Masanja MONICA ft Walter Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2016
  • Directed by: Link Reuben

КОМЕНТАРІ • 171

  • @rehemasimba5731
    @rehemasimba5731 Місяць тому +1

    Hii nyimbo ninzuri sana kila wakati tunaisikiliza na ina upako mkubwa sana barikiwa sana na BWANA YESU KRISTO ALIE HAI

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 2 роки тому +1

    😁😁😁😁😁😁mchungaji umetisha duuuh hatariii sana lkn nimeipeda stali yako ww na monica 💝💝💝

  • @sillasngimba5903
    @sillasngimba5903 7 років тому +2

    Barikiwa ndg yangu Masanja na idumu ndoa yenu......

  • @josiakatende3941
    @josiakatende3941 4 роки тому +1

    Nakukubali masanja natamani siku moja nikuone hata kanisani mito ya baraka,

  • @glorychitumbi187
    @glorychitumbi187 5 років тому +1

    kwakweli nitawakaba kwajina la Yesu ngoma nmeilewa saaaaaana ahsntee Baba waludewa msalimie mama yangu monica. nawapenda mwaaaaaah

  • @wakanaiautogaragecarpaints7753
    @wakanaiautogaragecarpaints7753 2 місяці тому +2

    Nice music

  • @kulwakalendera7987
    @kulwakalendera7987 6 років тому +1

    Eeee Big up masanja and chilambo bila kusahau pastor nickoson shaboka.

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 5 років тому +2

    *Sababu 5 zinazosababisha uume kuwa mdogo*
    *Na kukosa nguvu za kiume.*
    Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida.
    Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho.
    Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo. " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo.
    Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.
    *NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.*
    1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
    Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
    2. Kuugua chango la uzazi.
    3. Magonjwa ya utotoni.
    4. Kutahiriwa mapema
    5. Kurithi kutoka kwa wazazi.
    Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.
    Kwa waliopata tatizo hilo ukubwan linaweza kuisha ndani ya mda mfupi kwa kutumia njia salama kwa kutumia virutubisho haswa kwa ambao imetokana na punyeto na ambao tatizo lao wamezaliwa nalo linaisha lakini linahitaji mda siyo chini ya miezi 3 mpaka 6. Na pia wenye shida ya nguvu za kiume utasaidiwa tatizo lako litaisha ndani ya siku 30 tu.
    Ili uume uwe mkubwa utahusisha mazoezi ambayo utayafanya kwenye uume (utapewa video maalum ambayo inaonesha mazoezi hayo) pili utapewa virutubisho ambavyo vitarahisisha hilo ili uume uludi kawaida.
    Ninatumia virutubisho
    #argi+
    #aloeverageltube
    #multimaca
    Whatsapp 0628942717
    Nipo arusha ungalimited

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 6 років тому +1

    Siachi ku penda wangu na mimi jamani! Barikiwa mchungaji wangu Masanja wakabe eee! !!!

  • @jeff_nails1
    @jeff_nails1 6 років тому +1

    Wawoooooooo God mimi napenda kukushukuru Sanaaa kwaajili ya huyu mtumishi wako masanja mungu zidi kuinua kipaji chake

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @asiimweanthony9057
    @asiimweanthony9057 5 років тому +1

    Nakaba wote wanaenda kinyume nami Kwa jina la Yesu

  • @mombiajumaa6765
    @mombiajumaa6765 6 років тому +1

    hongera masanja una mdimamo unao umiliki mwenyewe hongera

  • @matumaincomedy5094
    @matumaincomedy5094 5 років тому

    Huwezi kujifunza kitu kwenye injili usipokuwa rohoni ukiwa mwilini lakizima kila nyimbo utaiona niyamwilini ushauli wangu kwenu nyote mnaojifanya mko kiroho zaidi ya masanja kumbe mko kimwili zaidi na mnamwangalia mchungaji kimwili zaidi zameni rohoni mtajifunza zaidi kuliko kusikiliza nyimbo kimwili zaidi

  • @hellennjombo5010
    @hellennjombo5010 7 років тому +4

    mungu ni mwema kwa kweli aya mlinde monica

  • @getrudenkinda1492
    @getrudenkinda1492 4 роки тому

    Kwakweli na wamekabwa aiseee Monica enjoy mama

  • @witnesswilliammwakilasa6890
    @witnesswilliammwakilasa6890 7 років тому +12

    kaba kaba wote ki hip-hop

  • @emmanuelshalua98
    @emmanuelshalua98 7 років тому +1

    nimemuona hpo ndg yng mo1 shida tunayo mtaan hku unafikil

  • @gamingcasbet1
    @gamingcasbet1 6 років тому +1

    Pastor Nick hiyo suti 😂😂😂😂😂 mama mchungaji Rose shaboka nadhan alivunja mbavu

  • @faithphanuel5545
    @faithphanuel5545 5 років тому +1

    Msanja nakupendaga bule

  • @jibunisimba415
    @jibunisimba415 3 роки тому

    Ahhahjaj haya myawe

  • @sarafinaemanuel3240
    @sarafinaemanuel3240 6 років тому +5

    Waooooo nawapenda bhulebhule

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @thecooldude4689
    @thecooldude4689 3 роки тому

    Kumbe Monica wa ukweli 😅😅

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 5 років тому

    Yafaa wakabwe sawasawa hao wanaozuia mafanikio ya wenzao yesu atawaziba midomo yao na kuwa mabubu kwa Nina LA yesuuuuu

  • @annastaziaemmanuel744
    @annastaziaemmanuel744 7 років тому

    Jamani masanja natamani nisali kanisani kwako sijui niwapi. Naomba nipajue. Unanifrahisha san

    • @gamingcasbet1
      @gamingcasbet1 6 років тому

      annastazia Emmanuel mito ya baraka kko km unaenda club ya yanga uliza utaelekezwa

  • @happystephen7878
    @happystephen7878 5 років тому

    mkandamizaji umeadvance sana ulipofikia sio ulivyokuwa mwanzo
    Mungu aendelee kukuinuaaaa

  • @awarddavidmwamelo8658
    @awarddavidmwamelo8658 3 роки тому

    😃😄😄 barikiwa Sana wameshaelewa

  • @pastor_bedondickson
    @pastor_bedondickson 7 років тому +7

    nawapenda sana nyie watu ha ha

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 7 років тому +2

    haka kawimbo nakapenda pale inapoamza tumewakaba uuuu tumewakaba weweeee tumewakaba

  • @neemamayila3096
    @neemamayila3096 6 років тому +3

    Love the way u treat your girl😍😍

  • @samsonjohn332
    @samsonjohn332 6 років тому +2

    Penda sana masanja

  • @jacksonkayombo7121
    @jacksonkayombo7121 7 років тому +7

    Hahahahaaaaa,,,,, sawa Mr mkandamizaji,,, sema Monica ni mkali kinyama yaan khaaaaa,, no make up nyng Ila bado 😋😋😋😋😋

  • @alicetozzy3794
    @alicetozzy3794 4 роки тому

    Upo vizur broo nimekuelew

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 7 років тому +5

    Haaaa congratulations pastor

  • @sarafina6656
    @sarafina6656 7 років тому +6

    Barikiwa sana Mtumishi kwa kumpenda mke wko kwa viwango vya juu..Hongera sana mama Mchungaji Monica.

  • @salmaanathalie1218
    @salmaanathalie1218 7 років тому +8

    hahaaha masanja wekaka ninavyo kupenda nibasi tu kweli mungu awape upendo nakuvumiliana

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @helenampewa9582
    @helenampewa9582 5 років тому +1

    sawa bhna nimeuelewa

  • @lovenessedward6733
    @lovenessedward6733 7 років тому +6

    nmependa mavazi yenu pastor hahahhaahhaahhahahahahahahahahaha tisha sanaaa

  • @matumaincomedy5094
    @matumaincomedy5094 5 років тому

    Wote mliocomment kukosoa nyimbo ya Masanja niwape pole kwa wanawake naweza hisi kuwa labda mmekabwa sana roba imewaingia ndio maana mmedissaponted nyimbo hii na wanaume mlioiponda nyimbo kuwa haifundishi chochote pole maana mimi nimejifunza kuwa wachawi walioninenea maneno mabaya kuwa sitaolewa ama sitafanikiwa nilazima niwakabe kwenye maombi kisawasawa ili maneno yao yawamarudie wao na kizazi zao wote waliosema sitazaa niwakabe kwa maombi ya kufunga na niwatolee sadaka ili kila kilichosemwa kwangu kiwarudie vibaya sijui wenzangu mmejifunza nini?

  • @jamilanimbona3692
    @jamilanimbona3692 3 роки тому

    Waooo vizulu sana😍😍😍😍

  • @masterkeymwakalanje536
    @masterkeymwakalanje536 2 роки тому

    Asante masanja

  • @asiimweanthony9057
    @asiimweanthony9057 5 років тому

    Amen Mtumishi wa Mungu

  • @annastaziaemmanuel744
    @annastaziaemmanuel744 7 років тому +3

    Sio kwa kabari hiyo yakihip hop

  • @happybeneth297
    @happybeneth297 7 років тому +1

    jamani nampenda kweli monica

  • @sabinagerold9962
    @sabinagerold9962 4 роки тому

    Hakika

  • @rachelalinda7007
    @rachelalinda7007 5 років тому

    Nzuri sana nimeipenda.

  • @silvanussteven813
    @silvanussteven813 5 років тому

    uhuuuuuuuu kiduku kwa sana

  • @kitulatvonline3854
    @kitulatvonline3854 6 років тому +3

    Roba ya Ukweli

  • @elizabethpeter254
    @elizabethpeter254 6 років тому +5

    tixhaaa xanaaa bomba 1 la song bab kubwaaa!!!!

  • @ntutapaliji9396
    @ntutapaliji9396 6 років тому +1

    masanja mtata Sana be blessed

  • @jeff_nails1
    @jeff_nails1 6 років тому +1

    You a man of God masnaja

  • @hawachora3015
    @hawachora3015 6 років тому +1

    Mnatukabaa

  • @petershigemelo4973
    @petershigemelo4973 6 років тому +4

    😂well done masanja

  • @issadesmond477
    @issadesmond477 5 років тому

    Mungu awalinde kwenye ndoa yenu

  • @christinalinusy3208
    @christinalinusy3208 6 років тому +1

    Kwa kweli mmewakaba

  • @samwelmaridadi7754
    @samwelmaridadi7754 5 років тому

    Kaba kwelikweli usifanye mzaha

  • @doreenmalesi6039
    @doreenmalesi6039 7 років тому +1

    hahahaaaa iko poa sana napenda sana hii couple

  • @lusekelomwampangwa5982
    @lusekelomwampangwa5982 5 років тому

    Masanja we hatar sana kaka

  • @vj8313
    @vj8313 5 років тому +4

    ha haa masanja vinyimbo vyako mweh😂😂😂

  • @mango.jayzo.
    @mango.jayzo. 7 років тому +1

    nice work masanja

  • @batony1682
    @batony1682 7 років тому +2

    kiukukweli masanja unauwaga kwa style ulio anzanayo pale tumewakaba

  • @calskim4173
    @calskim4173 5 років тому

    Hah yan nyimbo zako zinachekesha kabla hta dk 10 hazijaisha

  • @neemakawogo7153
    @neemakawogo7153 4 роки тому

    Kaba kihiphop

  • @elizabethkamala832
    @elizabethkamala832 5 років тому

    Barikiwa

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 4 роки тому

    Nagupenda sana masanja🤣🤣🤣🤣

  • @michaelmweta9055
    @michaelmweta9055 5 років тому

    upo juu mkandamizaji

  • @ernestmass923
    @ernestmass923 2 роки тому

    Masanja

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 4 роки тому

    Masanjaaaa

  • @zaharasayyid5724
    @zaharasayyid5724 4 роки тому

    Hahahahaaaaa jembe hilo masanja

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @estheridassi7379
    @estheridassi7379 7 років тому +3

    Usiache kaka Monika wako

  • @audreymax2021
    @audreymax2021 7 років тому +2

    Hhhhhhhh mme wakaba kweli

  • @fadhiliidafa5044
    @fadhiliidafa5044 5 років тому

    Jaman hiyo arusi 8menikumbusha aina yaarusi zetu kijijini ful shangwe

  • @beloyalbert5238
    @beloyalbert5238 4 роки тому

    Kaba mpaka jicho nyanya hahahahaha

  • @Crispusthomas
    @Crispusthomas 7 років тому +6

    hahaha 😁 😁 😁 nyc song

  • @innocenciabinamungu8576
    @innocenciabinamungu8576 5 років тому

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na hii video😄😄😄😄😄

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @sylvanussebastian6209
    @sylvanussebastian6209 5 років тому +1

    Tumewakaba!!!!! ila sasa ulisema hauli ugali vp,mbona nimeona unatia tonge mdomoni Aaaaaaaah nimekukaba

  • @mdogomoja7009
    @mdogomoja7009 5 років тому

    Kwakweli wamekabwa kisawasawa

  • @amanamburu3480
    @amanamburu3480 4 роки тому

    Tunalindwa

  • @ufunuomwilenga9645
    @ufunuomwilenga9645 5 років тому

    Tumewakaba mpaka mwisho

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 4 роки тому

    kweli mmewakaba

  • @intifadamwaigombe3838
    @intifadamwaigombe3838 5 років тому

    CHAGUO LAKO HALISI NI HUYO KAKA DAIMA NA MILELE NIAMANI ITAWALE MAISHA YENU YOOTE

  • @MrJsuarez07
    @MrJsuarez07 7 років тому +1

    iko poa kwa nafas yake

  • @ericklaiton2763
    @ericklaiton2763 5 років тому

    Hahahaaa live it love it

  • @mauaseleman7219
    @mauaseleman7219 4 роки тому

    Asante mtumushi wa mungu

  • @williamludovick5143
    @williamludovick5143 5 років тому

    kk nc stay strong blessed over

  • @africafrank4993
    @africafrank4993 6 років тому +1

    😂😂😂😂😂😂😊 aiseeeeeee

  • @rejoicejoshuan
    @rejoicejoshuan 7 років тому +2

    nice song kaka God bless this couple now and forever more

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @mlyambisipaul8399
    @mlyambisipaul8399 5 років тому

    Duuuuh hatar

  • @byaromajagi7631
    @byaromajagi7631 4 роки тому

    HIko vzr

  • @ashaakidotkidotlyova2881
    @ashaakidotkidotlyova2881 7 років тому +1

    imependeza

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 років тому

    Tumewakaba....NI WIVU TU!!

  • @neemajoseph8935
    @neemajoseph8935 5 років тому +1

    Nc

  • @salomepwele4962
    @salomepwele4962 4 роки тому

    Tumewakaba wotee

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +1

    Good song

  • @julianajchambala6954
    @julianajchambala6954 6 років тому +1

    kweri

  • @masungasalum5369
    @masungasalum5369 6 років тому +1

    kwel umewakaba

  • @esterjumahesterjumah2504
    @esterjumahesterjumah2504 4 роки тому

    🤣🤣🤣Mmmhh, huu mwaka uishe tyu

  • @abuuabeid3647
    @abuuabeid3647 Рік тому

    Lakini bado wakakuchapia dah wanawake bwana

    • @minortone8571
      @minortone8571 Рік тому

      ua-cam.com/video/bOrj8HOb_rM/v-deo.html

  • @shebinajulius7782
    @shebinajulius7782 6 років тому +1

    Nyx couple....

  • @joelnyangwa3523
    @joelnyangwa3523 5 років тому

    bongo fleva au wa dini

  • @adrienmaxpayaofficialchann5659
    @adrienmaxpayaofficialchann5659 7 років тому +4

    hhhhhh siyo kuwakaba ki bongo flava ni kuwakaba ki hip-hop