NI KITU GANI KIMEPOTEA MAISHANI MWAKO! - Ev. Japhet Magoti
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2024
- Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.
Amen pastor naomba uniombee nipate ushirikiano wa Mungu zaidi
❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu Aliyekuita pastor Akuneemeshe millennium unatuinua sana. Asante Yesu Amen Amen 😊
I’m so excited already with the mgs even though I’m starting. Jesus loves me and I love Jesus Lord my God the creater and savior of my life 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙇🏽♀️🙇🏽♀️🙇🏽♀️👏🏽👏🏽🔥🔥🔥😍😍😍
Amen pastor nimebarikiwa zaidi mungu hakuonekanie akutie nguvu ktk jina la Jesu
Siku moja nataman niitende kazi hii.....
Nasikia fahari sana kupendwa na Mungu🙏🙏🙏
Amen soo powerful courageous ND inspiring message God bless you pastor am soo blessed
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏🙏
Baba nafurahi sana kuona Yesu ananipenda
Amina kabisa mtumishi
Amen be blessed with ua family
Mungu akubariki Mtumishi, I know and believe that, Am so loved by Jesus, Oooh I love my Juses too and am so proud of Him and What He has done to Me. Thank God 🙏
Hata Mimi ninee kungairia nivingi vimepotea
God bless you it's a touching teaching for those who hearken to receive you ve blessed me
Thanks for listening
Amen pastor
Pastor I need to talk to you please
+255764062976
Amen 🙏🙏🙏