Kaka yangu Bhailam, nakusalimia sana. Hongera kwa kazi nzuri kaka yangu.👏👏👏 Hii imenisaidia sana kabisa. Asante kwakazi nzuri unao tengeneza. Bila shaka Mungu yu'pamoja nawe kwa kazi zako. Na unipe fursa ya kuonana na wewe nikija Tanzania. Tafadhali utafakari kwa hilo ombi langu. Mwenyezi Mungu akublinde na team yako na abariki kazi za mikono yako. Asante.
Nimeipenda bhairam umecheza umetulia Sana safi. Nakupenda wee mkaka ❣️
Jaman mm napenda adi macho yake jamani🥰
Namba ya bhairam plz
Huyu mchizi Ni best Actor na anawabeba wengi kwenye comedy nyingi anazoshirikishwa.....mimi pia na mkubali huyu mwamba
Ni kweli kabisa,anajua sana
Hii Naye imekaa Sana imetulia kweli Mungu awe nanyi Katika maisha yenu 🙏🙏🙏🙏
Bhailammmm!! Nakukubali ndugu yangu sana unajua mzee
Milambo uchungaji unakupendeza Sana ☺️☺️❤️
Ahsant gres
Kweli
Nimekukubali sana bhairam hii movie nimeikubari sana ishi sana
Mhhhh mashallah kazi nzr 👌mno nawapenda nyote washiriki alfu Bailam leo umetulia eti 😂😄
Bhairam Bai............
Nimefurahishwa n kaz yako hiii
Bhairam anakipaji cha hali ya juu kweli ww jamaa unajua sana
Bhailam umeupig mwng baba good work kbx
Nimependa mdada kaongea lugha yakr vizuri sana
Iko sawa....penda nyinyi nyote nikiwa 🇰🇪
Bailam akitulia anatulia kweli 😎 Adi raha 😀😄
Huyu dada pisiiii kaliiiiia kumbeeeeeee msukumaaaaaa mbona alikuwa asemiiiiiiiiioo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mayoooo ulimolaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hongera bailam kufungua account Yako piga kazi nakufuatilia sana ndgu yngu
Waaaaaaaah nimemupend bhairam
napenda sana unavyo igiza.
mwenye anaamini baila agonge like apa
Kiukweli kaz nzuri sana lakini icho alicho zungumza mke wa bhailam nikisukuma ehh
When I watch your videos I see Kanumba hiding in you Bahilam. God bless you! From DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
90%
Bhailam uko vzr sana hongera siku ukija mwanza nitakuja kukupa zawadi!
Huyu ni mume wangu kabisa🤣🤣🤣
Sasa jichanganye ufe
Bhailam ende lea ivi kaka
Wow, nice message
Kuna Watu wana Kipaji ila @bhailam Una Kipaji alafu zaid Unajua💣💥#performance 💯↗️↗️📈📈
Duuuuu bahram umetisha pamoj san
Bailamu to the next level. Funzo kubwa hili
Good job 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania bhairam
Bailamu nakupenda Sana ukicheza na Steve tena na cram!lakini nafulah zaidi kuona umefunguwa channel yako
Safi sana ndugu yangu bhailam ...kastory kadogo lakini kazuri
Mafundisho mazuri sana.nimependa
Bailam Mwamba wng
Hiyo noma km Kweli
Kaka yangu Bhailam,
nakusalimia sana.
Hongera kwa kazi nzuri kaka yangu.👏👏👏
Hii imenisaidia sana kabisa.
Asante kwakazi nzuri unao tengeneza.
Bila shaka Mungu yu'pamoja nawe kwa kazi zako.
Na unipe fursa ya kuonana na wewe nikija Tanzania.
Tafadhali utafakari kwa hilo ombi langu.
Mwenyezi Mungu akublinde na team yako na abariki kazi za mikono yako.
Asante.
uo ufundi kaka nimekubal
UMETULIA; UMEPOA alafu zaid UMECHEZA💯💯🔥we Kiumbe 🙌🏼🙌
Naomi msukuma Mwenzangu unajuwa kuigiza
Bhairamu kaka umenifunza mdogo wako tuhene tukakodiane kuetu mtura tulimile mikolosho Kwanzaa kaka força irmao voce merece prometo asistir sepre o teu trabalho
Anaweza kabisa
Kwakweli mna nifanya niliye kwakweli😭😭😭 mume nikumbusha mengi sana
Nmependa huyo dada kaongea kisukuma nmependa sana yawiza bhole
Kisukuma Poa sana
Nimeipenda Sana hii kazi bro bailam Tisha sana
Good ya kaka umecheza pwa sana
😂😂😂😂😂 mchungaji fala sana kashangaa kabisa
Musiongee kiluga jmn mkiwa mnaekti wengine hatufaham chcht so vzr ivyo
Bairam nami naenda kuoga na ninakipaji pia nakupataje
Ukoo saw san bahailam ataa ninatamani nilikupata mm💋💋
😅😅😅
Yani wanawake bhana 😄😄
Daaah hii nzuri
Kamaal Hasan wa Bongo #bhailam
Ndo haina ya wake tuna tafuta hao, ila kaka @bhailam towa minywele
Love you bro
Halelujaaaaaaaaah mchungaji bwana 🤣🤣🤣
Bhailam mwaaaah
Bhailam ni kanumba mpya in town tujiandae kumpokea
Kanumba alipendwa sana kutokana na kuigiza kwa utulivu, nakuona wewe huko
😅😊
😂😂mchungaji 😂😂😂anaishiwa
Wasukumaaaaa to the world 🌍🌍🌍🌍😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasukuma buana
Babaaaaaa
Wasuuuuuuukuma oyeeeee
Ninawapenda kwa jinsi mnavyo igiza
Nime ipenda Leo sana 💖💖💖
Nimeikubali hii!
Performance iko MOTO @Bhailam↗️💯
Nakupenda bailam
Nimeipenda sana hii ya leo
Ukiwa na mwanaume wa hivyo mpaka raha hasa anikute kama mimi
Mjinga wew😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣wanawake hatujui tunataka nn
Sio wote
@@Teddy-fq5oc wote
I wish one day to support you in making a large industry in movies production, brother your talented and your bright at once ..big up
Kazi nzuri sana
Huyo ndiye mimi sasa
Bhailam ni anajua Sana talented
Tujifunze hili
Hongera san bailam
Naomi she is very very beautiful
Nimeikubar an hour vidio Tena sna nahisi BAILAM NDOVIDIO YAKO Y KWANZA KWNYE akauti yako hi ya UA-cam
Mashaallah ❤
New gabo in bongo movie
Bailam ukovzr mwamba💪
👌👌💯
Kiskuma hikoo tena chenyew
Dada sogha half msukuma nayega sana mayo ubhebhe
Usinifanyeee nichekeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasukuma to the world....
Akicheka ile cheko yake njo napenda 🤣🤣
Kazi mnzuri jamani
❤❤❤❤
Nimeipenda hii
Hallelujaaaaaaaaah😂😂😂 pastor bn
Good joob
Ahsante
Hatimae Comedian mnaenda kuimeza bongo movie kimasihara kabisa
Mirambo kwenye ubora wake 🤣🤣🤣
Yaah napambana ndugu
Yani kuna watu awapendi Amani jaman khaaa mawivu wivu ya nini sasa makelele kwenye nyumba yakazi gani Dada
God bless you
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Bailam hii nitamu kabisa
Hii mzee uliua, hakika ujumbe umefika na ni kweli wanawake wengi wamekuwa hivyo.
Bonge 1 la clip
Alléluia
It's busybee254,,,,watching from kenya
Kaliyaliya leo ka Kauka duh
Mwanaume mwenye madili huwa haangaiikii mapenzi
To be continued
Nimeipenda SANA hiyo
Ahsante
That's how a man should behave. But don't joke with hiki kizazi cha nyoka?!!
Haaa