sana rafiki we ndo hujui chochotee. waache wachungaji wachunge kanisa LA Bwana.baladala ya kuomba wakristo mnapiga vijembe yani nyie!!!!!kwanini hamsomi maandiko!?

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 років тому +1

      Paul Mbilu Sawa Sawa lkn hili ni igizo tuu kama nabii wenu anawafanyia haya basi CHUMVI NJEMA

  • @deboraimanueli3324
    @deboraimanueli3324 5 років тому +1

    Hatujakataa hayo mafundisho lakini mnapigana na karama ya kinabii

  • @shindikacomedian8318
    @shindikacomedian8318 5 років тому

    Masanja Mungu akutangulie kwa kuwafundisha watu waelewe

  • @julytito3891
    @julytito3891 5 років тому

    Hahahahahahaha uwiii jmn nimecheka ,sio kwa igizo hili

  • @joycendazi8437
    @joycendazi8437 3 роки тому

    Nakukubali sana shemeji yangu, mme wa Monica from EAGT Jerusalem khm

  • @nancykaseko
    @nancykaseko 5 років тому +10

    Nikweli imeandikwa waaminini manabii ndipo mtapofanikiwa...Mungu ameweka karama tano ili neno litimie efeso 4:11 Ivo mlivo fanya mmekosa hekima...ubili ulichopewa na Mungu sio dhihaka kwa watumishi wengine...

    • @hassanmugire1497
      @hassanmugire1497 5 років тому

      kwenda

    • @danyanthony3582
      @danyanthony3582 5 років тому

      Hawajakosea ila tu manabii wasasa ndivyo wanavyofany
      Hii dunia imeishaa so manabii wauongo niweng sasaiv
      Lijue hilo ndugu yangu

    • @henrymatebe1492
      @henrymatebe1492 5 років тому

      Hizi huduma zinauza mafuta

    • @nancykaseko
      @nancykaseko 5 років тому +1

      @@henrymatebe1492 Ni kweli ndg yangu..lkn why uone kibanzi Cha mwenzio akati unaboriti..huo mda wakukaa unamfikiria muuza mafuta si Bora ukatafakari uzuri wa Mungu kila mtu anahukumu yake...

    • @nancykaseko
      @nancykaseko 5 років тому +1

      @@hassanmugire1497 Ni sawa ndg yangu ..bt tafakati Mara mbili muda unaokaa kumjadili muuza mafuta ungeutumia kutafakari uzuri wa Mungu maana hata kiburi Cha dharau Mali ya shetani. tupo duniani hakuna Alie mkamilifu kila kitu Ni kwaneema ya Mungu...

  • @graceathuman5800
    @graceathuman5800 5 років тому +1

    nen linasem sik ya mwisho kutakuwep na manabiii wauong , wat watapenda pesa kulik mungu ( kwel kbsa masanja funua wale waliopo gizani pasip kujielew)

  • @mercymbilinyi9233
    @mercymbilinyi9233 5 років тому +10

    wee Mgaya rafiki yako Frank kilawa mlikosanaga mbona ndivyo anavyofanya

  • @officialdaniel4030
    @officialdaniel4030 5 років тому +1

    Et naona barafu😂😂😂😂

  • @akybanguliny6258
    @akybanguliny6258 2 роки тому

    Ukisikia msidanganyike Mungu hadhiakiwi, ni vile manabii wa uwongo hudanganya kwa ticket ya jina la Yesu

  • @moesenior2157
    @moesenior2157 5 років тому +2

    Hahahaha hatariii

  • @adelinekombe9660
    @adelinekombe9660 5 років тому

    Hahahaaa kweli manabii wakeli hawatambuliki, wala kuaminika tumekuwa tukikimbilia,miujiza ya manabii wa uongo barikuwa sana.

  • @thomasernest6071
    @thomasernest6071 5 років тому +1

    Maji, mafuta na chumvi vinatumika kiimani lakn manabii wengi wa uongo hutumia hvyo.

  • @manjalejuniorofficial4296
    @manjalejuniorofficial4296 5 років тому

    hhahahahahaha manabii feki wamejaa sana hizi ni siku za mwisho ndo mana shillah povu jingu kumbe haleluyah haleluyah huku wanatuibia sadaka

  • @hajimnzava3423
    @hajimnzava3423 5 років тому +20

    Masanja wenimchungaji acha kuchezea karama ya kinabii achahuo utani kabisa

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 5 років тому +2

      Kwan manabii wa uongo hawapo?

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 5 років тому +1

      Huyo masanja pia ni mchungaji wa uongo na anapenda mizaha kwenye mambo ya MUNGU

    • @ditrammgimba2759
      @ditrammgimba2759 5 років тому +2

      Hili igizo linaukweli pia,, tangu lin mafuta yakafuta dhambi,,, at huna haja ya kutubu,, mmmh,,, ni kupotosha watu,,,

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 5 років тому

      we mnzava acha uzwazwa

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 5 років тому

      Unaangamia kwa kukosa maarifa
      Kama hujui masanja anakufumbua macho uone mbali

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 років тому +1

    UBARIKIWE BROTHER, WAPO WENGI WALIOFUNGWA KWA KUYAAMINI HAYO UNAYOFUNDISHA .WAPE MESSAGE HIYO WANAWEZAPATA DELIVERANCE

  • @merianester7601
    @merianester7601 5 років тому +2

    Haaaahaaaaaaa shikamoo Masanjaaa

  • @bernardmwaitalako6813
    @bernardmwaitalako6813 5 років тому

    umetixha masanja

  • @amonphilip5902
    @amonphilip5902 5 років тому +2

    Igizo linaweza kuwa ni igizo but hjmu ndani kuna ukweli mtupu ..sijui kwanini Africa wakristo hatujataka kumsikiliza Roho wa Mungu kupitia neno lake asee..mana machumvi ,sabuni na losheni zipo Africa tu ,sijakataa kwamba Mungu hawezi kutumia but am saying hiyo haiwezi kuwa doctrine kamili katika kanisa. ..naomba ibaki kama revelation tuu

  • @jennifermnaku126
    @jennifermnaku126 5 років тому

    Nimecheka jmn masanja mungu akubariki maana unatufundisha

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 5 років тому

    Hahahahahahahahahaha, uwiiiiiiiiiii!! Mbavu zangu jamaniii

  • @methodgallus4056
    @methodgallus4056 5 років тому

    Nimeelewa sanaaa

  • @nillaguyu5728
    @nillaguyu5728 5 років тому +1

    haaaaaahaaa masanja we noumaa💪💪