Tumebarikiwa mchungaji. Warumi 10:13, yeyote aliitaye jina la bwana ataokolewa. Twakuombea mungu akazidishe hekima yako ili kupitia kwa huduma hii, mateka waokolewe. Asante
Kupitia kwa somo hili hakika nimemwomba mungu aniondolee Goliath kwa maisha yangu hili niwe mwaminifu kwa kila jambo ndio nikapate nataka zangu,mungu azidi kukupa neema zaidi ninabarikiwa saana🙏
Barikiwa pastor
Amen
udhaifu nilikua nayo,nikutoa saka na sadaka, nashukuru mungu🙏🙏🙏🙏 aendelee kukutumia mtumishi
Mungu akubariki pr
Amen 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana pastor
Nimebarikiwa saana na somo hili.niombee niwe na Amani moyoni.
Amen mtumishi 5:38
Bwana yesu asifiwe kwa hayo
❤
Tumebarikiwa mchungaji. Warumi 10:13, yeyote aliitaye jina la bwana ataokolewa. Twakuombea mungu akazidishe hekima yako ili kupitia kwa huduma hii, mateka waokolewe. Asante
Kupitia kwa somo hili hakika nimemwomba mungu aniondolee Goliath kwa maisha yangu hili niwe mwaminifu kwa kila jambo ndio nikapate nataka zangu,mungu azidi kukupa neema zaidi ninabarikiwa saana🙏
Baraka
Pastor magoti,,ninasumbuliwa na ndoto niko shuleni nafanya mtihani nakuomba pastor utufundishe maana ya hii ndoto,,,,,,
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏